Asante kwa somo zuri na lakuvutia. Naomba kujua nikatika hatua hipi una weka mayai ya black solder kwenye mchanganyiko wetu, Na hayo mayai unayanunua au unayafuata msituni palipo na hao nzi..!!! Please naomba majibu..🙏
Matumizi bora kabisa ya matandao kuwahi kutokea, endeleeni lutupa shule hili soma nimelipenda, nilikua cjui kama kunakutengeneza funza lutokana na pumba, hawa funza waga nawauwa nikiwakuta banda langu la nguruwe kuanzia Leo nitawatunza
Asnte mwalimu wangu nimeshkuru kwa somo lako umenipanua akili lakin swali ni utawezaje kuwachunga baina ya uchafu na funza ikiwa utataka pia kuuza na pia kuchunga wakubwa na wadogo nijibu plz
Maneno mengi sana. ... Nenda direct ndugu
Ahsante sana mwalimu, elimu haina mwisho, wanaokosoa wingi wa maneno yako ni wale wasiokuwa tayari kufanya kazi hii ya ufugaji.
unaboa sana point chache porojo nyingi be straight
Umelipia? MB zako ndio malipo yake
Asante Sana ndugu kwa somi zuri
Asante sana mwl.
Asante sana Kwa somo
Asante dana
Asantee nimekuelewa vizurii
Kazi nzuri shukran
Ahsante!!
Shukrani mwalimu somo zuri sana, nawapata vizuri nikiwa Saudi arabia, very soon nitarudi kenya🇰🇪 na niwatepelee, god bless you
Naukirudi kuja nikuuzie plot
Asante sana
Asante kwa somo zuri na lakuvutia.
Naomba kujua nikatika hatua hipi una weka mayai ya black solder kwenye mchanganyiko wetu, Na hayo mayai unayanunua au unayafuata msituni palipo na hao nzi..!!!
Please naomba majibu..🙏
Hapo black soldier hawahusiki. Tutatengeneza clip ya black soldier muda si mrefu
@@KukuVillage ahaaa asante sana, nitafurahi nikiitazama..💪
Asante tupopamoja
Karibu sana ndugu
Hakika ulipewa bure na wewe umetoa bure. Mungu akubariki.
Asante sana usichoke kutufundisha
Noma sanaaaa😅
unamix maji,vumbi wa mahindi na sielewi hi yai tatu ni gani. nielekeze mwalimu. asante
Great
Nahisi nimekuelewa vizuri
5:17 kama hutaki kupoteza muda, utanishukuru
sawa
Shukran kwa maarifa haya
Asante Sana mkuu
Thank you broo...ubarikiwe
🤝🏻
Asante kwa darasa zuri la kuku
Sasa mimi nataka nipate hicho kitabu lkni niko pemba nitakipatajee. 1:45
Hapo nimeelewa
mmmhh
Unaongea sana mzee nenda kwenye point
Ahsante kwa mafunzo mazuri
Good good
Duuuh mzee punguza maneno bc
Matumizi bora kabisa ya matandao kuwahi kutokea, endeleeni lutupa shule hili soma nimelipenda, nilikua cjui kama kunakutengeneza funza lutokana na pumba, hawa funza waga nawauwa nikiwakuta banda langu la nguruwe kuanzia Leo nitawatunza
Asante sana
Me nawaogopa mno😂😂
Hapo unajiongeza unaongeza na maganda ya matunda
ASANTE SANA MWALIMU
Naomba utufundishe na hy back soldier flies
Ok
Nimejitahidi kuzalisha hao wadudu kwenye pumba lakin hawajatokea hao wametoka wale wa nzi wa choon
Me nlijaribu ..ikaota miti ya mahindi
🤣🤣🤣🤣
So do they eat those ??
Yes and they are very rich in Protein
Shukran saana kwa somo zuri , hii sandarusi ndio nini?
Kiroba
Mfuko wa kiroba, kama vile mfuko wa unga au ngano
Asante sana kwa solo nimjifunzs view zuri
Napenda kitengeneza ila naogopa wadudu balaa
🤣🤣🤣🤣
Mm nasubiria mbinu ya pili
unamix maji na vumbi wa mahindi na sielewi hii ya tatu ni gani. nielekeze mwalimu . asante
Ni hivyo tu.
KAZI NZURI
Kipind kinzur kaka sante
Haposasa ni namna yakuwashika
Mnapatikana wapi nikihitaji vifaranga vyakuku jogoochotara
Somo zuri, niliona video yenu ingine mkikata vifaranga manyoya ya mabawa, faida zake nini?
Pili, hawa funza wanafaa kwa mifugo mingine mfano nguruwe?
Asante
Naweza kupata mafundisho haya kwa whatsapp?
Je nawezaje pata virafanga wa kuku kwa urahisi
Rose mashirima
Naomba kujifunza uzalishaji wa red morm
Maryam wewe hupo wapi, mimi nipo Bunju labda tunaweza kusaidiana kufanya biashara hii
Nakwenye udongo inakuaje
Funza,pumba kwa kingereza ni nini?
Maggots , corn/ maize bran
Tafadhari kijavi nini twabie
Sijakulewa boss
Nimependa somo hilo
Mwalimu km sina sehemu yenyekiza ninaweza kutumia ndoo yenye mfuniko kuhifadhia hio sandarusi?
Nimeelezea kwenye video
Hawa funta mayai take hutagwa na nzi au mdudu yupi?
Nzi chuma au Blacksoldier flies
@@victorwilbard2585 Nitatengeneza asante sana
Just go straight to the point. Keanu lazima uongee saana
Ok
Usiseme bure MB zinatumika
Hahahahaha
Ulitaka aje nyumbani kwako
Binadamu Hana shukrani
Kwani kuna aliyekulazimisha kuitizama..
Hebu pita hivi....!
Pumba ikitoka mashineni inakua mbichi Kama hujaianika ukaiacha ktk sandarusi inatoa funza je hao funza nao wanafaa Mwl. Nilikua sijui nikaona funza nikaanika wakafa wote
🤣🤣🤣, inafaa
@@KukuVillage asantee saana
Uliwaweka kwa muda gani??
Ester nataka kuanzisha mradi huu kama ukipenda tushirikiane kwani eneo ninalo la kutosha BUNJU
@@agrivaluefarm3353 Mradi wa kufuga funza
Naam nafuatilia kwa karibu uzalishaji wa lava wa nzi chuma" Blacksoldier flies"
Victor wewe hupo wapi, mimi nipo Bunju njia ya Bagamoyo
Asnte mwalimu wangu nimeshkuru kwa somo lako umenipanua akili lakin swali ni utawezaje kuwachunga baina ya uchafu na funza ikiwa utataka pia kuuza na pia kuchunga wakubwa na wadogo nijibu plz
somo linalofuata la kutengeneza funza kwa ajili ya kuuza litakuhusu. hivyo vuta subira.
@@KukuVillage asante mwalimu
@@KukuVillage mwalimu nawezaje kupata vitubu vya kujinfunzia na pictures za video toka kuku village?
Kwan uwezi tumia pumba tupu
Niungeni kweny magroup yenu 0623122582
Niunge kwenye group 0624651165
Asante