Shukraan kwa somo zuri. Je wachanganyiwe mkaa kama kinga dhidi ya magonjwa katika chakula chao hata kama hawaumwi? Naomba jibu kwani ni Mfugaji kuku mgeni ndiyo nimeanza hata mwezi haujafika.
Kaka hakika kazi yako ni njema saana ina nibariki saana yaani nilivyo zitama video zako huwa zinanipa motisha ya kujifunza zaidi juu ya kuku .barikiwa saana kwa pamoja tuzidi kuitengeneza Tanzania mpya ya Uchumi wa kati . ruclips.net/video/oGnFG3M4HYQ/видео.html
Asante kwakunielimisha nimekipenda sana kipindi hiki
Asante kwa elimu nzuri unayoitowa yakuku
Tunashukuru ndugu
Asante kwa darasa nimekuwa nikifuatilia darasa kiukweli Lina manufaa Mungu awabariki
Hahahahahaaa, nimejifunza mengi pamoja na kucheka juu ulivyobadili saut kuiga bibi wa kule kijijini na degedege hahahahaa!
Asante kwa elimu hii tufundishe na kutengeneza funza za kuku ubarikiwe
Nalifanyia kazi mokani. Mwezi huu hautoisha ntakuwa nimeshafundisha. Pole kwa kusubiri
Nalifanyia kazi mokani. Mwezi huu hautoisha ntakuwa nimeshafundisha. Pole kwa kusubiri
Ok
Huo mkaa nachanganya na chakula kingine?
Umenichekesha hiyo sauti " hawa kuku" 😅😅😄
Asante kaka kwa kutuelimisha
Jamani huyu kuku kwenye video ni jamii ipì?Naomba kujua km kuna mayai ya sassò?
😁🤭🤭😂😆😆😆
Shukran 🙏 nitakutafuta inshallah
Shukraan kwa somo zuri.
Je wachanganyiwe mkaa kama kinga dhidi ya magonjwa katika chakula chao hata kama hawaumwi? Naomba jibu kwani ni Mfugaji kuku mgeni ndiyo nimeanza hata mwezi haujafika.
Kinga
On
Mimi apo nimependa kisauti ulichoingiza utasikia hawakuku mamaenu alipewa zawad😄😄
😂🙈🙈😂😂😂
Yaan 😃😃😃🏃♀️🏃♀️
🎉🎉
Asante Sana, je nikiwapa kila siku mkaa yaweza kua shida?
Haina shida
#Asante.+👏 👏 👏
Nitaanza kufuga.
Asante na wagrandy wamayai
Good
Nimeipenda
Nimeipenda hii je kwa magonjwa kama kideri unatumia dawa gani?.
Nimeelewa sana sauti ya kibibi hahaa
👌😁😁
vp naweza kuweka uo mkaa katka chakula cha kuku chenye asili ya kuchanganywa na maji ?
mkaa unafaaa hata hiz za kuni za kawaida?
Ndiyo
Hongera kaka ila nataka darasa liongezwe uwered
Nimesha bonyeza
Njia raisi ni kutumia Kwenye maji, Kwenye Lita 20 za maji naweza kuweka mkaa laini kiasi gani?
Rahisi ni chakula
Mbona uharibie kuku za aina zingine jina?
Kivipi?
Asante
Karibu
Bibi wa kisukuma^_^🤣🤣🤣
😆😆😆🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Ni Binu gani au nini unaweza kampa ngombe wake ili apate joto haraka
Hatujihusishi na ng'ombe
Asante kwa elimu
Mimi nimependa ubunifu wa saut hahahaha
🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
😂😂😂😂😂😂
Asante boss
Nimekukubali kaka ,somo zuri na mungu akubariki,tusio na pakujishikiza tuamke elimu bure,
Je naomba kuuliza ukitumia mkaa kuwatilia kuku kwenye maji pia inafaa auvp
Hapana ni chakula pekee
Niunge natuma jioni
Nice💞👍
Haifai kutibu chotara?
Inafaa
Naomba unisaidie dawa zipi za asili zinafaa
Ufugaji wa kuku
Dawa ya kuku ya kienyeji ya mafua ni ipi??
Alovera
@@KukuVillage ahaaa sawa unaiweka kwnye maji au unafanyaje??
All 👍
Sawa sawa
sawa msukuma
🤣🤣🤣🤣😷
🙏🙏🙏
all
NDIO HILA NATAKA KUJUA kuku anakua law MIEZI mingapi hadi hakue MARYAM WANJE LANGU JINA TOKA KENYA
Sijaelewa , use English if will make me understand .
Sijaelewa , use English if will make me understand .
Nahitaji nije nikutembele unapatikana wapi
Chotara haitawasaidia?
Tumia inasaidia kuku wote
Ally wakazi
Tatizo sio kusimulia ukoo tatizo umaskini
Nashukuru kwa mafunzo yenu.munapatikana wapi?
Duh! Sawa
Mie kuku wangu wanaviroboto nifanyaje
Tumia majani ya kisamvu
Jambo kuku village..kuku wangu wanalegeza bawa zao je shida iko wapi? na suluhisho ni gani?
Salama
Wasiliana nasi hapa
chat.whatsapp.com/CJBj5U99JvLByXiDAOJNAr
tumia dawa inaitwa ESB3 NDIYO DAWA YAKE PEKEE HIYO NI TAIFODDI YA KUKU
Dawa ya vifaranga kushusha mabawa
Nimefurahishwa na elimu hii.
Karibu mwinyi
@@KukuVillage Ahsante sana
Ntajuaje mkaa ulio bora? Na ntajuaje mkaa kama hukutokana na mbao zenye rangi? Msaada tafadhali
ASANTE NDUGU
🙏🏻
Nimecheka ulivyobana sauti kujitia bib
🤣🤣🤣🤣
sasa muda wasikutano au saba jee sikunyengine huwapi au kwamwezi unawapa malasaba
Kwa mwezi mara 1, kwa siku 7.
@@KukuVillage sawa kaka asante lakini nitakutafuta kwajili ya lile banda tulilo ongea lavifalanga
Utajuaje sasa kama mkaa hauna madawa?
Maana nitanunua dukani
Mkaa uwe wa porini au ule unaouzwa na wauza mkaa wa vijijini
Nita wapa fivaranga wa week moja pia ama?
Haina shida
Chitara
Kaka hakika kazi yako ni njema saana ina nibariki saana yaani nilivyo zitama video zako huwa zinanipa motisha ya kujifunza zaidi juu ya kuku .barikiwa saana kwa pamoja tuzidi kuitengeneza Tanzania mpya ya Uchumi wa kati .
ruclips.net/video/oGnFG3M4HYQ/видео.html
Tuwekeenamba tuetunakupata utufundishe
Namba zetu ziko kila mahali
Naweza kuwapa kroilara
Wape haina shida
Wape haina shida
😂😂😂😂😂.
Degedege
Nahitaji vifaranga jamani
Tupigie 0621063255
Makubwa! Story ya bibi kiboko!
Je mm nina kuku mmoja ambae anataga siku moja nyingi anaruka je shida iko wapi?
Lishe
@@KukuVillage mm huwapa mahindi
Tunashukulu kwa maelekezo muhimu.
Je mkaa wa kuni unafaa. Pia unaweza kuwapa na wanyama kama sungura?
Ni kuku tu
Nimekubali Kaka nikoli tuonge zaidi nambayanguu 0771025813 tafadhali
habari ,,,Nina kuku amelalia Siku mbili alafu akafa kweny mayai ....shidaa ni nini ??
Alikuwa mgonjwa.
Naitaji namba ya Whatsapp tafazali
Asante
Duh! Sawa