Pole sana. Ukuaji hutegemea na aina ya mbegu uliyokua nayo yaani haiwi na umbo KUBWA. Kuhusu magonjwa inabidi ujitahidi kutumia mimea ya asili mara kwa mara utawatengenezea kinga nzuri . Pia lazima ufuatilie zaidi ni ugonjwa aina gani hasa unaua kuku wako . Angalia kinyesi chao rangi
Bwana Yesu Asifiwe ! Nimefarijika sana kuona kuna mwamko wa watu kurudi kwenye kutumia vifaa vya asili. Ninatamani uwezo wa wadau wengine mkaungana mkaweza kuja na vipimo pamoja na namna nzuri ya kuhifadhi kwa kutumia utaalamu ili ule ushindani wa kuwa vya kitaalamu au vya kutoka nchi za magharibi ndio vizuri. Mfano mkaweza kupata elimu kutoka kwa wanaotengeneza dawa za matibabu asilia kuweza kupata namna nzuri kuwa suluhisho rafiki.
Nafurahia Sana elimu yako Mana nimeaamua kufuga kuku wangu wa kuka😀nyumbn baada kununua kuku wa kisasa na kula na kusikia harufu za dawa tu...Ila napata mayai tu vifaranga wanakufa Ila hapa najiona ninavyoenda kusucced🙏🙏🙏🙏🙏
Nashukuru na kukupongeza kwa jitihada zako kuelimisha Jamii. Ila katika dawa hizi mbili za mwisho huja elewesha kikamilifu (11)umesema kiganja kimoja cha pilipili kichaa unachanganya na maji. Hujasema maji ni kiasi gani? (12)Vilevile Tangawizi na Kitunguu swaumu vikisha tayarishwa hujasema vichanganywe kwenye kiasi gani cha maji.
Tunashukuru Sana ndugu. Lakini Kuhusu pilpil kichaa maji lita 10 na Kuhusu kinguu ni punje 3/5kwenye Lita 5 na Kuhusu tangawizi utegemea na ukubwa w wake ila Ata nusu tangawizi kubwa inatosha kwenye Lita 5
Somo la tangawizi ni hili apa👇 ruclips.net/video/PJabASM8hUo/видео.html Kuhusu Matumizi ya vinguu saumu somo lake pia ni 👇 ruclips.net/video/2UFuBrIJA-A/видео.html Majibu yote yapo👆
Naomba kuuliza hivi ni vyema kuchanga hizo dawa zote kwa pamoja ili nizipe kuku zangu kwa pamoja?hizo dawa ambazo ni za kukunywa kwa maji,ama unafaa kunipea kwa kando kando?na swali lingine je ni vyema kuchemsha hizo dawa za mimiea ama inavaa kupeanwa sikiwa tu mbiji?
Kiukweli tiba asili mara nyingi uwa nawapaga tu hutegemea na uwingi wa kuku wako na uwezo wao wa kumaliza maji tu. Dawa inapokua nyingi kwa maji ndyo vizuri. Kwa iyo utakadilia maji kulingana na idadi ya kuku.Nimekujibu kiuzoefu si kitaalam 🙏🙏🙏Sory
Nimefurahia elimu yako ya dawa za kuku.sasa nilikuwa na swali hii mimea ninaweza kuwapa vifaranga? 2. Kuku wangu wadogo wanashusha mabawa na inafikia muda wanasinzia ni wape tiba gan ya asili?
Asante sana kwa somo hili la ufugaji wa kuku. Mungu Awabariki Sana.
Amina ndugu nawe pia iwe heri ktk kazi zako
Asante kwa mafunzo mazur nimejifunza san
Tupo pamoja ndugu
Shukrani Sana kwa SoMo naomba mungu nianze kufuga
Karibu Sana ndugu
Asante kwa SoMo zuli
Barikiwa pia
Asante Kwa elimu nzuri
Barikiwa
Asante nimejifunza meng
Barikiwa Sana ndugu
Nashukuru kwa kupata elimu ya kuku asante.
Amina ndugu Barikiwa
Asante sana
Tupo pamoja ndugu
asante kwa elimu nimefurah kujuw dawa ya asili na hususan ya tangawiz
Barikiwa pia
Somo zuri sana..niliwah kufuga lakini kuku walikua wanakufa kila siku..ila kwa somo hili natamani nianze
Karibu tena ndugu
Somo nzuri sana nimejufunza mengi ambao nilikuwa sijui
Barikiwa Sana ndugu
Asante kwa elimu bora congrats
Thnx sana
Ubarikiwe sana nimefunguka sasa nitafuga
Waaaaoooo karibu Sana ktk ufugaji
Asante kwa da rasa zuri
Pa1 sana 🤝
Niwakubwa. Wanamiaka mitatu tangunifuge. Wakianfua vifaranga. Wanakufa , wakiwa wadopia hatawakiwa wakubwa. Wanajikunja nakushusha. Mapega zikumbili. Wanakufa. Nimejitahidi. Mpakanimeshakataa tamaa. Waliobaki. Ukinisadia. Naimani. Nitakushukuru sana
Pole sana. Ukuaji hutegemea na aina ya mbegu uliyokua nayo yaani haiwi na umbo KUBWA. Kuhusu magonjwa inabidi ujitahidi kutumia mimea ya asili mara kwa mara utawatengenezea kinga nzuri . Pia lazima ufuatilie zaidi ni ugonjwa aina gani hasa unaua kuku wako . Angalia kinyesi chao rangi
Safi sana mkufunzi kwa somo nzuri ifike wakati tutengeneze vya kwetu kwa njia raisi
Hakika
Ubarikiwe kwa somo
Amina ndugu nawe pia
Asante sana kwa maelezo yako asante H
Barikiwa🙏🙏 ndugu
Andante Kwa elimu nzuri
Tupo pamoja ndugu
Tupo pamoja ndugu
Hongera sana mkufunzi nimekuelewa sana
Barikiwa pia kwa kuelewa
Asante kwa ujuzi. Na sungura wanaopata fungus wanapukutika manyoya wanaweza kutibiwaje?
Apo ni dip ya mifugo unawapulizia. Muone mtaalam w mifugo aliye karibu AU duka LA mifugo
Asante Kwa elim nzuli
Pa1 sana🤝
Good 👍 🎉🎉
Thank you 🙏🏿
Shukran sana
Karibu
Bwana Yesu Asifiwe ! Nimefarijika sana kuona kuna mwamko wa watu kurudi kwenye kutumia vifaa vya asili. Ninatamani uwezo wa wadau wengine mkaungana mkaweza kuja na vipimo pamoja na namna nzuri ya kuhifadhi kwa kutumia utaalamu ili ule ushindani wa kuwa vya kitaalamu au vya kutoka nchi za magharibi ndio vizuri. Mfano mkaweza kupata elimu kutoka kwa wanaotengeneza dawa za matibabu asilia kuweza kupata namna nzuri kuwa suluhisho rafiki.
Tunashukuru🙏🙏 Ubarikiwe🙌
Sasa tutafuga zaidi
Hakika🙏
Ok
PA 1🤝
Nafurahia Sana elimu yako
Mana nimeaamua kufuga kuku wangu wa kuka😀nyumbn baada kununua kuku wa kisasa na kula na kusikia harufu za dawa tu...Ila napata mayai tu vifaranga wanakufa
Ila hapa najiona ninavyoenda kusucced🙏🙏🙏🙏🙏
Barikiwa ndugu endelea kifuatilia masomo yetu ktk channel hii utapata faida sana
Jamani mungu akubariki sana kwa darasa nimeipenda hakika ntafanya hivyo kuku hawafi tena tunashukuru
Amina🙏
Asante kwa ujumbe
Pa 1🤝🤝🤝
Asante kwa erimu
Tupo pamoja ndugu
Ubarikiwe broo
Amina ndugu Barikiwa pia
Aminaa
🤝🙏🏿
samahan kwa kuuliza je izo kinga unawez kuwakapa zote au unachagua kinga moja
Una chagua Moja wapo Kulingana na eneo lako
Mmea upi utapata kiurahisi
Nashukuru na kukupongeza kwa jitihada zako kuelimisha Jamii. Ila katika dawa hizi mbili za mwisho huja elewesha kikamilifu (11)umesema kiganja kimoja cha pilipili kichaa unachanganya na maji. Hujasema maji ni kiasi gani? (12)Vilevile Tangawizi na Kitunguu swaumu vikisha tayarishwa hujasema vichanganywe kwenye kiasi gani cha maji.
Tunashukuru Sana ndugu. Lakini Kuhusu pilpil kichaa maji lita 10 na Kuhusu kinguu ni punje 3/5kwenye Lita 5 na Kuhusu tangawizi utegemea na ukubwa w wake ila Ata nusu tangawizi kubwa inatosha kwenye Lita 5
Very educative and informative video.
Thank you🙏
ASANTE SANA NDUGU MCHUNGAJI .UMETUOKOLEA PESA NYINGI SANA.
Pa1🤝
Nawapenda bure kwa masomo yenu mbarikiwe sana
Amina ndugu. Barikiwa pia
Somo zuri sana. Inabidi mfugaji ajitahidi kuwa na hizo mimea shambani
Yaaah ni kweli kabisa🙏🙏
Nimejifunza sana barikiwa sana
Pa1 🙏 Ubarikiwe nawe🤝
Asante kwa mafunzo
Barikwa🙌
Shukran
Karibu sana🙏
Safi sana mwalimu nimekuelewa shukran
Twashukuru🙏
Hbr? me nko sawa, napenda sana masomo yako endelea kutupa elimu ahsante.
Barikiwa Sana
Asante mnooo Kwa somo zuri.
Swali langu, hayo majani ya maembe lazima kuchemsha!? Au naweza twanga nikachanganya maji nikawapa bila kuchemsha!!!
Lazima uchemshe🙏🙏
pongezi kwa maelezo yako. naomba unieleza kwa kingereza 'kideri ni nini?
Asante bt kideri ni New castle diseases
Safi san nijambo bor
Tupo pamoja ndugu
Imenisaidia Sana hii asante
Karibu sana
Nikuwa naurze je unaweza kutwanga stata ya kuku ikawa navipunje vidodgo au airusiwii
Una maaanisha starta Ile ya dukani au
Nimekuelewa
Tupo pamoja ndugu
Nimependa sana mada hii
Barikiwa sana🙏🤝
Hii solution ni kwa moja
Hapana ndugu kila 1 utumika tofauti
Aloevera kwa upande wangu nimeitumia sana na bdo naitumia kiujumla inatibu magonjwa mengi si kwa binadamu wala kuku
Upo sahihi kabisa
Inatibu magonjwa mengi sana ukikatwa ukiweke unapona kabisa
Ndio alovera nzur dawa
Utawapa kuku wa kizungu pia
Alovera inatibu na kuku wa kisasa
Naomba kuuliza kuku wakila mabaki ya majani yakisamvu siyo vibaya
Wasile kwa wingi
John Thuranira Mbaya
OK karibu 🙏🤝
Ninaswali ninafuga kuku wa kinyeji. Naniwapa antibayotiki kwajiya magojwa. Lakiniwana kufabado. Chakula natumia leays kuwapa cipati mayai wala hawakui. Naoushauri niwape chakula gani. Niko Kenya. Nahitaji ushari wako plesi nisaidi.
Wana umri gani
Cheupe kimechanjanyikana na cheusi
@florah-jw9wk ok ndugu. Tunakupata basi zingatia ayo pia jifunze zaidi ktk kujua kuhusu chanjo na Tiba asili za kuku
Tangawizi na kitunguu swaumu nach
anganya kwa uwiano gani na maji kiasi gani na dozi ni kwa Siku ngapi?
Somo la tangawizi ni hili apa👇
ruclips.net/video/PJabASM8hUo/видео.html
Kuhusu Matumizi ya vinguu saumu somo lake pia ni 👇
ruclips.net/video/2UFuBrIJA-A/видео.html
Majibu yote yapo👆
Asante kwa elimu unaosema nitengeneze dawa Kila siku,je unaosema nimpe siku tano Hadi Saba Ni dawa hiyo hiyo au natengeneza nyingine?
Nyingine kila cku
Ahsante kwa somo zuri
🙏🙏🙏🙏
AMIMU Masudi
Nafurai kwa somo hilo
Barikiwa sana ndugu🙌🙏
Amina
Barikiwa
Je, aloe vera nikiiblend na kuwawekea kwenye maji ni sawa?
Ni Sawa na nzuri Sana
Awezana kuwapa kuku binzari manjano?
Muhimu sana binzari. Video ni hii
ruclips.net/video/cSkoCebfEcU/видео.html
Naomba no zako.
OK tutakutumia
Lin?
Wasap +255765467484
Ubarikiwe, je wakishakunywa ya mwembe hiyo umesema Mara 1 tu inakua dozi kamili,? Na je huruhusiwi kuwapa maji mengine kwa siku hiyo?
Siku 3/5
Barkiwa sana
Amina ndugu
Please make the english too
Oooh Sory next time we shall try To translate
What is kideli
New castle disease🙏🏿
NASHUKURU, KUFUATA MASHAHURI MAZURI KUHUSU UFUGAJI KUKU.
Barikiwa sana Ndugu
Barikiwa sana Ndugu
Nitajaribu nione
Karibu
Kaka samahani naomba unisaidie dawa ya vifaranga kinyesi kuganda nyuma
Kuwasidia vifaranga ebu fuatilia somo hili
ruclips.net/video/6Din7RoCjMs/видео.html
👍🏼👍🏼👍🏼
Pamoja ndugu 🙏🏿 ✍️
👍
Pa1🤝
Kinyesi sahihi kwa kuku rangi gani
Fuatilia video hii kuona angi halisi ya kinyes Cha kuku
ruclips.net/video/pOtug4vq6qo/видео.html
Kama wamepewa chanjo pia wanaweza kuitumia hii mimea?
Yaaah ni nzuri sana kwao🙏
Dr je nisipo pata pilipili kichaaa siwezi kutumia pilipili mbuzi ?
Unaweza tu aina shida japo ubora wa dawa utapungua kwani inabidi plpl iwe kali sana labda mbuz iwe ya kuiva
Je makani. ya mapapai. Ayanafaida ngani kwa kuku
Faida majani ya mpapai kwa kuku Zipo nyingi sana. Pia ni Tiba ya Minyoo. Fuatilia somo hili
ruclips.net/video/znx1TKNKkIM/видео.html
Je ugonjwa wa kusinzia kuku na kujikunyata huo ni ugonjwa gan na dawa yake ni ipi?
Bado izo dalili haziwez kujua aina za ugonjwa. Vipi kuhusu kinyesi chake, mabawa yake au manyoya yapoje?
Nawa salimu ndungu! Alafu akuna numéro kwenyé whatsapp ilitukuwe naasiliyana vizuri!? Natoka congo
Karibu🙏🙏
ahsante Kwa masomo mazuri
Barikiwa🙌
Thanks for nice video
100
Hiyo dawa ya pili pili jaijuwa ndo tulikuwa tunawapaga kuku zaman
Ok vizuri sana
Naomba.kukuuliza.je.bata.wanaweza.kutumia.hizi.daww?
Ndio anaweza
Huwez kuchanganya hizo dawa pamoja na kuwapa, kwa mfano alovera na mwembe
Haina shida
Kuku anayeharisha kinyesi cha njano ni ugonjwa gani na tiba yake
Coccidiosis ambayo haijakolea yaani hatua ya awali
Msongwe ni nzuriii sn
Pa 1 ndugu
itula kwa huku dar es salaam tutapata.wapi?
Apo ni kuagiza tu ndugu uletewe hadi mbegu zake utapewa
Big up buddy
👏🤝🆗
Asant nimejigunxa mengi
Karibu ndugu
Umri wa kuku kifaranga au wakubwa data iyo
OK noted✍️🙏🏿
Naomba kuuliza hivi ni vyema kuchanga hizo dawa zote kwa pamoja ili nizipe kuku zangu kwa pamoja?hizo dawa ambazo ni za kukunywa kwa maji,ama unafaa kunipea kwa kando kando?na swali lingine je ni vyema kuchemsha hizo dawa za mimiea ama inavaa kupeanwa sikiwa tu mbiji?
Usichanganye. Pia kila mmea Una jinsi ya kutumia kwa hiyo ni vizur kufuatilia vizuri jinsi ya kutumia mmea husika
KIPINDI NIMEKIPENDA SANA
Pa1🙏🤝
Kuku wangu yuwaharisha kinyesi cha kijani nimpe dawa gani na ana shida ya ugonjwa gani
Mpe OTC 30%
Ok shukran
🤝🤝
Ithgareene
Inoroo
Sory may you translate it in English🙏🙏
asante somo zuri, je vipimo hivyo vya dawa ni kwa kuku wangapi?
Kiukweli tiba asili mara nyingi uwa nawapaga tu hutegemea na uwingi wa kuku wako na uwezo wao wa kumaliza maji tu. Dawa inapokua nyingi kwa maji ndyo vizuri. Kwa iyo utakadilia maji kulingana na idadi ya kuku.Nimekujibu kiuzoefu si kitaalam 🙏🙏🙏Sory
Nimefurahia elimu yako ya dawa za kuku.sasa nilikuwa na swali hii mimea ninaweza kuwapa vifaranga?
2. Kuku wangu wadogo wanashusha mabawa na inafikia muda wanasinzia ni wape tiba gan ya asili?
Jifunze kulea vifaranga hapa👇ruclips.net/video/4xqTBAKBHs4/видео.html
Kuhusu vifaranga wape vitunguu saumu fuatilia somo hili👇
ruclips.net/video/2UFuBrIJA-A/видео.html
Mimi kuku wangu wanakula mayai nifanyeje mtaalam nimezidiwa sana na hili swala
Pole sana ndugu fuatilia somo hili sababu na tiba ya kuku anakula mayai
ruclips.net/video/g60lTm-IjT0/видео.html
Wachome midomo wanao kula mayai itasaidia
Oooh Sawa Sawa ndugu🙏🏿👏👏👏✍️japo TIBA ni madini na protini kuwapa
Nataka nitambue kuku wana weza kua zahidi kupitia nini
Utemea na mbegu,Afya yao na lishe bora
Tangawizi na kitunguu swaumu unaweka maji kias gani
Punje 3 /5 ktk lita 5 za maji
Je ata vifaranga unaweza kuwapa au
Kuanzia wiki 4 nakuendelea
Shukurani kweli zikufuuatr
Barikiwa sana🙏🙏
Somo zuri
Thnx karibu kwa utekelezaji
@@AGALUSTV kitunguu swaumu kimoja au punje
Punje 2/3
Je unaweza kutumia dawa Aina 2 kwa wakati uleule?
Unaweza japo inategemea ni aina gani y tba
Nimeipenda
Karibu sana🙏🙏
Aloe vera ni noma
aaaah bt nashukuru kwa kufuatilia iyo video Tuzid kugawana elimu naomba usisahau kusubscribe ili usikose somo lijalo
Tuko Pamoja nilshasubscribe
Safii sana twende pa 1
Hayo majani ya aloe vera nikitwanga nikayaloweka kwenye ndoo nikawapa kuku asubuhi siku inayofuata, itasababisha athari kwa kuku ???
Sawa tu ila kila cku uandae Mpya