Dawa ya utitili nilahisi sana mwanga sabuni ya unga bandani mwanga kwa wingi na jioni kuku wameingia bandani wametulia wanyunyizie sabuni ya unga fanya hivi mda wa siku nne mfululizo hutaona utitili na hata kuku alie lalia mayai nyunyizia mayai nayeye akiludi kwenye mayai mnyunyizie au kama ametotoa ana utitili jitahidi kila jioni anapo lala umwage omo
Wengine wanasema kwamba mafuta ya taa yanauwa kuku wanyaa.kwasababu ukiwa unaweka kwenye kichwa lazima hayo mafuta yaingie mdomoni,sasa hayawezi akauwa?
Okay kuhusu dawa za dukani Kuna somo hili👇 Kila ugonjwa na dawa zake za dukani ruclips.net/video/DiG5lAtaZ88/видео.html NA kuhusu Dawa za asili somo lake ni👇👇mimea 12 inayotibu magonjwa mbalimbali ruclips.net/video/3BpbwyWgSb0/видео.html
Asante Sana Kaka utitiri ulikuwa umecha nisumbuwa ivi nataka kutiya majifu
Pole sana
Asante sana. Mafunzo haya yamenisaidia Sana.
Mbarikiwe
Pa 1🙏🤝
Hasante sana
Pa1 ndugu🤝🤝🙏
Samahani naomba unisaidie videoya mdalasini
Asante I Sana kwa kutuelimisha juu ya ufugaji was kuku mungu atawalipa
Amina ✍️ 🙏🏿 ndugu nawe pia
Asante sana nmejifinza kitu.
Karibu sana ndugu endelea kutufuatilia video zingine zaidi ktkt channel hii ujifunze mengi
Asante sana kwa elimu bora, pia naomba kupata picha za banda la kuku lilio bora . Au elimu kwa ujuml namna ya kuandaa bamda la kuku.
Ujenz WA Banda la kuku
Banda la kuku: ruclips.net/p/PL8xez8Eh4s0HzgJrqmWI7cB7pfGKt2sxd
Sina cha kusema zaidi ya 🙏🙏Kuwashukuru
Barikiwa
Mbarikiwe sana na sana
Amina ndugu 🙏🏿
Asante sana kwa dadaea ya asili.naomba video yake
Barikiwa pia nikutumie hii video au
Nawapata vizuri.
Tupo pamoja ndugu
Sante sana
Tupo pamoja ndugu
Mungu awabaliki
Amina🙏🏿
Asante umetusaidia .
Barikiwa sana
Asante sana
, barikiwa
Shukrani sana wakuu
Tupo pamoja ndugu
Asante sana kwakutusaidia
Tunashukuru pia kwa kutufualia
Asante sn Kwa maarifa haya, naomba mnisaidie dawa ya mafua Makali Kwa kuku
Ya asili au dukani
@@AGALUSTV ya asili
Okay
Asante mwalimu
Pamoja ndugu
Masomo yenu mazuri sana. Naomba video ya mdalasini
Asante sana ndugu
Video ya mdarasini
ruclips.net/video/UuqzoGO6_NQ/видео.html
Nashukuru Naomba kujua Faida za mdalasini
Faida za mdarasini video
ruclips.net/video/UuqzoGO6_NQ/видео.html
Asante.
Tupo pamoja ndugu
Shukran sana.
🤝🤝🙏🏿✍️
Nashukuru kunifungua kichwa.
Barikiwa
Nashukuru kwa kuniongezea elimu hii tukopamoj
Karibu ktk ufugaji
Asante mwezeshaji
Pamoja sana
Asante kwa somo zuri
🤝🙏 pamoja ndugu
Asante
Tupo pamoja ndugu
asante kwa darasa naomba kujua haina ya banda bora la kuku!
Mambo ya kuzingatia ktk ujenz WA Banda
ruclips.net/video/PZKM8CzOpew/видео.html
Ndugu ... Asante NI napenda kusema kwamba nashukuruni jaman Kama Kuna group la hi channel what's app uni unge Asante..🎉🎉🎉maua yenu ayapoo😅😅🙏🙏🙏
Tunashukuru Ndugu kwa Hilo. Tupo kuandaa utaratibu mzuri wa group. Barikiwa sana
Naomba somo la mdalasini
Video ya faida za mdarasini
ruclips.net/video/UuqzoGO6_NQ/видео.html
Nna shukuru
Tupo pamoja sana ndugu endelea kutufuatilia video zingine zaidi ktkt channel hii ujifunze mengi zaidi
sawasawa
Tupo pamoja sana ndugu
Ansnten snaa❤
Pamoja
Pamoja
Asante sana kwa mafunzo haya ubarikiwe
Amina ndugu
Faida ya vitunguu swaumu
Andika apo you tube faida za vitunguu saumu by agalus TV
Nashukuru naomba maelezo zaidi ya haya maelezo
Kwani utitiri unawasumbuwa kuku wangu
Pole Sana ndugu
@@AGALUSTV0:00
Dawa kuku kienyeji
Hatujakupata vizur unamaana ipi
Hi unawezanyunyiza mafuta taa
Ndio
Mimi pia naomba video zake
Video za Kuhusu nini ndugu
Nimewaelewa
Tupo pa1🤝🙏🏿
Poa sana
Tupo pamoja
Naomba faida za vitunguu saumu na mdslasini.
Video za faida ya vitunguu saumu na mdrsasin
ruclips.net/p/PL8xez8Eh4s0GAj-_RugCAMpIbo4c13kDL
Naombavidio yatiba yavitungusaumu
Video ya vitunguu saumu inapatikana ktk channel link hii
ruclips.net/p/PL8xez8Eh4s0GAj-_RugCAMpIbo4c13kDL
Naomba picha ya banda bora la kisasa
Ujenzi WA Banda
Namba za simu tafadhali.
OK
Ok najaribu moja ya majivu'kuokoa gharama
Hakika ndugu
Hakika ndugu
Aisee nashukru kwa somo naomba mnitumie video yake
Ok🙏🙏
Habar tatizo la jogoo kuto kupanda mitetea ni ipi dawa yake?
Mpunguzie chakula yawezekana sababu ni uzito mkubwa
Naomba kujua madhara ya maganda ya ndizi mbichi kwa kuku
Hayana
Asante sana teacher kwa masomo mazur, swala langu ni kujua chakula kikuu cha kanga ni nini?
Ni cha kawaida kama cha kuku🙏
Nimezipenda hizo tiba asilia za utitiri na viroboto kwa kuku.
Naomba namba zenu za simu tuwasililiane, niko Mza Ilemela.
Sawa ndugu tutakutumia
Asanteee, nashukuru lakini naomba kujua kuku au bata aliyeatamia maji ya kisavyu hayataathiri mayai?
USIWEKE kwenye mayai Tena si mengi yaaani Una nyunyuzia tu kwenye eneo la Banda mayai yaziguse kabisa maji
Naomba kuuliza hizo pune, tatu maji litany ngapi
Lita 5
Lita 3
Nashukuru sana kuna ugonjwa wa ndui kwenye kuku je matibabu yake ninini??
Ndui labda kwa njia ya Tiba asili. Tafuta video ktk channel hii tiba asili ya ndui by agalus TV
Nimeelewa somo kuusu mkaa na je vipi kuusu unga unao kaa kwenye betri za redio ule unga nayo ni tiba kwa kuku?
Uo unga labda tufuatilie zaidi kujua kama ni tiba
Jinsi ya kujenga banda bora la kuku
Ujenzi wa banda, 👇
ruclips.net/video/PZKM8CzOpew/видео.html
Eliudi musukwA Zambia jekuku anakula manjani ngani
Yapo mengi ndugu. Fuatilila video hii kuona Aina za majani
ruclips.net/video/YvjaIvSphM0/видео.html
Je kama kuku ameatamia unanyunyuzia maji ya kisamvu kwenye mayai
Apo SI sawa
Je dawa hizi waweza tumia kwa bata wa kawaida
Ndyo na NDEGE wengine kama kanga, njiwa n. K
Mm sifugi Ila mifuhiyo unakuja kwangu imenitelea viroboto
OK 🤝✍️🙏🏿
Naomba namba yako kaka
Ucjali ndugu vp Kuna changamoto kubwa sana? Unayo
Nikitaka kitabu nakipaataje?
Kikiwa tayari tutakujuza
Kuku mwenye shida ya kusimama yaan miguu inakosa nguvu anatibiwaje?
Wakubwa AU wadogo
Kuku wakubwa Wana miezi mitano shida miguu inakosa nguvu hawawezi kusimama
Lishe yao ipo vp? Unaweka Madini ya mifupa? Pia vp kuhusu, Dalili zingine? Za kuumwa? Angalia mafua pia
Mifupa wanapa,labda niwachunguze zaidi mafua
Sawa
Nijulisheni mbegu nzuri ya kisasa(mahindi)inayohimili ukame
Apo sasa ni biashara za watu ndugu
@@AGALUSTV nimekuelewa ndugu
Tupo PA 1
Kwanza sina budi kuwapongeza, tutumieni picha halisi pengine maeneo yetu hayana mimea hayo
Tunashukuru kwa Hilo. Tumelipokea ndugu
Kuku wangu wanaharisha damu nifanyeje
Dawa ya coccidiosis
Kutumia mdalasin
Unahitaji kujua jinsi ya kutumia mdarasini au
Abali ya majukumu mimi nimfugajimdo ninachangamoto yakufa vifaranga vinakuwa namakoti alafu vinakufa
Pole Sana ndugu
naomba nitumie jinsi ya kutibu tatizo la ndui
Video ya ndui
ruclips.net/video/sn9mzciyF64/видео.html
Kama utitir upo ndani ya nyumba unamo lala
😃😃😊 dawa ni izo izo
Dawa ya utitili nilahisi sana mwanga sabuni ya unga bandani mwanga kwa wingi na jioni kuku wameingia bandani wametulia wanyunyizie sabuni ya unga fanya hivi mda wa siku nne mfululizo hutaona utitili na hata kuku alie lalia mayai nyunyizia mayai nayeye akiludi kwenye mayai mnyunyizie au kama ametotoa ana utitili jitahidi kila jioni anapo lala umwage omo
Asante sana ndugu ✍️ tupo pamoja
Kuku wanavimba macho na kutokwa na vidonda pia hapo machoni je tiba yake ni ip?
Ni ndui na upunguza w vitamin A na yawezekana pia wanafua.
Nataka dawa ya kununuwa
Zipo duka LA mifugo
Niliitaj kujua kuhus dw za dukan zinazo tibu utitili
Muone muuza maduka ya mifugo atakupatia dawa zipo Aina nyingi sana ndugu
Hata kuku chotara ninaweza kuwapa chanjo za kienyeji? Naomba unisaidie kunitumia video zilizopita
Yaaah unaweza wapa tu. Video unaweza tafuta andika kwenye you tube Agalus tv
Ka. MA kuku ana. Viroboto
Ndyo tunatumia izo tiba
Vifaranga vyangu vina siku ya pili naweza kuwatengenezea dawa za asili
Angalau mwez wafike
Kuku wangu kutokakana na viroboto ametokwa na vidonda machoni haoni nisaidie daw
Pole Sana ndugu apo HADI duka LA mifugo zipo
Naomba msaada kuku wangu wana mwezi Moja na nusu nimehangaika sana na utitili lakini Sasa wanatokwa na vidonda, nitumie Nini kuwatibu?
Pole Sana ndugu kwa iyo bado Wana utitiri AU vidonda? Na vidonda vipo sehem gani
ruclips.net/video/sn9mzciyF64/видео.html fuatilila video hii ya ndui
Naomb namba yako
OK tutakutumia
NITUMIE vidio ya kitunguu saumu
Andika faida za vitunguu saumu kwa kuku by agalus TV
Jogoo wangu hawapandi mitetea tatizo ni nini
Kama anamafuta mengi yaani mzito basi hawez. Au kama ndyo Mala y kwanza wengine huchelewa pia
Kama anamafuta mengi yaani mzito basi hawez. Au kama ndyo Mala y kwanza wengine huchelewa pia
Nauliza dawa hizi kwa kuku wa kienyeji tu au na wa kisasa
Wote tu ndugu haina shida
Sawa nashuru kwa makini mazuri
Pamoja ndugu 🤝🙏🏿
Wengine wanasema kwamba mafuta ya taa yanauwa kuku wanyaa.kwasababu ukiwa unaweka kwenye kichwa lazima hayo mafuta yaingie mdomoni,sasa hayawezi akauwa?
Hapana japo jitahidi mdomoni yasifike maana ni kidogo tu unafuta
Mimi utitili unasumbuajamani
Pole Sana ndugu utaisha tu
Naomba ushauri nifanye nini kutibu kuku mwenye vidonda mwilini
Kama ni ndui Tiba yake ni hii apa 👇
ruclips.net/video/sn9mzciyF64/видео.html kama ni kidonda sababu nyingine tuzid kuwasiliana nasi🙏🙏
nahitaji matumizi ya dawa mlizotaja
Andika you tube Kila dawa itakuja video yake
Nina kuku wa kienyeji naomba msaada wa kutengeneza chakula kwa kutumia pumba za mahindi nichanganye na nini kuku wapo 75 wakubwa na wadogo
Jifunze utegengezaji wa chakula cha kuku kupitia Channel hii ya AGALUS TV
Tujibu mapema tuanze tiba
Sawa ndugu
Naomb maelezo na maelekezo ya maradhi ya tumbo na dawa zake za asili na zakisasa
Okay kuhusu dawa za dukani Kuna somo hili👇
Kila ugonjwa na dawa zake za dukani
ruclips.net/video/DiG5lAtaZ88/видео.html
NA kuhusu Dawa za asili somo lake ni👇👇mimea 12 inayotibu magonjwa mbalimbali
ruclips.net/video/3BpbwyWgSb0/видео.html
Nahitaji kujua jinsi ya kutunza kanga
Sawa ndugu 🙏🏿 ✍️ tutaleta masomo ya kanga pia
Mdarasini sijafahamu unafanya nini
Ok
Naomba picha ya banda zuri la kufugia kuku la gharama nafuu
Ujenzi wa banda la KUKU
ruclips.net/p/PL8xez8Eh4s0HzgJrqmWI7cB7pfGKt2sxd
Nataka dawa ya kununuwa dukani
Nenda Duka LA mifugo
Asanteni kwakutuelimisha
Tupo pamoja ndugu
Asante sana
Barikiwa pia ndugu
Shukrani kwadawa
Tupo pamoja ndugu
Asanten sana
Tupo pamoja sana