Mbona utagaji Sasa utakua changamoto kwa Hilo Banda lako. Umejenga Banda pasipo kufikiria mbele wakati wa kutaga. Hukutilia maanani mzunguko wa nyuzi 360 kwa life circle ya kuku. Tangu kifaranga Hadi kutaga na kumaliza mzunguko wa maisha yake. Haijajitosheleza.
Kuhusu kukaa chini sio sahihi lakini kuhusu kujisaidia ndani ya vyombo sio sahihi pia, isipokuwa vyombo vinaning'inizwa kwa sababu ya kuto kumchosha kuku. Na vyombo kila kuku anavyokua vinatakiwa viwe saizi ya mgongo. Ahsante kwa kushare japo lengo la video halikuwa kwenye vyombo. Ndio maana ikaitwa BANDA BORA ENEO DOGO
Kwa banda la muundo huo linatakiwa kuwa na upana na kimo cha sentimita ngapi kwa kila ghorofa?. Je kimo kati ya paa la ghorofa ya chini na sakafu ya ghorofa ya juu yake ni sentimita ngapi? Yaani uwazi uliopo kwa ajili ya kudondoshea kinyesi.
Vipimo halisi inategemea na eneo unalofikiri Kuweka Kuku wako.... Lakini kwa Ujumla eneo la Square Mita 1 wanakaa kuku wa chotara 4-5, Lakini eneo Hilo Hilo wanakaa kuku 10-12 wa broiler
Karibu kwa maelekezo mengine zaidi.. 0766 387 914 kwani banda halijengwi kwa vipimo sawa lakini unaweza kushauriwa kujenga kulingana na bajeti, mazingira, na malighafi zinazopatikana.
Big yo Sana kaka
Asante chini umetumia wavu aina gani
Samahani ningependa kuuliza gharama ambayo ulitumia katika utengenezaji wa Banda lako
Nimeipenda sana hii.
Karibu
So nice boss
Hongera
Mafunzo mazuri sana
Safi sana nimeipenda
Hongera sana mkufunzi
Mafunzo mazuri, lakini hiyo muziki toa
Mbona utagaji Sasa utakua changamoto kwa Hilo Banda lako. Umejenga Banda pasipo kufikiria mbele wakati wa kutaga. Hukutilia maanani mzunguko wa nyuzi 360 kwa life circle ya kuku. Tangu kifaranga Hadi kutaga na kumaliza mzunguko wa maisha yake. Haijajitosheleza.
Sorry naweza kupata mawasiliano yako tafadhali
Jaman tupo pamoja
Asante kwa kuelimisha.
Karibu sana!!
Nimeielewa sana hii
Asante sana
Nice
Kwa mfano kuku Mia unatumia nyavu kiasi gani
Yanavyookaa chini hapo ni rahisi sana kuku kujisaidia ndani ya maji au chakula ni lazima vifaa vya chakula vining'inizwe
Kuhusu kukaa chini sio sahihi lakini kuhusu kujisaidia ndani ya vyombo sio sahihi pia, isipokuwa vyombo vinaning'inizwa kwa sababu ya kuto kumchosha kuku. Na vyombo kila kuku anavyokua vinatakiwa viwe saizi ya mgongo. Ahsante kwa kushare japo lengo la video halikuwa kwenye vyombo. Ndio maana ikaitwa BANDA BORA ENEO DOGO
Navipi sehemu ya kutagiya
Anakuku wanganui kwenye hilo banda?
Hongereni kwa uelimishaji juu ya ufugaji.
Je mna mchanganuo wa ufugaji kuku wa kienyeji kibiashara?
Karibu tupigie kwa muongozo zaidi 0766 387 914
Nimependa sana jamani Sasa nawapataje mimi nipo Morogoro gairo ninyi mko wapi
Ni kiwango ya kuku ngapi wana weza kaha ndani ya mita mja ya mraba.
Kama ni chotara 3-4 na kama ni broire 6 hadi 8
Naomba unifundishe jinsi ya kutengeneza hilo bando naomba tafadhali
Samahn walikuelekeza jinsi ya kutngeneza
Je mfumo huu unafaa Kwa kuku wa kienyeji?
Hi I need this m place is too small
Wanalipa??
Kulipaje?..
@@kukuuchumi2575 wana faida nzurii?
Hao kuku wanataga wapi mbona sijaona ,wanakotaga?
Lakini vpi kuhusu kuku wanaotaga
Kwa banda la muundo huo linatakiwa kuwa na upana na kimo cha sentimita ngapi kwa kila ghorofa?. Je kimo kati ya paa la ghorofa ya chini na sakafu ya ghorofa ya juu yake ni sentimita ngapi? Yaani uwazi uliopo kwa ajili ya kudondoshea kinyesi.
Nini vipimo vya ndani?
Vipimo halisi inategemea na eneo unalofikiri Kuweka Kuku wako.... Lakini kwa Ujumla eneo la Square Mita 1 wanakaa kuku wa chotara 4-5, Lakini eneo Hilo Hilo wanakaa kuku 10-12 wa broiler
Vipimo vya banda... vinategemea na aina ya kuku na eneo unalo taka kujenga banda zaidi tupigie kwa ushauri 0766 387 914
Wanatagaje hapo
Viota vitawekwa!! Wafikapo Umri wa kutaga!
Somo nzuri Ila hajatuelekeza ukububwa wa hayo babanda na kila banda Lina mita square ngapi na wanatakiwa kukaa kuku wangapi
Karibu kwa maelekezo mengine zaidi.. 0766 387 914 kwani banda halijengwi kwa vipimo sawa lakini unaweza kushauriwa kujenga kulingana na bajeti, mazingira, na malighafi zinazopatikana.
Kaka naomba no yako plzzz
0766387914
Ineed
Karibu SANA KUKU uchumi
@@kukuuchumi2575 saw umeeleweka, lakn namna ya kutaga je