Unaujinga mwingi hivi unaomgea mno mpaka muda unaisha na hakuna kumalizia to hell ndio shida ya wabongo acha niendelee na incubator yangu ya umeme tu huu niupuuz
Simon Samwel sinus ha aonag wenzao wanaweka utube channel wanaelezea kitu dakika tano Ila unajikuta umeelewa unatengeenza mpaka Nyumba huyu incubator ya box tu karibu dk Tisa na hakuna aloelewa
Kaka punguza maelekezo
Sitazami teeeenaaaa videos zako.
sawa wilda duma
Hapo kwenye hatua ya pili❤ baada ya kuweka randa kwa just nataka kufaham tafadhar
nipigie 0762956366 kuna utaratibu wake
Somo nimependa naomba kuuriza chin unatanguriza nin ndo unaweka mayai
Mbona humalizii
Mmmmm unatumia mda mrefu kufundisha
Mwehu wewe nani atasubscribe wakati hakuna unachofanya yani maneno mengi vitendo zero unamaliza mb zetu tu,nenda huko
Gyna Mbena hahahahah kaniudh natana nimuone liveningempa Kofi la mdomo
@@florencemseja530 mwehu huyo
hahaha mbona video zipo humo walio totolesha ingia ndani
unazngua tuh maelezo yakijinga unamalza MB za watu bila sababu za msing
pole karibu ujifunze 0762956366
Tupo pamoja
kwanza sikuelewi
Pendo mluge hata mm sijamuelewa niujinga mtupu
Muendelezo Upo Wap
Maelezo kibao mate do 0
Unaujinga mwingi hivi unaomgea mno mpaka muda unaisha na hakuna kumalizia to hell ndio shida ya wabongo acha niendelee na incubator yangu ya umeme tu huu niupuuz
pole ndugu
Wai yaan mnapoteza muda wa mtu kwa maelezo meengi yasiokuwa na mwisho,Sasa sjui hata kitu unachofundisha,pls try to go directly to the point bhana
Simon Samwel sinus ha aonag wenzao wanaweka utube channel wanaelezea kitu dakika tano Ila unajikuta umeelewa unatengeenza mpaka Nyumba huyu incubator ya box tu karibu dk Tisa na hakuna aloelewa
0762956366
Pumbavu kabisaa
asante boss
Mbn hvyo Ndugu kuwa na upendo japo kidogo tu
Ujinga mtupu huji unacho fundsha