JINSI YA KUTUMI INCUBATOR YA MAYAI 60 KUSET JOTO NA UNYEVU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 дек 2024

Комментарии • 29

  • @FESTOJACOB-t1m
    @FESTOJACOB-t1m 9 дней назад

    Hiyo mashine ni shilingi ngapi.

  • @harithpusuleiman1472
    @harithpusuleiman1472 29 дней назад

    Mnazo za mayai 30

    • @comradeallymaftah
      @comradeallymaftah  9 дней назад

      @@harithpusuleiman1472 0762212623 watsup and normal call

  • @michaelkungu4639
    @michaelkungu4639 3 месяца назад +1

    Kama machine haijajaa mayai sitini,je naweza weka Maya mengine haya mengine yakiwa bado hayajaanguliwa?

  • @witnessmwanjonde5955
    @witnessmwanjonde5955 Месяц назад

    Mimi ya kwangu nimeset kwenye unyevu unyevu inapanda mpaka 91 wakati nimeset 60

  • @NanderaMinja
    @NanderaMinja Месяц назад

    Umeme inatumika kiasi gani toka siku ya Kwanza Hadi ya ishirinina moja .

  • @donaldmachisu3626
    @donaldmachisu3626 Месяц назад

    Shilingi ngapi hiyo mashine

    • @comradeallymaftah
      @comradeallymaftah  9 дней назад

      @@donaldmachisu3626 0762212623 watsup and normal call

    • @comradeallymaftah
      @comradeallymaftah  9 дней назад

      @@donaldmachisu3626 0762212623 watsup and normal call

  • @zawadilom7490
    @zawadilom7490 2 месяца назад +1

    Itageuza yenyewe au Hadi nibonyeze Ili igeuze???

  • @MAXWELLMDUMA-fb9vl
    @MAXWELLMDUMA-fb9vl 3 месяца назад

    Zinauzwa bei Gani?

  • @MAXWELLMDUMA-fb9vl
    @MAXWELLMDUMA-fb9vl 3 месяца назад

    Na mayai lazima yawr 60, je?nikiweka chini ya hayo inawrzekana?

  • @Daviddagrandson2
    @Daviddagrandson2 3 месяца назад

    Yangu iko na shimo moja la kueka maji naeka maji kiasi gani

    • @Wakulimahub
      @Wakulimahub 3 месяца назад

      Unatumia hilo hilo kuwekea maji mpaka yafike usawa wa kutaka kumwagika

    • @Daviddagrandson2
      @Daviddagrandson2 3 месяца назад

      @@Wakulimahub asante

    • @comradeallymaftah
      @comradeallymaftah  2 месяца назад

      @@Daviddagrandson2 0762212623