GENIUS HAJAWAHI PATA ZERO, KOTE KASOMA KATA, FORM FOUR DIV. 1.7, SIX DIV 1.3

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 янв 2025

Комментарии • 311

  • @juliejackson1742
    @juliejackson1742 2 года назад +16

    Ila watu wanaokuaga na akili sana wanaringaga ila naona huyu yuko humble sana anamshukuru Mungu kwa kila neno analotoa mwenyez Mungu amsimamie kulikobak

  • @faithkapondo5383
    @faithkapondo5383 2 года назад +2

    Eeeh Mungu naomba watoto wng wawe naakir km Fadhili

  • @deniseliuter3002
    @deniseliuter3002 Год назад +3

    Safi sanaa dogo ata mimi pia nmepita mzumbe secondary advance na leo ni mining engineer well done mzumbe moto wetu nakumbuka wkt nipo ulkua ni kupiga msuli yatima yaani unasoma bila kujihurumia ni kupiga buku tuh lkn kitu kzuriii pepa za ndani kama gejing ni ngumu mnoo adi mtu unajiona labda hamna kitu kumbe inakujengea hali ya kutorizika pepa ya necta ikija unaona wastani tuh so kupata one inakua kugusa huu utamaduni ni mzuri sanaaa

  • @hamisaswedi6640
    @hamisaswedi6640 2 года назад +2

    Kusoma ni mazingira,,, ata maisha anayotoka yanajieleza.. despite of jitihada binafs, all in all hongera sana kijana..

    • @abasihussein1166
      @abasihussein1166 Год назад +1

      Ww ndo umeongea point

    • @calvin6445
      @calvin6445 4 месяца назад

      Sio kweli..Wengi wenye mazingira mazuri ndo wanaofeli
      Mimi bado namheshimu mtoto wa mkulima.Ni wachache sanaa kama hawa walio namazingira mazuri wakafauli

  • @cleverkifaluka4337
    @cleverkifaluka4337 2 года назад +15

    Mawenzi sekondari na Mzumbe sio shule ya kata mkuu.
    Ni special school kana ulikuwa hujui...
    Hongera sana mangi kwa matokeo mazuri umetujengea heshima kubwa.

    • @ismailmajala2802
      @ismailmajala2802 2 года назад

      amemaanisha ni mtoto wa familia bora ila ametokea humo humo

    • @brendakavishe3320
      @brendakavishe3320 2 года назад

      Mawenzi sio Kata yes.Mawenzi ni shule kubwa kimkoa

    • @joachimshirima5578
      @joachimshirima5578 2 года назад +1

      Nimesoma mawenzi sec bila juhudi binafsi hutoki mzee.. huyu mtoto ni hatari... Mbaya zaidi kasoma shaurimoyo majengo palivyo choka mitoto ya kwamtei pale na akapata A flat... Ifike mahali mumpe heshima yake

    • @tillahmboya6582
      @tillahmboya6582 2 года назад +1

      @@joachimshirima5578 umeonaee nimesoma mawenzi pia bila juhudi zako ni ziiii hongera mdogoangu 👏👏👏

    • @ahmadally2437
      @ahmadally2437 Год назад +1

      Mzee izo special school kama mzumbe, ilboru na kadhalika bila msuli hutoboi hakuna kufundishwa kivile,,kijana kapambana aisee pia jah amebless

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 9 месяцев назад +1

    Ubarikiwe saana Fadhili

  • @julianaswai7846
    @julianaswai7846 2 года назад +2

    Hongeraa sana mdogo wangu .Mungu akutangulee

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 2 года назад +21

    Huyu mwamba hatari sana. Ukiangalia matokeo yake anatisha kwasababu ana A zote kuanzia Mtihani wa Shule ya Msingi hadi Form 6. Msimchululie poa. Hao walio 10 Bora ukitafuta matokeo yao ya Darasa la saba na Form 4 hawamkamagi huyu bro. Hongera Sana Genius wangu wa Mlongo huu.

    • @abdulkilufi9230
      @abdulkilufi9230 2 года назад +2

      Tunamkaribisha MUHAS

    • @yoootang621
      @yoootang621 2 года назад +1

      Ni Mungu tu . Si kwa uwezo wake

    • @kareemabdallah6693
      @kareemabdallah6693 2 года назад

      @@abdulkilufi9230 Pale ndo center ya Ukaguzi wa ma TO

    • @gibsonjosephat6352
      @gibsonjosephat6352 2 года назад

      Kama ni Mungu wewe unashetani? Acha zako Mungu kafanya upande wake kumpa akili yeye kaweka kuhudi tena kubwa

    • @yoootang621
      @yoootang621 2 года назад +1

      @@gibsonjosephat6352 Mjinga tu ww . Kwan wengine awakupewa akili ?!! Yeye kupewa akili na uwezo wa kufaulu na afya kwa ujumla na Baraka zake . That's what we call God himself. Mfano Samson zile nguvu bila Mungu kumpatia ?!! Au Solomon kuwa na akili zaidii ya watu wengine?!!! Kifupi ni Baraka za Mungu juu yake . Just don't be a small minded person. Vp ww ukufanya juhudiii ??? Mwaka gan ulimaliza tuone matokeo Yako ?!? Na hizo juhudiii

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 2 года назад +4

    Wooooow hongera kijana mwenye bidii zake,nafurahi kuona unaanza na "namshukuru sana Mungu"na kuendelea kusisitiza kumshukuru Mungu,humility,God bless .
    Hongera sana

    • @cymone6159
      @cymone6159 2 года назад

      Hata mimi nimeona hivyo aisee

  • @footballlove4413
    @footballlove4413 2 года назад +3

    Mwanafunzi wangu huyu
    Congratulations boy

  • @aronatv47
    @aronatv47 2 года назад +12

    Hongeren sana mliofaulu wote.. IMkimaliza na elimu ya Juu Mkumbuke kuwa Kuna Elimu ya Mtaani Tuweke akili hiloo..

  • @jamalmzimba5166
    @jamalmzimba5166 2 года назад +7

    Mazingira mazuri,yanachochea,sijawai kuona mwanafunzi aliyetoka kwenye nyumba ya tembe,kabomoa,so far ongera kwake coz,ametumia oppotunity ya kwao vizur.

  • @jesicaayo5641
    @jesicaayo5641 2 года назад +1

    👏👏hongera sana kijana

  • @cnm2976
    @cnm2976 2 года назад +1

    Bravo! Mungu Akusaidie pia kwenye elimu ya juu. Bwana Yesu akulinde.

  • @deonicemollel4205
    @deonicemollel4205 2 года назад +2

    Daah maisha inamruhusu ingekuw ni sisi tuliosoma unavaa kiatu mwaka soksi mwaka ikitoboka🤣 unageuza rangi ya viatu napaka unga wa bettry ile nyeusi unarudi nyumbn humkuti mtu Wala chakula daaah sitosahau jameni ila Asant mungu now I have a good life I don't forget this memories 🤔🤔

  • @Maggie-yx8pw
    @Maggie-yx8pw 2 года назад +6

    Wow that's awesome Mungu ndio kila kitu. Congratulations Brother 🙏

  • @ibrahimmbwate787
    @ibrahimmbwate787 Год назад

    Sikujua kama wewe ni Genius kiasi hiki@Fadhil John Mboya 👊👊

  • @rahmasalim1989
    @rahmasalim1989 2 года назад +22

    Masha'Allah Tabarakallah mwenyeez Mungu akuzidishie kila la kheri Insha'Allah uendelee hivyo hivyo. Mwenyeez Mungu akuondoshee hasad.

  • @premier2562
    @premier2562 2 года назад +8

    kaka hongera sana #mzumbefamily are proud of you

  • @jacobmsigwa383
    @jacobmsigwa383 2 года назад +2

    Hongera kwake kijana, bila shaka alipata full support kutoka kwa familia yake maana kwa mazingira hayo ni jamii inayojimudu

  • @mwana4599
    @mwana4599 2 года назад +3

    Hongerah. Ila waandishi muwe mnafabya utafiti yeye hajadoma shule za kata ni za serikali. Na ni za,zamani. Za kata zimeanza kwenye 2000s

  • @georgechonjo9375
    @georgechonjo9375 2 года назад +8

    Mungu akusaidie ....huko uendako u deserve it bro umepambana sana

  • @carinamatt1031
    @carinamatt1031 2 года назад

    Maisha yako yenyewe tu kufaulu tosha unaishi pazuri ivyo kufeli kujitakia mungu azidi kukusimamia mtoto mzuri usibadilike usiige maisha ya wengine unajielewa sana

  • @willymalale7975
    @willymalale7975 2 года назад +2

    Hongera sana dogo pambana taifa linakuhitaji

  • @sadockchengula5542
    @sadockchengula5542 2 года назад +2

    Kusema shule ya kata ilikuwa ni kuvuta hadhira ifatilie story. Ila mhimu haya mambo yanachangiana mazingira wezeshi+ubongo usio na hitilafu+ jitihada au bidii ya mhusika= excellent. Best yangu alitokea mazingira duni+ kupoteza wazazi wote+ ndugu kutomsapoti= A masomo yote kwa A-Level.

  • @gadiusjoely5503
    @gadiusjoely5503 2 года назад +1

    Hongera pia pole sana maana maisha yenu uwa yanakuwa magumu sana kwa mfumo wanchi hii

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 2 года назад

      hawezi elewa

    • @mcback4384
      @mcback4384 2 года назад

      Kwa namna anavyoishi na ni mwanafunzi ana maisha mazuri huenda usije kuyapata mpaka unakufa

  • @mariasixmund7964
    @mariasixmund7964 2 года назад +1

    Hongera sana mdg angu Mungu akutangulie katika ndoto zako

  • @comanbo
    @comanbo Год назад

    Mashaalh mungu azidi kukuwezesha

  • @baloziubalozini5074
    @baloziubalozini5074 2 года назад +1

    Hongera-Mwanamke
    Kongole-Mwanaume

  • @judymasunzu7517
    @judymasunzu7517 2 года назад +1

    Hongera Kijana Kwa kutusua. Mungu aendelee kukupa Heri Huko mbele ya Safari yako ya Elimu. Ukiweza nakushauri usome BscMD uwe human Doctor

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 2 года назад +7

    Yuko intelligent sana na ana jielewa kweli

  • @roselynurio269
    @roselynurio269 2 года назад +1

    Congratulation am soo inspired👏

  • @niaanthony9588
    @niaanthony9588 2 года назад +7

    Nyumba yao tu MashaaAllah

  • @edwinjohn6334
    @edwinjohn6334 2 года назад +7

    Kweli uyu dogo yuko vzr sana kaupiga mwingi sana

  • @paulinacherement2534
    @paulinacherement2534 2 года назад +1

    Mashallah ALLAH barik

  • @mbwanamungia9921
    @mbwanamungia9921 2 года назад +1

    Kupasi sawa umepasi mwanangu sasa hongera kazi kuja kupata kazi

  • @odrianinicolaus5353
    @odrianinicolaus5353 2 года назад

    Huyu Kijana ana nidhamu sana kwa muonekano na anamtaja Mungu katika kila Sentesi.

  • @brendakavishe3320
    @brendakavishe3320 2 года назад

    Mawenzi Product tunatisha sana..MAWENZI SECONDARY OYEEE

  • @florencemsigala6549
    @florencemsigala6549 2 года назад +6

    Hongera mwanangu Mungu akulinde na kukutunza ufike mbele zaidi

  • @joshuanf7916
    @joshuanf7916 2 года назад

    Hongera sana MANGI👐👐

  • @gracesilayo7670
    @gracesilayo7670 2 года назад

    Hongeraaaaaaaaaa nyingi kwako dear

  • @ZainabuSeifu
    @ZainabuSeifu 4 месяца назад

    Safi sana bro

  • @laurenmselletv4280
    @laurenmselletv4280 2 года назад +2

    Hata mm nlikuwa vizuri ila shida viporo na kwenda shule bila kula ndo kulifanya bora yaishe

  • @saimonijonas4356
    @saimonijonas4356 2 года назад +4

    Mungu akisaidie hivyo hivyo baada yakumaliza masomo pia ufauru kupata kazi.Mungu akutangulie.Najisikia furaha sana mtu anapozungumzia shule za kata nakufanikiwa kufauru masomo yake.

  • @fadhilimboya8090
    @fadhilimboya8090 2 года назад +12

    Nashukuru kwa comments zenu
    Nimemaliza PCM Mzumbe Secondary

    • @mcback4384
      @mcback4384 2 года назад +1

      Hongera sana kijana
      Nimekupenda namna unamshukuru Mungu
      Utafika mbali

    • @goddkito646
      @goddkito646 2 года назад

      💪💪💪✍️

    • @azizamohamed7692
      @azizamohamed7692 2 года назад

      Hongera Sana Mungu akusimamie kwa kila jambo

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 2 года назад +1

      No. Yako tafadhali dogo.

    • @fadhilimboya8090
      @fadhilimboya8090 2 года назад

      @@adkajisi4536 nikiweka contacts na email zinafutika, sasa sijajua nakupataje..

  • @lazaromaria5334
    @lazaromaria5334 2 года назад +11

    wachagga 😎

  • @نجمةموبيبي
    @نجمةموبيبي 2 года назад +3

    Mashaallah, hongera sana

  • @eddyjosephmagenge9446
    @eddyjosephmagenge9446 2 года назад +3

    Hongera sana mdogo wangu

  • @stevenkyando7364
    @stevenkyando7364 2 года назад

    Hongera kijana Ila mmefanana na mtangazaji au kaka ako

  • @amlikejacob6565
    @amlikejacob6565 2 года назад +13

    😂😂oyaaa mzee baba tuwakilishe uko mzee umeupiga mwingi sana

  • @marygregory7566
    @marygregory7566 2 года назад

    Well done, endelea kumtegemea Mungu

  • @nicholausdominic9218
    @nicholausdominic9218 2 года назад +3

    Mungu mwema sana!! Kaona tulipotokaa !! Tuwakilishee🙏

  • @esabelfadhili8432
    @esabelfadhili8432 2 года назад

    Safiiiii dogo Hongera sana

  • @florampayo6593
    @florampayo6593 2 года назад

    Good boy!! Congratulations

  • @humphreynyiti516
    @humphreynyiti516 2 года назад +4

    Mungu akutangulie sana

  • @abdulazizshehe4521
    @abdulazizshehe4521 2 года назад

    Daaah sjui tumwambie au tumuache Genius it's not about grades it's mindset..Watu wana GPA 5/5 wanakuwa vilazaa

  • @karimjuma4019
    @karimjuma4019 2 года назад +8

    Mtangazaji kilaza sana haulizi jina Kwa mtu anaemhoji yupoyupo tu

    • @jumakhamis8208
      @jumakhamis8208 2 года назад +2

      Mbn jina limetajwa

    • @minjesha
      @minjesha 2 года назад

      Nilifikiri nimeona mwenyewe, hata hayo maswali yake tu hayavutii, kwa ujumla hajui kuhoji

    • @karimjuma4019
      @karimjuma4019 2 года назад

      @@minjesha Hana taaluma ya uandishi

  • @halimahalima1488
    @halimahalima1488 2 года назад +5

    MashaaAllah tabaraka Rahman 👏

  • @lydiajacob560
    @lydiajacob560 2 года назад +8

    Congratulations budaa

  • @gracejulius3966
    @gracejulius3966 2 года назад

    Hongera Kijana

  • @roggersnathan2592
    @roggersnathan2592 2 года назад +8

    Kawatafuteni vijana wa Tabora boys muwahoji acheni matabaka

  • @giftgodwin8748
    @giftgodwin8748 2 года назад

    Kajitahid Sana kinoma noma

  • @mwigakatumpula5695
    @mwigakatumpula5695 2 года назад +25

    Lifestyle yake tu inatosha kwa hatua aliyo fika maana ingekuwa vyema kama ingetokea kwa watu ambao maisha Yao ni ya kubahatisha apo ingekuwa ni mfano wa kuiga sio kwa hawa mboga saba 😃

    • @emmanuelshayo4703
      @emmanuelshayo4703 2 года назад +4

      Uwe na life style kama hii halafu usifaulu kwa kiwango cha juu! Si nitakupiga bastola nikuue.

    • @ukhutfatumah1154
      @ukhutfatumah1154 2 года назад +1

      @@emmanuelshayo4703 haaaaaa nimecheka mno

    • @hanirashuwesu4239
      @hanirashuwesu4239 2 года назад +1

      @@emmanuelshayo4703 😂😂😂😂

    • @mariandesario6468
      @mariandesario6468 2 года назад +1

      Jamani wangapi wanatoka familia bora na wanafeli? Wengine wanaishia kuwa mateja! Hongera kwake sana sanaàaa

    • @claudyjrjunior8610
      @claudyjrjunior8610 2 года назад

      Life la kusoma na life style ya nyumbani inachangia sana

  • @johaneskyaruzi8789
    @johaneskyaruzi8789 2 года назад +5

    hongera cn

  • @mariakibwana3700
    @mariakibwana3700 2 года назад

    Hongera sana kijana

  • @edmundkaziri6672
    @edmundkaziri6672 2 года назад +1

    Kaka hongera sana. Mzumbe fam✊🏾

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 2 года назад +1

    Mungu akuongoze kwa kila jambo🙏🙏

  • @upendosr
    @upendosr 2 года назад

    Hongera kwako

  • @philipmakupa5662
    @philipmakupa5662 2 года назад

    aisee ndugu mtangazaji mawenzi sec na mzumbe sio shule za kata.

  • @c75923
    @c75923 2 года назад +4

    Ndugu mwandishi leo afadhali kaja na Ka script Ka kudesa ili asiulize yale maswali yake ya ki zero brain Ha Ha haaaa safi sana 👏🏾👍

  • @funnymeiz4909
    @funnymeiz4909 2 года назад +7

    Congrats sana

  • @amosstimamaroba1054
    @amosstimamaroba1054 2 года назад +3

    Very genius and intelligent

  • @rashdiyange7758
    @rashdiyange7758 2 года назад

    ndo jiulize kwann wana faulu watoto wa matajili sisi maskin kazi yetu nikutuma mtoto vitu mapka maji naita mma kwann sifer wamatajili kuna wafanyakaz ndomana wnaa mda mzurr wakujisomeaaaa saaaaaa sikidgooooo sss kazi weee amina kchote maji we juma kakate kuni tapata wapi mda kusoma

  • @kassimrajabu7805
    @kassimrajabu7805 2 года назад

    Maisha Laini huyu,Boni iaia kula kulala mamaee!! Aje mtaani huku kuna Elim ya mtaa pia

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 2 года назад

    Hongera sana dogo🙏🙏

  • @bobwhite9252
    @bobwhite9252 2 года назад +2

    Dogo... Tafuta scholarship fasta achana na bongo.. kwa akil hzo utawakimbiza wazungu na hyo biomedical utafanya kaaz kwenye maabara kubwa za dunia. Achana na bongo dogo.. niamim mim.. bongo hawathamini vipaj kama hiv.. utaishia kufanya kaz serikalin dogo.. amua faaasta

    • @fadhilimboya8090
      @fadhilimboya8090 2 года назад

      Naomba nipatie mwongozo nitawezaje kupata scholarship.
      Namba zangu za simu ni SIFURI,SITA,TANO,NANE,NANE,SITA,SITA,NNE,SITA,NNE.
      Ahsante.

    • @bobwhite9252
      @bobwhite9252 2 года назад +2

      @@fadhilimboya8090 fanya hivi..
      1.nenda wizara ya elimu pale kwenye ubao wao wa matangazo huwa hzo scholarship wanabandika hapo.. pia.. ukifika hapo usimuogope mtu omba apoitment na mkurugenzi najitambulishe.. nenda kaongee nae.. itakua mwanzo mzuri
      2.nenda udsm pale.. zunguka tuu kwenye department mbalimbali kwenye ubao wa matangazo utakuta wanabandika hzo scholarship pia.usiogope kuuliza..hyo ndo chance yako kabla hujachelewa..maana muda huu ndo admission nying za vyuo vya nje hufanyika ndo ziko mwishomwisho
      3.ingia kwenye mtandao tafuta vyuo vikubwa vya nchi unayotaka kwenda.. chagua chuo.. mfano marekani.. cheki.. YALE , Harvard , pia canada na australia na england,andika .. top universities in ... (Nchi unayotaka).. ingia kwenye website ya hvyo vyuo angalia deadline ya application.. apply then angalia sehem ya scholarship jarib kusoma uelewe then ukisha apply chuo una apply na scholarship .. weka hata vyuo vi3 vikubwa au zaid.. we apply tuu.. watakupa
      Fanya fasta dogo.. anza mchakato fasta maana admision ya vyuo vya nje ndo inaishia.. znaanza zingne october.. so kwa intake ya winter ndo admision karib znaisha... Anza mchakato fasta..
      4.ingia kwenye website za embassy mbalimbali zilizopo bongo.. angalia pia section ya scholarship unaweza zikuta pia
      Zingatia nilichokwambia kwenye msg ya kwanza. Wazungu wanathamini ma genius kama wew. Na kule utawakimbiza hadi wachanganyikiwe.. na utafika mbaaali mnoo dogo.. anza haraka michakato.. usione uvivu.. hyo ndo mafanikio yako.. hata mim nimesoma udsm etc.. naelewa.. tumesoma na watu ma TO wana ma AAA.. lakin mwisho wa siku unamkuta yuko anafanya kaz tigo au voda au ni daktar tuu muhimbil. Then basi kaishia hapo

    • @fadhilimboya8090
      @fadhilimboya8090 2 года назад +1

      @@bobwhite9252 Nashukuru sana. Nitafanya hivyo.

    • @bobwhite9252
      @bobwhite9252 2 года назад

      @@fadhilimboya8090 na pia kwenye uchaguz wa kozi unayotaka kusoma.. najua wew bado mdogo na hujui industry ikoje.. hata sisi kaka zako tulivyomaliza 6,.. na matokeo yetu mazuri tukawa tunarukia tuu koz bila kujua dunia inataka nin .. so nakushaur tafuta mtu mzima anaejielewa ambae pia ni msomi anaejitambua akupe muongozo mzur ili ujue dunia inataka nin sasa hvi.. tena uangalie kwa mtizamo wa kidunia sio kibongo bongo.. ili usiwaste time na akil zako nying.. usiogope kuwa aproach watu ji introduce kwao na ongelea kuhusu performance yako usione noma.. wambie wakupe ushaur nin dunia inataka sasa.. au pia ingia mtandaon search.. career ambazo ni hot karne hii.. then fanya maamuz.. sababu unaweza soma kitu ambacho mwisho wa siku umeperfom vzur ila hakina impact.. unabak tuu kuwa lecturer chuon unalipwa kahela mbuzi.. so dogo.. hii likizo tumia vzur kupata choice ya maisha yako.. usipumzike.. hakikisha una ji involve kwenye mambo meng.. ukiskia UN wana program.. we ji involve.. ukiskia sjui huki kuma hik.. ji involve.. usibweteke na matokeo.. sis kaka zako tulibweteka na matokeo mwisho wa siku tumemaliza tuko tunafanya kaz na mishahara yenyew ndo hvyo kama unavyojua.. so wew.. umepata bahat ya kuambiwa ukwel .. so changamka na make good decisions.

    • @fadhilimboya8090
      @fadhilimboya8090 2 года назад +1

      @@bobwhite9252 Dah, thank you so much broh for the enlightenment. Ngoga niyafanyie kazi yote. God bless you.

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 2 года назад +26

    1 au 0 zote Ni namba....
    Maisha Ni mapambano...
    Mapambano bado yanaendelea....
    Maisha ndio kipimo Cha mtihani hapa duniani

  • @michaelboaz8108
    @michaelboaz8108 2 года назад

    Safi kijana

  • @latiffaomar6429
    @latiffaomar6429 2 года назад +10

    MashaALLAH

  • @florakibona8042
    @florakibona8042 2 года назад

    Huyu ndo amefauru sasa na ndo Genius

  • @florameza1028
    @florameza1028 2 года назад

    Tunafurahiaa na kushangilia shughuli ni kupata KAZI Mungu saidia watoto wako

  • @jumayusuph4533
    @jumayusuph4533 2 года назад +2

    Pin point📌📌Mazingira yasikubadilishe wewe..Wewe ndo ubadili mazingila.

  • @musichealsTz
    @musichealsTz 2 года назад

    Wakishuaaa sana chaliii...

  • @mamafloraofficial4315
    @mamafloraofficial4315 2 года назад

    Mawenzi sec ya 2007 nyoosheni vidole juu

  • @cymone6159
    @cymone6159 2 года назад

    Halafu msomi kweli pia anamfahamu Mungu

  • @restitutanjau2585
    @restitutanjau2585 2 года назад +1

    Kudra za mwenyezi Mungu

  • @aloycemiho7615
    @aloycemiho7615 2 года назад

    Special schools ni shule nzuri za za serikali sio sawa na "shule za kata" msichanganye watu.

    • @phakundigervas1360
      @phakundigervas1360 2 года назад

      Ni kweli Mawenzi na Mzumbe sio SHULE za kata, Tena Mzumbe ni special school

  • @hilaliabousalim2715
    @hilaliabousalim2715 2 года назад

    Hiyo Mawenzi siifahamu lakini mzumbe sio shule ya kuibeza

  • @marthagabriel3417
    @marthagabriel3417 2 года назад

    Top ten hayupo wavulana wametupwa sana

  • @lovenoor988
    @lovenoor988 2 года назад +1

    Congrats bro 👏🎉

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 2 года назад +1

    Hawa tulikua tunawaita JON KISOMO...!

  • @Lassana755
    @Lassana755 2 года назад

    Awo majiniasi wanaishia mishahara ya laki 7 cie back banchers tunawapeleka race kwenye maisha

  • @mustaphahassan589
    @mustaphahassan589 2 года назад +8

    Genius ni wagunduzi sio watu wakufaulu mtihani

  • @bashiruhassani1017
    @bashiruhassani1017 2 года назад +3

    Apo nje nimeona ndara nyng lakn ndan kuna watu 4

  • @mkingasana400
    @mkingasana400 2 года назад +1

    Safi

  • @mwanzomwisho1217
    @mwanzomwisho1217 2 года назад

    Mwandishi umepwaya sana, sio wote wabaoangalia wanajua nini O-Level, A-Level, na vile hujamuuliza ni masomo ya aina gani aliyoyafaulu akiwa O-level( Kidato cha nne) na hata hayo ya A-Level( Kidato cha sita) pia ni yapi?. Hujamuuliza alikuwa anatumia mbinu zipi na je alikuwa na msaada kutoka nyumbani au ni juhudi zake binafsi. Siku nyingine jipange vyema au chukua muongozo kwa Milard akuelekeze jinsi ya kupanga maswali.
    Kingine ambacho ninataka kukijazia hapa ni kuwa maznngira ya nyumbani ni rafiki sana katika usomaji wa huyu dogo, ingawa na yeye kichwa chake Maa shaa Allah.

  • @openesisraelnatai2013
    @openesisraelnatai2013 2 года назад +1

    Mchaga mwenzangu ila ni asili yetu elimu hapa tz

  • @michaelsamson9663
    @michaelsamson9663 2 года назад +1

    Elim yetu ingeboleshwa awa jama wadizain ii wangekuwa watalam wa vitu vikubwa wangekuwa wabunifu na wanasayans wazuli dunia na kama Taifa tungepata matunda mengi kupitia akili zao na upeo wao

  • @emmanuelburchard3153
    @emmanuelburchard3153 2 года назад

    Kusome kozi ya Vifaa Tiba.

  • @robertmaduhu1591
    @robertmaduhu1591 2 года назад +8

    Welcome to biomedical engineering 💪💪

    • @leilajohn4600
      @leilajohn4600 2 года назад

      Nieleweshe ndo aje ,🙏

    • @RioIpo
      @RioIpo 2 года назад

      @@leilajohn4600 watu wanatengeneza vifaa vya hospital mfano X rays, MRI

    • @HighzackMichael
      @HighzackMichael Год назад +1

      ​@@RioIpo moja ya kozi ngumu Sana ,

    • @RioIpo
      @RioIpo Год назад

      @@HighzackMichael Dah sio poa