Nilisikiliza hii nimejaribu nikamuwekea mayai 20 asante Mungu ametotoa vifaranga 19 kaanza juzi na Jana kimoja kilikuwa kidhaufu kimekufa wapo 18 asante sana
Asante kwa elimu nzuri!! Banda la kuku linakuwa na uwiano gan kulingana na idadi ya kuku, mfano kuku 50 wanahitaji ukubwa gani wa banda la mabanzi Lenye budget ya sh ngap?
Bro naomba unixaidie mm na kuku wa tano na jogoo mmoja natak nifikishe laki tano kwa mwaka na mmpaka xaxa ni mwez wa nne ni namna gan unawaza nitumie ili kufikisha malengo hay mm kam mwanafunzi
Hello my friend, you have a great farm,,, and what kind of bird you grow, I'm your new subscriber, would like to change the experience, thank you. 🤝🤝👍👍👍
Kaka Nina majogoo wengi,wanapanda temba mpk wanasbiriana akimaliza 1 na mwenzie anapanda,matenda si wengi sn,wametaga wamelalia,nilimwekea kila temba mayai 13 cha kishangaza wametotoa vifaranga 2,3,1,na wengine wakaacha kbisaa,tatizo ni majogoo wengi?
@@changamkiafursa Habari, mimi nina incubator na kuku ni wa kienyeji kabisa, niko dodoma, kabla ya kutotolesha nimefuatilia chanjo ya MAREKS nikakuta ni adimu mpaka uweke oda na bei ni kubwa, je nikitotolesha na wasipate hiyo chanjo watapona kwa sababu ni kienyeji pure?? wa kijijini kabisa sio chotara
Yes kupanda ni kulisha, usipo lisha Kuku zako uwezi kupanda na kuku haziwezi kupata mayayi zaidi ya malisho unapoilisha au zilisha. Na nichakula gani munalisha Kuku zenu ndio zasiti kupata mapato mengi na nyinyi? So kenyans learn ftom those who ate cincentrated and dedicating their lives on what they know to be stable economy for jamii, au ufungue milango na kuaja maadui kuingilia Kuku zako maali zilalapo ili kesho yake unakutana na damu kwa mulango kwa maana uliacha milango wazi na maadui wakaingilia kuku zako ulikua unatekemekea. Mwenye Kuku ndio anachakua kuua kuku zenye haziteki mayayi nakupelekea ma restaurants ama ni milango wazi ndio tuajia maadui ili waipe vifanga na kuku zetu? So people are also like Kuku zetu. There is also a race of Kuku. Lisha kuku zako malisho bora, tunza mayayi sehemu ambayo iko usalama
Nzuri sana sijui kwann mimechelewa kupata chanel hii.
Mafunzo muhimu Sana,Hillary kutoka Kenya
Napenda furusa ufungaji wa kuku wakienyeji
Ahsante Sana kwa darasa hili hakika nimejifunza kitu
Very nice
Asante sana
Nafuraiya kazihi niliitafuta kwamuda mrefu nashukuru muninge kwamafunzo
Nilisikiliza hii nimejaribu nikamuwekea mayai 20 asante Mungu ametotoa vifaranga 19 kaanza juzi na Jana kimoja kilikuwa kidhaufu kimekufa wapo 18 asante sana
Tuko pamoja na asante kwa mrejesho
kifaranga inatakiwa kutenganisha banana yao mudagani
Good work
Naomba namba zenu za simu, kwaajili ya ushauri zaidi
Nimefurahia sana
Good job
Somo zuriiiiiii
Nzur nimeipenda
Good job brother man,am watching live from qatar
THANKS Bro
❤nimefurahi kupata elimu kihusu kutotolesha vifaranga
CONGRATS
Asantee
Ahsante kwa elimu nzuri ya ufugaji.
Tuko pamoja
🇧🇮🇧🇮🙏Mimi Niko Burundi rakini Nataka uingiya mwahiyo grupp
Asante sana mwalimu
Jee ni sawa Nikiwaeka kuku pamoja na jogoo ambao ni wa mama mmoja
Very educative
Asante kwa support yako
Hongera kaka
Please can you put english subtittles if possible to get some knoledge for you
Asant kwa elimu ila bada LA kuk miamoja linaitaj ukubw gan
Uko vzur broo
Asante sana
Need to know more
Good work! Which food is the best?
Kwa Vifaranga wa siku 1 - 56 wanakula chick stater
Wiki 9-18 wanakula grower mash
Wiki 19 mpaka kuzeeka wanakula layers mash
@@changamkiafursa ulaj huo n wa kuku wa kienyeji???
I want to learn more. Am based in Kenya
Jamani kwenye kufuga napenda sana
Karibu sana
that's quite interesting,waiting to watch part two of this
Kazi nzuri,pongezi
Hiyo banda inaweza chukua how much kujenga
Jaku Hassan, kwa nini kuku kuchi wanapenda kula mayai yao
How do you sell chicks
safi sana
Bro mm nikiatamishia kuku mayai baada ya xiku21 mayai huonekana kuharibik na nikipasua ndan nakuta majimaji tu naomba nisaidie
Nimeipenda saaana
Niunge watsap
Asante kwa elimu nzuri!! Banda la kuku linakuwa na uwiano gan kulingana na idadi ya kuku, mfano kuku 50 wanahitaji ukubwa gani wa banda la mabanzi Lenye budget ya sh ngap?
At a man in kufuga Sana kuku nimependa funzo yako,
Hongera sana broo kwa uxhauri natukiachana pamoja kwani hata mimi nimfugaji nahitaji dalasa kutoka kwako
Karibu Sanaa
Who is raising this type of chicken in kenya...trying to acquire some
Naomba na mimi niungeni
Namba yangu ya wassp 0717773262
nimependa
💪
Kinsi ya kupika ubuyu biasha ra
Nimeipenda mbinu hii lakini mm kila nikijaribu kufuga kuku zikianza kuzaliana zinaanza kufa nitumie njia gani ili nijikwamue na mm?
Bro naomba unixaidie mm na kuku wa tano na jogoo mmoja natak nifikishe laki tano kwa mwaka na mmpaka xaxa ni mwez wa nne ni namna gan unawaza nitumie ili kufikisha malengo hay mm kam mwanafunzi
Mm mbna sijaelewa tuu
jogoo la kuku wa kienyeji anauzwa ngapi
Akikaa sana si atakufa kwa njaa?
Safi sana naomba namba yako pls
Genetic Improvement vs Feed Waisting
Niko na shida kuku wangu wanakohoa shida ni nn
Mara tu naangalia video hii nmepata hamasa kubwa
Asante sana kwa comment yako
Mm mfugaji kule Homa bay asente nime Pata maarifa nta tumia
Asante sana kwa mrejesho wako
Brother nataka kujiunga kwenye group LA whattsapp utalatibu ukoje????
Darasa litaanza tarehe 10 mwezi wa 7. Maelezo zaidi njoo what's app 0752209073
Tupo pamoja brother
@@changamkiafursa am from Kenya, would like to join your WhatsApp group, this number seems not to be registered with WhatsApp
Mue mnataja namba zenu jamani mm nahitaji kufugana ndio kazi ninayo ipenda au niunge wasap yako nipate maelezo zaidi
Naomba jamani sehem ya pili ya uleeaji vifaranga.
Hello mi Niko Kenya nitajoin hiyo group yenyu
One Love from Kenya.
Karibu sana
Naomba kuungwa kwenye group la changamkia fursa
Karibu Sanaa ndugu. Darasa litaanza tarehe 10 mwezi wa 7
Kwani mnatowa elimu pia maana naitaji training management kwenye Banda langu please nijibu
Ndio tunatoa ndugu, karibu ofisini kwetu
Buza sigara
I like this farming
Kienyeji poultry Farming
@@changamkiafursa naweza pata mawasiliano tafadhali?
Naomba kujiunga kwenye group lako
Karibu Sanaa
Hello my friend, you have a great farm,,, and what kind of bird you grow, I'm your new subscriber, would like to change the experience, thank you. 🤝🤝👍👍👍
Kuroiler chickens from India
I get it, thank you, good luck.
@@АгроХозяйство how are you. Are you in Tanzania?
Pp
Kama nitaji mashine ňaipataje.
Hawa ni kuku Chotara?
0719996197 niunge kwa grop
Types of chicken eggs
Je kuku wa kienyeji anaweza kutumika kuangua mayai ya gredi
Masmo hata ya muhimu sana nataka maelekezo zaidi
Mafunzo mema haye.
kuku anachukua mda gani kutotoa vifaranga
Jamani na penda kuku wa kienyeji
😀😀😀 anza kufuga
Mashaallah
Kuku wangu wana miezi 7 Sasa na ni 1 tu ndio anataga wengine hawatagi. Sijui shida ni nn .
Nahitaji kuku wa kienyeji
Jamani Leo umenifundisha kitu,wanaweza kusubiriana ili walalie pa1 kikubwa mayai yasifike sik14,
Yess
Kaka Nina majogoo wengi,wanapanda temba mpk wanasbiriana akimaliza 1 na mwenzie anapanda,matenda si wengi sn,wametaga wamelalia,nilimwekea kila temba mayai 13 cha kishangaza wametotoa vifaranga 2,3,1,na wengine wakaacha kbisaa,tatizo ni majogoo wengi?
Punguza hao jogoo ubakishe uwiano wa jogoo 1 kwa matemba 7
Naomba kuungwa kwenye group la fursa namba yangu ni 0769896080
Naitaji mtaalamu aweze kunifunza mkuu nipo kigoma
Ni chakula kipi mfugaji huwapa kuku ili watage mayai kwa muda mrefu
VIFARANGA WANAPASWA KUTENGWA NA MAMA ZAO BAADA YA MDA GANI TANGU KUTOTOLEWA?♥️🙏
cku ya pil au ya 3
Binafsi huwa nawatenga wiki 4
Naomba uniunge whatsap
Naomba uniunganishe na group lako la wasaph brother +264816200345
Nyinyi mnapatikana wapi kwani nahitaji zaidi hii elimu ya ufugaji
Tunapatikana Dar es salaam, mbezi beach jirani na mbezi shule ya msingi
@@changamkiafursa Asante nitajitahidi kuwatembelea kwani mimi napatikana Buguruni rozana
Eti inafaa kuwawekea kuku mayai mwez 6 waatamie? Maana watu wanasema kipindi cha barid vifaranga vinakufa
Inafaa, malezi ya vifaranga ni maandalizi
Nime subscribe ili nipate mafundisho this my dream
Asante sana
Hello , ningependa pia mniunge na group yenu ya whatsup ili nijifunze mengi. Am a young farmer .. Asante
Karibu darasa linaanza kesho,
Njoo what's app nikupe maelekezo
Kuku wangu wametoa vifaranga na Siku kumi na nane
Huyo ni mzuri kwa kuatamia
Sawa nitaendelea nae
Naomba mniunganishe kweny group lenu namba yang 0685062382
Wewe
Kama nina incubator hayo mayai siwezi kuyaweka kwa incubator
Itakuw poa kwa sababu utawafanya kuku watage mizunguko mingi kwa mwaka
@@changamkiafursa Habari, mimi nina incubator na kuku ni wa kienyeji kabisa, niko dodoma, kabla ya kutotolesha nimefuatilia chanjo ya MAREKS nikakuta ni adimu mpaka uweke oda na bei ni kubwa, je nikitotolesha na wasipate hiyo chanjo watapona kwa sababu ni kienyeji pure?? wa kijijini kabisa sio chotara
WhatsApp no
Nzuri... Tafadhali naomba niunganishwe kwny group la whatsapp 0742491260
Njoo what's app
Nami pia niunganishwe +254741582501
Naomba uniadd kwa group lako la WhatsApp 0745935299
Njoo what's app 0752209073
p
Yes kupanda ni kulisha, usipo lisha Kuku zako uwezi kupanda na kuku haziwezi kupata mayayi zaidi ya malisho unapoilisha au zilisha. Na nichakula gani munalisha Kuku zenu ndio zasiti kupata mapato mengi na nyinyi? So kenyans learn ftom those who ate cincentrated and dedicating their lives on what they know to be stable economy for jamii, au ufungue milango na kuaja maadui kuingilia Kuku zako maali zilalapo ili kesho yake unakutana na damu kwa mulango kwa maana uliacha milango wazi na maadui wakaingilia kuku zako ulikua unatekemekea. Mwenye Kuku ndio anachakua kuua kuku zenye haziteki mayayi nakupelekea ma restaurants ama ni milango wazi ndio tuajia maadui ili waipe vifanga na kuku zetu? So people are also like Kuku zetu. There is also a race of Kuku. Lisha kuku zako malisho bora, tunza mayayi sehemu ambayo iko usalama
namm ningependa nifuge kuku napenda sana
Karibu kwenye industry
Naomba kuungwa 0752277203 WhatsApp
0
Naomb mniunge kweny group please nipate. Som na mim nianze. 0622338510
Sssnte
Hakuna kulala
Napnd sana kufuga kuk ila elimu sina yakutosha naomba uniunge kwenye grop nomb 0742366291
Karibu Sana
Pia Mimi nafuga hivyo hivyo Niko myuma yako
Naomba kuunganishwa kwenye kundi lenu la whatssp 0786412026
Njoo what's app
Naweza kupata group lenu la changamkia fursa ili nijifunze zaid namba yangu ni 0757589831. Asante
Ndio fata maelekezo kwenye video hii
Mimi.renadi.namimi.nimufugaji.wakuku.chota
Naomba kujiunga na watsapp group namba yangu ni 0712502600
0729961349 naomba uniungishe na what's up group mm Nina kuku kumi ndio naanzia
Karibu Sanaa ndugu
MM PIA NA ANZA SASA KUFUGA KUKU NATAKA NIPATE VIFARANGA WENGI
0704314130 niunge
Utaratibu huu utakusaidia, sana
Niunganishe group ndio nahanza 0759593111
Naomba uniunge watsap namba 0620359665
Namie namba yangu iyo mnied 0777801296
Njoo what's app 0752209073
Niunge kaka 0710444217