YAGOMBA
YAGOMBA
  • Видео 1 198
  • Просмотров 984 455

Видео

KAMA WEWE UNA TENGENEZA CHAKULA CHA KUKU,BATA, MIFUGO KUWA MAKINI NA HII KITU AISEE...
Просмотров 3619 часов назад
#YAGOMBA TV#ruclips.net/channel/UCpottYgyO5wFKUWR6_gpT0g
JINSI YA KUPOKEA VIFARANGA VYA KUKU BAADA YA KUTOKA KUTOTOLESHWA NA ULEAJI KWA KUTUMIA MKAA
Просмотров 3319 часов назад
#YAGOMBA TV#ruclips.net/channel/UCpottYgyO5wFKUWR6_gpT0g
JINSI YA KUONDOA BACTERIA NDANI YA BANDA LA KUKU,MBUZI NA MIFUGO AINA ZOTE
Просмотров 2919 часов назад
#YAGOMBA TV#ruclips.net/channel/UCpottYgyO5wFKUWR6_gpT0g
JINSI YA KUMUONGEZEA KUKU MAYAI ATOTOE MENGI
Просмотров 3619 часов назад
#YAGOMBA TV#ruclips.net/channel/UCpottYgyO5wFKUWR6_gpT0g
FAHAMU TABIA YA VIFARANGA VYA KUKU BAADA YA KUFIKA BANDANI KWA MARA YA KWANZA
Просмотров 3419 часов назад
#YAGOMBA TV#ruclips.net/channel/UCpottYgyO5wFKUWR6_gpT0g
JINSI YA KUTIBU KUKU MWENYE MATATIZO YA UPUMUAJI
Просмотров 4928 дней назад
#YAGOMBA TV#ruclips.net/channel/UCpottYgyO5wFKUWR6_gpT0g
JINSI YA KUTENGENEZA DAWA YA KUUA WADUDU AINA ZOTE MPAKA MASHAMBANI
Просмотров 5828 дней назад
#YAGOMBA TV#ruclips.net/channel/UCpottYgyO5wFKUWR6_gpT0g
JINSI YA KUMTIBU KUKU KWA KUMCHOMA SINDANO
Просмотров 1028 дней назад
#YAGOMBA TV#ruclips.net/channel/UCpottYgyO5wFKUWR6_gpT0g
JINSI YA KUMPA DAWA BATA ILIYO TENGENEZWA KWA NJIA YA ASILI
Просмотров 73Месяц назад
#YAGOMBA TV#ruclips.net/channel/UCpottYgyO5wFKUWR6_gpT0g
JINSI YA KUTENGENEZA MBEGU YA MPUNGA UTOKE VIZURI WOTE
Просмотров 45Месяц назад
#YAGOMBA TV#ruclips.net/channel/UCpottYgyO5wFKUWR6_gpT0g
JINSI YA KUTENGENEZA KASHATA TAMU SANA
Просмотров 492 месяца назад
#YAGOMBA TV#ruclips.net/channel/UCpottYgyO5wFKUWR6_gpT0g
Jinsi ya kutengeneza Mashine ya kutotoa Mayai ya Nyoka,Kanga,Kuku na Bata
Просмотров 1022 месяца назад
#YAGOMBA TV#ruclips.net/channel/UCpottYgyO5wFKUWR6_gpT0g
JINSI YA KUTENGENEZA WINE YA ROSSELA AU CHOYA
Просмотров 3392 месяца назад
#YAGOMBA TV#ruclips.net/channel/UCpottYgyO5wFKUWR6_gpT0g
TENGENEZA MWENYEWE DAWA ZA KUTIBU KUKU,BATA NA KANGA
Просмотров 483 месяца назад
#YAGOMBA TV#ruclips.net/channel/UCpottYgyO5wFKUWR6_gpT0g
KIFAA CHA KUTOTOA MAYAI YA KUKU,BATA NA KANGA HATA YA NYOKA
Просмотров 653 месяца назад
KIFAA CHA KUTOTOA MAYAI YA KUKU,BATA NA KANGA HATA YA NYOKA
JINSI YA KUTIBU UGONJWA WA MIGUU WA KUKU WADOGO NA WAKUBWA
Просмотров 1523 месяца назад
JINSI YA KUTIBU UGONJWA WA MIGUU WA KUKU WADOGO NA WAKUBWA
WANAFUNZI WA WATENGENEZA SABUNI YA MAJI TAZAMA MWENYEWE
Просмотров 363 месяца назад
WANAFUNZI WA WATENGENEZA SABUNI YA MAJI TAZAMA MWENYEWE
NJIA NYEPESI KUTENGENZA DAWA ZA ASILI ZA KUKU PIA NI MBOLEA KWA MAZAO SHAMBANI
Просмотров 603 месяца назад
NJIA NYEPESI KUTENGENZA DAWA ZA ASILI ZA KUKU PIA NI MBOLEA KWA MAZAO SHAMBANI
JINSI YA KUTOTOA MAYAI KWA NJIA YA BOX,TAA,UMEME,MAJIVU NA PUMBA
Просмотров 733 месяца назад
JINSI YA KUTOTOA MAYAI KWA NJIA YA BOX,TAA,UMEME,MAJIVU NA PUMBA
JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI ZA MAJI AINA ZOZOTE UNAZOTAKA
Просмотров 303 месяца назад
JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI ZA MAJI AINA ZOZOTE UNAZOTAKA
JINSI YA KUTENGENEZA CHAKULA CHA KUKU,BATA NA KANGA
Просмотров 683 месяца назад
JINSI YA KUTENGENEZA CHAKULA CHA KUKU,BATA NA KANGA
NJIA NYEPESI KUJUA MAGONJWA YA KUKU
Просмотров 343 месяца назад
NJIA NYEPESI KUJUA MAGONJWA YA KUKU
JINSI YA KULEA VIFARANGA VYA KUKU,BATA KWA NJIA YA ASILI
Просмотров 843 месяца назад
JINSI YA KULEA VIFARANGA VYA KUKU,BATA KWA NJIA YA ASILI
JINSI YA KUJUA VIFARANGA VYA KUKU,BATA,KANGA JOTO HALITOSHI BANDANI
Просмотров 253 месяца назад
JINSI YA KUJUA VIFARANGA VYA KUKU,BATA,KANGA JOTO HALITOSHI BANDANI
ATOTOA MAYAI KWA NJIA YA BOX ATUMIA MASHINE HIYO KULEA VIFARANGA
Просмотров 733 месяца назад
ATOTOA MAYAI KWA NJIA YA BOX ATUMIA MASHINE HIYO KULEA VIFARANGA
KAMA WEWE NI MFUGAJI WA KUKU,BATA,KANGA ZINGATIA KITU HIKI
Просмотров 573 месяца назад
KAMA WEWE NI MFUGAJI WA KUKU,BATA,KANGA ZINGATIA KITU HIKI
JINSI YA KUTENGENEZA MBEGU YA NYANYA BILA KWENDA NUNUA DUKANI
Просмотров 563 месяца назад
JINSI YA KUTENGENEZA MBEGU YA NYANYA BILA KWENDA NUNUA DUKANI
JINSI YA KUTENGENEZA DAWA YA ASILI YA KUTIBU KUKU
Просмотров 313 месяца назад
JINSI YA KUTENGENEZA DAWA YA ASILI YA KUTIBU KUKU
JINSI YA KUTENGENEZA CHAKULA CHA KUKU WAKUE HARAKA NA KUTAGA MAYAI
Просмотров 2703 месяца назад
JINSI YA KUTENGENEZA CHAKULA CHA KUKU WAKUE HARAKA NA KUTAGA MAYAI

Комментарии

  • @JoyceMushi-eg8fy
    @JoyceMushi-eg8fy 4 дня назад

    Inaonekana wewe ni mbabaishaj jirekebishe soma comment

  • @JoyceMushi-eg8fy
    @JoyceMushi-eg8fy 4 дня назад

    Unatumika muda mrefu sana kutoka maelekrzo onasasa unamaliza bando letu na Bado hatujapata chochote changamka bana unaboa sana umetupotezea muda cha maana ulichoelekeza sikion

  • @malisaemmanuel1373
    @malisaemmanuel1373 4 дня назад

    Ndo nn ss ulicho ongea

  • @oskasesekalemaofficiel
    @oskasesekalemaofficiel 7 дней назад

    Namba yako sasa

  • @LissaJackison
    @LissaJackison 14 дней назад

    Nitajie izo chemical zinaitwajwe

  • @Henry-d5k
    @Henry-d5k 18 дней назад

    Mayai kwenye incubator yanakaa siku ngap

  • @julithaurassa1052
    @julithaurassa1052 21 день назад

    Huna lolote, huwezi kupata hela kiivyo. Uwongo, uchoyo, vimekujaa. Pole sana.

  • @StellaDuma-tv4zf
    @StellaDuma-tv4zf 27 дней назад

    Nakutafuta gomba

  • @JoyceMalwila
    @JoyceMalwila 28 дней назад

    Msenge

  • @JoyceMalwila
    @JoyceMalwila 28 дней назад

    Hunalaaaamaana hujui kitu cha sekunekumi unaongea masaaaaa

  • @ramadhaninasoro8297
    @ramadhaninasoro8297 28 дней назад

    Mpo Arusha?

  • @mariamariasamkisamky1906
    @mariamariasamkisamky1906 29 дней назад

    Kutengeneza wine ya Rozelle ndio mantik lkn aah maelezo mengiiii

  • @Teaching356
    @Teaching356 Месяц назад

    Asante ,brighter mbona hujaiweka.

  • @fzarforexacademy2182
    @fzarforexacademy2182 Месяц назад

    Huo ni ugonjwa mbna 😅

  • @HabibuHuseni-k9v
    @HabibuHuseni-k9v Месяц назад

    Kaka punguza maelekezo

  • @Lora97937
    @Lora97937 Месяц назад

    Kwa kahama naweza kupata sehem gani naomba nielekeze

  • @HassnNyoni-h5x
    @HassnNyoni-h5x Месяц назад

    Naomba mafunzo Mkuu

  • @TegemeaSanga-f5n
    @TegemeaSanga-f5n 2 месяца назад

    Naomb unifundishe namna ya kuandaa majivu wakati was kutotolesha

  • @zainakhassim
    @zainakhassim 2 месяца назад

    Mbona namba zako kaka Kila nikipiga sikupati

  • @charleskuyeko1660
    @charleskuyeko1660 2 месяца назад

    Huna maana yoyote. Wewe ni mwongo na hujui kitu. Hatumupigii unaonekana tapeli.

    • @yagomba3214
      @yagomba3214 2 месяца назад

      huo ni mtazamo wako siwezi kupinga ila unaweza andika semina za Yagomba TV utaniona nikifundisha watu wenye akili zao timamu hapo ndo utanielewa boss

  • @kassimabal4862
    @kassimabal4862 2 месяца назад

    Joto lake Una set nyuzi joto ngapi

  • @kassimabal4862
    @kassimabal4862 2 месяца назад

    Una set joto lake liwe ngapii?

  • @ignasmalema8354
    @ignasmalema8354 2 месяца назад

    Inapendeza sana,

  • @sanifamohamedi-fx7vj
    @sanifamohamedi-fx7vj 2 месяца назад

    Nenda moja kwa moja kwenye pont (unarudiarudia sana)

  • @sanifamohamedi-fx7vj
    @sanifamohamedi-fx7vj 2 месяца назад

    Asante nimekuelewa

  • @ElizabethStivin
    @ElizabethStivin 2 месяца назад

    Ujakuwa muwazi kwenye upande wamajivu mzeee😮

  • @Lidya-nt6ek
    @Lidya-nt6ek 2 месяца назад

    KAZI mzuri watching at Kenya can I get the pattern

    • @yagomba3214
      @yagomba3214 2 месяца назад

      karibu +255762956366 call me

  • @oreosmundi1967
    @oreosmundi1967 2 месяца назад

    Ameeeeeen

  • @tariqramathan1134
    @tariqramathan1134 2 месяца назад

    Matangazo mengiiiiiiiiiiiii .. na akuna cha maana ..

  • @annamwinuka5898
    @annamwinuka5898 3 месяца назад

    Hujui kufundisha ctasubscibe

  • @MarwaMwita-bu1pg
    @MarwaMwita-bu1pg 3 месяца назад

    sasa mbona haujamalizia hiyo prosess

  • @ShabanisalumSaid
    @ShabanisalumSaid 3 месяца назад

    unakiuza bei gan

  • @mmambamandari4436
    @mmambamandari4436 3 месяца назад

    Ujaelekeza namna ya kutumia xx kaka

  • @shurahShafii
    @shurahShafii 3 месяца назад

    Wee ADI mkonge

  • @SimaCharles-c4o
    @SimaCharles-c4o 3 месяца назад

    Sorry namba ya muuzaji

  • @ShazyDee-w5d
    @ShazyDee-w5d 3 месяца назад

    Sasa unafundisha nn kama mambo mengine autuambii si Bora usifundishe

  • @aishaadam-xp7yl
    @aishaadam-xp7yl 3 месяца назад

    Hell kaka Ang nimependa San ,Ira napenda kujifunz kufuma nakupataje,

  • @Tedytadey
    @Tedytadey 3 месяца назад

    Yaani wewe mbinafsi Sana kama hutaki kufundisha siuache

  • @uziasinkamba7380
    @uziasinkamba7380 3 месяца назад

    Hovyo mbinafs hay faidika

  • @aphishelupogo3736
    @aphishelupogo3736 3 месяца назад

    Video unaichukua ovyo ovyo haileti mvuto wa kazi

  • @Tedytadey
    @Tedytadey 3 месяца назад

    Mnisaidie jamani bata wangu ametaga amekufa nataka kutotolesha angalau nipate vifaranga please

    • @yagomba3214
      @yagomba3214 3 месяца назад

      0762956366 piga kuna utaratibu utapewa ya mafunzo

  • @Tedytadey
    @Tedytadey 3 месяца назад

    Bata wangu wakitaga mayai matano alafu wanaacha shida nini

  • @MwajumaTude
    @MwajumaTude 4 месяца назад

    Yesu

  • @juliethkibasa1608
    @juliethkibasa1608 4 месяца назад

    safii sana .tunasubiri video inayofuata

  • @BlesswellMureti
    @BlesswellMureti 4 месяца назад

    Tiba ya kuku

  • @BlesswellMureti
    @BlesswellMureti 4 месяца назад

    Tiba ugojwa

  • @ShamcHeri
    @ShamcHeri 4 месяца назад

    Vip

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 4 месяца назад

    Hufai kabisa blaablaa nyingi

  • @GladyMosha-h9z
    @GladyMosha-h9z 4 месяца назад

    Simu yenu haipatikani. Tangu last week napiga siipati.

    • @yagomba3214
      @yagomba3214 8 дней назад

      nipigie 0762956366 ipo hewani klia siku

  • @suzan2929
    @suzan2929 4 месяца назад

    Sasa ww unasema nn sielewi