MCHANGANYO KIBOKO KWA MAFUA MAKALI NA MIHARO SUGU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 янв 2025

Комментарии • 33

  • @wellingtonngondo1634
    @wellingtonngondo1634 Месяц назад +1

    😊

  • @FlorineShoo
    @FlorineShoo 2 дня назад

    Asante sana lakini neno binzari sijaelew ni ile ambayo ni kiungo cha mboga au kiungo mojawapo ya kuweka kwenye pilau.

  • @PenelopePene-kv2wo
    @PenelopePene-kv2wo Месяц назад +2

    Jmn matangazo ya vitabu yamekuwA mengi kuliko somo

  • @zawadikatuga9359
    @zawadikatuga9359 21 день назад

    Mimi pia linanihusu,nina vifarabga vyangu lakini nashangaa tangu jana vimeshakufa vitatu,nachanganyikiwa,vinauharo wa siobrown sana ,kama njanonjano kidogo,wengine maji kabisa.

  • @MilindiNdela
    @MilindiNdela 2 месяца назад +3

    Nimcongo wa Barak niungeni ndani yakundi letuili

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  2 месяца назад

      Tutafute WhatsApp 0712188239

  • @AshaHamad-n1z
    @AshaHamad-n1z 2 месяца назад +1

    Asante sana kwa elimu

  • @GloryChiwanga
    @GloryChiwanga 5 дней назад

    Kujiunga nifanyaje Sasa dada

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  5 дней назад

      tupigie kwenye hii namba 0712188239

  • @bamujositv1315
    @bamujositv1315 Месяц назад +1

    STRESS KWA KUKU.
    Yawezekana ukashangaa kuwa kuku nao wanaweza kuwa na stress?
    Yes! kuku pia wanaweza kupata stress, fuatana nami katika makala hii, ili uweze kuepuka hasara zinazosababishwa na stress kwa Kuku, ambazo huzijui/huwa unazipuuzia.
    STRESS/MSONGO KWA KUKU: Ni hali ya kuku kutokuwa sawa katika mfumo wa kimetabolism wa kuku, hali hii husababisha kuku kushindwa kuendelea na uzalishaji wa mayai, pia hudumaa na hatimaye kufa.
    SABABU ZINAZOSABABISHA STRESS KWA KUKU.
    1. Magonjwa: kuku anaposhambuliwa na magonjwa, dalili ya kwanza ni stress/kuzubaa. Hivyo ukiona kuku Wana stress ni dhahiri kuwa yawezekana Wana ugonjwa, fatilia.
    2. Mabadiliko ya hali ya hewa; Kubadilika kwa hali ya hewa kama vile joto na baridi, vinaweza kusababisha stress kwa kuku na kupunguza uzalishaji.
    3. Ulishaji mbovu wa kuku
    4. Majeraha kwa kuku.
    5 Ubovu wa Banda, mfano Banda lisilo pitisha hewa hewa laweza kusababisha stress kwa Kuku, pia kulundikana kwa kuku eneo dogo, husababisha kuku kubanaba, kudonoana na hivyo husababisha stress kwa Kuku.
    6. kulundikana kwa uchafu bandani na harufu mbaya.
    MADHARA YA STRESS KWA KUKU.
    Stress kwa Kuku inasababisha hasara kubwa kwa mkulima, kama ifuatavyo
    1. Kuku kupunguza utagaji, stress inapompata kuku anayetaga anaweza kusimama kutaga kwa takriban wiki mbili, wakati huo wakiendelea kula bila kuzalisha, na kusababisha hasara kubwa kwa mkulima.
    2. Kudumaa kwa vifaranga, vifaranga wanaposhambuliwa na magonjwa wanapata stress hivyo wanadumaa na hatimaye kufa
    3. kupungua kwa Kinga ya mwili, stress inasababisha kuku kupungua uzito/kukonda kwa haraka.
    4. Kupungua kwa hamu ya kula, kuku mwenye stress huwa anakosa hamu ya chakula, hivyo kuzorota.
    5. kupungua kwa ubora wa nyama na mayai.
    6. kuongezeka idadi ya vifo kwa Kuku.
    JINSI YA KUTIBU/KUZUIA STRESS KWA KUKU.
    Baada ya kujua madhara ya stress kwa Kuku, Sasa tuone ni jinsi gani unaweza kuzuia na kutibu tatizo la stress kwa Kuku.
    ∆ Unapaswa kuzingatia na kuzuia visababishi vyote vya stress kwa Kuku, kama vile
    √usafi wa Banda
    √ Kuzuia magonjwa kwa kuku.
    √ulishaji mzuri kwa kuzingatia ratio ya virutubisho pamoja na kiwango sahihi cha chakula kwa kuku.
    √ Kubalance kiwango cha joto kwenye brooder.
    ∆ Leo nimekuletea mbinu ya kuzuia na kutibu tatizo la Stress kwa Kuku, mbinu hiyo ni MBINU HIYO NI MBINU YA KUTUMIA DAWA YA "MOGA BEST ANTIBIOTICS"
    ¶ "MOGA BEST ANTIBIOTICS" Ni dawa ya asili unayoweza kutengeneza ukiwa nyumbani kwako, ni mchanganyiko wa dawa aina mbili zenye matokeo chanya katika,
    √ kuondoa stress kwa Kuku kwa haraka
    √ kutibu magonjwa mengi yanayosababisha stress kwa Kuku kama mafua makali, kipindu pindu cha kuku, typhoid ya kuku, Coccidiosis n.k
    √ Inaongeza hamu ya kula kwa kuku wagonjwa/wenye stress
    √ Inaongeza Kinga ya kuku kwa haraka Sana na kumsaidia kuku kupambana na magonjwa.
    JINSI YA KUANDAA DAWA YA"MOGA BEST ANTIBIOTICS"
    Ili kujua namna ya kutengeneza dawa hii nyumbani kwako kwa kutumia gharama kidogo Sana, bonyeza link hapa chini ujifunze zaidi namna ya kutengeneza dawa hii, pamoja na maelekezo ya kutibu ( dosage) kwa matokeo ya haraka zaidi kwa kuku.
    ruclips.net/video/Si_7VIF3mgA/видео.htmlsi=4XC1T6T9HjrzVedk

  • @abdallahomary5782
    @abdallahomary5782 2 месяца назад +2

    Nahitaji ilo group

  • @matildakessi854
    @matildakessi854 3 месяца назад +2

    Hii tangawiz ni Ile ya kawaida au Ile ya njano.

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  3 месяца назад

      Zote zinatumika tangawizi na binzari

  • @LameckAndrew-d2r
    @LameckAndrew-d2r 3 месяца назад +1

    Hyo vitamini ndo kutumia neoxchick au?

  • @AlafsaKisinda
    @AlafsaKisinda 3 месяца назад +1

    Habari Dada me ndo naanza kufuga Sasa nna changamoto ya vitaranga vyangu, vinaumwa vinanyong'onyea havili vinajikunyata Sana na vilinyeshewa na mvua, vina mwezi mmoja na wiki tatu nitumie dawa gan

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  3 месяца назад +1

      Jiunge na kundi letu la Mafunzo ya ufugaji tupigie 0712188239

    • @ghanimajongo7817
      @ghanimajongo7817 3 месяца назад +1

      Tumia mronge na waeke pekeyao wafungie tungi la jot

    • @matyshirima1242
      @matyshirima1242 Месяц назад

      Vitamini ni nini?

  • @nasibubiyaka7275
    @nasibubiyaka7275 3 месяца назад +1

    Kuku wangu wanakoroma ucku na kuhara ranging nyeupe dawa gani nitumie

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  3 месяца назад

      Tumia huo mchanganyo

  • @UWEZOKIZA-q7d
    @UWEZOKIZA-q7d 2 месяца назад +2

    Binzali ndo Nini jamani.sisi tupo Congo maneno mengine hatuelewi.muwe naweka hata picha ya hivyo vitu

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  2 месяца назад

      Tumeric

    • @RamadhanKitama
      @RamadhanKitama Месяц назад

      Wadanganye wakongo!😏 Upo Kongo unaandika kiswahili kimenyooka namna hiyo

    • @Thomas-lm1dq
      @Thomas-lm1dq 24 дня назад

      Manjano au tumeric kwa english

  • @yustermhanila4199
    @yustermhanila4199 3 месяца назад +1

    Yani hili somo linanihusu mimi leo

  • @MwajumaMajomu
    @MwajumaMajomu 3 месяца назад +1

    Boss mimi ndio naanza kufuga naitaji kujiunga