Umesema mota ya kugeuza mayai inazimwa Siku ya 18,je kama nimeweka mayai kwa Siku tofauti.k.v. kila wíki, nikiizima sitadhiri mayai ambaya hayajafikia suki 18 ?
@@askincubatorstz7590 sasa mi nayiitaji nko mwanza lakn pia nawez kuuliza jinsi gan navoweza kupata mayai meng nautaratibu wa soko inavokuaga ili iwe vizuli zaid
Mashine inaweza tunza joto kwa masaa sita, ikiwa tatizo la mda mrefu zaidi waweza unganisha mfumo wa dharula Kama unao, battery na inveter au generator na stabilizer
KARIBU @Ask Incubators Tz MAKAO MAKUU DAR ES SALAAM - 0717523626 WATENGENEZAJI NA WASAMBAZAJI WA MASHINE ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA MASHINE ZETU ZOTE NI FULL AUTOMATIC NA ZINA GUARENTEE YA MWAKA MMOJA BEI ELEKEZI KWA MASHINE ZETU Mayai 60=320,000Tsh Mayai 180=650,000Tsh Mayai 264 =750,000Tsh Mayai 352=850,000Tsh Mayai 440=950,000Tsh Mayai 528=1,200,000Tsh Mayai 704=1,300,000Th Mayai 880=1,400,000Tsh Mayai 1056=1,500,000Tsh Mayai 1584=2,000,000Tsh Mayai 2112=2,500,000Tsh
size zote zimewekwa hadharani kupitia page zetu instagram Ask incubators tz waweza ona kupitia hapo au waweza kututafuta kupitia whatsapp 0717523626 kuona size yoyote utakayo hitaji
Humidity huwa tunatumia 65 siku ya kwanza hadi 18, vifaranga wakianza kuanguliwa huwa inaongezeka yenyewe kutokana na mositure iliyopo kwenye mayai yalio toa vifaranga
Kinafungwa kimoja wapo, ukiweka humidifier huna haja ya heater ya maji na ukiweka heater ya maji huna haja ya humidifier maana zote Zinafanya kazi moja
Asante kwa elimu nzuri
Karibu sana
Nice
Shukran kwa darasa zuri
Karibu sana
Waoooo Asante kutuelimisha khs hiyo incubator. Mnapatikana wp?
Karibu sana Tupo Mburahati Dsm 0717523626
mashine yangu ina switch ya light na fan vip kuhusu motor.
naomba namba ya cm
@@masukawilson3874 0717523626
Asante
Inauzwa tsh.ngapi
Kama hii inabeba mayai 264 kwa 750,000 Tsh
Kutokana na tatizo la kukatika/gharama ya umeme, unaweza kuamua kutumia Sola.Nitajuaje ukubwa/uwezo wa sola inayohitajika katika Incubator yangu ?
Solar haiwezi kuwa na consistency ya uwendeshaji wa mashine kwa muda wote wa siku 21
How much?
@@KiraboBetty-u7k 750,000 Tsh
Umesema mota ya kugeuza mayai inazimwa Siku ya 18,je kama nimeweka mayai kwa Siku tofauti.k.v. kila wíki, nikiizima sitadhiri mayai ambaya hayajafikia suki 18 ?
Haina madhara ndugu
Inauzwa bei gani .nimependa mfumo wake
750000 mawasiliano 0717523626
Inauzwa shlng ngp
750,000 Tsh
Kaka mi naitaka iyo mashine kwa njia yoyote inabei gan mnapatikana wap lakn pia naweza kuipataje mm
Karibu ndugu hii Ni mayai 264 kwa 750,000 mkuu ofisi zetu tupo Dsm mawasiliano zaidi 0717523626 call/WhatsApp
@@askincubatorstz7590 na ya mayai elf moja au kuanzia mia saba bei gan
@@shedrackkingkibafredy3469 mayai 1056 kwa Sasa Ni 1500000
@@askincubatorstz7590 sasa mi nayiitaji nko mwanza lakn pia nawez kuuliza jinsi gan navoweza kupata mayai meng nautaratibu wa soko inavokuaga ili iwe vizuli zaid
@@shedrackkingkibafredy3469 sawa ndugu kwa mawasiliano ya haraka zaidi waweza nicheki 0717523626 call/WhatsApp
me nataka kujua pale pindi umeme umekatika mtu anatakiwa afanyaje ili mayai yaendelee kupata joto?
Mashine inaweza tunza joto kwa masaa sita, ikiwa tatizo la mda mrefu zaidi waweza unganisha mfumo wa dharula Kama unao, battery na inveter au generator na stabilizer
@@askincubatorstz7590 asantee sanaa
@@askincubatorstz7590mashine ina wat ngapi
Hongera Kwa Elimu nzuri!! Fen inatakiwa iwe na size ipi ya mzungunguko?
itategemea na size ya mashine mkuu
@@askincubatorstz7590 ya mayai 1056
@@francismagembe9400 huwa natumia pangaboy yenye kipenyo Cha Milimita 600
Nikihitajia ya sola nitapata
hizo hatuna ndugu
Bei yahiyo mashine ulionyesha nikiasi gani
Mayai 264 kwa 750000
Naweza kupata mashine ya mayai zaidi ya 500
Ndio karibu ndugu 0717523626
KARIBU @Ask Incubators Tz MAKAO MAKUU DAR ES SALAAM - 0717523626
WATENGENEZAJI NA WASAMBAZAJI WA MASHINE ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA
MASHINE ZETU ZOTE NI FULL AUTOMATIC NA ZINA GUARENTEE YA MWAKA MMOJA
BEI ELEKEZI KWA MASHINE ZETU
Mayai 60=320,000Tsh
Mayai 180=650,000Tsh
Mayai 264 =750,000Tsh
Mayai 352=850,000Tsh
Mayai 440=950,000Tsh
Mayai 528=1,200,000Tsh
Mayai 704=1,300,000Th
Mayai 880=1,400,000Tsh
Mayai 1056=1,500,000Tsh
Mayai 1584=2,000,000Tsh
Mayai 2112=2,500,000Tsh
Mbona hamuoneshi mashine zenu ndogo au hazina sifa?
size zote zimewekwa hadharani kupitia page zetu instagram Ask incubators tz waweza ona kupitia hapo au waweza kututafuta kupitia whatsapp 0717523626 kuona size yoyote utakayo hitaji
Bei gan
Mashine ya size gani
@@askincubatorstz7590 ya mayai mia
Kuna size ya 120 kwa 550000
Ulaji wa umeme wawezakutumia kiasi gn inayobeba mayai 1026
Units 6 kwa saa 24 ndugu
mimi nahitaj incubator utaratibu uko vip na ntaipata vip?
Karibu Sana maalim
Na taa ya kupimia mayai kama yana mbegu ni ipi?
Kifaa Cha kukagulia mayai waweza tafuta tochi ndogo kwaajili ya kazi hiyo
Nahitaji machine mnapatikana wap?
tupo Dsm mburahati 0717523626 call\whatspp
Nahitajiii zile trey za kupokelea vifarangaa baada ya kutotoleshwa
wasiliana nasi kwa 0717523626
Pia naomba ushaur nitumie njia zip katika eneo linalokabiriwa na kukatika umeme Mara kwa mara
Utafute generator na stabili'er kama mfumo wa mbadala wa kuendeshea ikiwa umeme umekatika
Sola je?
Ni lazima generator iwe na Stabilizer ?
@@juliuschagama7304 ndio ndugu umeme wa generator usiingie moja kwa moja kwenye mashine
@@juliuschagama7304 solar inabidi uwe na battery na inveter itaweza endesha kwa masaa kadhaa
Humidity ikiwa zaidi ya 65 nifanyeje ili kupunguza iwe 65
Naomba namba ya simu
0717523626 call/WhatsApp
Kuna tatizo la kukatika umeme kwenye nchi yetu je haiwez kuharibu mayai endapo umeme utakatika kwa saa 12 au saa 24
Lazma niichukuwee hyo mashinee
karibu sana ndugu
Mimi naitwa BOFU wa mbande dsm, je Ofisi yenu IPO wap na namba ya simu niandikie na namba ya Whatsapp
Tupo Dsm 0717523626
Hujafafanua kuhusu temperature na humidity wakati wa kutamia na wakati wa kuangua
Humidity huwa tunatumia 65 siku ya kwanza hadi 18, vifaranga wakianza kuanguliwa huwa inaongezeka yenyewe kutokana na mositure iliyopo kwenye mayai yalio toa vifaranga
Je naweza kupata namba zenu
0717523626 karibu sana ndugu
je nilazima kuwa na humidifier, chakusamba za unyevu au hiyo heater inatosha,
Kinafungwa kimoja wapo, ukiweka humidifier huna haja ya heater ya maji na ukiweka heater ya maji huna haja ya humidifier maana zote Zinafanya kazi moja
je heater ya maji inachukua muda gani mpaka kuanza kufanya kazi au ukishaweka maji tu hapohapo inafanya kazi kama heater za kawaida?
Unyevu ukishuka ndio heater inawaka kupandisha
hi sir do you still using this what sup number,because I try to get you no way sir please respond me thanks?
Yes welcome check me in WhatsApp +255717523626
Nice
@@AnjePaul-z8q Thanks