RUSHWA YA NGONO: Mhadhiri UDOM alivyonaswa mtegoni na Mwanafunzi

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 янв 2025
  • TAKUKURU Mkoa wa Dodoma jana usiku iliweka mtego na kufanikiwa kumkamata Jacob Paul Nyangusi ambaye ni Mhadhiri wa Kitivo cha Sayansi ya Jamii katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwa kosa la kumtaka mwanafunzi wa mwaka wa kwanza kingono ili amsaidie katika mitihani ya marudio aliyofanya hivi karibuni.

Комментарии • 65

  • @sammabula7359
    @sammabula7359 6 лет назад

    kama ushawahi fundishwa na huyu mwalimu like apa😂

  • @jizokharid1372
    @jizokharid1372 6 лет назад +8

    Nyangusi kabambwa leo zam yako kupata tabu sana umefanya GPA zetu ziwe down 😂😂😂

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 6 лет назад

    Dah! Safi sana kila sekta viongozi wetu wawe Macho, hakika uhalifu utaisha.

  • @dominickdiwani205
    @dominickdiwani205 6 лет назад

    kuna muda biashara inakuwa mbaya kuna muda inakuwa nzuri basi ndio hivyo

  • @makoyemihambo5679
    @makoyemihambo5679 6 лет назад

    Daah! Mwalim wangu kafel pakubwa sana ,ila basi tu!!

  • @goldensparrow1507
    @goldensparrow1507 6 лет назад

    Dah Mungu atustiri.. hili lazma raisi awaonye walimu wa vyuo na shule.. maana hii imezidi...!

  • @tumainimikina8807
    @tumainimikina8807 6 лет назад

    aibu sana

  • @frankrowland2884
    @frankrowland2884 6 лет назад +7

    Duu kwel kaka demu Wang alikuw anasoma masters hapo UDOM alisumbuliw sana na supervisor wake ambae alikuw ni mhindi,tena doctor kabisa,yani wanakera na ni wahuni.

    • @mwajumahassan6656
      @mwajumahassan6656 6 лет назад

      pole

    • @doctorjuniour9459
      @doctorjuniour9459 6 лет назад +1

      The same to ma wife .... MWALIM NYERERE MEMORIAL.... Sitasahau

    • @kuchimillionaire6683
      @kuchimillionaire6683 6 лет назад

      Frank Rowland wahindi hawana uhuni hasa wa Udom. Demu wako kilaza.

    • @frankrowland2884
      @frankrowland2884 6 лет назад

      @@kuchimillionaire6683 sasa wew unapobisha ulikuwepo yani kuna mijitu mingine cjui mna laana ya ubishi,hivi unajua nilivyohangaika na hilo jambo,,,,achen ubishi wa kisenge.

    • @kuchimillionaire6683
      @kuchimillionaire6683 6 лет назад

      Frank Rowland kwa nini asikatae? shida mabinti wa Udom wanapenda sana ngono. Chuo ana mtu back home anaye. wanatombana hao kaka! siyo mchezo.

  • @daudimitimingi6950
    @daudimitimingi6950 6 лет назад

    duu! hatari sana

  • @frankvenus4016
    @frankvenus4016 6 лет назад +11

    Hii tabia ni mbaya sana mm mwenyewe niliwai kukumbana nalo nilipo kuwa chuo kisa girlfriend wngu,IPO siku nikiwa maarufu ntalizungumzia.

  • @ambrosdavid3239
    @ambrosdavid3239 6 лет назад

    haya mambo yapo sana vyuoni inabidi lifanyiwe kazi hili swala

  • @benjamininyambaso5041
    @benjamininyambaso5041 6 лет назад

    Asantee#TAKUKuRU

  • @zainabumasudi673
    @zainabumasudi673 6 лет назад

    kweli kabisa tunaiomba serikali ishikilie swala hili kiukweli kunabaadhi yawakufunzi sio kabisa Yani wanatuvuruga nakutuharibia ndoto zetu

  • @hongeramgaya714
    @hongeramgaya714 6 лет назад

    # me too please

  • @johnaskishimbo9924
    @johnaskishimbo9924 6 лет назад

    Acha wapasuliweee wanajifanyaga wanajua sana bata ukirudi kwenye suala la shulee wanakutana na kwaree sasa hapo ndo utaelewa nani anambioo acha kumkimbiza unakula ka sap kako kazuuriii kasaaafi alafu ndo unakutana na mshantaa ticha anakusubiriaa September wacha nyama zitafunweee😂😂😂

  • @bahatimatiku4294
    @bahatimatiku4294 6 лет назад

    Hivi kweli kabsa inaboa sana huyu mbwa afungwe tuu na kaz apoteze watu wako.mitaan nateseka wanawatafutia ada watot wao zen mjinga mmoja nakatsha ndoto za kjana wao

  • @rasheedmuslih3142
    @rasheedmuslih3142 6 лет назад +2

    Nilicarry course nusu nicarry na mabegiii kisa izoo mamb UDOM naielwa 😂😂😂😂

  • @tomjohn9587
    @tomjohn9587 6 лет назад +1

    Kiukweli wadada wanamenyeka sana chuoni kwa malecture wakiwatishia kuwaharibia matokeo yao

  • @salvatorymogesi8781
    @salvatorymogesi8781 6 лет назад +4

    Tabia za wadada na mabinti walio wengi huko vyuoni (hasa kwenye uvaaji mavazi) ni za hovyo sana kiasi cha kuwa vichocheo kwa hayo yanayowakuta.

    • @sophiamwema334
      @sophiamwema334 6 лет назад

      salvatory mogesi mwanamme jirali hababaishwi na vicheo. hizo ni tabia za mbwa tu. so dont justfy

    • @salumumwinyi3271
      @salumumwinyi3271 6 лет назад

      Ni ww kaka

    • @joycemashikolo9096
      @joycemashikolo9096 6 лет назад

      Sophia Mwema 😃😃😃umeniua mbavu mwenzio.je ukitembelea uraya wakati wa summer si unajishawishi ata mpaka wewe mwenyewe sasa

  • @awadhiabdallah6454
    @awadhiabdallah6454 6 лет назад

    DUH HATARI!!!!!!!!!!!

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 6 лет назад

    Atolewe sehem zake za siri

  • @kabilayangu4056
    @kabilayangu4056 6 лет назад +1

    kiukweli rushwa ya ngono katkika vyuo vikuu na vyuo vya kati limekua tatizo kubwa hasa kwa mabinti zetu,wizara ya elimu kushirikiana na wadau wanakuswa kuungana kulikomesha tatzo hili.

  • @sadathlemula6383
    @sadathlemula6383 6 лет назад

    duhhh jauuuu

  • @rashidpweka4325
    @rashidpweka4325 6 лет назад

    Hili swala serikali wangetengeneza kamati yani kila chuo limeenea wanashusha elimu yetu na wadada wengi wanapata magonjwa kwa njia hii serikali mfatilie chuo ad chuo kwa kina

  • @Mamatonny2065
    @Mamatonny2065 6 лет назад

    Mmmmmh ndiyo KAZI zao hao wahuni.wanaonea wanawake tu.
    Eti kupata maendeleo mpaka uvue chupi daaa!?..akafanye wanaume wenzake huko..

  • @emmanueljuvieh4316
    @emmanueljuvieh4316 6 лет назад

    Tusubiri nawao watakavyo naswa na ma lecture picha ndo linaanza

  • @mustaphahassan589
    @mustaphahassan589 6 лет назад +1

    rushwa ya ngono ni kupewa noti za ngono

  • @Dalaman10
    @Dalaman10 6 лет назад

    Naona tzee inataka kuwa india sasa.

  • @fatmakombo7584
    @fatmakombo7584 6 лет назад

    Duuu wazee kama hawa ndio wao sambaza virus vya ukimwi

  • @marrymaria9677
    @marrymaria9677 6 лет назад

    duuh nyangusi spatial organization

  • @luomusicchannelfromtanzani5650
    @luomusicchannelfromtanzani5650 6 лет назад

    Duuuh makuubwaa

  • @ezekielmwadomba4675
    @ezekielmwadomba4675 6 лет назад

    AFUNGWE MPAKA ANYONGWEEE! HATA WANAO HUSIKA NA KUTOA MUKOPO,NAO HUFANYA VIVYO HIVYO.KUNA MAMA MMOJA ALIMPIA BINTI YAKE MPAKA ALIPO MALIZA CHUO, BAADA YA BINTI YAKE KUMPA TAARIFA KWAMBA ANATAKIWA AFANYE NGONO NA WATOA MIKOPO HAPO UDOM.INA UDHI SANA!!!!!! NA INATIA HASIRA KUBWA SANA!!!!

  • @georgenshashi1308
    @georgenshashi1308 6 лет назад

    duuu..,

  • @issaupdates2752
    @issaupdates2752 6 лет назад

    Nyangusi kadisco 🤣🤣🤣

  • @komboomar8275
    @komboomar8275 6 лет назад

    Mafataki kama hayo ndio yanafaa kupewa adhabu kaaali

  • @goldensparrow1507
    @goldensparrow1507 6 лет назад

    Na huyu apewe adhabu iwe funzo kwa wengine

  • @february2866
    @february2866 6 лет назад

    Sap nyingine wanazitengeneza kusudi ili wavue watu chupi kirahisi

  • @anastaziuscyriacus5415
    @anastaziuscyriacus5415 6 лет назад

    Wadada someni, Mnafeli feli kizembe...Mtanyoooshwa....Soma, pigeni mabanda, acheni kudeka.....Jitu linafeeeli hadi inabd uliwe ndo ufaulu.....Ujinga, someniiii

  • @helenampewa9582
    @helenampewa9582 6 лет назад +1

    nikwel kbxa tyunanyanyapaliwa san wanawake kushus ilo suala na sio mashuln tyu hata maofsn