@@KukuVillage how is insemination done. Am just starting so I bought 15 hens of different ages and 5 cockerels. Almost 3months and no action. Not a single egg also.
Unapo lea vifaranga tunahitaji kuweka gazeti au maranda ya mbao kama matandiko ili kuhifadhi joto je magazeti au maranda huwa yanabadilishwa baada ya mda wasiku ngapi
Mayai yote yanafaa yawe ndani ya siku 14 ukihesabu ama yawe ndai ya siku 14???kwa sababu tarehe za mayai zitakuwa tofauti,na pia nauliza kwani kuku anachukuwa mda gani kutaga kabla ya kuanza kulalia mayai?
Mayai yote lazima yawe yametagwa ndani ya siku 14, kama yatazidi yanatakiwa kuchambuliwa na kuwekwa yale ya ndani ya siku 14 tu. Mengine yatumike kwa matumizi mengineyo.
Asante kwa somo zuri. Ntajaribu na mimi.
Huyo Jogooo😂 au bas.Nashukuru kwa Elimu nzur
Tunashukuru na sisi kwa kutufuatilia.
kwakweli nashukuru saana kupata ushauri toka kwenu mubarikiwe na muzidi kutufundisha zaidi
Amina
Safi sana
Asante kwa ushauri mzuri
Asante Kwa elimu nzr
Asntee
Karibu
Elimu yko kuhusu kuku ni nzuri
Asante Sana ndugu
Hii njia nimeipenda sana nashukuru sana mwalimu
Asante sana mlm
Nashukuru sana
Asanteni elimu nzuli
Asante kwa ushauri
Nimewapata sanaa
I love the video inamanufaa chungu nzima
Asante sana kwa mrejesho. Tunafurahi kusikia hivyo.
Namesake kupata vicarage kutoka kwenu niko kenya
Naweza aje kupata vifaranga kutoka kwenu,niko kenya
Sehemu gani?
Kumbi. Kumbi waliokaangwa naweza kuwapatia vifaranga!?
Wape ni chanzo kizuri cha protini ila wakiwa wabichi ni nzuri zaidi
Asnte kwa darasa na somo zuri
Asante,nins swli,yai ukilishikana mkono bila nguo eti halitotolewi?
Ase brother Niko tayari nahitaji kuanzisha mradi huu naomba nisaidie kwa ushauri zaidi
Namba
Asante
Karibu
@@KukuVillage mimi naitaji vifaranga vya kuku wa mayai
Housing design for 300 no. Local Chicken. Plz assist.
Mm ni mfugaji mdogo mdogo nilikuwa na sawal wstu usema kuku unakili siku ya kutotoa
Nimewish sana mafunzo yenu Lakin shida nyingine ipo katika kuandaa mabanda bora
Msaada wa namba
0744674406
Asante sana
Nahitaji somo zaid
Karibu
Kifaranga sh ngapi na tetea mkubwa sh ngapi
Inategemeana na aina. Tupigie 0621063255
Mashallah nmependa
mna Vifaranga?
Wapo karibu. Tupigie 0621063255
Hiv hizo nyasi ni nyasi gani nilizoziona kwenye hiyo vidio mnazolishia kuku ebu nipeni jibu na zinapatikana vipi asante
Ni mtama mchanga
Safe kabesaa
chat.whatsapp.com/F0jkcJ6LVkwD1k9DMb1lwp
Mnapatikana wapi kwa dar
My cockerels are not able to mount on the hens. I do free range. What do I do to get them fertilise the hens?. They also fight alot
aren't they overweighted?
If so. Try to do insermination
@@KukuVillage how is insemination done. Am just starting so I bought 15 hens of different ages and 5 cockerels. Almost 3months and no action. Not a single egg also.
Naitaj vifaranga nipo zanzibar
Tupigie 0621063255
Je mayai ya kienyeji unaweza kutumia machine kuyatotoa?
ndio boss
Ukiwafungia siku mvili so watachafua viota zao
Daah hatunae nimepta channel ya kukamilisha ndoto yangu
Karibu sana
Jiunge hapa kwa maelekezo zaidi
chat.whatsapp.com/F0jkcJ6LVkwD1k9DMb1lwp
Jamani nahitaji ujuz kuhus ufugaji w kuk nimehangaikasana nisaidien ujuz
Jiunge hapa kisha utapewa maelekezo
chat.whatsapp.com/F0jkcJ6LVkwD1k9DMb1lwp
Jiunge hapa kwa maelekezo zaidi
chat.whatsapp.com/F0jkcJ6LVkwD1k9DMb1lwp
Nimeona vifaranga na matters wapo pamoja je hawatagombania vifaranga
Nipo mbeya tukuyu nawezaje kupata vifatanga
Unajuaje matetea wameshawah kulalia
Munauza kuku ama mayai yenye mbegu aina hio fupi wenye manyoya miguuni?
Hapana
Thanks alot but ningependa kujua jinsi ya kujenga kibada ya kuku pia zangu nimefungia na hazitangi but nikizitoa inje Dio utanga shinda ni gani
Ni aina gani ya kuku?
Aante kwa crip hii
Tutumoe chakula cha kuwalisha kuku wakienyejo tangu wanapototolewa mpaka miezi sita
Mi2 naomba kuuliza nawezaje kumfundisha jogoo wangu kupanda jike nikiwa nimemshikilia
Hii nimeipenda
@@mohamedsimonmruma7639 no icho kitu kipo na nimeisha kishuhudia sana ila nashinds jinsi gani niwa train kuku wangu
😢
Kaka habari natumaini u mzma samahani naweza kuwatamishia kuku mayai 20 kwakuku moja??
Akiwa na umbo kubwa na mayai yawe size ya kati yasiwe makubwa. Inawezekana. Pia jambo la muhimu jaribu kumfuatilia kila mara
@@KukuVillage Asante sana kaka
Nashukuru kwakupata elimu yaufugagi kwani nindotouangu mama
Karibu
Yai LA kuku likipatwa na maji bado litaendelea kufaa kulaliwa na kuku?
Inategemeana na kiasi cha maji, aina ya maji na uchafu wa maji.
Ila likipata hivyo inakuwa kubahatisha
Jiunge hapa kwa maelekezo zaidi
chat.whatsapp.com/F0jkcJ6LVkwD1k9DMb1lwp
Safi sana kuku village
Ninakushukuru sana kwani ninakusudia kuanzisha ufugaji wa kuku wa kienyeji ili kupata orientation nzuri after my retirement in two years to come
Safi na karibu
Kuku watagaji wazuri na jogoo mpandaji mzuri wanapatikana wapi?
Kuku village
@@KukuVillage kuku billage iko wapi nataka nije nichague matemba na jogoo
Unapo lea vifaranga tunahitaji kuweka gazeti au maranda ya mbao kama matandiko ili kuhifadhi joto je magazeti au maranda huwa yanabadilishwa baada ya mda wasiku ngapi
Magazeti badilisha kila siku
Asante
Pia naweza kupata vifaranga vya kuku aina ya KUCHI
Je gani kitafaa
Nahitaji mbegu ya kuku bora wa kienyeji tafadhali. Je naweza pata wapi
chat.whatsapp.com/F0jkcJ6LVkwD1k9DMb1lwp
@@KukuVillage Naomba uniunge kwenye group la whatsup. hii web inagoma.
Nitaendelea kufuatilia ili nami nipate vifaranga wengi kwa muda mfupi
😀😀😀😀😀😀
Me nataka nijiunge Ila namba haipatikani
Nauniambe,dawayautitili,inayouwa,kwaharaka
Nawapenda bure nikipata mtaji nitawatafuta
Me sjaelewa kwaiyo wanawekewa mayai yenye tareh moja au inakuadje apo
Tupigie
Nataka kupata mbegu
Naomba kupata mafunzo kuhusu kuku.wakienyeji..kuhusu incubator machine..tafadhali nope number ya whatsap
Nitafute hapa
chat.whatsapp.com/CJBj5U99JvLByXiDAOJNAr
@@KukuVillage hii hai download kabisa
Na mimi nataka kufuga kuku
Karibu
Changamoto Ni magonjwa naomba nijue elim ya dawa
Tutaifanyia kazi. Japo yapo baadhi tumeshayaelezea
Nawezaje kupata kuku bora broo
Nunua kuku aina ya bamboo toka kuku village ni bora mno.
Kuna faida au hasara gani za vifaranga kulelewa na mama yao au kuachiwa wajilee wwnyew?
Nazungumzia kuku wa kienyeji
Wakilelewa na mama yai hatari huongezeka hivyo ni ngumu kukua wote
jamani ntafuta mbegunzuri yang'ombe
Nifanyeje Ili kupata mafunzo ya kufuga kuku natak kuanz kufug
Mafunzo kwa hatufanyi... mpaka hapo baadae tutatoa utaratibu
Ni kweli. Nitumie namba yako ya WhatsApp..
chat.whatsapp.com/DJcFvuv9cd05y59tf5Ab93
Asantee
Mayai yote yanafaa yawe ndani ya siku 14 ukihesabu ama yawe ndai ya siku 14???kwa sababu tarehe za mayai zitakuwa tofauti,na pia nauliza kwani kuku anachukuwa mda gani kutaga kabla ya kuanza kulalia mayai?
Mayai yote lazima yawe yametagwa ndani ya siku 14, kama yatazidi yanatakiwa kuchambuliwa na kuwekwa yale ya ndani ya siku 14 tu. Mengine yatumike kwa matumizi mengineyo.
@@KukuVillage Asante,sasa nimekuelewa vyema
Je kwa wale kuku wanaotaga kwa kupitisha siku moja yapili hutaga je nitumie mchanganyiko wa chakula gani
Imenitia moyo wa kuanza ufugaji wa kuku....kongole
Napenda sana kama ukifurahia masomo yetu. Karibu sana
Nimependa ufugaji kuku na nita endelea kufuatilia asante
Hatamm nimependa sana nahitaji kujua zaid
KIFARANGA CHA SIKU YA MWANZO MARA NYINGI KWENYE BRUDA HUONA KAWEKEWA MAGAZETI HII HAITOLETA MADHARA KWA VILE KINYESI WA CHAO HAKIANGUKI CHINI?
Hakina madhara
Nicheki broh 0624102296 skupati whatapp
Jiunge hapa kwa maelekezo zaidi
chat.whatsapp.com/F0jkcJ6LVkwD1k9DMb1lwp
Asante
Asante sana