RUSHWA YA NGONO KUMFIKISHA KORTINI MHADHIRI UDOM
HTML-код
- Опубликовано: 5 фев 2025
- Takukuru mkoa wa Dodoma kwa kushirikiana na ofisi ya Taifa ya mashtaka leo watamfikisha katika mahakamani ya hakimu mkazi mkoa wa Dodoma mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Udom Jacob Nyangusi na kumfungulia shauri la uhujumu uchumi kwa kosa la kutaka rushwa ya ngono kinyume na kifungu cha 25 cha sheria ya kuzuia na kupambana na rushwa 11/2007.
MBOWE AHOJIWA NA TAKUKURU DAR
• MBOWE AHOJIWA NA TAKUK...
Mtihani
Safii sana..
hatari sana