kusoma mpk form 4, form 6, au hata chuo haimaanishi unajiandaa kuajiriwa, japo ndio mentality ya wengi....nafikiri ukichanganya elimu yako hata kama ni level yoyote ile na kile unachoweza kufanya apart from elimu ya darasani...inakupa kufanikisha unachokitaka kwenye maisha, tumezaliwa na uwezo binafsi(vipawa) ambavyo wakati mwingine vinaweza kukupa kufanikiwa nje ya elimu tunayoikuta duniani...shida kubwa ni uoga wa kuvitumia vile vitu ambavyo tunaweza kuvifanya nje ya vyeti....Hongera brother umethubutu
watu wana itikadi mbaya ... kusoma si lazima kuajiriwa elimu yake ndo inayomuajiri mtu ... jamaaa nimemkubali ana degree nina uhakika atafanya vitu kwa uwezo wa elimu yake
Huyu jamaa ni genius sana🙌🙌🙌

Ismail moshi, M'a classmate, hongera sana
Nimekuelewa kijana, ,kazi nzuri ni kujiajiri
Magamba ya vyeti kama mauwa hongera kaka wenzio wanaona inshu kujitoa kimasomaso.. piga kazi mpk kieleweke
Pamoja sana bro endelea kupambana kuliko kusubiria ajira
Saf brother Piga kazi one yes .
Big up bro
Hongera sana kaka kwa ubunifu wako huo
Safi Sana pot!!
Maisha yamebadilika ubunifu ndio ajira
Safiiii
watu wana itikadi mbaya ... kusoma si lazima kuajiriwa elimu yake ndo inayomuajiri mtu ... jamaaa nimemkubali ana degree nina uhakika atafanya vitu kwa uwezo wa elimu yake
Mimi enyew nimesoma ila kazi Sina #Electrical Engineer holder
Lakini pia wanavopewa mikopo. Wapewe na wazo la biashara sio pesa tu
Kipindi tutaona mengi kwakwel
Piga kaz bro...
Hahahha tazama makonda alichokusemaruclips.net/video/woma86iq0VE/видео.html