EPUKA MAKOSA HAYA ILI UFANIKIWE KWENYE UFUGAJI WA KUKU(BROILER)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 янв 2025

Комментарии • 100

  • @gospelvibestv3914
    @gospelvibestv3914 2 года назад +3

    Hizi nongo ni konkiii sanaaa💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻

  • @raymondodhiambo5583
    @raymondodhiambo5583 Год назад +8

    Je naweza kuanza kufuga Kwa pesa ya mkopo?nsaidie nataman ila sna mtaji

  • @zainabusalum172
    @zainabusalum172 11 месяцев назад +4

    Naomba unisaidie ni wap wanavifaranga vizuli

  • @danielsylvester333
    @danielsylvester333 4 года назад +2

    Nakubali kaka vijana fulsa zipo safi sana

  • @marymnzava1786
    @marymnzava1786 3 года назад +6

    Nashukuru kwa mafunzo yako kaka ilaa nataman kuanza kufuga lakini naomba unisaidie nitumie hatua gan kulijua soko

    • @Hatikukutv
      @Hatikukutv  3 года назад +2

      Ucjali kuwa karibu na chaneli hii kam huja SUBSCRIBE bas fanya hivo mana kipindi kijacho kitakuwa kina zungumzia swala la namna ya kupata masoko ya kuku

  • @DanielMfalme
    @DanielMfalme Год назад

    Daniel c kaole samahan naomb kujua chakula kimpangilio kulingana na ukuaji wao thanks for

  • @DanielMfalme
    @DanielMfalme Год назад +1

    Daniel c kaole samahan naomb kujua chakula kimpangilio kulingana na ukuaji wao thanks for😅

  • @AngelWilliam-s2v
    @AngelWilliam-s2v 2 месяца назад

    Kifaranga kimoja sh ngap niko chunya

  • @walterkimbita2877
    @walterkimbita2877 Месяц назад

    Mzee baba mwisho wa masaa ya kazi ni saa ngapi

  • @dianamoshi4877
    @dianamoshi4877 3 года назад +3

    Nashukuru sana ninashauku ya kutaka kufuga kuku wa nyama ila ni mara ya kwanza sijawahi kabisa ninafuga wa kienyeji tu nataka kujifunza kwanza kabla cjaanza

    • @Hatikukutv
      @Hatikukutv  2 года назад +1

      karibu sana ndugu yangu

  • @RenathaMpili
    @RenathaMpili 2 месяца назад

    Asante kwa mafuzo mm nataka kuaza kufuga ila sina soko

  • @juliussimwinga8435
    @juliussimwinga8435 2 года назад +1

    Hongera sana kwa elimu yako.

  • @josephinendune5873
    @josephinendune5873 2 года назад +3

    Naipenda sana hii biashara

  • @bakaromar8135
    @bakaromar8135 Год назад +2

    Asante brother

  • @mamarohosafi2046
    @mamarohosafi2046 Год назад +1

    Mbaka mnasahau kupeana number😮

  • @PonsianoAllana
    @PonsianoAllana 6 месяцев назад +1

    Tunakupataje

  • @AngelWilliam-s2v
    @AngelWilliam-s2v 2 месяца назад

    Naomba nisaidie

  • @jeanbokafi
    @jeanbokafi 8 месяцев назад

    😂😢😮😅😊😢🎉 magnifiques le video

  • @AngelWilliam-s2v
    @AngelWilliam-s2v 2 месяца назад

    Naomba unifundishe

  • @DAUDIMtambo
    @DAUDIMtambo 3 месяца назад

    Namba tuwasiliane

  • @timotimo5501
    @timotimo5501 4 года назад +1

    Asante sana kwa elimu kiongoz

    • @lanesalvatore2389
      @lanesalvatore2389 3 года назад

      I know I am kinda off topic but does anyone know of a good place to stream newly released movies online ?

    • @zairejerry7310
      @zairejerry7310 3 года назад

      @Lane Salvatore Ehh I watch on Flixportal. Just google for it :P -zaire

    • @lanesalvatore2389
      @lanesalvatore2389 3 года назад

      @Zaire Jerry Thanks, I signed up and it seems to work :) I appreciate it!!

    • @zairejerry7310
      @zairejerry7310 3 года назад

      @Lane Salvatore You are welcome :D

  • @zahrakidunda5572
    @zahrakidunda5572 6 месяцев назад

    Unatumia chakula aina gan

  • @MBONEAMkanza
    @MBONEAMkanza 6 месяцев назад

    Mm mbonea napenda huu ufugaji kuku brolly nipe samba nahtji vfaranga

  • @mjukuuwakabonga2031
    @mjukuuwakabonga2031 4 года назад +2

    Ndo naanza broo nadhan ijumaa nawaingiza

  • @neemamdami7466
    @neemamdami7466 3 года назад +2

    Habari yako,unanunulia wapi nipo TANGA ila vifaranga ni changamoto kuvipata

  • @TusekelegeSamu
    @TusekelegeSamu 9 месяцев назад

    Naomba kujua kuku hao wa nyama wanaitaji mtaji wa shingapi

  • @EditrudaVictory
    @EditrudaVictory День назад

    wapi unapatikn

  • @evakamonongo8600
    @evakamonongo8600 4 года назад +2

    Asant kaka. ila naomba nisaidie no yako nachangamoto kidogo plz

  • @PaulinaGabrielDamian
    @PaulinaGabrielDamian Месяц назад

    Kama do. Unaanza. Utamshawishi. Vipi. Mnunuzi. Tafadhali. Tuambie

  • @MagrethJulias-m6f
    @MagrethJulias-m6f 4 месяца назад

    Samahani naomba kuuliza vifaranga wanawekewa joto kwa mda wa ck ngapi?

  • @PonsianoAllana
    @PonsianoAllana 6 месяцев назад

    Naitaji kujivinza natakakuanza ufugaji

  • @MaryKamendu
    @MaryKamendu 5 месяцев назад

    Nmependa mafunzo yako.je naweza kupata namba yako kwa usaidizi na mawasiliano zaidi

  • @sylviamushi927
    @sylviamushi927 2 года назад +1

    Ww unatumia chakula Gani?

  • @abdalahmtimbe5960
    @abdalahmtimbe5960 Год назад

    Hongera kaka unapatikana wapi

  • @Bromo844
    @Bromo844 4 месяца назад

    Nisaidie Aina ya vyakula na Kinga zao

  • @obadiadaniel7274
    @obadiadaniel7274 9 месяцев назад

    mkuu unapatikana wapi mimi nahitaji vifaranga nimekuelewa sana

  • @WasillaMaya
    @WasillaMaya 4 месяца назад

    Nimeenda kaka naomba no yk ya sim

  • @aishashauri669
    @aishashauri669 5 месяцев назад

    Naomba nijifunze kutoka kwako je napataje namba yako tafadhali naomba nisaidie

  • @EmmanuelKimath-du2du
    @EmmanuelKimath-du2du 7 месяцев назад

    Wewe unachukulia wapi vifaranga ndugu

  • @mishisamatha7232
    @mishisamatha7232 2 года назад +3

    Nahitaji kufuga nitapataje maelezo zaidi kutoka kwako naomba namba ya cm

  • @ZainababassJecha-cw9vb
    @ZainababassJecha-cw9vb Год назад +1

    NAOMBA no Yako nijifunze

  • @shufaamakalani6108
    @shufaamakalani6108 2 года назад +1

    Shukrani sana kaka

  • @serahsimon9399
    @serahsimon9399 3 года назад +1

    Ghai imagine nilifuga kuku wa nyama 60 imagine ziligonjeka wote wakafaa so what will I do for now

    • @Hatikukutv
      @Hatikukutv  2 года назад

      samahani kwa kuchelewa kujibu ,ujumbe wako naomba tuwasiliane 0713114871

  • @RoseSekile-gz1ud
    @RoseSekile-gz1ud Год назад +1

    Uko vizuri unapatikana wapi naomba namba zako

  • @MBONEAMkanza
    @MBONEAMkanza 6 месяцев назад

    Nipe namba ya simu nahtji vifaranga

  • @esterjacob5549
    @esterjacob5549 2 года назад

    Asante kaka chakula gani kizur kwakuku broila

  • @filipinadaud885
    @filipinadaud885 3 месяца назад

    ASANTE KWA SOMO ILA HUJATUAMBIA KAMPUNI NZURI YA KUCHUKULIA HIVO VIFARANGA PIA CHAKULA KIZURI NI KIPI NA CHA KAMPUNI GANI

  • @dorrybatenga7595
    @dorrybatenga7595 2 года назад +1

    Nataka kuanza kufuga lkn sijajua naanzaje naomba ushauri wako

    • @Hatikukutv
      @Hatikukutv  2 года назад

      karibu sana ndugu yangu ,upo mkoa gani mkuu

    • @Hatikukutv
      @Hatikukutv  2 года назад

      waweza wasiliana na sisi 0713114871

  • @Papaahansmo
    @Papaahansmo 2 года назад +1

    Unapatikana wapi bro

  • @jeanbokafi
    @jeanbokafi 8 месяцев назад

    1:10

  • @agathakamote8143
    @agathakamote8143 4 месяца назад

    Niko Tanga tafadhali naomba namba yako

  • @frollaemany6559
    @frollaemany6559 2 года назад +1

    Kaka naombana mba yaku tuwaxili ane

  • @OswardBukuku-tl2ql
    @OswardBukuku-tl2ql Год назад +1

    Naomba namba yako ya simu nataka kufuga

  • @Az__2012
    @Az__2012 Год назад

    Sasa utamshawishi vipi mtu kumuuzia kabla hujaanza kufuga hao kuku?

    • @Hatikukutv
      @Hatikukutv  Год назад +1

      uzoefu wangu kwenye biashara nikwa mba kwanza unatakiwa uwajue watejaa wako ni kina nani then ndio unze biashara ,endapo huto juwa wateja wako nikina nani itakuwa ndi mtihani,ndiomana una shangaa wengi wanaanza biashara baada ya muda mfupi wana funga ,na wana singizia biashara nguni sana hamna wateja .
      swali :
      jiulize kwann wenzako wana fanikiwa katita bishara hiyo hiyo kama yako?

  • @samsonisrael6404
    @samsonisrael6404 4 года назад

    Kaka habar samahan nakushukuru sana ila chakula gan kizuri

    • @Hatikukutv
      @Hatikukutv  2 года назад

      salama ,bilasamahani mkuu,sihitaji kumfanyia kampuni yoyote biashara,chakuku sii jaribu kutembelea wafugaji walio kuzunguka mahala ulipo na ujaribu kuwauliza nikampuniipi wakiitumia huwa inakuwa na matokeo mazuri.
      ila chakusema kutoka kwangu tumia kampuni kubwa hapa nchini chakula choa huwa nivizuri sana

  • @abdallahkilindo4461
    @abdallahkilindo4461 4 года назад +2

    Naomba namba yoko ya simu mzee ili niwasiliane nawe

  • @mgamboshaaban1162
    @mgamboshaaban1162 4 года назад

    Mimi niko zanzibar naomba wapi unanunua vifaranga pls

  • @mjukuuwakabonga2031
    @mjukuuwakabonga2031 4 года назад

    Naomb no yko niendelee kujifunza

  • @مكتومالدرعي
    @مكتومالدرعي 3 года назад

    Sante sana tupe namba zako

  • @mathamissobi7029
    @mathamissobi7029 Год назад

    Naomba namba yako

  • @frollaemany6559
    @frollaemany6559 2 года назад +1

    Nataka kufuga naitaji ushirikiano yako

    • @Hatikukutv
      @Hatikukutv  2 года назад

      karibu sana mkuu 0713114871

  • @joanchuwa8133
    @joanchuwa8133 2 года назад

    Nahitaji namba yako plz ili nipate elimu zaidi

  • @siaalex3856
    @siaalex3856 3 года назад

    Naomba number yako maana nahitaji vifaranga

  • @DanielMfalme
    @DanielMfalme Год назад

    Daniel c kaole samahan naomb kujua chakula kimpangilio kulingana na ukuaji wao thanks for

  • @DanielMfalme
    @DanielMfalme Год назад

    Daniel c kaole samahan naomb kujua chakula kimpangilio kulingana na ukuaji wao thanks for

  • @DanielMfalme
    @DanielMfalme Год назад +1

    Daniel c kaole samahan naomb kujua chakula kimpangilio kulingana na ukuaji wao thanks for

  • @DanielMfalme
    @DanielMfalme Год назад

    Daniel c kaole samahan naomb kujua chakula kimpangilio kulingana na ukuaji wao thanks for

  • @DanielMfalme
    @DanielMfalme Год назад

    Daniel c kaole samahan naomb kujua chakula kimpangilio kulingana na ukuaji wao thanks for