Medical laboratory ni lazima usiwe na F ya Physics, chemistry na biology ,hiyo no mizizi mathematics kuna vyuo vingine havizingatii sana..kwa waliotoka advance wanaoweza kuchukua medical laboratory ni wenye PCB.labda pharmacy angalau sifa zao ni chemistry na biology zaidi ,mengine hawazingatii kwa colleges,ila nayo saiv PCB kwa waliotoka advance ... Kwaio nimkosoe kidogo alietuelezea listi ya kozi
Course ya nursing inahitaji ufaulu gan kwa sababu sijachukua physic na nimemaliza kidato Cha nne 2023 ufaulu wangu ni mathematics Nina D chem C biology C George c
Katka afya unaweza chukua pharmacy tu ndo haihitaji phy, na pia nakushauri kama ni pharmacy fanya uamuz mapema ukasome mana nayo pia inajadiliwa siku za mbele itahitajika sifa ya ufaulu katik phy.
Sorry brother,mi ap mna C ya box,C ya chemistry,geog mna D,physical ckubahtka kusoma but also mathe mna F,na nilpendlea nisome PHARMACY hiv apo ikoje brother for your advice????
Mimi ni mwanafunzi nimemaliza 2023 Nina biology c, chemistry c , mathematics c geography d lakin sikubaatika kusoma physics siwez nikasoma course yeyot
Habary min nime maliza kidato Cha 4 mwaka 2023 Nina physics d, chemistry d na biology c nilikuwa naomba kuuliza naweza nikasoma coz ya medical laboratory
Mbona chanel yko inadangany watu?? Kwan ww unajihusisha na nini, upo katk afya? Au unaongea tu? Cozi zenye kuhitajika zaid katk TZ na zenye ajira ni kama ifuatavyo 1. NURSING 2.MEDICAL DOCTOR 3.LABORATORY TECHNICIAN 4.RADIOLOGY 5.PHARMACY. Jaribu kufatilia kabla hujatoa maelekezo yako yatakayokuja kuwafanya watoto wa watu na wazazi wao wajute, Pia fatilia katik nafad za ajira zikitangazwa ni fani gani inakua na idafi kubwa inayohitajika.
Samahan nimemalza kidato cha nne 2023 nina physics c, chemistry c na biology d nataka kusoma doctor of dental surgery (DDS), je naweza kusoma au ufaulu wangu haurusu
Kiufup ni hivi, medical doctor ni mtu aliyesoma degree ya udaktari, so unaweza soma hadi A level ndo ukaenda kuchukua MD chuo kikuku miak mitano, but usipoenda A Level badi unaweza enda collage ukasoma coz ya utabib yani Clinical officer CO miaka mitatu, ukimaliza ukafaulu ndo unaenda chuo kikuu kusoma hyo MD miaka mitano pia.
Mimi nimemalz kidat cha nne nimepat physics D chemistry C na biology C je nawez kusomea medical doctor
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂we una utani form four medical doctor ya nn
Labda clinical medicine kpnz
Labda clinical medicine kpnz
Mtu anayetaka kusoma nursing awe na ufaulu gan?
Nina F ya physics D ya chemistry na cC biology unaweza kusoma cozi gani kati ya hizi ushauri naomba
Omba pharmacy
Kozi ya pharmacy ni lazma uwe umesoma physics ?,kwa diploma
Kwa Colleges uwe na physics, chemistry,biology, na mathe.kwaliotoka advance uwe na PCB
Medical laboratory sciences inahitaji ufaulu gani?
Naomba ushauli physics f biology c chemistry d naweza kujiunga na cours gani kati ya hizo tano
Kama una C chemistry,C geography na D biology afu pia una D basic mathematics kozi ya kusomea?
Samahan uncle, mimi nmemalza kidato cha nne mwaka 2023 nmepata physics D,chemistry C,na biology C,je ni coz gan ya afya inaweza nifaa?
Je naweza somea clinical medicine kwa ufaulu wa chemistry C,physcisD na biology C?
Ufaulu wa pharmacy ni upi ❤
Masom yot matatu upat kuanzia D
Broo samahan ukipata ufaulu wa chemistry C, biology D , physics D unaweza ukasoma kozi gn ya afya
Je kama una combination ya CBG unaweza ku apply medical laboratory.
Samhani broo mm nimesoma cbm combination ss je naweza kusomea kozi gn mzuri nilikuwa natk pharmacy ila kwa vigezo vya tcu sipati
Nikiwa na ccc ya chemistry, biology na geography naweza kusoma coz ya nursing?
Thanks a lot
Kaka me nimepata D ya physics c ya biology na c ya chemistry je nawez kuchukua course gan
Yoyote utakayo unaweza soma, ila ndo utaanzia level ya diploma
Medical laboratory ni lazima usiwe na F ya Physics, chemistry na biology ,hiyo no mizizi mathematics kuna vyuo vingine havizingatii sana..kwa waliotoka advance wanaoweza kuchukua medical laboratory ni wenye PCB.labda pharmacy angalau sifa zao ni chemistry na biology zaidi ,mengine hawazingatii kwa colleges,ila nayo saiv PCB kwa waliotoka advance ... Kwaio nimkosoe kidogo alietuelezea listi ya kozi
bro samahani na medical laboratory unahitqjik uwe naufaul gan
Course ya nursing inahitaji ufaulu gan kwa sababu sijachukua physic na nimemaliza kidato Cha nne 2023 ufaulu wangu ni mathematics Nina D chem C biology C George c
Haiwezekan labda pharmacy 😢
Katka afya unaweza chukua pharmacy tu ndo haihitaji phy, na pia nakushauri kama ni pharmacy fanya uamuz mapema ukasome mana nayo pia inajadiliwa siku za mbele itahitajika sifa ya ufaulu katik phy.
Asante kwa kutuelemisha kwa ilo.Tunaomba Kujua nivyuo gani bora ambavyotitaweza pata hizokozi
Nimepata B ya chemistry, C bi ology, na D physics je nursing inanifaa au C.O
Mimi nimemaliza kidato cha 4 nimepata phy c,chemistry A na bio A
Nataka kusomea radiography kutokana na kuwa na soko kubwa je upanishad vipi
Nna c-chemistry c-phy c-bios B-mathe ipi n coz bora kwang
Tuliomalizaaa form four jeeee
Nimekwelewa sana
Explain the requirements
Sorry brother,mi ap mna C ya box,C ya chemistry,geog mna D,physical ckubahtka kusoma but also mathe mna F,na nilpendlea nisome PHARMACY hiv apo ikoje brother for your advice????
Ni nzuri sana.
Ahsante sana
Vipi coz ya environmental health science ipo je kwenye masuala ya ajira?
je medical laboratory kuja kuisoma unatakiwa uwe umefauru masomo gani
Mim nimemaliza 4m4 2023 phy D, Chem B, biology C, math D je naweza kusoma. Coz ya DDS, au nursing ila. napenda kusoma pharmacy je nifanyaje?
Nenda advance
Kwnn
au unapenda chuo
Natak niende chuo sas
Sawa Dada Rita
Mimi ni mwanafunzi nimemaliza 2023 Nina biology c, chemistry c , mathematics c geography d lakin sikubaatika kusoma physics siwez nikasoma course yeyot
Unawez kipenz
Nimemaliza kdato cha sita kijana wangu ana Chemia c fizikia c biologia d anafaa kozi gani
mnaohitaji kusoma kozi za fyaa chuo kiko singida mjini nibest sanaa
Naomba namba nimpeleka mwanangu
Mimi nataka nisome md lakini sijapata one ya nane je naweza kusoma hiyo kozi
Vp medical laboratory or science lazma uwe na ufaulu ngani a level.
Habari na we za pata nambako nikuulize kitu kuhusu izi kozi samhn lkn
Medical laboratory inatakiwa ufaulu gan 5:37
Samahani naomba ushauri nina phy f chem B and bios B je naweza kusomea pharmacy 8:05
Naomba kujua vyuo vya ddt pamoja na radiology
ddt??? kwa radiology ni Muhimbili, Bugando na Benjamin Mkapa
Naomba kujua radiology inahitaji ufaulu gani?
Ukiwa na f ya phy unaweza kusoma md au kipi kati ya hv
Je,medical doctor ni lazima ufike kidato cha 5 &6 ?
Naomba unitajie ufauru md
tafadhal kwan ukiw na f ya physics unawez kusoma mediacal labiratory
Kama mtuu hajasoma phisics na chemistry anaweza kusomea course gan kat ya hzo
Samahani medical laboratory inahitaji ufaulu gan?
Kaka mm Nina nlsoma PCB nikapata phyC.bioC.na chemC..naweza kusoma nursing
What about pharmacy
samahan naomba unitajie chuo kinachotoa koz ya medical doctor katika ngaz ya diproma ambapo nimemaliza kidato cha nne
Radiography unaweza kujiajiri
Yeah uhakika, unanunua portable ultrasound ambayo unaweza kwenda nayo popote pale alipo mgonjwa
Habary min nime maliza kidato Cha 4 mwaka 2023 Nina physics d, chemistry d na biology c nilikuwa naomba kuuliza naweza nikasoma coz ya medical laboratory
Nahtw Franco nimemalz form 4 Nina c-biology na c-chemistry naweza soma kozi ya medical doctor
Mim nimepat Nafas ya kusomea medical laboratory kwa chuo cha decohas khs wanyam je iko pw
Mbona chanel yko inadangany watu?? Kwan ww unajihusisha na nini, upo katk afya? Au unaongea tu?
Cozi zenye kuhitajika zaid katk TZ na zenye ajira ni kama ifuatavyo
1. NURSING
2.MEDICAL DOCTOR
3.LABORATORY TECHNICIAN
4.RADIOLOGY
5.PHARMACY.
Jaribu kufatilia kabla hujatoa maelekezo yako yatakayokuja kuwafanya watoto wa watu na wazazi wao wajute,
Pia fatilia katik nafad za ajira zikitangazwa ni fani gani inakua na idafi kubwa inayohitajika.
Samahan nimemalza kidato cha nne 2023 nina physics c, chemistry c na biology d nataka kusoma doctor of dental surgery (DDS), je naweza kusoma au ufaulu wangu haurusu
Unaruhusu
PhysicsD chemistryD na biology E anaweza kusomea nn kwenye afya
M na chem b. Bio b. Phy. D na math ndio f je apo naweza kusoma course gan izo n marks za fom 4
Samahan nimemaliza meals 2023 kidatocha nne physics d, Chem,d bios d maybe, c
Phy C, chem B and bio B je na weza kusoma medical doctor
Nina f ya physics d ya chemistry d ya biology ninaweza kusoma course gan kati ya hizo
Naitwa Rozi antony nimaliza cha nne mahitaji kujiunga na kozi ya medicine naomba kujua Ada ni ngapi
Kaka samahan naomba namba yako kuna mamb natak kuulz kwa undan kuhus vyuo na hiz course
Kaka PCM anaweza soma Radiography
laboratory science unatakiwa ufauru soma gan
Just tell us the grades na vyuo vinavyotoa kozi hizoo
Ivi clinical medicine in course nzur?
ni nzuri sana pia shda competition kwa mtaa
Sifa za kujiunga na medical doctor
Ety Kama nimehitimu form 4 mwaka 2014 na nmefaulu kwa GPA1.4 yaani physics c biology c na chemistry c nafaa kusoma kozi gani ya afya
Nursing kikawaida inahitaji niwe na ufaulu gan et?
Kwa level ipi? Diploma au degree?
Unyama
Radiography inahitaji pass zipi kwa mwanafunzi wa advanced level?
Kwa Muhimbili wanahitaji C ya chem na kwa bugando wanataka D ya chem ili kuchukua batch
Je ninabidii nifaulu vp advance nasoma cbg iliniweze kusoma nursing au orography
Samahani naweza pata namba yako ili nikupigie nikuulize zaidi kuhusu hizi coz
Mm nilimaliza form four 2014
Naweza apply now?
Yes unaweza apply dear
Mimi nataka kusomea nursing je organic chemistry ipo??
Ipi ni kozi bora kati ya kozi ya pharmacy na nursing
Pharmacy
kozi zote ni nzuri. inategemeana tu na malengo ya mtu husika but nadhan kwa pharmacy ukiwa na cheti safi pamoja na leseni safi soko lipo wazi
Kunaitajika ufaulu gani katika kozi hizo za sayansi?
Atleast 1/9 kuna baadhi ya kozi apo unaweza kuzisoma kwenye vyuo vizuri
Nahiyo course ya radiogr inahitaji ufaulu upi
Nina D physics D chemistry na C Biology koz IP nitachomoka kirahis nasubiria majib ya udahili
Kwahy kwa waliomalza form4 kuwaj
Kwa waliomaliza form four, inategemeana na ufaulu wako pia maana kila course ina ufaulu wake
Ukisoma diploma ya nursing hawatoi mkopo
Diploma zote hawatoi mkopo skuhz, lbda zamani ila sahz hapana ndgu yangu
nina c ya chemistry na c ya biology naweza kusoma nursing physcs sijasoma
Vyuo gani bora bro
Kwa kozi gani?
Medical doctor unatakiwa kuwa na ufaulu wa ngp?
Kiufup ni hivi, medical doctor ni mtu aliyesoma degree ya udaktari, so unaweza soma hadi A level ndo ukaenda kuchukua MD chuo kikuku miak mitano, but usipoenda A Level badi unaweza enda collage ukasoma coz ya utabib yani Clinical officer CO miaka mitatu, ukimaliza ukafaulu ndo unaenda chuo kikuu kusoma hyo MD miaka mitano pia.
Mm nimesoma cbg nimpata c flat naweza kupata coz gan nzuri ya sayansi
@@Martha-u7w hongera kwa one yako
Naomba no Yako kwa ushuli wa haraka
😮ukiwa na D ya phisics na D ya chemistri Na D ya biology huendi famacia
Unaenda
Yaan medical doctor ukiwa na C C pamoj na D ya physics hauendi MD
Na Kwa mimi niliepata chem B bios ç na geo ç naweza enda koz gan ya afya kwa ngaz ya diploma
Samahan physics nna D biology C na chemistry
B nna kizi vigezo vya medical doctor
Kwani ukimaliza form four alafu ujaenda chuo kwani ni vibaya
Hebu lisome upya swali lako kaka af uulize tena
Aslm lykum nataka kujiunga na coz ya mionzi je natakiwa niwe na ufaulu gan na vyuo vyake vinapatikana wapi?
Je kama ni chem B, bios C, phy F na math c he nawez kusomea medical doctor au kozi ipi itanifaa
Hapo Bila physics hakuna course yeyote ya Afya utasoma
kwa ufaulu wa physics ulioupata nahisi haiwezekani kupata hyo course
Vyuo vya hizi course tafadhali
Je unaweza kusoma medical doctor ukitokea kidato Cha nne?
Aslm alykm mim nauliza iyo coz ya miyonz wanataka ufaulu upi
Uwe Umesoma physics kwanza kwenye masomo yako cz wanaconsider sana somo Hilo,kma hujasoma physics ni ngumu kukubaliwa
Napenda kuuliza ni ufaulu upi unaniwezesha kusoma MD?
Nataman kuwa md, ila nmemalza form4
Katika mason yangu nina D ktk masomo tote ya sayansi he? Kozi gani inanifaa?
nusring, radiology nk ila competition ikiwa kubwa huwa wanachukua wenye sifa kukuzidi hata kama wote mnasifa za kupata nafasi
Napata ajira mim mtu wa phamacy
Vip kuhusu. Clinical officer?
Ufaulu ap kwenye MD ni upi bro na mda wa masomo