Amina Mollel
Amina Mollel
  • Видео 132
  • Просмотров 174 448
JIFUNZE NAMNA BORA YA KULEA VIFARANGA WA NYAMA (BROILA)
DAVY MWALAVILA mkazi wa Dodoma, kijana msomi aliyeamua kujikita katika ujasiriamali, kufuga mifugo mbalimbali ikiwemo Sungura. Davy ni miongoni mwa vijana wachache wanaotambua walioamua kujiajiri. Wasiliana nae kwa namba 0718596586 ili ujifunze zaidi juu ya ufugaji akizungumzia uleaji wa vifaranga vya BROILA.
Просмотров: 278

Видео

MKOJO WA SUNGURA NI DAWA YA KUUA WADUDU KWENYE MBOGAMBOGA
Просмотров 3602 месяца назад
Kutana na Kijana DAVY MWALAVILA mkazi wa Dodoma, kijana msomi aliyeamua kujikita katika ujasiriamali kwa kufuga mifugo mbalimbali ikiwemo Sungura. Davy ni miongoni mwa vijana wachache wanaotambua ajira siyo lazima uajiriwe. Wasiliana nae kwa namba 0718596586 ili ujifunze zaidi juu ya ufugaji wa Kuku, Nguruwe, Njiwa pamoja na Sungura.
KARIBU NYAMA CHOMA MSALATO - DODOMA
Просмотров 3113 месяца назад
Mnada wa Msalato mjini Dodoma, umekuwa kivutio kwa wageni wa Ndani na Nje ya Mkoa wa Dodoma. Mnada huu ulianza zaidi ya miaka 17 iliyopita kutoka kwa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya wa wakati Huo william Lukuvi. Bado anakumbukwa kwa mawazo yake alipowataka wananchi kuujenga mnada huu kwa miti na maturubai na sasa Msalato imekuwa Kivutio cha Utalii.
ZINGATIA HAYA KABLA YA KUANZA KUFUGA KUKU KIBIASHARA
Просмотров 2,5 тыс.4 месяца назад
Wengi wetu tunapenda kufanya mambo kwa kuiga kwasababu tu yakuona mwenzetu kafanikiwa. Fuatia makala hii ili ujue Mambo muhimu yanayoweza kukusaidia unapotaka kufuga Kuku Kibiashara. Karibu ku Subscribe channel hii inayotoa elimu juu ya Kilimo Biashara.
FAHAMU NAMNA BORA YA KUNENEPESHA NG'OMBE NA KUUZA KWA FAIDA KUBWA.
Просмотров 11 тыс.4 месяца назад
Pamoja na kufuga mbuzi Christopha anafuga na ng'ombe anaowanunua kijijini na kuwalisha kisha anawauza kwa faida kubwa. Jifunze kutoka kwake katika makala hii akitoa darasa na kuwaelimisha vijana wenzake.
CHANGAMKIA FURSA KWA KUFUGA MBUZI
Просмотров 14 тыс.4 месяца назад
Vijana changamkieni FURSA ya Ufugaji wa MBUZI kutokana na kuongezeka Kwa soko la nje la mauzo ya Nyama ambapo yameongezeka na sasa inachangia zaidi ya asilimia 70 ya mauzo yote katika nchi 12 zinazonunua nyama ya MBUZI hapa nchini. Christopha Magesa mkazi wa Dodoma ameichangmkia fursa hii Kwa kufuga MBUZI na Kondoo zaidi ya 800 mkoani Dodoma. Mengi zaidi msikilize akielezea faida za ufugaji wa ...
MFAHAMU BATA BUKINI. HUWATAMBUA WACHAWI WANAPOFIKA KATIKA MAKAZI YAO
Просмотров 2,7 тыс.4 месяца назад
Jifunze ufugaji wa Bata Bukini na Faida zake kutoka kwa YOHANA JOSEPH YINDI, msomi kutoka chuo kikuu cha Dodoma aliyehitimu Shahada ya Ualimu mwaka 2017, na kuamua kujiajiri katika ujasiriamali akifuga Bata Bukini. Namba zake ni 0742 974246.
MJUE NDEGE JAMII YA KANGA AFUGWAYE MAJUMBANI NA FAIDA ZAKE.
Просмотров 7 тыс.4 месяца назад
YAWEZEKANA hufahamu kuwa ndege jamii ya Kanga ni mojawapo ya Kitega uchumi endapo utachagua mbegu bora zinazofungwa na siyo Kanga wa porini. Fahamu mengi zaidi kutoka kwa Ndugu YOHANA JOSEPH YINDI, msomi kutoka chuo kikuu cha Dodoma aliyehitimu Shahada ya Ualimu mwaka 2017, na kuamua kujiajiri katika ujasiriamali akifuga Kuchi. Namba zake ni 0742 974246.
FAHAMU UTAJIRI ULIOJIFICHA KWA KUKU JAMII YA KUCHI
Просмотров 16 тыс.4 месяца назад
inawezekana usiamini lakini ndio ukweli kuwa Kuku jamii ya Kuchi ni kuku wanaoweza kubadilisha maisha yako kwa muda mfupi. Fahamu mengi zaidi kutoka kwa Ndugu YOHANA JOSEPH YINDI, msomi kutoka chuo kikuu cha Dodoma aliyehitimu Shahada ya Ualimu mwaka 2017, na kuamua kujiajiri katika ujasiriamali akifuga Kuchi. Namba zake ni 0742 974246.
MAAJABU YA BATA BUKINI - HUMTAMBUA MCHAWI
Просмотров 2,8 тыс.4 месяца назад
Ni ndege mkubwa aina ya bata anayefugwa. Bata huyu anauwezo wa kumtambua mchawi au mtu mwenye nia mbaya nyumbani kwako. Cha ajabu hutaga mayai kulingana na kipato cha mfugaji. Hata hivyo ndege huyu ni rafiki na mwenye utani mwingi kwa mmiliki wake. Ili kujifunza zaidi ufugaji wa Bata Bukini, wasiliana na Ndugu YOHANA YINDI, kwa simu namba 0742 974246.
KUKU NI PESA - KUKU WANALIPA
Просмотров 20 тыс.4 месяца назад
Christopher Magesa ni mfugaji wa Kuku mkoani Dodoma. Endelea kufuatilia mwendelezo wa makala hii ili kufahamu unavyoweza kujipatia kipato kwa ufugaji wa kuku Chotara maarufu kama Kuroiler.
UFUGAJI WA SAMAKI KWENYE MABWAWA
Просмотров 8 тыс.5 месяцев назад
Maisha ni safari ndefu yenye Changamoto nyingi. Kutoka kwenye kuuza mkaa Dumila Morogoro na sasa ni mjasiriamali mkubwa wa Ufugaji wa Samaki katika Mabwawa Mkoani Dodoma.
UFUGAJI WA KUKU SULUHISHO LA AJIRA
Просмотров 53 тыс.5 месяцев назад
Christopha magesa Dioniz ni kijana mwenye Diploma ya ufugaji wa Ng'ombe, Mbuzi na Kuku. Ni kijana aliyeamua kujikita katika Ujasiriamali akifuga Mbuzi na Kuku Mkoani Dodoma. kwake anasema hahitaji kuajiriwa kwani elimu aliyonayo ya ufugaji ni ajira tosha. Ili kujifunza zaidi Wasiliana nae kwa namba 0782350862.
FAHAMU NAMNA BORA YA KULEA VIFARANGA VYA KUKU
Просмотров 25 тыс.5 месяцев назад
Christopha magesa Dioniz ni kijana mwenye Diploma ya ufugaji wa Ng'ombe, Mbuzi na Kuku. Ni kijana aliyeamua kujikita katika Ujasiriamali akifuga Mbuzi na Kuku Mkoani Dodoma. kwake anasema hahitaji kuajiriwa kwani elimu aliyonayo ya ufugaji ni ajira tosha. Ili kujifunza zaidi Wasiliana nae kwa namba 0782350862.
MAMBO MAKUBWA ANAYOJIVUNIA MHE AMINA MOLLEL KATIKA BUNGE LA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Просмотров 584 года назад
MAMBO MAKUBWA ANAYOJIVUNIA MHE AMINA MOLLEL KATIKA BUNGE LA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
''SPIKA WETU NI SPIKA WA VIWANGO VYA JUU'' MBUNGE AMINA MOLLEL
Просмотров 294 года назад
''SPIKA WETU NI SPIKA WA VIWANGO VYA JUU'' MBUNGE AMINA MOLLEL
Mengi mazuri yamefanyika Bungeni
Просмотров 204 года назад
Mengi mazuri yamefanyika Bungeni
TUHUMA NZITO KWA WABUNGE WA CCM
Просмотров 624 года назад
TUHUMA NZITO KWA WABUNGE WA CCM
MATUKIO MENGINE YALIYOJIRI KUTOKA BUNGENI DODOMA
Просмотров 214 года назад
MATUKIO MENGINE YALIYOJIRI KUTOKA BUNGENI DODOMA
KITWANGA AIBUA MAPYA BUNGENI SAKATA LA LUGUMI / TULICHAKACHULIWA
Просмотров 2864 года назад
KITWANGA AIBUA MAPYA BUNGENI SAKATA LA LUGUMI / TULICHAKACHULIWA
KAULI YA MBUNGE AMINA MOLLEL KUHUSU SAKATA LA MADAM RITHA
Просмотров 204 года назад
KAULI YA MBUNGE AMINA MOLLEL KUHUSU SAKATA LA MADAM RITHA
MBUNGE LEMA NA SUGU WATOKA MBIO BUNGENI / NDUGAI ASIMULIA
Просмотров 304 года назад
MBUNGE LEMA NA SUGU WATOKA MBIO BUNGENI / NDUGAI ASIMULIA
HARUSI KWA SASA SIO MUHIMU , ASEMA WAZIRI MKUU
Просмотров 374 года назад
HARUSI KWA SASA SIO MUHIMU , ASEMA WAZIRI MKUU
MBUNGE AMINA MOLLEL AMLILIA MARINE HASSAN MTANGAJI WA TBC ALIYEFARIKI
Просмотров 724 года назад
MBUNGE AMINA MOLLEL AMLILIA MARINE HASSAN MTANGAJI WA TBC ALIYEFARIKI
JPM APELEKEWA MALALAMIKO YA MBUNGE NA MKUU WA WILAYA, ATOA MAAMUZI HAYA
Просмотров 54 года назад
JPM APELEKEWA MALALAMIKO YA MBUNGE NA MKUU WA WILAYA, ATOA MAAMUZI HAYA
HATUWEZI KUKAA NA WAFANYAKAZI WAPUMBAFU / NAMFUKIZA KAZI HUYU
Просмотров 234 года назад
HATUWEZI KUKAA NA WAFANYAKAZI WAPUMBAFU / NAMFUKIZA KAZI HUYU
MBUNGE AMINA MOLLEL AMPONGEZA RAIS MAGUFULI KWA KUJITOA KWA WATANZANIA
Просмотров 85 лет назад
MBUNGE AMINA MOLLEL AMPONGEZA RAIS MAGUFULI KWA KUJITOA KWA WATANZANIA
MBUNGE AMINA MOLLEL ALIVYOMPONGEZA DC JOKETI KWA KUIBUKA KIDEDEA
Просмотров 115 лет назад
MBUNGE AMINA MOLLEL ALIVYOMPONGEZA DC JOKETI KWA KUIBUKA KIDEDEA
JPM 'WATANZANIA MSIOGOPE KUFANYA BIASHARA YA WANYAMA WA PORINI'
Просмотров 285 лет назад
JPM 'WATANZANIA MSIOGOPE KUFANYA BIASHARA YA WANYAMA WA PORINI'
Mwanamke auwawa kinyama kwa kutumia panga na Mumewe...Kisa hichi hapa
Просмотров 335 лет назад
Mwanamke auwawa kinyama kwa kutumia panga na Mumewe...Kisa hichi hapa

Комментарии

  • @ZubedaAbdallah-s5p
    @ZubedaAbdallah-s5p 3 дня назад

    Naomba no yake

  • @AgnesMloya
    @AgnesMloya 3 дня назад

    Hongera sana kaka natamani nipate namba yako ili nikuulize baadhi ya maswali

  • @RoseKitalika-s7s
    @RoseKitalika-s7s 7 дней назад

    Ninaomba namba ya simu

  • @silanzuki8627
    @silanzuki8627 9 дней назад

    Mashudu na pumba ni nini wakulima?

  • @DanielMbena
    @DanielMbena 16 дней назад

    Una miliki nn kwa bei hyo mana hata mazingira yako hujaboresha halafu lak7 ila tanzania jaman

  • @DanielMbena
    @DanielMbena 16 дней назад

    Lak 7 nanusu hee

  • @sebastianmaila2168
    @sebastianmaila2168 21 день назад

    Umeweza

  • @sebastianmaila2168
    @sebastianmaila2168 21 день назад

    Dodoma upo maeneo gani Nije nijifunze

  • @Jamalkishangu
    @Jamalkishangu 25 дней назад

    Dogo umenihamasisha kuhusu ufugaji wa mbizi. Nami nitaanza taratibu.

  • @MAYALASAMWELI
    @MAYALASAMWELI 27 дней назад

    Jamani nyie chakula mnanunua WAP

    • @aminamollel6639
      @aminamollel6639 17 дней назад

      Christopher anatengeneza chakula mwenyewe

  • @DevisonLemasta
    @DevisonLemasta 27 дней назад

    Nahitaji soko la nje unanisaidiaje

  • @JaneKilindu
    @JaneKilindu 29 дней назад

    Naomba namba ya cm

  • @IdrisaHatibu-m4u
    @IdrisaHatibu-m4u Месяц назад

    😢Una hela?

  • @ImaniSaid-m8u
    @ImaniSaid-m8u Месяц назад

    Naomba mawasiliano yako

  • @NeemaChibwana
    @NeemaChibwana Месяц назад

    nomezunguka nala kianzia asunihinhadi sasa cjakupata ni nala ya wpi

  • @HafsaMwalimu
    @HafsaMwalimu Месяц назад

    Christopher nisaidie kupata chakula cha kuku wadogo na wakubwa pia nikitaka vifaranga kutoka kwako nitapata

  • @OmanOman-u4s5c
    @OmanOman-u4s5c Месяц назад

    Ñaomba namba yako na pahali ulipo

  • @OmanOman-u4s5c
    @OmanOman-u4s5c Месяц назад

    Kaka hongera upo sehemu gani napenda sa hao kuchi ila sijui pa kuwapata

  • @AunyChanda
    @AunyChanda Месяц назад

    Naweza pata namba yako ya simu?

  • @paty11648
    @paty11648 Месяц назад

    Nlianza na Manyoya lakini sasa hivi nina kuku laki ..

  • @KaguruBoutz-ss3ge
    @KaguruBoutz-ss3ge Месяц назад

    Nahitaji kwenda kujifunzaa kwake

  • @peterkauki4383
    @peterkauki4383 Месяц назад

    Naomba kujua kuku wa wiki anatumia chakula gani

  • @NafuRashidi
    @NafuRashidi Месяц назад

    je kuchi bei gani dumena kanga weupe bei gani jike na dume

  • @saysophyfarm1780
    @saysophyfarm1780 Месяц назад

    Simu yangu imejaa mbuzi tu jameni

  • @ELIASMAGANDA-v4r
    @ELIASMAGANDA-v4r Месяц назад

    Kwa kweli kaka umenishawishi sana, lazima nifanye hizo shughuli hasa kuku

  • @SadatiIddy
    @SadatiIddy Месяц назад

    Mimi pia Nina ndoto kama yako na saivi Mimi ni mwanachuo wamipango lakin naomba nipate mawasiliano yako nipo dodoma naitwa sadati IDDI KING'ENG'ENA

  • @AdolfJordan-rz8sm
    @AdolfJordan-rz8sm Месяц назад

    Safi kabisa kaka

  • @AdolfJordan-rz8sm
    @AdolfJordan-rz8sm Месяц назад

    Hongera sana

  • @AdolfJordan-rz8sm
    @AdolfJordan-rz8sm Месяц назад

    Hongera sana kaka

  • @bsrabbitfarm
    @bsrabbitfarm Месяц назад

    Hongera sana kaka nahitaji namba yako nataka kukutembelea nije kujifunza ndugu

  • @bsrabbitfarm
    @bsrabbitfarm Месяц назад

    Kaka habari za Leo, samahani naomba namba Yako ya simu

  • @KareemIddi
    @KareemIddi 2 месяца назад

    Nambaa ya sim kaka tunaomba

  • @StellaVicent-ob9ju
    @StellaVicent-ob9ju 2 месяца назад

    Njoo arusha

  • @filbertsulusi8963
    @filbertsulusi8963 2 месяца назад

    God bless you dada

  • @Maurusymgimba
    @Maurusymgimba 2 месяца назад

    Nimeelewa sana Dada natafuta mtaji nifuge samaki napenda sana

  • @MussaWilbardMabuga
    @MussaWilbardMabuga 2 месяца назад

    Mr Yindi safi sana from udom

  • @GloriaNkerego-j3c
    @GloriaNkerego-j3c 2 месяца назад

    Naomba namba yako

  • @DotobuziloNtambi
    @DotobuziloNtambi 2 месяца назад

    Bro naomba namba yako

  • @harithpusuleiman1472
    @harithpusuleiman1472 2 месяца назад

    Kuku wa miezi minne wa kienyeji unapata kuku wa kuuza kweli

  • @isaacmerengo7293
    @isaacmerengo7293 2 месяца назад

    Yaani uchukue Ng’ombe kwa 1m kisha umlishe kwa miezi miwili kwa 84000!!? Kweli!?

  • @AstonElieza
    @AstonElieza 2 месяца назад

    Unamfahamu vipi mbuzi anayezaa mapacha

  • @onenonetv5469
    @onenonetv5469 2 месяца назад

    Meneja wa shamba atakua Mrundi huyo,Uhamiaji wakimuona wanapata pa kuokotea

  • @BarakaAbduli
    @BarakaAbduli 2 месяца назад

    Ongera sana kaka Mimi nipo singida naitaji kuku kama 10 kwa ajili ya kuanzia napataje

  • @ROBERTOJWANG-w7q
    @ROBERTOJWANG-w7q 2 месяца назад

    Sana broh hongera sana

  • @NdelimbijohnSwai-k5s
    @NdelimbijohnSwai-k5s 2 месяца назад

    Naomba namba ya cm mfugaji nawaitaji mpendwa

  • @josephmabeyo2987
    @josephmabeyo2987 3 месяца назад

    Hongera sana Mr.Magesa kwa kuthubutu, Mafanikio hakika yanahitaji jitihada kama zako. Dodoma unapatikana sehemu gani

  • @BarikielGwandu
    @BarikielGwandu 3 месяца назад

    Unapatikan wap now

  • @rosemarysulle9288
    @rosemarysulle9288 3 месяца назад

    Hongera,kumbe ulisoma Maruku!

  • @rosemarysulle9288
    @rosemarysulle9288 3 месяца назад

    Pole ndgu,utapata tu mtaji Kazana

  • @HafsaMwalimu
    @HafsaMwalimu 3 месяца назад

    Kaka naomba ratio ya chakula chako piano ninahitaji vifaranga 30 wa mwezi niko mtwara