Jinsi ya Kumlisha KUKU wa KIENYEJI Akue Haraka, Awe Mzito Uwahi Kumuuza Upate Faida Zaidi

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 ноя 2024

Комментарии • 196

  • @kibajadaniel9887
    @kibajadaniel9887 4 месяца назад +4

    Mwenyenzi MUNGU akuzidishe ndugu

  • @WitnessLaizer-w4i
    @WitnessLaizer-w4i 2 месяца назад +2

    Asante kwa elimu hongera sana ubarikiwe

  • @WitnessLaizer-w4i
    @WitnessLaizer-w4i 2 месяца назад +1

    Namshukuru kwa elimu ongera sana

  • @aminamikidadi8478
    @aminamikidadi8478 2 года назад +1

    Ahsanteni

  • @mgangaa.semwija8750
    @mgangaa.semwija8750 4 года назад +4

    Hongera sana kwa ufugaji mzuri wa kuku

  • @tunsumemwajumba7149
    @tunsumemwajumba7149 11 месяцев назад

    Asante sama

  • @judithmchaki4880
    @judithmchaki4880 4 года назад +1

    Shukrani

  • @EstherMelly
    @EstherMelly 3 месяца назад

    Asante sana

  • @NduwayoGuillaume-ev3dh
    @NduwayoGuillaume-ev3dh 5 месяцев назад +10

    Mwalimu je?nilazima ukate ale manyoya yavifalanga?ni kwa Nini? Jibu inshaallah

  • @MutoleLevinos
    @MutoleLevinos 2 месяца назад

    Mungu akupe sifa kweli 😮😮

  • @jimmyjohn8184
    @jimmyjohn8184 3 года назад

    Asante, nimeelewa sana

  • @marymjera3873
    @marymjera3873 Год назад

    Thank you for you good advise my chicken eat alot 3months with loss weight on need advice

  • @Allen-e2q
    @Allen-e2q 4 месяца назад

    Ahsante sana kwa somo zuri swali je ukataji wa manyoya ya kuku kunasaidia nni kwa kuku😮😮

  • @elibarikishukya-lf3sk
    @elibarikishukya-lf3sk 6 месяцев назад

    Asanteni

  • @floraweja6193
    @floraweja6193 3 года назад

    Mungu awabariki kwa elimu yenu

  • @danielmwakatuma1438
    @danielmwakatuma1438 3 года назад +3

    Mbarikiwe kwa ushauri wenu mzuri.tunaomba msiache kutushauri.

  • @vaikaayagadiel520
    @vaikaayagadiel520 2 года назад

    Asante. Nauliza kwa nini kuku wangu wanataga mayai ambayo hayajatimia, yaani bado ganda halijawa gumu

  • @madinaali1107
    @madinaali1107 2 года назад +1

    Shukrani kwa mafunzo na ushauri wenu. Naomba kuelezwa, nini faida ya kukata mabawa ya kuku?

  • @mousalyatitima6620
    @mousalyatitima6620 4 года назад +3

    Je! Ni nyumba bora ya kuku gani kwa ardhi ya kuku wa kienyeji au sakafu iliyoinuliwa?

  • @HelenSablaki
    @HelenSablaki 2 месяца назад

    Hongera sana kwa ufugaji mzuri, ni kwanini tunakata mabawa?

  • @mrneysherin9109
    @mrneysherin9109 4 года назад

    Habari zenu mm nimgeni wenu kutoka Kenya

  • @mariamj4358
    @mariamj4358 2 года назад

    Nimeona unawakatq mayoya vifaranga,Ili iweje?ama kunafaida ipi?

  • @judithwanjiku4102
    @judithwanjiku4102 3 года назад

    Hello, kwanini vifaranga unawakata manyoya? Ahsante.

  • @CarolyneOnsongo
    @CarolyneOnsongo 5 месяцев назад

    Ninafurahia sana

  • @wariaelipallangyo953
    @wariaelipallangyo953 4 года назад +11

    Elimu yenu ina manufaa sn kwetu,napenda kufahamu kwanini tunawakata kuku mabawa tafadhali.

  • @mohammeduseni2958
    @mohammeduseni2958 2 года назад

    👍

  • @edithaolomi
    @edithaolomi 4 месяца назад +1

    Naomba namba ya simu

  • @suzanealoyce6589
    @suzanealoyce6589 2 года назад

    Vifaranga Bora navipataje kwa arusha

    • @KukuVillage
      @KukuVillage  2 года назад

      Vifaranga Bora tunakuletea sisi wenyewe kuku village. Mpaka arusha . Karibu

  • @melkion
    @melkion 2 года назад

    Naomba somo la jinsi ya kumlisha kuku wa KIENYEJI kuanzia kifaranga mpaka awe mkubwa kilograms za vyakula

  • @chrispinamgala7816
    @chrispinamgala7816 4 года назад

    Mafunzo mazuri sana hongera .swali kwanini Kukata mabawa ya vifaranga?

  • @suzanazambi226
    @suzanazambi226 2 года назад

    Naomba mniunge kwenye group

  • @mousalyatitima6620
    @mousalyatitima6620 4 года назад +3

    Why do we to give layers mash then grower ?the feeding program start with starter mash,grower and layers mash/finisher

    • @KukuVillage
      @KukuVillage  4 года назад +2

      It starts with starter , grower then layers mash. But to broilers thats when we get finisher at final stage.

    • @mousalyatitima6620
      @mousalyatitima6620 4 года назад +1

      @@KukuVillage Thank you but in your video you are saying that after start mash to use layer start then grower

    • @KukuVillage
      @KukuVillage  4 года назад

      I dont remember but its as i told you.

    • @KukuVillage
      @KukuVillage  4 года назад

      I dont remember but its as i told you.

    • @mousalyatitima6620
      @mousalyatitima6620 4 года назад +1

      @@KukuVillage listen at 7:11 IN VIDEO ABOVE you saying to give after 10 day change to layer start - robo tetu and

  • @mariamselemani4981
    @mariamselemani4981 3 года назад

    Kwa nn vifaranga wanakatwa mabawa?

  • @MackWaLweya
    @MackWaLweya 4 месяца назад +1

    Jambo tuandikie namba zenu kwa maandishi.

  • @LucyOgonyo-j2e
    @LucyOgonyo-j2e 4 месяца назад

    Mbona unakata manyoa ya Manawa?

  • @lutamyomwasipo6876
    @lutamyomwasipo6876 3 года назад

    Elimu yako ni nzuri sana , vifaranga vikifika wiki mbili wapate chakula gani?

    • @KukuVillage
      @KukuVillage  3 года назад

      Asante , bado wanatumia starter

  • @edithaolomi
    @edithaolomi 4 месяца назад +1

    Unapatikana wapi nimetamani sana kuku wako

  • @ezralangborn214
    @ezralangborn214 4 года назад +2

    Ukikata hizo mbawa za vifaranga inasaidia nini?

  • @SNicky-cl2gr
    @SNicky-cl2gr Месяц назад

    😮😮😮😮😮😊

  • @dometngwenga3588
    @dometngwenga3588 3 года назад

    Naomba mnitajie namba za kutuma michango wangu

  • @TheresiaKimaro
    @TheresiaKimaro 4 месяца назад +1

    Mwalimu nimekuelewa vzr sawa wakati huo wote kuku watakuwa wanatumia dawa Gani?

    • @KukuVillage
      @KukuVillage  4 месяца назад

      Kuku asipewe dawa kama haumwi

  • @mashaainsuranceagency5925
    @mashaainsuranceagency5925 5 месяцев назад

    HAYA MASOMO YA TAREHE 1 TO 15 BADO YANAENDELEA ?

  • @akidasalim3859
    @akidasalim3859 4 года назад +4

    Kwa nini mnawakata mbawa?

    • @asherb.m.9314
      @asherb.m.9314 3 года назад +1

      Why do you never answer this question?

  • @magdalenamtweve7403
    @magdalenamtweve7403 3 месяца назад +1

    Naomba urudie no za kujiunga na kulipia unataja haraka know!!

  • @jumakuswa715
    @jumakuswa715 3 года назад +4

    Habari nauliza nikwann vifaranga mnawakata mbawa na mnakata wakiwa na umri gani?

  • @leahmgunda177
    @leahmgunda177 3 года назад

    Kukata Manyoya kunasaidia nini?

  • @florarog548
    @florarog548 3 года назад

    🙏

  • @paulinas.3631
    @paulinas.3631 4 месяца назад +1

    Je ni sahihi kuwapa kuku mabaki ya chakula?

    • @KukuVillage
      @KukuVillage  4 месяца назад

      Ni sahihi ila lazima yawe na usalama

  • @getrudemhozya9920
    @getrudemhozya9920 2 года назад

    Mi ndo nilianza Kwa kukurupuka kufuga kabla sijapata Elimu, ila nashukuru Kwa somo hili, swali je, hao ambao ndo wamedumaa niwafanyeje,? Maana huku nilipo ni kijijini hata hayo maduka ya vyakula kuyapata ni mpaka usafili mwendo mrefu sana

    • @KukuVillage
      @KukuVillage  2 года назад

      Jaribu kutengeneza chakula bora watainuka

    • @getrudemhozya9920
      @getrudemhozya9920 2 года назад

      @@KukuVillage na mbona mnawakata mabawa?

  • @dilliwa
    @dilliwa 4 года назад +2

    Mashamba yenu yako wapi ili nijifunze zaidi?

    • @KukuVillage
      @KukuVillage  4 года назад

      Kwa sasa tunatumia magroup ya WhatsApp darasa. Ila baadae ndo tutakuwa na farm visit

  • @paulmganga5880
    @paulmganga5880 4 года назад

    Nitazidi kufuatilia mtiririko huu wa kuwalisha chakula ila bado nahitaji kufuatilia hiii namna ya ulishaji chakula bora kwa vifaranga

  • @jacoboshirima9832
    @jacoboshirima9832 3 года назад

    Ukataji mabawa vifaranga una faida gani kwa vifaranga?

  • @DORAMKONY
    @DORAMKONY 4 месяца назад

    Napataje kitabu.

  • @peninamapinda711
    @peninamapinda711 2 года назад

    Samahani hiki chakula naweza kukipata wapi kijijini kwetu sijakisikia

  • @fakharsalim7842
    @fakharsalim7842 4 года назад +1

    Habari..ningependa kuwatembelea kwenye shamba lenu ili nipate kufanya biashara na nyinyi. Tafadhali ningetaka kujua pale mulipo na number ya simu

    • @KukuVillage
      @KukuVillage  4 года назад

      Wasiliana nasi
      chat.whatsapp.com/CJBj5U99JvLByXiDAOJNAr

  • @patrickwangota4587
    @patrickwangota4587 4 года назад +1

    Thank you so much for the info but I my Swahili is not so good,if you translate into English.

  • @perpetuekabura6814
    @perpetuekabura6814 3 года назад

    Mutu aliye burundi anawezaje kujiunga nanyi?

    • @KukuVillage
      @KukuVillage  3 года назад

      Wasiliana nasi WhatsApp 0744674406

  • @tulibumisalu8812
    @tulibumisalu8812 4 года назад +1

    Naomba kuuliza je inakuwaje baadhi ya kuku wanaangua vifaranga wengi kuliko wengine? Je ni aina ya kuku au ni mbinu gani inatumika ?

    • @KukuVillage
      @KukuVillage  4 года назад

      1. Kuku wengine huwa ni wazembe,
      2. Kuku wengine huwa hawana uwezo mzuri katika ulaloaji.
      Jinsi ya kutatua
      Tafuta mitetea bora inayoweza kulalia na kutotoa vizuri. Ndo uwatumie hao.

    • @norbertkauzeni1324
      @norbertkauzeni1324 4 года назад

      Mm

  • @judithbulugu5959
    @judithbulugu5959 2 года назад

    Naomba ya Inbox au maulizo

  • @ongezamaarifayaufugajiwakuku
    @ongezamaarifayaufugajiwakuku 4 года назад +1

    Habari, je ni lazima kuwachoma chanjo ya marek's kuku wa kienyeji pure wakitotoleshwa kwa mashine ???

  • @radiumztz7437
    @radiumztz7437 4 года назад

    Nataka kuanza na matetea watatu na Jogoo moja naomba uniunge whatsapp ili npate kujifunza zaid

  • @AtulehemuMtivike
    @AtulehemuMtivike 6 месяцев назад

    Tunashukuru kwa elimu nzuri lakini kwanini mnawakata manyoya

  • @mousalyatitima6620
    @mousalyatitima6620 4 года назад +3

    Asante sana kwa videos .Banda bora ya kuku village (Local village kuku)nihipi?my kiswahili is not good.nyumba bora ya kuku kwa ardhi ya kuku wa kienyeji au sakafu iliyoinuliwa?

    • @KukuVillage
      @KukuVillage  4 года назад +1

      Use English

    • @mousalyatitima6620
      @mousalyatitima6620 4 года назад +1

      @@KukuVillage what is the best poultry house for local village chicken between raised floor or ground floor?

    • @KukuVillage
      @KukuVillage  4 года назад +3

      Raised floor with wire mesh if it is for closed house. But ground floor for free range .

    • @sonstaronline9701
      @sonstaronline9701 4 года назад

      @@KukuVillage thanks

  • @kennymbidah
    @kennymbidah 4 года назад +4

    Kuna faida gani ya kuwakata kuku manyoyaa

  • @sadakella7583
    @sadakella7583 4 года назад +1

    Mimi naweza kuanza kufuga kuju wawili

  • @PaskaliCharles-pz8ds
    @PaskaliCharles-pz8ds 4 месяца назад

    Sababu za kukata manyoya

  • @jacquelinepaschal5547
    @jacquelinepaschal5547 2 года назад

    Nawatenga vifaranga kwa
    Mda gan na mama yao

  • @mamilu9562
    @mamilu9562 4 года назад

    Asante

    • @ellyfrank3020
      @ellyfrank3020 4 года назад +1

      za Asubuhi mbona umekata mabwawa hujatoa maelezo au ifafanuzi naomba tuelimishe asante

    • @mamilu9562
      @mamilu9562 4 года назад

      @@ellyfrank3020 Mimi ni viewer kama wewe ,nilikuwa Tu nimecomment

    • @reechdemanyok169
      @reechdemanyok169 4 года назад

      @@ellyfrank3020 Amos kitaleroad

    • @SaudaRamadhani
      @SaudaRamadhani 2 месяца назад

      @@ellyfrank3020 somo zuri sana,swali:huo mpangilio wa ulishaji ni kwa ajili ya kuku wa kuuza t, au hata wa mayai.

  • @ItelItel2023
    @ItelItel2023 9 дней назад

    Je kwanini mnawa katamabawa na umri gani

  • @fatumamasudi401
    @fatumamasudi401 2 года назад

    Nimeipenda hii kwani natamani sanaa niwe nauza kk wengi .

  • @SalamJoha
    @SalamJoha 8 месяцев назад

    Kwann mnawatoa mbawa

  • @issamasoudy3126
    @issamasoudy3126 4 года назад +1

    Ukichanganya sitata na pumba ya maindi inaweza kukosti

  • @jamillahmuro4668
    @jamillahmuro4668 3 года назад

    Unawakat mabawa wakiwa na umri gani ?

  • @raikitema7732
    @raikitema7732 2 года назад

    Stata nzuri ni ya kampuni ipi?

  • @naachoboy7803
    @naachoboy7803 3 года назад

    Kwann anamkata manyoya

  • @SeleJuma-m2k
    @SeleJuma-m2k 11 месяцев назад

    hogera xana kwa ufungaji nigependa kujua namun ya kulea vifaranga bila Mama yao na bil kifo,,

    • @KukuVillage
      @KukuVillage  11 месяцев назад

      Kuna video ya hivyo itafute RUclips

  • @DORAMKONY
    @DORAMKONY 4 месяца назад

    Niunge kwenye group tafadhali

  • @khadijaathuman614
    @khadijaathuman614 2 года назад +1

    Kuna siri gani ya kuwakata kuku mabawa

  • @halimaruwa199
    @halimaruwa199 3 года назад +1

    Hi, ni kwa sababu gani unawakata mabawa?

  • @hamisimohammed8543
    @hamisimohammed8543 4 года назад +1

    Mkenya atajiunga vipi na darasa hili

    • @KukuVillage
      @KukuVillage  4 года назад

      Anaweza jiunga.. tumia mobile money

    • @KukuVillage
      @KukuVillage  4 года назад +1

      Tumia mpesa +255744674406
      Airtel money +255784655413
      Malipo ni sh. 255 za Kenya

  • @hashirumashina9791
    @hashirumashina9791 3 месяца назад

    Kukata mabawa ni swali au kitendawili tegua chagua mji wa kwenda ili utegue swali hili

  • @olivamariki-7054
    @olivamariki-7054 26 дней назад

    Kwa Nini unapunguza hayo mabawa

  • @gracemurondoro3869
    @gracemurondoro3869 5 месяцев назад

    Kwa nini mnawakata mabawa

  • @bikobizeze3277
    @bikobizeze3277 3 года назад

    Naitwa Bizeze, naomba kuuliza umekata mabawa je inasaidia Nini?

  • @blandinakimbe8910
    @blandinakimbe8910 4 месяца назад +1

    Nawapataje hao kuku,nipo mbeya

  • @yusuphmohamed2513
    @yusuphmohamed2513 4 года назад

    Habari Mimi ni mfugaji wa kuku wa nyama kutokana na uhaba wa vifaranga nataka kufuga kuku wa mwendokasi au saso wa kienyeji chumba cha futi kumi watakaa kuku wangapi mpaka wakikuwa?

  • @ChristinaKiula-l9m
    @ChristinaKiula-l9m 17 дней назад

    Navona mnakata manyoya kwanijni

  • @hamisiboffu9715
    @hamisiboffu9715 4 года назад +2

    Namba unijuze kwanini unawakata mbawa hivivifaranga

  • @ezralangborn214
    @ezralangborn214 4 года назад

    Kwanini mnawakata mabawa hao wadogo?

  • @YohanaBenard-y8e
    @YohanaBenard-y8e 3 месяца назад

    Nimefrhia kupata somo kma ili kiukwel napend niwe mfugaji wa kuku siku zijazo

  • @RashidiAsumaLiposo
    @RashidiAsumaLiposo Месяц назад

    Je unaweza kukata mabawa hata kuku akiwa mkubwa hata yule anae taga

  • @VictorOlumati
    @VictorOlumati Месяц назад

    Waning unamkata mapawa

  • @EVALSTIGNONDOA
    @EVALSTIGNONDOA 3 месяца назад

    Mbona hamjibu kukata mabawa kunasidia nn jaman

  • @michvakel2
    @michvakel2 4 месяца назад +1

    Asante sana Kwa mafinzo mazuri.
    Ningependa kujua ni kwanini vifaranga wanakatwa manyoa , na wanakatwa wakiwa umri Gani?
    Pili. Je, waweza kuwalisha kuku wako vyakula vingine kama omena, njugu , mahindi na Mchele kuongezea Kwa vyakula ulivyo taja?

    • @KukuVillage
      @KukuVillage  4 месяца назад

      Omena sizifahamu

    • @halimasalah4852
      @halimasalah4852 4 месяца назад

      ​@@KukuVillageomenaa ni dangaa mbona hujajibu swali ? Mbano una kata mabawa

  • @agapesiaminjaa5075
    @agapesiaminjaa5075 4 года назад

    Nataka kujua kuhusu hiyo disfectant unayomuwekea kuku aliyeathirika na hayo mafua

  • @mousalyatitima6620
    @mousalyatitima6620 4 года назад +1

    I wish join your whatapp group from zambia how do i send pesa?

    • @KukuVillage
      @KukuVillage  4 года назад +1

      If you have vodacom or airtel money its far easy, but to all networks it is possible . Just call your costomer care for details .

    • @mousalyatitima6620
      @mousalyatitima6620 4 года назад

      @@KukuVillage which number can i use for airtel transfer?

  • @christinainnocent3184
    @christinainnocent3184 3 месяца назад

    Labda kukata manyoya kutasaidia asiruke juu nje ya uzio au banda

  • @magdalenalaban8895
    @magdalenalaban8895 4 месяца назад

    Makata mabawa wakiwa na umri gani

  • @bridgetmwendwa7995
    @bridgetmwendwa7995 3 года назад

    Kwa ni unakata mbawa zake

  • @ramadhanimgalu1781
    @ramadhanimgalu1781 2 года назад

    Kumkata kifaranga manyoya ya mabawa kunasaidia nini