Ahsante sana.Mimi bwana Kuku wangu wame dumaa!sijui nawasaidiaje!wana wiki nne lkn wapo kama wana wiki 2!!sijui kama ni mbegu au ni ninii!?nimekuwa nikifuga siku nyingi lkn hawa kwakweli naomba ushauri niwafanyaje walau wafae kuuzwa hata Kwa hasara.
Chakula kwakweli nimenunua finisher ya silver land mifuko 4 nikachanganya na pumba kilo 126 na mashudu kilo 75.mchanganyiko huu nimekuwa natumia kuanzia kwenye grower lkn safari hii naona mambo yamenigomea kabisa kabisa.yaani wana wiki 4 na siku 3 lkn nikama wana wiki 2 Kwa nilivyo wazoea
Pole sana ndugu faraj, ushauri wangu usichanganye hata cku moja chakula cha broiler ili ucje pata hasara. Wape chakula Bora kwa mafanikio na ukuaji bora
Hongeza kaka kazi nzuri
sante mkuu karibu sana
Kaka upo wapi
Upo vzr kaka nimekuelewa
Ahsante sana.Mimi bwana Kuku wangu wame dumaa!sijui nawasaidiaje!wana wiki nne lkn wapo kama wana wiki 2!!sijui kama ni mbegu au ni ninii!?nimekuwa nikifuga siku nyingi lkn hawa kwakweli naomba ushauri niwafanyaje walau wafae kuuzwa hata Kwa hasara.
Habari ya kazi naomba unisaidie kuepuka mafua nifanyeje
Nashukùru sana kaka nawapataje vifaranga
Mtuma vidio asante post Nzuri I afu za na inatia moyo ila umeshindwa kujibu maswali ya watu wanaoitaji msaada wa vidio yako
Kweli kijana.
Naomba mniambie Milion moja unafuga kuku wa ngapi wapendea ,
kuku 200
@@Hatikukutv thanks 😊😊 I was guessing so .Mungu akubarik ,Yani hapo so Iko include d na ,Dawa,maji umeme ?
sana dogo lng
Naomba mniambie Milion moja unafuga kuku wa ngapi wapendea ,😅
1m una weza fuga kuku 178 mpaka unauza boss wangu
Inaitwaje antibiotic?
Amintoto unampa Muda upi
hii unawapa tangu unaingiza vifaranga hadi kuuza
Asalamu alaiku nataka kujuaa jisi ya ufungaji wa kuku aina ya saso chakula mpaka kuuza kwaoo yani harama ya chakula
Niidadi ya kuku wangapi,pia nitakujibu kwa njia ya video
Tisha
Mimi ni mdau mpya naomba namba tafadhali naishi chanika
0713114871
Kuku unao? Nahitaji kuku
Nahitaji kufuga nitakupataje mwanangu unipe maelekezo zaidi
karibu sana mama tuna patikana dar es salaam ,huwa tuna taratibu ya kutembelea wafugaji katik maeneo yamradi pamoja na elimu kwa ujumla 0713114871
nataka muniweke kwene kudi nijifuze kufuga kuku
Chakula unagwa vipi
Chakula kwakweli nimenunua finisher ya silver land mifuko 4 nikachanganya na pumba kilo 126 na mashudu kilo 75.mchanganyiko huu nimekuwa natumia kuanzia kwenye grower lkn safari hii naona mambo yamenigomea kabisa kabisa.yaani wana wiki 4 na siku 3 lkn nikama wana wiki 2 Kwa nilivyo wazoea
Pole sana ndugu faraj, ushauri wangu usichanganye hata cku moja chakula cha broiler ili ucje pata hasara.
Wape chakula Bora kwa mafanikio na ukuaji bora
Mawasiliano yako tukupigie
Mbna kama banda halifai
sawa mkuu karibu nawe utuoneshe linalo faa
😂😂😂wewe usiseme.banda halifai 😂kwani umeshaona wamekufa au 😅,Hilo banda likonpw kbs
@@Hatikukutv sawa, nawaalika. Nipo mbweni jkt nitafteni niwaoneshe, niwafundishe banda la kuku linakuwaje, na pia sakafu ya kuku inatakiwa kuwaje