Vizuri sana nampongeza uyo mwanafunzi na hatokaa adisco kwasababu kama yupo vizuri darasan atamaliza salama tu ilishatokea ifm dar uyo binti wakizazanzibar alimaliza salama big up mwanamke kujiamin kufahuru bila kutoa rushwa ya ngono inawezekanaa
Vizuri Sana ,Muendelee hivyo hivyo vyuo vyoteee maana Kuna wasichana wananyanyaswa muno. Nashukuru Mungu sikupitia hayo chuo, sijui kwa vile nlikuwa mbaya sivutii? 😜😜 Sura yangu ngumu ilinisaidia
Matukio ya kawaida tu kwanza lecturers ndio michezo yao ukimaliza mtihani wako ama project yako yeye anasema hawezo kutia sahihi mpaka afanye mapenzi. Hii ni kitu ipo ndani ya chuo wanadada wetu wananyanyaswa sana ila basi tu hawaezi kusema ila huo ni ukweli endeleni kufanya utafiti mutawapata wengi tu kwanza ingieni dar mtashika chuo kizima manake huo ndio mchezo
Naicheki 2019, mnasema huyu Dada kakosea kufichua huu uozo hamna hofu ya Mungu hata kidogo, hamkumbuki Yusuf alitupwa gerzani kwa kuogopa kumtenda MUNGU dhambi?? Eti atadisco, kudisco ndio nini mbele ya kutenda dhambi??? Kwani maisha ni mpaka uende chuo??? Akili nyingine bhana kah!!!
Nahisi mazingira ya kutongozwa yanasababishwa na wanafunzi. Hawasom alafu wanataka kuwa best students. Ebu mpe mtihan km akifaulu au akifeli nahisi utakuwa ushaidi tosha.
Ila kunamiwanafunzi mingine inaboaa, haisomi inapenda miteremkoo, kujipitishapitisha mbele ya mwalimu ila amtongoze, wanasahau kuwa licha ya mwalimu kuwa mwalimu pia ni mwanadamu. Japokuwa miwalimu mingine inaboaaa mxeuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Hilo la TAKUKURU kumkamata huyo mhadhiri lisiishie kwa huyo pekee wapo wahadhiri wengi hapo wanaowakwami mabinti hata kuwasabishia kushindwa kuendelea na chuo kisa kakataliwa kupewa rushwa ya ngono. TAKUKURU tafadhali wasaidieni mabinti zetu na janga hilo.
Wafekelee mbaliiiiii washenzi kweli ndio tabia zao hao.Uchunguzi wa nini wakati washamkamata fyekelea mbali haoo wapo wengi na pia mwanafunzi wanaowataka wahadhiri nao fyekelea mbaliiiii pia
Najivunia chuo changu Muslim university of Morogoro, Hakuna Biashara ya sampuli hiyo, Kuna uadilifu wa hali ya juu kwa sababu wahadhiri wengi Wana khofu ya Allah na ni chuo pekee ambacho dada yako, mama yako, mke wako na hata shangazi yako anaweza kusoma kwa uhuru bila manyanyaso ya kijinsia au ya kidini na Taaluma ni chuo namba 1 Tanzania kwa sababu kila mwanachuo huvuna alichokipanda na hili hupelekea wanachuo wengi kuwa na jitihada za kimasomo kwani Hakuna upendeleo.... MUM ni ufumbuzi pekee wa matatizo kama hayo.
Abu utheymiin Mmh, mengine hukuyajua tu lakini usiombe usikie.....wengine machoni kama watu. Mtu unayemwamini kabisa unamchukulia kama kaka na mawaidha meengi anakupa mwisho wa cku tukiwa mwaka wa mwisho aligeuka kabisa na ana familia. Na hakuwa na lengo la kuoa useme Sunna anaongeza mke naye alikuwa kama hao wengine tu. Na mpaka bado mtu unaolewa bado anazidi kukufuatilia. Sijui wahadhiri wana pepo gani?
Hawa jamaa wapumbavu saaaaana..... Akikutongoza ukakataa anamuomba Rafk ake ( Lecturer ) akukamate kwenye somo lake ili usigundue... Wakiona umehangaika na Surp sana ndo wanakuachia. Fuck u all wenye tabia hizi. Mwalim Nyerere Memorial kuna huo upumbavu.
Ila ana kifua Cha takukuru, akifelishwa anaweza kwenda mbali kuomba hata walimu wa nje wamsahihishe upya. Labda Kama kilaza ila kama ana akili asiogope kabisa, sheria itamlinda
mimi nashauri kuwa wote wahojiwe kwelikweli yaan mwalimu na mwanafunzi. maana mwanafunzi naye ni mtu mzima. Inawezekana walikuwa wapenzi wa muda mrefu kwa maridhiano tu, sasa ikatokea huyo mwalimu kapata mwingine mzuri zaidi, hivyo huyo mdada anaamua kutafuta njia ya kumkamatatisha ili kumkomoa mwalimu. kwa hiyo jambo hilo litazamwe kwa sura mbili tofauti badala ya kufocus kila kitu kuwa mwalimu ana madhambi. Lakini pia wadada wengi wanapenda miteremko ya kufaulu linapokuja suala la mitihani. wengine wakishakamatwa wanaanza kujilengesha kwa walimu ili wafanye nao ngono na wawapasishe supplementary. Tabia hiyo siyo nzuri jamani. someni kwa bidii.
Ila hapo cjui lakini siasa na chuki zimekuwa nyingi inawezekana kweli au nifitina tuu wanawake achana nao wanaweza wakakufunga bila kosa hakuna mtu mzuri kama mwanamke na hakuna mtu mbaya pia kama mwanamke
Huyo mwanafunzi hajaanza kuwa na huyo mwalimu mhadhiri wa hicho chuo nikwamba walikuwa wapenzi WA mda walipozinguana ndipo akaamua kumwendea takukukuru kwani chuon wanasoma watoto si watu wazima hao anauwezo wakusema hapana au kwanjia hii wasichana watasingizia watu kesi kama hizo kwa mfano bint amekuita room yake kumbe amekuwekea mtego utadhalimika hata wewe watakukuru wanaweza kukutega
Nachukia sana watu wanaofanya michezo michezo na elimu.HUYO sasa ukute kajaziwa jaziwa alama MF.ni daktari anakuja kukutibu km sio kutuua sheria ni msemeno ainywe sasa.
Nicje nikahukumu b4 kuhukumiwa maana dunia imevaa bikini saizi hivi kwani angekataa tuu afanye mitihani yake na pia Mm ningekuwa takukuru ningemchunguza na huyo mwanamke
Wangemung'oa Mapumbu maana dada zetu wanakuwa hawana amani wanapofika huko wengine wanatunza bikira zao Wakimaliza masomo wawapatie zawadi wapenz wa ndoa badala yake yanajitokeza majangiri yanazibomoa Yanabaki makombo Apewe miaka 30 jela ili akapige nyeto ya kutosha
Ah ah nilikuwa najiuliza eti kwa nini wale wanaobakwaga huwa hawapigi kelele mpaka mwisho, yaani nahisi tu kwa mbaaaali kuna wakati wanatoa ushirikiano mpaka mwisho then baadae ndo wanaenda kwenye vyombo vya sheria ah ah ah. Nadhani huwa wanachukua ushahidi maana ukipimwa unakuta DNA yako. Jamani waalimu mnatia aibu mjue aisee
Ni michezo ya kawaida vyuoni hasa kwa wanafunzi wasiotaka kujituma! Ila huyo binti ndoto Zake zitaishia hapo kwani walimu wana ushirikiano, huyo atadisco tu.
Hapo kuna mawili Ina wezekana huyu mwanafunzi alishamkubali mwl! Na akamlia vyake muda Yaani kila kitu kilishafanyika ila tu watakuwa walipishana kauli! Kuna vitu alimuahidi labda hakutekeleza sasa. Ndo akaamua amuharibie maana wanawake sio watu wazuri sometime
Kuombana na kunyimana ni kawaida, lecturer alikosea kuleta swala la mapenzi kwenye kazi. Angeomba yeye kama yeye sio kupitia swala la kusaidiana kwenye masomo. Hakuna mtu asiye na matamanio ya kingono na yeye ni binadamu jamani
Eladius Peter huko ni Pesa itatembea ,mzunguko utakuwa Mkubwa mpaka MTU akate tamaa,huko haki kuipata asiye Na Pesa ni Kazi ,vifunguvitatafutwa kumlinda mwenye Pesa
Nakumbuka tulivyokuw tunahaso na msuli huku videm vikila bata tuuu lakin mwishon GPA -4 nyingi za ktoshaa Nouma sana!! Naaa am sure huyo Dada atapata tabuu San na sidhan kama atamaliza chuo UDOM navyoijua Nouma wahadhiri wana ushirikiano sana atapotezwa soon, atapata tabu duu shida sana Haaaaa pole sister umeshajichangany!! JIBEBE na kama ilikuw sup basi Discontinued itakuhusu!!
Huyu dada ajiandae kudisco na especially km anajua uwezo wake mdogo, mambo mengine ni madogo madogo si mpk useme km mtoto mdogo unakuta anambania ticha afu anampa mhuni mwingine bure bure tu! Mpk hpo ashacarry kwanza hiyo kozi!
Yaani ninyi pccb mnashangaza sana, tena kama ningekuwa na mamlaka, ningewatimua kazi ninyi wote, Rushwa imekithiri tena ya waziwazi kwenye miradi mikubwa hamfuatilii, Huyo mdada huenda hajalipwa mafao yake yakutosha, kaja kuripoti kwenu, mnajitokeza. Shwaini kabisa
Msimuonee yeye pekee ake. Wanafunzi wenyewe ndio chanzo. Mavazi yao natamaa zao ndio vinawaponza. Toeni elimu kwa wanafunzi namna yakuvaa kujisitili maungo yao.
Michezo hiyo nitatizo kubwa vyuoni ndo mana wahitimu wengi wanamaliza wakiwa hawana kitu kichwani tunashukuru serilikali awamu hii wameliona hili natunaomba wapitie vyuo vikuu vyote
Huu ni upuuz Mtupu na huyu binti aliemfanyia mwl wake hivi hatofika popote na chuo hatomaliza. Hivi anadhan kumaliza bachelor ni mchezo kuna changamoto sana
atajikuta nje ya mstari tu .....ha ha ha ha ha ha ha ha hii ndio bongo ,yule kijana aliyemsaidia mwakyembe kukamata unga wakamuulize mwakyembe yupo wapi yule kijana.
Ukitaka kufuta izo mambo labda Mitihan iende necta laah sivyo mapnz ni kawaida tu na yapo kila sehem tokea shule ya msingi na inaendelea hivyo mpaka kweny kutafta kazi maoficin Sasa sijui utashtak wangp mpka ufanikiwe
Kwa hiyo ww unaona huyo teacher kafanya vizuri au ww huna mtoto nn? Nadhani na ww ni malaya mpuuzi chuo atasoma na wala usimtishe na kusoma hajasomea ngono acha upuuzi
tena wapo wengi sanaaa mm nayafahamu sanaaaa mazingira ya hapo chuon kama unakubaliana na mm na wewe umesoma udom kama mm gonga like hapa
Kweli
Na ww walikutaka nn😀😀😀😀??
Km umesoma udom na ulikuwa coed gonga like hapa
Vizuri sana nampongeza uyo mwanafunzi na hatokaa adisco kwasababu kama yupo vizuri darasan atamaliza salama tu ilishatokea ifm dar uyo binti wakizazanzibar alimaliza salama big up mwanamke kujiamin kufahuru bila kutoa rushwa ya ngono inawezekanaa
Hatar sana, kazi nzuri Takukuru,,
Kama umependa kitendo cha mwalimu gonga like hapa
Safi sana, tunataka tz mpya
Saumu Hassan umo!
Vizuri Sana ,Muendelee hivyo hivyo vyuo vyoteee maana Kuna wasichana wananyanyaswa muno. Nashukuru Mungu sikupitia hayo chuo, sijui kwa vile nlikuwa mbaya sivutii? 😜😜 Sura yangu ngumu ilinisaidia
Hahaha
Kinachofatwa sio sura ngumu dada
Hahahahahaaaaa
Ndo maana umeona umepende tu Yesu , safi sanaa utaiona na pepo mwisho wa siku endelea kumshukuru Mungu kwa sura hiyo ,
I love Jesus umunichekesha eti ulikua mbaya du ila hata mm sikukumbana na hayo m mzuri nilikua kauzu sikuzote ukijiamin utokumbana na hayo
Mwandishi anauliza maswali ya kawaida sanaa,.myepesi mno!
Duhh mungu wangu
Kumbe inawezekana wadada wengi wanaosumbua huku mtaani na vidigirii wamepata kwa njia kama hizo
😁😁😁 umeonaee! Unashangaa mtu ana degree lakini akili mtaani Kama ya darasa la 4!
Hahahaha
Yohana Maugila umeona eeeeh
Sio wote wengne wanafight
Matukio ya kawaida tu kwanza lecturers ndio michezo yao ukimaliza mtihani wako ama project yako yeye anasema hawezo kutia sahihi mpaka afanye mapenzi. Hii ni kitu ipo ndani ya chuo wanadada wetu wananyanyaswa sana ila basi tu hawaezi kusema ila huo ni ukweli endeleni kufanya utafiti mutawapata wengi tu kwanza ingieni dar mtashika chuo kizima manake huo ndio mchezo
Naomba tuchunguze kwaza
Maana wandishi wa habari wanapenda kuuza magazeti
@@christiankibiki6590 unachunguza kitu kilicho wazi?
Naicheki 2019, mnasema huyu Dada kakosea kufichua huu uozo hamna hofu ya Mungu hata kidogo, hamkumbuki Yusuf alitupwa gerzani kwa kuogopa kumtenda MUNGU dhambi?? Eti atadisco, kudisco ndio nini mbele ya kutenda dhambi??? Kwani maisha ni mpaka uende chuo??? Akili nyingine bhana kah!!!
Nahisi mazingira ya kutongozwa yanasababishwa na wanafunzi. Hawasom alafu wanataka kuwa best students. Ebu mpe mtihan km akifaulu au akifeli nahisi utakuwa ushaidi tosha.
Tatzo hawa lecturers wamepewa mamlaka makubwa sana
duuuuh!! jaman hili nalo tatizo pole mwanamke mwenzangu Mungu yupo atakupigania, hongera kwa ujacr ulioufanya ww ni malkia wa mguvu
Ila kunamiwanafunzi mingine inaboaa, haisomi inapenda miteremkoo, kujipitishapitisha mbele ya mwalimu ila amtongoze, wanasahau kuwa licha ya mwalimu kuwa mwalimu pia ni mwanadamu. Japokuwa miwalimu mingine inaboaaa mxeuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Kweli kabisa
Kweli halafu anategemea atatoa rushwa ya ngono atapita. Wanafunzi wa hivyo wengi sana. Halafu kesi kubwa za rushwa mbona hatuzisikiik
Jackiline Josephat ww nae huelew tu sio kosa lako
Jackiline Josephat jack
Safi sana
Tr alikuwa anaenda kujitafunia 😂😂
udom kuna uozo sana wa wahadhiri kuwafelisha wanafunz kisa kunyimwa mapenz udom ichunguzwe kwa makin hasa walim wa LAW
Hilo la TAKUKURU kumkamata huyo mhadhiri lisiishie kwa huyo pekee wapo wahadhiri wengi hapo wanaowakwami mabinti hata kuwasabishia kushindwa kuendelea na chuo kisa kakataliwa kupewa rushwa ya ngono. TAKUKURU tafadhali wasaidieni mabinti zetu na janga hilo.
haya mambo n mengi sana..
Mwandishi yuko vizuri kwenye maswali
namshukuru Allah sikupitia hizo changamoto
Wafekelee mbaliiiiii washenzi kweli ndio tabia zao hao.Uchunguzi wa nini wakati washamkamata fyekelea mbali haoo wapo wengi na pia mwanafunzi wanaowataka wahadhiri nao fyekelea mbaliiiii pia
Mungu tusaidie maana hii Hali inatishaa
hahahaahhaahaha UDOM oyeeeeeeeeee.........shenz fyekelea mbaliiiii...naomba no za takukulu
079862856
Good performance
Najivunia chuo changu Muslim university of Morogoro, Hakuna Biashara ya sampuli hiyo, Kuna uadilifu wa hali ya juu kwa sababu wahadhiri wengi Wana khofu ya Allah na ni chuo pekee ambacho dada yako, mama yako, mke wako na hata shangazi yako anaweza kusoma kwa uhuru bila manyanyaso ya kijinsia au ya kidini na Taaluma ni chuo namba 1 Tanzania kwa sababu kila mwanachuo huvuna alichokipanda na hili hupelekea wanachuo wengi kuwa na jitihada za kimasomo kwani Hakuna upendeleo.... MUM ni ufumbuzi pekee wa matatizo kama hayo.
Abu utheymiin Mmh, mengine hukuyajua tu lakini usiombe usikie.....wengine machoni kama watu. Mtu unayemwamini kabisa unamchukulia kama kaka na mawaidha meengi anakupa mwisho wa cku tukiwa mwaka wa mwisho aligeuka kabisa na ana familia. Na hakuwa na lengo la kuoa useme Sunna anaongeza mke naye alikuwa kama hao wengine tu. Na mpaka bado mtu unaolewa bado anazidi kukufuatilia. Sijui wahadhiri wana pepo gani?
Du hAtari sana kwa wanafunzi kuna sababu ya kupata digri kwaajili ya ngono kuliko kusoma kama ni hivi je, kwa wasio kamatwa
Hahahaha eti mwalim.anatoa taarfa mwanafunz kumtaka ...hyo sijui kama.itatokea itabd iwekwe kwenye gines record ikitokea
milimo mashini 😁😁😁😁😁😁😁😁😁
😂😂😂😂
Hawa jamaa wapumbavu saaaaana..... Akikutongoza ukakataa anamuomba Rafk ake ( Lecturer ) akukamate kwenye somo lake ili usigundue... Wakiona umehangaika na Surp sana ndo wanakuachia. Fuck u all wenye tabia hizi. Mwalim Nyerere Memorial kuna huo upumbavu.
Fuck them for sure.he is really fucked atapata taabu
Hamo
I
Hawa jamaa ni mbuzi sana ma lecture wengi wana jifanya ni waungu watu mbwa hawa
Junior toa taarifa mamlaka zizohusika.
Nini maana ya Rushwa ya Ngono?
Mm ni mwanachuo lakn nawamaind sana malectulerz...kumamaeeee wanatufanyia makusud kutufelisha kisa wasichana asee
Kanisa liwe makini hawa wanaoiniuka Leo kuwa Mungu yupo kwao na watu wanamwamini mno
Kama TAKUKURU walichelewa bila shaka ticha walikuta katupiamo ata kimoja😂😂😂😂
Huyo mwanafunzi namuonea huruma labda ahame chuo.
Kabisa yani maana mwalimu anaweza tumia mwalimu wengne wa masomo anayosoma wawe wanampa sup na carry solution ni kuhama chuo tu
Ila ana kifua Cha takukuru, akifelishwa anaweza kwenda mbali kuomba hata walimu wa nje wamsahihishe upya. Labda Kama kilaza ila kama ana akili asiogope kabisa, sheria itamlinda
Umesema kweli aisee atapingwa carry mpk achanganyikiwe
I hope huyo mwenzetu yupo salama, atatoka tu
sasa ulitaka atoe mzigo na ww kiaz sanaa
Wasomeeee.....
Ilooo ndo kubwaaaa, wanaonaniliwa wengi ni Vilaza..
Good Job.
Mmmm , pole sana dadangu degree utaiskia maskioni
Million 5 Sasa si anatoa tuu....na maisha ya Huyu dada yatakuwaje baada ya hilo deslavada.
je? mnahakikishaje usalama wa huyo mwanafunzi?
Takukuru Zanzibar inafanya kazi gani yaan Rushwa kibao
Maafari ya kumi chuo kikuu dodoma
Kwa elimu ya bongo huyo mwanafunzi atapata tabu sana!!
Its my hope that Section 31 of PCCB Act shall apply respectively to find an accused guility for an offence he did
No big issue there,jambo la kawaida tu
Icho wanacho fanya hakifai maana ni ukiukaji Wa sheria kabisa tunaomba muendeleee kufanya KAZI nzuli ya kuwakamata
Kwani mlidhani kuna taaluma gani hapo UDOM
Duh apo ni shedaaa lkn haya mambo yapo sana..
Mh.Inzi kaingia kwenye konyagi
Hugo binti ni mshamba sana na huyo mhadhiri inaonekana naye mshamba kama alimkataa ilibidnaachane nayee
kakamateni rushwa huko Steglers Gorge acheni hao Malaya wajiuze Ukimwi unatosha kuwahukumu
Hao waalim wa chuo niwanaya Sana
pia kuna wahadhiri wengine wanaomba rushwa ya fedha usipotoa wafelishwa ama akiona vipi anamwambia RAFIKI YAKE akuflishe
mimi nashauri kuwa wote wahojiwe kwelikweli yaan mwalimu na mwanafunzi. maana mwanafunzi naye ni mtu mzima. Inawezekana walikuwa wapenzi wa muda mrefu kwa maridhiano tu, sasa ikatokea huyo mwalimu kapata mwingine mzuri zaidi, hivyo huyo mdada anaamua kutafuta njia ya kumkamatatisha ili kumkomoa mwalimu. kwa hiyo jambo hilo litazamwe kwa sura mbili tofauti badala ya kufocus kila kitu kuwa mwalimu ana madhambi. Lakini pia wadada wengi wanapenda miteremko ya kufaulu linapokuja suala la mitihani. wengine wakishakamatwa wanaanza kujilengesha kwa walimu ili wafanye nao ngono na wawapasishe supplementary. Tabia hiyo siyo nzuri jamani. someni kwa bidii.
mademu udom hawasomi wanapenda ngono
acha upuuzi we kaka, kutosoma hyo vepe? unaongea ucyoyajua mfyuuuuu! ungejua watu wanavyokesha usingesema! na ingekuwa hvo cdhani Ka hyo Dada angefanya hvo
ushafirwaaaa ndo maana unajbu kunyaaaa
Ila hapo cjui lakini siasa na chuki zimekuwa nyingi inawezekana kweli au nifitina tuu wanawake achana nao wanaweza wakakufunga bila kosa hakuna mtu mzuri kama mwanamke na hakuna mtu mbaya pia kama mwanamke
Rachel Paul upo makin dada
je ikiwa huyo mwanafunzi ni mpenzi wake huyo mwaliu , na alifanya hivyo kwa wivu wa mapenzi,
Wasiishie tu ap jamani kamata pumbavu wakufunzi wore wahasiwe ndg zangu
Huyo mwanafunzi hajaanza kuwa na huyo mwalimu mhadhiri wa hicho chuo nikwamba walikuwa wapenzi WA mda walipozinguana ndipo akaamua kumwendea takukukuru kwani chuon wanasoma watoto si watu wazima hao anauwezo wakusema hapana au kwanjia hii wasichana watasingizia watu kesi kama hizo kwa mfano bint amekuita room yake kumbe amekuwekea mtego utadhalimika hata wewe watakukuru wanaweza kukutega
Nachukia sana watu wanaofanya michezo michezo na elimu.HUYO sasa ukute kajaziwa jaziwa alama MF.ni daktari anakuja kukutibu km sio kutuua sheria ni msemeno ainywe sasa.
Apo mzazi anaingia garama ya uamisho na atakakoamia waalimu wanatajiami sana
Huko Kwanzaa bora kwakuwa huyo mwanfz mwenyewe nimtu mzima sasa umo mchezo umekithir sekondari zote tz hasa hasa za serikal
Udom mnatuangusha sana kila siku nyie alafu ukiwakuta wahadhiri wanajikuta kumbe ethics hawana poor you
Hapo mwanafunzi amejipalia makaa huyo mwalimu anaezatumia walimu wenzake wawe wanampa sup na carry Huyo mwanafunzi solution ahame chuo tuu
Chris Tesha bado haitoshi Mr 2
Chris Tesha
kama mlimkuta muhadhili kitandani na huyo mwanafunzi sasa mnataka ushaidi gani?
Nicje nikahukumu b4 kuhukumiwa maana dunia imevaa bikini saizi hivi kwani angekataa tuu afanye mitihani yake na pia Mm ningekuwa takukuru ningemchunguza na huyo mwanamke
Hayo yapo ata chuo chuo kikuu ubungo lushwa km zote zipo pale
Wangemung'oa Mapumbu maana dada zetu wanakuwa hawana amani wanapofika huko wengine wanatunza bikira zao
Wakimaliza masomo wawapatie zawadi wapenz wa ndoa badala yake yanajitokeza majangiri yanazibomoa
Yanabaki makombo
Apewe miaka 30 jela ili akapige nyeto ya kutosha
Bado duce
jmn hamna duce
Ah ah nilikuwa najiuliza eti kwa nini wale wanaobakwaga huwa hawapigi kelele mpaka mwisho, yaani nahisi tu kwa mbaaaali kuna wakati wanatoa ushirikiano mpaka mwisho then baadae ndo wanaenda kwenye vyombo vya sheria ah ah ah. Nadhani huwa wanachukua ushahidi maana ukipimwa unakuta DNA yako. Jamani waalimu mnatia aibu mjue aisee
Mnamuandama sana na nyie utadhani hamna dhambi
Allen Gifford umeona ee, asurubiwe zimekuwa nyingi! Ishu km inaweza kumkuta kila mwanaume, watoto wanavutia.
Ni michezo ya kawaida vyuoni hasa kwa wanafunzi wasiotaka kujituma! Ila huyo binti ndoto Zake zitaishia hapo kwani walimu wana ushirikiano, huyo atadisco tu.
Hapo kuna mawili Ina wezekana huyu mwanafunzi alishamkubali mwl! Na akamlia vyake muda Yaani kila kitu kilishafanyika ila tu watakuwa walipishana kauli! Kuna vitu alimuahidi labda hakutekeleza sasa. Ndo akaamua amuharibie maana wanawake sio watu wazuri sometime
Kuombana na kunyimana ni kawaida, lecturer alikosea kuleta swala la mapenzi kwenye kazi. Angeomba yeye kama yeye sio kupitia swala la kusaidiana kwenye masomo. Hakuna mtu asiye na matamanio ya kingono na yeye ni binadamu jamani
mmmmh mwanafunz atapat tabu sanaaaaa
Sasa watafeli sana maana masomo.ya chi.kikuu si mchezo
Hapo ushahid kukamilika mahakamani ndio mziki
Eladius Peter huko ni Pesa itatembea ,mzunguko utakuwa Mkubwa mpaka MTU akate tamaa,huko haki kuipata asiye Na Pesa ni Kazi ,vifunguvitatafutwa kumlinda mwenye Pesa
Utaambiwa kifungu kinasema hivi hata cha uvunguni,Pesa mbele
Nakumbuka tulivyokuw tunahaso na msuli huku videm vikila bata tuuu lakin mwishon GPA -4 nyingi za ktoshaa Nouma sana!! Naaa am sure huyo Dada atapata tabuu San na sidhan kama atamaliza chuo UDOM navyoijua Nouma wahadhiri wana ushirikiano sana atapotezwa soon, atapata tabu duu shida sana Haaaaa pole sister umeshajichangany!! JIBEBE na kama ilikuw sup basi Discontinued itakuhusu!!
kudisco na magonjwa kipi bora? huyu kafanya uamuzi sahihi kabisaaaaa
baadhi ya wanafunzi wajitongozesha wenyewe kwa walimu
Ninavyo mfahamu RAIS MAGU hawezi lifumbia macho so malecture mjipange hawaachi
Tz mnakera sana maana uchunguz wanini Tena wakat mshamkuta?
Larick Mtui yani tz kmeo
Inabidi smartness sana ili ugundue jinai sio kazi rahis hvo
Huyu dada ajiandae kudisco na especially km anajua uwezo wake mdogo, mambo mengine ni madogo madogo si mpk useme km mtoto mdogo unakuta anambania ticha afu anampa mhuni mwingine bure bure tu! Mpk hpo ashacarry kwanza hiyo kozi!
Acha upumbavu tumia uwezo kucomment hujui maradhi n kiasi gani wanayapata huko
Naona huna hofu ya MUNGU ndani yako, MUNGU akuponye tuu ndugu.
Yaani ninyi pccb mnashangaza sana, tena kama ningekuwa na mamlaka, ningewatimua kazi ninyi wote, Rushwa imekithiri tena ya waziwazi kwenye miradi mikubwa hamfuatilii,
Huyo mdada huenda hajalipwa mafao yake yakutosha, kaja kuripoti kwenu, mnajitokeza. Shwaini kabisa
Wewe ni mjinga sana, aliyelalamika ameona umuhimu wa jambo wewe unawatukana Pccb kwa nini? Ni wajibu wao Pccb hoyeee
Msimuonee yeye pekee ake. Wanafunzi wenyewe ndio chanzo. Mavazi yao natamaa zao ndio vinawaponza. Toeni elimu kwa wanafunzi namna yakuvaa kujisitili maungo yao.
unataka wavae majuba au?
"Hata chuoni kwetu wapo wengi kama hao".
Duh
Hapo kwenye uchunguzi watuhumiwa, watabebana, watakataa kuwa cyo mapenzi bali walikuwa wakifundishana! kesi ndipo inapoanzia kuyumba!
Ni noma
Kwa maoni yangu naomba wnafunzi wasivae nguo ambazo zinaonyesha maungo yao hao hao mnategemea wake wawe mawaziri au madaktari maprof
na wanaukimw balaa cbe na pajua vizur
Michezo hiyo nitatizo kubwa vyuoni ndo mana wahitimu wengi wanamaliza wakiwa hawana kitu kichwani tunashukuru serilikali awamu hii wameliona hili natunaomba wapitie vyuo vikuu vyote
Anatakiwa atolewe mfano hyu maana washazoea
jamaa anajskia hapo lzm apandshwe cheo!!!!
Marupu rupu hayo
Bado cbe napo nendeni
Daah cbe ndio usipime hasa main campus dsm ni noma pale
NitNotawai CBE. Dadeq
Huyo mwanafunz akimaliza salama chuo.sijuii ma lecturer washamuwekea bifu.yan sap kama zote
Hamna cha uchunguz wekeni ndani
Sukuma ndani
Huu ni upuuz Mtupu na huyu binti aliemfanyia mwl wake hivi hatofika popote na chuo hatomaliza. Hivi anadhan kumaliza bachelor ni mchezo kuna changamoto sana
atajikuta nje ya mstari tu .....ha ha ha ha ha ha ha ha hii ndio bongo ,yule kijana aliyemsaidia mwakyembe kukamata unga wakamuulize mwakyembe yupo wapi yule kijana.
Justine Mico mwanafunzi yuko sahh sana kama mwanao afanyiwe hivoo au dada yakoo utajiskiajeee
Ukitaka kufuta izo mambo labda Mitihan iende necta laah sivyo mapnz ni kawaida tu na yapo kila sehem tokea shule ya msingi na inaendelea hivyo mpaka kweny kutafta kazi maoficin Sasa sijui utashtak wangp mpka ufanikiwe
Unakuta anambania ticha anayemtengenezea future afy anampa mhuni mwingine bure bure tu, atapata tabu sana huyu
Kwa hiyo ww unaona huyo teacher kafanya vizuri au ww huna mtoto nn? Nadhani na ww ni malaya mpuuzi chuo atasoma na wala usimtishe na kusoma hajasomea ngono acha upuuzi
Ingia hapa umuone mwanafunzi huyu akielezea ilivyokuwa
ruclips.net/video/ZN-3poi0kZs/видео.html