nilikufuatilia sana sana sana . nikajalibu kuanza kufuga kuku mpaka ivi sasa nipo na kuku 100 ila sijabahatika kukutana na wewe lakini natamani kukutana na wewe.
Kaka Christopher nikupongeze sana kwa hatua na Maamuzi yaliyo sahihi kabisa kujifikiria .nimeielewa sana sentensi yako ya MTAJI NI WAZO hiyo ndiyo kweli ya maisha vijana wenzangu ningependa kushauri kuwa tusiwe watu wa kukaa kusubiri kupata pesa ambayo hujui hata unaipataje kikubwa kuwa na WAZO kwanza mengine yataonekana mbele ya mafikirio . Ahsanteni sana 🙏
Hongera sana. Nasi kama Vijana kikundi chetu tulipata mkopo wa halmashauri na tuliurejesha wote. Tunakopa Tena ili kuanzisha mradi tofauti wa ufugaji KUKU km mpango wa muda mrefu wa KIKUNDI
Wewe sasa mungu amekufanya kuwa kisima .Tafadhali funguwa group la Whatsapp uweze kuokoa vijana wote wenye ndoto ya kujikomboa kwa kupata maarifa au utaalamu Toka kwako
Kaka hongera sana kwa ubunifu huo mkubwa. Naomba namba yako ili niweze kuwasiliana na wewe nina ndoto ya kuanzisha project kama hiyo. Niko Mkoa Kagera.
Kaka, ahsantee kwa elimu. Mimi nipo mwanza nimeshaaza ufungaji wa kuku wa kienyeji niliaza mwez 7 all most kila mwez natotolesha vifaranga 60 sasa kutokana na kipato kidogo changamoto ya vifo ni kubwa. Nahitaji uniunganishe na watu wenye uhitaji wa vifaranga wa kienyeji
Da Asante sana kaka mi pia nafuga nimeanza na kuku30 umenitia moyo sana ngoja nipambane ila ili nifike mbali naomba nisaidie mawasiliano,@@christophermakotwe5713
Jamani...mwenye hii channel... Watazamaji tunaomba mtusaidie namba ama mawasiliano yoyote ya Christopher...tunataka kujifunza na wengine tunahitaji kununua hivyo vifaranga.
Walishe vizuri na wakiangua vifaranga wanyng,anye mama zao uwalee peke Yao Kwa kiwajengea Banda Bora Kisha wape chaula Cha vifaranga wa layers watakuwa haraka.
Qanapotaga kusanya mayai na endapo Kuna jirani mwenye mashine yakutotolesha yapeleke n wakitotolewa hakikisha unawapa chakula Cha vifaranga wa layers na chanjo zote watakuwa vizuri sana.
Hongera sana kijana ,Magesa.
Greetings from Zanzibar.
Mungu Akubariki, Amin.
Amina
Hongera sana Magesa. Mungu aendelee kukutegemeza kwa sababu unasaidia wengine kwa njia ya ajira.
Hongera,kumbe ulisoma Maruku!
Hongera sana kijana. Naomba tuwasiliane tupanue wigo kwa uzalishaji wa kuku wa asili.
Njoo inbox
Hongera sana mkuu,mi nipo Dodoma nilikuwa nahitaji vifaranga wa kienyeji
nilikufuatilia sana sana sana . nikajalibu kuanza kufuga kuku mpaka ivi sasa nipo na kuku 100 ila sijabahatika kukutana na wewe lakini natamani kukutana na wewe.
Great,tembelea ofisi yake
Karibu sana ndugu nipo Dodoma
Naomba namba yako
kuku 100 unataka kukutana na mtu? pambana ili watu watamani kukutana na wewe
Ongera sana kaka Mimi nipo singida naitaji kuku kama 10 kwa ajili ya kuanzia napataje
Nipo kikiyu ninahitaji kuku kwaajili ya mbegu ndugu yangu.
Hongera sana na Mungu azidi kukubariki. 🙏
One day mwenyezi mungu akiniweka hai nitafuga kuku napenda sana ufugaji wa kuku
Asante sana mtaalamu naomba namba Yako tuwasiliane.
Kaka Christopher nikupongeze sana kwa hatua na Maamuzi yaliyo sahihi kabisa kujifikiria .nimeielewa sana sentensi yako ya MTAJI NI WAZO hiyo ndiyo kweli ya maisha vijana wenzangu ningependa kushauri kuwa tusiwe watu wa kukaa kusubiri kupata pesa ambayo hujui hata unaipataje kikubwa kuwa na WAZO kwanza mengine yataonekana mbele ya mafikirio . Ahsanteni sana 🙏
Bro naomba namba yako
Hongera kaka nahitaji kujifunza
Hongera sana. Nasi kama Vijana kikundi chetu tulipata mkopo wa halmashauri na tuliurejesha wote. Tunakopa Tena ili kuanzisha mradi tofauti wa ufugaji KUKU km mpango wa muda mrefu wa KIKUNDI
Hongera kipindi kizuri naomba no yake tafadhari
Kaka nina tamani sana kuishi karibu yako❤
Nakubal janja
Nimependa kuona kote la farmbase limekupendeza msalimie boss dullar wa farmer centre
habari wewe uko dodoma wapi na mm natafuta mbegu nzuri pls
Fence wire kama hizo zinapatikana wapi?
Mbona hautoi namba ya simu
Upo wapi kaka
Wewe sasa mungu amekufanya kuwa kisima .Tafadhali funguwa group la Whatsapp uweze kuokoa vijana wote wenye ndoto ya kujikomboa kwa kupata maarifa au utaalamu Toka kwako
ushauri mzuri sana. nitamwambia aufanyie kazi.
Kk,hongera sana ila tusaidie kujua namna ya kupunguza garama za chakula maana kuku ku mfikisha miezi 4 imuuze elfu 20,000 sio rahisi.
Hongera sana
Mimi Niko Tabora nitaipataje vifaranga ni bei gani kifaranga?
mwenye namba ya simu ya huyu mh naiomba
Mtafute kwa namba hii na ukimkosa wasiliana nae kwa whatsapp 0762350862
Kaka hongera sana kwa ubunifu huo mkubwa. Naomba namba yako ili niweze kuwasiliana na wewe nina ndoto ya kuanzisha project kama hiyo. Niko Mkoa Kagera.
tujuane nam nip Kagera ni mpango huo
Vifaranga ni sh ngapi wauza?
Kaka nimekuelewa san kupitia masomo yako
Mwenye mashine ya kutotoleshea alie nzega au kahama naomba akoment, nimpatie namba yangu nahitaji kutotolesha
Naomba mawasiliano
Naomba namba yako kaka
Naomba namba tuwasiliane niko dodoma tafadhali
Naomba unipe namba plz
Naomba namba yako
Hongera sana kaka, mi nipo Dodoma na nahitaji vifaranga wa kienyeji naomba nawasiliano yako tafadhali
Nahitaji vifaranga nitapataje?
Kaka, ahsantee kwa elimu.
Mimi nipo mwanza nimeshaaza ufungaji wa kuku wa kienyeji niliaza mwez 7 all most kila mwez natotolesha vifaranga 60 sasa kutokana na kipato kidogo changamoto ya vifo ni kubwa.
Nahitaji uniunganishe na watu wenye uhitaji wa vifaranga wa kienyeji
Unauza wakiwa na muda gani
@@25matonyandani ya mwez 1
Weka namba Yako ujitangaze. Wengi wanaohitaji vifaranga wa kuku.
Tutapataje vifaranga?
NOmba namba yako mie niko mza
Mimi pia Nina ndoto kama yako na saivi Mimi ni mwanachuo wamipango lakin naomba nipate mawasiliano yako nipo dodoma naitwa sadati IDDI KING'ENG'ENA
Napataje vifaranga nipo mbeya
Naimba namba yako tafadhali
Yaan mungu ni mwema ni kweli nakufaham vizur... ntakutafuta jirani...yangu
Karibu sana
Da Asante sana kaka mi pia nafuga nimeanza na kuku30 umenitia moyo sana ngoja nipambane ila ili nifike mbali naomba nisaidie mawasiliano,@@christophermakotwe5713
Toa namba ya cm mwamba?
Saf sn bro
Nahitaji namba ya Christopher please
Kutoka Kilifi Kenya, asante nimejifunza kitu
Karibu sana katika Channel yetu na endelea kujifunza kilawakati tunapokuleteamaala mbalimbali za ufugaji na kilimo.
Naomba namba ya Christopher tafadhali
Please translate this video into English as for most of us who doesn’t speak swahili
Ok next time l will do for those doesn't speak Swahili language.
Mawasiliano tupate elimu juu ya kuzuia vifo vya vifaranga
Nakuunga mkono
Nahitaji namba
Dodoma sehm gan jamn nije nipate mafunzo
napata wap namba yako
Tusaidie no, yako ya simu
Namba ya sim tunataka
NAomba namba yako
Niunganishe na watu wenye uhitaji wa vifaranga wa kienyeji,nipo mwanza
Uko Mwanza maeneo gan? Na unauzaje?
Misungwi
upo mwanza maeneo yap mm nahitaji
@@JofreykahigiKahigi misungwi
Weka NAMBA YA simu
Nifanyeje ili zikue haraka
Christopher naomba number yako ya simu please
0762350862
Unapatikan wap now
Namba ya kaka Christopher tafadhali
Njoo in box ntakupa
Vizuri MAGESA, nilinu Majita anyone nifuga
Vifaranga vinapatikanaje mawasiliano
Nataka nikulize maswali
Asante sana me kutoka Rwanda
Karibu sana Tanzania tujifunze kufuga kuku.
Naomba namba yako kaka vhristopher
Nchanganyo w a chakula chá kuku/ Fransisi/ Mozambiki
@@FranciscoAntonioAmdoba
Jamani...mwenye hii channel...
Watazamaji tunaomba mtusaidie namba ama mawasiliano yoyote ya Christopher...tunataka kujifunza na wengine tunahitaji kununua hivyo vifaranga.
@@hustle_no_limit4123kwasasa amesafiri akirudi mtawasiliana nae.
Ungetuandikia akirud tutampigia@@aminamollel6639
No ya simu
Hili jamaa ndio lina akili sasa
Huyu ni mwamba aisee
Mimi nimeanza ufugaj kuku wa asili ila naona hazikui haraka Hadi mwaka ndo labda wanaanza kutaga Nina vifaranga kama 26 nifanyeje
Walishe chakula Cha kuku wa mayai layers watakuwa Kwa haraka.
Walishe pellets wakiwa vifaranga hadi wafikishe miezi miwili then wanapoanza mwezi wa 3 anza kuwachanganyia watataga mapema kuanzia miezi 6-7
@@aminamollel6639namba namba ya christopher
Nakama nahitaji vifaranga nitapata kwako
Na Nina tetea 6 jogoo Moja nifanyeje ili nipate kuku 200 baada ya miezi 6
Walishe vizuri na wakiangua vifaranga wanyng,anye mama zao uwalee peke Yao Kwa kiwajengea Banda Bora Kisha wape chaula Cha vifaranga wa layers watakuwa haraka.
Wachinje wote afu weka ktk friji
Qanapotaga kusanya mayai na endapo Kuna jirani mwenye mashine yakutotolesha yapeleke n wakitotolewa hakikisha unawapa chakula Cha vifaranga wa layers na chanjo zote watakuwa vizuri sana.
Ok hicho chakula Cha layers ni tofauti na stata
Kwani maahine ni bei gani
Nahitaji vifaranga navipataje?
Hongera sanaa