Habari kuku village Hongera Sana kwa kazi mnayoifanya. Kupitia ninyi navutiwa Sana na ninatamani kuwa mfugaji mkubwa eneo ninalo Nia ninayo naomba kujua Kama mnao kuku au vifaranga wa kienyeji na Ni gharama gani
Asanteni sana kuku village kwa elimu nzuri mnayotoa,hakika mwezi ujao nitajiunga kwenye,masomo ya ufugaji.kwani ninatamani sana ufugaji.Mimi Niko kibaha na eneo ninalo la kutosha,hofu yangu ni je,soko la mayai ya kienyeji au chotara likoje?linapatikana au la.naomba ushauri wenu,kabla sijaingia kwenye ufugaji.
Mbegu Bora inapatika wapi?? Naomba muwe mnatupa na sehemu ya kuwapata maana tubaki tunajiuliza hafu hauna majibu Bora tuwe tunaelewa kwa video moja tunayoitazama
Taalum mzuri sana , mm niko Pemba ntaipataje hio mashine ya kutotolea VIFARANGA
Habari kuku village Hongera Sana kwa kazi mnayoifanya.
Kupitia ninyi navutiwa Sana na ninatamani kuwa mfugaji mkubwa eneo ninalo Nia ninayo naomba kujua Kama mnao kuku au vifaranga wa kienyeji na Ni gharama gani
Kuku wapo na vifaranga wapo. Wasiliana nasi hapa chini
chat.whatsapp.com/CJBj5U99JvLByXiDAOJNAr
Asanteni sana kuku village kwa elimu nzuri mnayotoa,hakika mwezi ujao nitajiunga kwenye,masomo ya ufugaji.kwani ninatamani sana ufugaji.Mimi Niko kibaha na eneo ninalo la kutosha,hofu yangu ni je,soko la mayai ya kienyeji au chotara likoje?linapatikana au la.naomba ushauri wenu,kabla sijaingia kwenye ufugaji.
Soko lipo.
naomba mniunge kwenye group la wafugaji
Nitumie sms WhatsApp 0621063255
Dah nimeamini nyinyi ndio mnajua nn maana ya kuku wakienyeji somo zuri sana na nimesha subscribe
Asante sana kwa compliment
Naomba grup la ufugaji
Asnt kwa elimu nzuri
Aiseeee natamani sana
Asante kwa somo
Noted
Jumbo nauliza Kama munapatikana kenya
Habari
Salama karibu
Asante ni, nimejifunza kikubwa
Ni sawa kuwapa Kuku wa kienyeji chakula cha kuku wa mayai wale wa kizungu ili nipate mayai mengi.tafadhali naomba jibu
Ni sawa. Ila wape 80 - 100g kwa kuku.
Asante kwa somo nzuri
Sauti nndog
Nashuru Kwa ushauri mzuri mami pia nitajiunga na masomo swali je vifaranga wa kienyeji wanabatikana ? kwenye?
Naomba msaada wa wapi pa kupata incubator ya kutumia gesi
Kwa umri gani unawakata mabawa?
l want to learn more
Join our classes
Nipo chalinze nataka ufugaji 2:01
Kwann mnawakata vifalanga mabawa
Wakue haraka
Asante kwa maarifa
Alo mnapatikana wapi na vifaranga mnauzaje
Tupigie 0621063255, 0744674406 kwa maelezo zaidi. Karibu.
Mimi nahitaji vifaranga kutoka kuku village navipataje?
Tupigie 0621063255 boss
Tunawapataje?
Shukraan kwa somo.
Mnapatikana wapi?
Tupigie 0744674406
Asante kwakututia moyo
Pow sana
Nitaji kufuga
Karibu
Nazidi kufuatilia namna za ufugaji wa kuku mimi lbrahimu Chagu
Asante sana na karibu
Anzia 3:50
Lulu vileg iko wapi?
tupeni elimu ya kuku wa kienyeji zaidi na zaidi
ndiyo azma yetu
Red guy ppl
Niko na mayai na niko mashambani nifinze jinsi ya kuyatotolesha
kuku wa kienyeji anayefugwa nusuhuria hupewa chakula kiasi gani
Inategemea na ukubwa
Ila kama ni wakubwa wape gram 80 - 100 kwa siku kwa kuku mmoja
Nashida na jogoo wazuri nitawapataje?
Ninao unahitaji wangapi
@@aliceaugustine2950 wap
Asante nimemuona Sindi na Kendi
😂😂😂😂
Je najiungaje kwenye group nifanikiwe?
Wasiliana nasi kupitia 0621063255
Nataman kujifunza ila nimeona tareh 1-15 Kila mwenzi nafanyaj
Kwanini kuku hukatwa mabawa
Tunatengenez clip ya ufafanuzi huo
Mbegu Bora inapatika wapi??
Naomba muwe mnatupa na sehemu ya kuwapata maana tubaki tunajiuliza hafu hauna majibu Bora tuwe tunaelewa kwa video moja tunayoitazama
Mbegu bora ipo kwetu kuku village pekee
Wapi kwenu
Namba zako za wasap kaka
0621063255