JINSI YA KUTOTOLESHA MAYAI KUKU,KANGA, BATA KWA KUTUMIA BOX NA TAA /EGGY INQUBATOR

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 дек 2024

Комментарии • 217

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 4 месяца назад +4

    Hufai kabisa blaablaa nyingi

  • @fatmamakame3164
    @fatmamakame3164 3 года назад +3

    Napenda kujifunza na pia nahitaji kuelewa zaid

    • @yagomba3214
      @yagomba3214  3 года назад +1

      namba iyo hapo nitafute ndugu

  • @juliethkibasa1608
    @juliethkibasa1608 4 месяца назад

    safii sana .tunasubiri video inayofuata

  • @sanifamohamedi-fx7vj
    @sanifamohamedi-fx7vj 2 месяца назад

    Asante nimekuelewa

  • @jierhezekiahmireri1123
    @jierhezekiahmireri1123 2 года назад +1

    Good initiative and I would like to know more about this

    • @yagomba3214
      @yagomba3214  2 года назад +1

      availble on whatsap+255762956366

    • @yagomba3214
      @yagomba3214  2 года назад

      check me on whatsapp +255762956366

  • @thierryniyongabo6258
    @thierryniyongabo6258 2 года назад +1

    Asante kutuonesha tunataka utufunz vizuli sasa

  • @sanifamohamedi-fx7vj
    @sanifamohamedi-fx7vj 2 месяца назад

    Nenda moja kwa moja kwenye pont (unarudiarudia sana)

  • @hekimanziku6410
    @hekimanziku6410 4 года назад +3

    Kaz nzur lakin punguza maelezo afu hukuwa na haja ya kuto Malizia hatua zote,

  • @brighthalex7730
    @brighthalex7730 3 года назад

    Ongera.natamani sana kuweza ilozowezi nijambojemasana

  • @carolinemamuya7471
    @carolinemamuya7471 6 месяцев назад

    Mimependa sana somo lako Zuri sana.Asante

  • @manasejrbanige6426
    @manasejrbanige6426 4 года назад +4

    Kusabscribe ni kitu cha ziada cha msing toa elimu kwa wanao kutzama
    Pia kukaa unataja hyo yagomba tv kila mara unawakera watazamaj
    Af time management
    Alaf ukiwa unasekord usilaze kamera au simu simamisha vizuri
    Alaf jaribu kununua hata raptop ili uwe unachuja video yako kabura huilusha.
    Ukifanya hayo mambo yataenda vizuri

  • @aledemule7798
    @aledemule7798 Год назад

    Safi kabisa ndugu

  • @jairosgreyson3268
    @jairosgreyson3268 4 года назад +1

    Asante sana

  • @georgemasauna7291
    @georgemasauna7291 5 лет назад +3

    Nimekuelewa

  • @DominickNdyetabura-wz5ox
    @DominickNdyetabura-wz5ox Год назад +1

    Ungekamilisha maelezo badala ya kuacha wasikilizaji hewani

  • @hanifabdalla8118
    @hanifabdalla8118 5 лет назад +3

    Asanteni kwa maoni yenu nyote mulioboeshwa na toleo hili.Mumeniokoa dakika zangu karibu ishirini za mateso.Nimesoma maoni kwanza na kusikiliza toleo Kati ya dakika moja au moja na nusu na kulitoroka

  • @stansiauisso5441
    @stansiauisso5441 Год назад

    utanilipa bando zangu hafu waonekana mvivu yaan kazi ya kuinama we wakaa dah!

  • @editak4353
    @editak4353 4 года назад

    Kaka na penda kazi yako mungu akupe nguvu udaidie wengi

  • @YonaMbata-cz9mq
    @YonaMbata-cz9mq Год назад

    Oya Mzee mbona Kila vidio humaliz.

  • @mussaissabe9076
    @mussaissabe9076 4 года назад +2

    Karibuni wadau katika Chanel yetu ya mafundisho ya neno la Mungu na ibada za kuabudu katika roho na kweli

  • @bernardburton6886
    @bernardburton6886 4 года назад +2

    Safi sana

  • @Queen-sx4bq
    @Queen-sx4bq 4 года назад +3

    Thanks dea for the great work
    Any Ugandan here??

  • @JoyceMalwila
    @JoyceMalwila 27 дней назад

    Msenge

  • @rickfredmictulay3513
    @rickfredmictulay3513 5 лет назад +2

    Asee unatumia mdaa mrefu sana jifunze kutumia mdaa mfupi kwenye video zako

  • @isaacabekya
    @isaacabekya 9 месяцев назад +1

    Sasa ahumalizie mafuzo mbona?

  • @lightnessjohn9216
    @lightnessjohn9216 2 года назад

    Naomba video nyingine

    • @yagomba3214
      @yagomba3214  2 года назад

      zipo nyingi humo nilio wafundisha au ingia whatsap nikutumie uone

    • @yagomba3214
      @yagomba3214  2 года назад

      ingia yagomba utaona walio totoa mayai

  • @dottocharles1636
    @dottocharles1636 3 года назад

    Unatumalizia mb zetu nenda kwenye point

  • @johnalphonce8600
    @johnalphonce8600 4 года назад

    kaz nzuri sana ila muda unautumia sana kurudiarudia

  • @lucienchubaka8188
    @lucienchubaka8188 4 года назад

    Powa sana kaka

  • @allyg4s898
    @allyg4s898 4 года назад

    Wanasema

  • @dstv__tz4519
    @dstv__tz4519 5 лет назад +3

    That's Good

  • @alexsangandele8934
    @alexsangandele8934 3 года назад

    Nahitaji taa ya chemri ndogo, je nitapata?.

  • @silasmatondo9253
    @silasmatondo9253 2 года назад

    Unitumiye sehemu ya pili kaka

  • @idrisalitesalite3617
    @idrisalitesalite3617 2 года назад

    Sasa mbona hiyo part 2 hakuna

  • @asmaajuma3328
    @asmaajuma3328 3 года назад

    Wachojesha ndugu yangu. Uko very slow 🇰🇪

  • @DamienNgunda
    @DamienNgunda 5 месяцев назад +1

    Aksanti kwa ujuzi

  • @newworldvisiontv8998
    @newworldvisiontv8998 3 года назад

    Brother we piga Kaz ikiwa Bora utatafutwa 2

  • @kelvincarter3083
    @kelvincarter3083 Год назад

    Huyo aliekutengenezea tafsiri ya maneno kwa kiingereza amedanganya sana hapo akurudishie hela

  • @ezbonmworiathemaker4190
    @ezbonmworiathemaker4190 2 года назад

    Nilipoteza muda wangu kufanya hivi. Nunua machine ni ya 150usd utoleshe vifaranya 64 kwa mwezi.

  • @JoyceMushi-eg8fy
    @JoyceMushi-eg8fy 4 дня назад

    Unatumika muda mrefu sana kutoka maelekrzo onasasa unamaliza bando letu na Bado hatujapata chochote changamka bana unaboa sana umetupotezea muda cha maana ulichoelekeza sikion

  • @ikulimambotv5410
    @ikulimambotv5410 Год назад

    Ngoja nijalibu aiseee

  • @ombenimmasi3444
    @ombenimmasi3444 4 года назад

    Naomba niunge kwenye group LA whatsap kama unalo natamani kujifunza

  • @luganoalbert5483
    @luganoalbert5483 8 месяцев назад

    mbona unarusha mayai inamaana hayapasuki hayo

  • @izhyoomwakisambwe759
    @izhyoomwakisambwe759 7 месяцев назад

    Nnimekuelewa

  • @anoldkileo2629
    @anoldkileo2629 3 года назад

    Sasa unapofungia taa ya chemli inaiwasha si inatumia oxygen na kuproduce carbondioxide sasa uhai utakuwepoje ?

  • @vaileturio1414
    @vaileturio1414 4 года назад +1

    Matumizi ya muda huyajui?

  • @lydiakangongole6783
    @lydiakangongole6783 5 лет назад +4

    Mbwembwe nyingi mweeee

  • @lydiambwele7382
    @lydiambwele7382 4 года назад

    Natafuta dume bata bukini. Naweza kupata wapi

  • @BlesswellMureti
    @BlesswellMureti 4 месяца назад

    Tiba ugojwa

  • @saburisaburi7254
    @saburisaburi7254 5 лет назад +1

    Somo zuri, jaribu kuhariri,kupunguza baadhi ya vitu kamq kulishona kabla ya ili kutomchosha mtazqmaji
    Naami i muda uliotumia kwa video hii ungemaliza darasa lote,ni mawazo tu.

  • @jedjosiahmugangala9043
    @jedjosiahmugangala9043 4 года назад

    Mkufunzi umetaja chemli mara kumi na tano? Zingatia muda

  • @emmanuelmarko8442
    @emmanuelmarko8442 2 года назад

    Huu ni upuuzi mtupu elezea topi mpaka iishe kama unapenda kuelimisha wenzio. Hueleweki kwanza unarudiarudia sana

  • @christopherdavid9458
    @christopherdavid9458 4 года назад

    Kaz nzur ila jitshid kusumarize

  • @WABELOYA
    @WABELOYA 4 года назад

    Mayai haya hitaji unyevu?

  • @nicodembrown7508
    @nicodembrown7508 8 месяцев назад

    Kufundisha haujui maelezo mengi siyo ya msingu

  • @nayfatsalim7828
    @nayfatsalim7828 5 лет назад

    nmekumbuka uko mwisho t mwanzo sjui tena kha

    • @credo7837
      @credo7837 3 года назад

      😂😂😂😂

  • @princeoscar7205
    @princeoscar7205 5 лет назад +5

    Kufundisha hujui, muda hujui. Halafu unaridia rudia mpaka unabore.

  • @mbusroonoka1404
    @mbusroonoka1404 9 месяцев назад +1

    🙏

  • @kulwakilemile5188
    @kulwakilemile5188 2 года назад

    Kaka nataka nijalibu ntapatia kwel

    • @yagomba3214
      @yagomba3214  2 года назад

      0762956366 karibu nikufundishe

  • @victoriasiay4218
    @victoriasiay4218 5 лет назад +2

    mpaka nikachoka itabidi nitafute darasa nijue kutotolesha

  • @robertmbisorg8867
    @robertmbisorg8867 4 года назад

    Una bonga Sana pahali yakutowa maelezo ya lazma

  • @merrysamweli5647
    @merrysamweli5647 4 года назад

    mhm mda mrefu unatumia bila maelezo kamili

  • @JoyceMalwila
    @JoyceMalwila 27 дней назад

    Hunalaaaamaana hujui kitu cha sekunekumi unaongea masaaaaa

  • @jestinanyirenda781
    @jestinanyirenda781 5 лет назад +2

    Uwiii wenzangu akimaliza maelezo akija kwenye maelezo ya maana mniamshe nilipata usingiz😂😂

  • @khadijakamus2850
    @khadijakamus2850 2 года назад

    Punguza maelezo mengi na u kitengeneza video Kamili maelezo kwani video zako hazifuatani kwa hiyo tunapata shida kuipata ya niendeleze wa hiyo mpk sasa sijapata kuendeleza kutotoa a mayai

  • @sadikinjiwa3118
    @sadikinjiwa3118 5 лет назад +4

    daa bando limeisha maelezo mengine sio yamsingi sana

  • @eloiskasereka9874
    @eloiskasereka9874 4 года назад

    Mbona nishaka kosa maelezo zaidi kuhusu iyi somo, natamani sana kutotolesha ila sehemu hiitu ndo Napata, nipe sehemu zote ilinijifunze nianje kutotolesha

  • @jeridashahamila1753
    @jeridashahamila1753 5 лет назад +2

    Mwlm mzur bt jitahidi kusummary mafunzo yako

  • @adelaidedaycareprenurseryk6324
    @adelaidedaycareprenurseryk6324 4 года назад +1

    Huyu ana roho mbaya Hana lengo la kuwapa watu elimu mbinafsi

  • @عوشزنجبار
    @عوشزنجبار 5 лет назад +6

    Unaboa unapendakuludia kulikomafuzo uliyoitajikuelekeza jilekebishe

  • @amadymaextro4311
    @amadymaextro4311 4 года назад

    Naomba unitajie hivyo vitu vya kuongezea

  • @aljabery.binruz
    @aljabery.binruz 4 года назад

    Mayai za kanga, kware,Bata, inaangua bada ya siku ngapi,na joto,na mvuke au humidity ngapi?

    • @yagomba3214
      @yagomba3214  4 года назад

      mayai bata ni zaidi ya siku 21 za kuku

  • @paulmhando6931
    @paulmhando6931 5 лет назад +4

    Mhmm nilisinzia APA kwenye sofa rudia ndugu du

  • @costantinebwire4463
    @costantinebwire4463 3 года назад

    Unatumia muda mrefu kupromote tv badala ya mafunzo pia unarudia rudia maneno

  • @Mangizakalia
    @Mangizakalia 9 месяцев назад

    Unaelekeza kifalasanaaaa

  • @harnandezxavi7874
    @harnandezxavi7874 4 года назад

    Aah msenge we sa ndo umefanya nn? Umetumalzia mb zetu cha maana hamna

    • @yagomba3214
      @yagomba3214  4 года назад

      usijali ndugu video tazama humo wapo walio totolesha nime waelekeza

  • @enziyolam9180
    @enziyolam9180 5 лет назад +2

    Mda mwingi umetumia kutaja namba za cm pamoja na kuhesabu mayai duuuu we ni mwalimu unafaa!!! Mpaka hamu ya kujifunza nimefirisika!!!

    • @yagomba3214
      @yagomba3214  5 лет назад

      Tunajielewa wa tz wengi ni wavivu kwenye mambo ya msingi

  • @pilimsangeni8668
    @pilimsangeni8668 5 лет назад +1

    Mmh kwakweli

  • @johnmnyema339
    @johnmnyema339 5 лет назад

    Hiiiii kaka muda!!!

  • @veronicakashumba5116
    @veronicakashumba5116 4 года назад

    Una maneno mengi

  • @abrahamaniramadhaniabraham1619
    @abrahamaniramadhaniabraham1619 5 лет назад +1

    Sehum yapili vp kaka tunaisubiri

    • @ikechukwu9366
      @ikechukwu9366 5 лет назад +1

      Abrahamani Ramadhani Abrahamani Ramadhani tafadhali tuleteye sehemu ya pili

    • @jahmanasakwe9530
      @jahmanasakwe9530 4 года назад

      🙏

  • @hastatz
    @hastatz 4 года назад

    Maneno maji inje ya mada

  • @rosemarymwakitwange6257
    @rosemarymwakitwange6257 4 года назад

    Maelezo yake yanachosha anarudia rudia sana

    • @yagomba3214
      @yagomba3214  4 года назад

      ruclips.net/video/ungutcTmvIk/видео.html hii fupi huchoki bonyeza link

  • @nairamusic363
    @nairamusic363 5 лет назад

    nzur

    • @wilhelminabalyagati9117
      @wilhelminabalyagati9117 4 года назад

      Watu hawa wanahitaji training, juu ya muda. Sasa hivi kila mtu ana channel but no skills

  • @sadikinjiwa3118
    @sadikinjiwa3118 5 лет назад +4

    punguza mbwembwe hata kuwasha taa hatuju

  • @eddyalagwa7564
    @eddyalagwa7564 4 года назад

    Mie nimeona box tu

  • @onenonetv5469
    @onenonetv5469 3 года назад

    unakera mnoo

    • @yagomba3214
      @yagomba3214  3 года назад

      hapana angalia yaomba utaona nilio wafundisha waka totoa video zipo

  • @juliussonga5353
    @juliussonga5353 5 лет назад +2

    Toa maelekezo sio muda wote unatoa namba ya simu na kusema subscribe tu, punguza maneno yasiyo ya msingi.Nani asiejua taa ya chemri?

    • @yagomba3214
      @yagomba3214  4 года назад

      ruclips.net/video/ungutcTmvIk/видео.html

  • @ТлепваиАкимветов
    @ТлепваиАкимветов 5 лет назад +1

    Жаксы🍇🍇🍎

  • @faustakitime5767
    @faustakitime5767 5 лет назад +2

    Aseeeee

  • @doritakims.3396
    @doritakims.3396 5 лет назад +3

    Who has tried this? Did it really work?

    • @yagomba3214
      @yagomba3214  5 лет назад +1

      Yes Doritos kims

    • @dawabank
      @dawabank 5 лет назад

      Please what is he trying to say because we don't understand his language

    • @yagomba3214
      @yagomba3214  5 лет назад

      ok check me to my whatsapp number Usman i will let you know

  • @luqmansultan983
    @luqmansultan983 4 года назад

    Mjomba hmn ki2 ww yagomba

    • @yagomba3214
      @yagomba3214  4 года назад

      Kuna jambo zuri sana hapo

    • @ombenimmasi3444
      @ombenimmasi3444 4 года назад

      @@yagomba3214 naomba niunge kwenye group LA whatsap kama unalo

    • @yagomba3214
      @yagomba3214  4 года назад

      @@ombenimmasi3444 nitafute kwenye namba hapo

  • @taskamadili9996
    @taskamadili9996 5 лет назад +7

    we nawe kazi ndogo tu ila unataka ujikute creater

  • @mkufunzimbaraka5525
    @mkufunzimbaraka5525 2 года назад

    Punguza maelezo

  • @winifridajohn5489
    @winifridajohn5489 5 лет назад +2

    Jitahidi kwenda na mda solazima ufanye vyoye umesha chora ungetoboa moja ilitukuelewe uendelee na mengine unanga'ngania watu wa subscribe wakati haujamaliza zoezi heeeee.

  • @BlesswellMureti
    @BlesswellMureti 4 месяца назад

    Tiba ya kuku

  • @emilkisigo8474
    @emilkisigo8474 4 года назад

    Unaboa jifunze kuelezea

  • @sadikinjiwa3118
    @sadikinjiwa3118 5 лет назад +1

    daa hii sizoni inabidi niifatilie pati 2

  • @lilymandari9872
    @lilymandari9872 4 года назад

    Nilitaman kuskiza had kwsho ila baada ya kuona unachukua mda mwing nimeamua kukimbia.

  • @azizalazri1283
    @azizalazri1283 5 лет назад +1

    Mimi kuaziya ayoo mayai sili adii aokuku wenyewe silk nikinyaaa tupu nakula kuku wavijijini wanao zaaa Kwa nguvuzao