TANGU UWAPOKEE BROILER HADI KUUZA UTALISHA HIVI☝️☝️☝️

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 фев 2025
  • Ukiwalisha wakashiba sawasawa hupati shida sokoni.

Комментарии • 76

  • @rebecachristian5207
    @rebecachristian5207 11 месяцев назад

    Nimependa unavyomshirikisha Mungu kwenye kazi yako barikiwa sana. Amina❤❤❤

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255  11 месяцев назад

      🙏🙏🙏Ubarikiwe na wewe♥️♥️

  • @HopenessNjau-z3r
    @HopenessNjau-z3r 3 месяца назад

    Amina mama mchungaji
    Asanteh sana kwa elimu madam

  • @margaretnyambu9646
    @margaretnyambu9646 6 месяцев назад

    Asante sana kwa mafundisho ,,,ila nimefuatiliya hadi mwisho sijajuwa ni kku wangapi umeongelleya

  • @SemeniSimai
    @SemeniSimai 6 месяцев назад

    Asante kwa kunifungua ability

  • @SemeniSimai
    @SemeniSimai 6 месяцев назад

    Tunafurahi kwa kutujuza❤❤❤

  • @mekitridiskambanga
    @mekitridiskambanga 6 месяцев назад

    Asante sana kwa kutufundisha Hila nauliza hivi wanakaa kwenye bluder kwa muda Gani?

  • @RaphaelMahuve-fm6qg
    @RaphaelMahuve-fm6qg 8 месяцев назад

    Nashukuru sana na mfuko unauzwa bei gani

  • @waltermairo6258
    @waltermairo6258 11 месяцев назад

    Hii ni Habari njema sana
    Mungu akubariki

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255  11 месяцев назад

      🙏🙏🙏♥️♥️♥️

  • @RehemaMaganga-ns8pg
    @RehemaMaganga-ns8pg 11 месяцев назад

    Naunatumia chakula gan

  • @HadiaSimai
    @HadiaSimai 5 месяцев назад

    Asante Kwa somo

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255  5 месяцев назад

      @@HadiaSimai ❤❤🙏🙏

  • @AGALUSTV
    @AGALUSTV Год назад +1

    Thank you so much ❤

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255  Год назад

      I appriciate Sir. ♥️♥️👏👏

  • @AllyMchonjo
    @AllyMchonjo 5 месяцев назад +1

    Mmh nimekuelewa sana dada akee

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255  5 месяцев назад

      @@AllyMchonjo 🙏🙏🙏🥰🥰

  • @AMINAMZIMLE
    @AMINAMZIMLE 11 месяцев назад

    Mungu akubariki sana

  • @Bromo844
    @Bromo844 5 месяцев назад

    Asante Sana Dada vp kuhusu dawa?

  • @ConsalvaMumbara
    @ConsalvaMumbara 7 месяцев назад

    Mbozi ni elfu kumi😊

  • @oriethkimaro333
    @oriethkimaro333 10 месяцев назад +1

    Nimefurahi kusikia somo nilikuwa naenda kinyume asante kwa kunfungua akili

  • @johnmgonja-iy8tl
    @johnmgonja-iy8tl 11 месяцев назад

    Asante kwa elimu nzuri. Je,unawalisha chakula aina gani,mash au pilet mwanzo mwisho?

  • @AgnesMasanja-h9p
    @AgnesMasanja-h9p 11 месяцев назад

    Huo mfuko una kg ngap na nibei gan?

  • @HawaMwalimumtutu
    @HawaMwalimumtutu 3 месяца назад

    Unauza wakiwa na wiki ngapi?

  • @emasilagomi2629
    @emasilagomi2629 Год назад

    Asante sana kadala..una jua kuelekez vema.
    Naomba niulize ukiwa unatka kuanza na kuku200.je vifaranga wazuri wanapatikana wapi

  • @RehemaMaganga-ns8pg
    @RehemaMaganga-ns8pg 11 месяцев назад

    Upo mkoa gan

  • @JohnMagesse
    @JohnMagesse 27 дней назад

    Maadam ninakupata kwa umakini,some linaeleweka

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255  27 дней назад

      @@JohnMagesse 🥰🥰🥰🙏🙏🙏

  • @violetamuhaya1122
    @violetamuhaya1122 Год назад

    Wana kilo ngapi?

  • @henrykibodya1207
    @henrykibodya1207 Год назад

    Elfu 9000 unauza wapi au unachinja mwenyewe na uko mkoa gani? Siamini motivation za uongo

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255  Год назад

      Mjinga weee nikudanganye wewe unisaidie nini? Njoo uone Thomas faith. Nauza 10000 na sichinji take it from me if like.

  • @ericksimon3899
    @ericksimon3899 Месяц назад

    Huo ni uingo mkubwa, au unaongelea mfuko mifuko ya tsh 3 ya magufuli? Maana mfuko mmoja ni 86,000 × 5 😢 na bei yakifaranga je? Faida inakuaje hapo acha uzushi.

    • @emmanuelmahenge02
      @emmanuelmahenge02 24 дня назад

      Bei imepanda mwaka huu

    • @ericksimon3899
      @ericksimon3899 24 дня назад

      @emmanuelmahenge02 toka mwaka jana chakula kilikuwa juu kuazia 80 had saiv 89

  • @joelbenson5443
    @joelbenson5443 Год назад +3

    10000 kwa kuku? Sijui huko uliko ila dsm ni 6500 @1

    • @Zena-jh9qv
      @Zena-jh9qv 5 месяцев назад

      Ujambo kuku wangu wamedumaa wana wiki ya tatu bado waridhishi nakuomba unisaidie

  • @mrsnjonjolosiwema343
    @mrsnjonjolosiwema343 Месяц назад

    Nahitaji vifaranga

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255  Месяц назад

      @@mrsnjonjolosiwema343 😁😁😁😁

  • @Bles-x1v
    @Bles-x1v 3 месяца назад

    mi natamani kuifanya biashara ya kukuza kuku lkn nashindwa niànzie wap yan sielewi na kwa kadrio la çhin naanza na shingap

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255  3 месяца назад +1

      @@Bles-x1v Anzia hapohapo hakuna kuogopa

  • @KephlenTitus
    @KephlenTitus 3 месяца назад

    Naomba namba dada

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255  3 месяца назад

      @@KephlenTitus IPO hapo juu

  • @OdoNey-k3p
    @OdoNey-k3p 11 месяцев назад

    elf kumi unauzia wapi

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255  11 месяцев назад

      Huku ninakoishi🥰🥰🥰

  • @Lynnalice217
    @Lynnalice217 11 месяцев назад

    Mifuko 4 kwa kuku wangapi?

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255  11 месяцев назад

      Sikiliza vizuri video hadii mwisho

  • @FrancisOsward-hy8kk
    @FrancisOsward-hy8kk 5 месяцев назад

    Dada hbr kipimo Cha grows naomba tuma video ya kipimo nione

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255  5 месяцев назад

      @@FrancisOsward-hy8kk scrow down zipo huko chini 🥰🥰

  • @bennybegaseki
    @bennybegaseki Год назад

    Kwenye maji umeweka nini?

  • @antonyhomanga4527
    @antonyhomanga4527 4 месяца назад

    Mfuko wa Kilo ngapi Kg ?

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255  4 месяца назад

      @@antonyhomanga4527 Nilishaeleza

  • @AsiadaisonDaison
    @AsiadaisonDaison Месяц назад

    Dada kuku wangu hawakui nifanyaje msada afadhali

  • @chizylove9290
    @chizylove9290 Год назад +1

    Weka joto si unaona wanavyojilundika pamoja

  • @LucyMtumi
    @LucyMtumi 7 месяцев назад

    MFUKO BEI GN

  • @FroraMjengi
    @FroraMjengi 10 месяцев назад

    Sokolako unauza wap Kwa bei iyo

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255  10 месяцев назад

      Aaaa! 😁😁😁😁

  • @elizabethcharles994
    @elizabethcharles994 Год назад

    Huo mfuko unakilo ngap

  • @beatricechami1404
    @beatricechami1404 4 месяца назад

    Hawa kuku dar tunauza 6200 sasa uliniambia nilishe mifuko mitano SI itakula kwangu

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255  4 месяца назад

      @@beatricechami1404 Sinui inakuaje hapo Ila bidhaa ikiwa Bora bei unapanga wewe Hilo ndio najua

    • @Rhoda-z7b
      @Rhoda-z7b 3 месяца назад

      Dar mnauza ndege 😂😂

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255  3 месяца назад

      @@Rhoda-z7b Njiwa

  • @TussaMbilinyi
    @TussaMbilinyi 6 месяцев назад

    Yaan kuku mia @mifuko 5?wakat kuku400 mifuko 10...na bei elf6,000 mpk 5800 kwa dar,,

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255  6 месяцев назад +1

      @@TussaMbilinyi hao ni njiwa

    • @beatricechami1404
      @beatricechami1404 4 месяца назад +1

      Mifuko Kumi hapana aisee ndege hao

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255  4 месяца назад +1

      @@beatricechami1404 Kama mnauzawa wiki 3 sawa hao ni njiwa

    • @mariamzambi8625
      @mariamzambi8625 3 месяца назад

      Wewe dada muogope Mungu kuku mia nne mifuko kumi du hao sio broila

  • @nisakami5655
    @nisakami5655 Год назад

    Bei ya chakula ikoje huko kwak