MWALIMU AKAMATWA GESTI AKIWA NA MWANAFUNZI WAKE "AMEMNYANYASA NA KUMTESA"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 янв 2025

Комментарии • 34

  • @sportplus45
    @sportplus45 5 лет назад +13

    Gonga like yako hapa kama umechukizwa na mwalimu

  • @hajilitonick7747
    @hajilitonick7747 5 лет назад +5

    Imagine Tanzania 80% tukawa na wanafunzi kama huyu.

  • @nancyjohn4147
    @nancyjohn4147 5 лет назад +1

    Mda mwingine waalimu wanachangia kufeli kwa wanafunzi

  • @dizzboss7526
    @dizzboss7526 5 лет назад +5

    Hiyo nafasi nipeni mimi nifanye kazi niwasaidie wazazi wangu maana huyo ameshindwa kufanya kilichompeleka I teach Economics and Geography, I earned a bachelor of arts with education at RUAHA CATHOLIC UNIVERSITY

    • @deograsiamoyo4975
      @deograsiamoyo4975 5 лет назад

      Dizzboss latest duu mwl mwenye cheti uyu cha form na cheti cha uzinzi mh hii ndiyo Tanzania yetu ahsante takukuru

  • @ramadhanyahaya5737
    @ramadhanyahaya5737 6 месяцев назад

    Kwa nin mwanafunz awe na simu

  • @rebeccacharles5413
    @rebeccacharles5413 4 года назад

    Kafaidika nn uyo mwanafunzi ss.. Laana tu kujitaftia

  • @watendekibona1420
    @watendekibona1420 5 лет назад +2

    Duuuuuuuuuu hatar kuna masomo kweli hapo

  • @ramboemmanuel7939
    @ramboemmanuel7939 5 лет назад +1

    Wanaferkwamawazo megi yanayowasonga

  • @anisiamedard3775
    @anisiamedard3775 5 лет назад +1

    Asilimia kubwa ya Walimu Wana tabia hii. Ni mbaya Sana aise

  • @shibilitimedia3312
    @shibilitimedia3312 5 лет назад

    Hii mambo iko hadi vyuoni rushwa ya ngono ni tatizo sana. Na inarudisha Elimu nyuma na hii yote ni tamaa tu wanaume tuache haya

  • @barakadenis8182
    @barakadenis8182 5 лет назад

    Ivi si kiansishwe chama cha wabakaji ili wawe wanabakana wao kwa wao

  • @belathomgayamavyale5022
    @belathomgayamavyale5022 5 лет назад

    Wakamatwe wote Kwan mwanafunzi alikuwa hajitambui

  • @jackieseni7269
    @jackieseni7269 5 лет назад +1

    Duh aseeee

  • @summanelson5523
    @summanelson5523 5 лет назад

    Tupia picha ya huyo mwanafunzi mharibifu kwa watoto wetu!!!

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 5 лет назад

    Huo usemi wa Rais hapo ndo umesababisha watu watengeneze Rushwa. sababu swala la vitambulisho siyo kitu cha mpito, ni kitu endelevu hakina haja ya kukiwekea limiti. ni sawa na passport inapohitajika mtu anatengenezewa. watoto wanazaliwa , watu wanaomba uraia au wahamiaji , watu kama hao wote watatakiwa watengenezewe vitambulisho pia. nk. kwa hiyo hakuna haja ya kusema mpaka siku fulani hatuta toa tena, hili ndo lina sababisha Rushwa.

  • @hawaafrica803
    @hawaafrica803 5 лет назад

    Washenzi wakubwa wanatuharibia watoto wetu wapate adhabu kali iwe fundisho kwa wengine

  • @saleheramadhan5442
    @saleheramadhan5442 5 лет назад

    Sasa kama mwalimu anafanya kitu kama hicho nimajanga

  • @dintazdintaz7311
    @dintazdintaz7311 5 лет назад

    Ualimu ni sadaki aisee yaan mwalimu hana hela ya kuhonga yeye hela yake ni kununulia chips mayai tu

  • @paulosonda8995
    @paulosonda8995 5 лет назад

    Takukur mbon mlichelewa kufika eneo la tukio mmenipoa mimi

  • @rebeccacharles5413
    @rebeccacharles5413 4 года назад

    Uongo mtupuuuu uyo mwanafunzi..yy ad aende guest altaka alfata nn

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 5 лет назад +1

    Subhannallah, kwani wanaume mnanini jamani?

  • @hammerQ954
    @hammerQ954 5 лет назад

    Funga huyo mwalim

  • @johnrimoy370
    @johnrimoy370 5 лет назад

    Mnakamata vitu vidogo vidogo, tunataka mkamate marushwa makubwa makubwa km ya mikataba ya ujenzi wa barabara .zabuni , maafisa biashara, yani ma bilioni. Yale marushwa yanayo umiza jamii kwa ujumla.

  • @mamachris6811
    @mamachris6811 5 лет назад +2

    Ualimu haikuwa wito wake baada ya kukosa ajira kajipachika tu
    Akakutane na wababe wenzie gerezani

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 5 лет назад +1

    UTAVUNA ULICHOPANDA

  • @emmermsokile7953
    @emmermsokile7953 5 лет назад

    Hatar

    • @babumollel1810
      @babumollel1810 5 лет назад

      Kmata kmata hao wamezoea na tembelea na vyuoni

    • @babumollel1810
      @babumollel1810 5 лет назад

      Pia njoo hku minjingu coz wakala wanachaj watu pesa za usajl line kwa njia ya vdle

  • @sportplus45
    @sportplus45 5 лет назад

    Kwenye channel yangu kuna videos tamu kama
    >>Binadamu alieoteshwa pua juu ya paji la uso
    >>Jumba lenye miujiza linaloitwa John Lawson house
    >>Kijana mwenye mdomo mkubwa duniani
    >>Msichana aliefungiwa ndan ya chumba miaka 25 had kufariki na mengine mengi
    Njoeni mjionee nahtaj support zenu Ahsanten

  • @reganikalenga988
    @reganikalenga988 5 лет назад +2

    Kuna mtu mwingine anataka rushwa huku kibaha ili atoe vitambulisho vya nida