FAHAMU NAMNA BORA YA KUNENEPESHA NG'OMBE NA KUUZA KWA FAIDA KUBWA.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 дек 2024

Комментарии • 23

  • @AdolfJordan-rz8sm
    @AdolfJordan-rz8sm 4 дня назад

    Hongera sana

  • @AffectionatePterodactyl-gh1vr
    @AffectionatePterodactyl-gh1vr 2 месяца назад

    Hongera sana kwa kazi nzuri ya ufugaji na kuwajengea uwezo vijana, unapatikana sehemu gani Dodoma ili nikutembelee kwa ajili ya kujifunza zaidi

  • @ROBERTOJWANG-w7q
    @ROBERTOJWANG-w7q Месяц назад

    Sana broh hongera sana

  • @AbdallahOmary-e9z
    @AbdallahOmary-e9z 2 месяца назад

    Napenda sana ufugaji nko ktk kujifunza zaid ulichokisema mtaalam kuhusu ufuguji wa Tanzania n kweli kabsa katka kujufunza kwangu nmejkuta nawaona waganda na wakenya kulko watanzania wengu tuamke tuko nyuma sanaa

  • @ematenbusinesssolution9949
    @ematenbusinesssolution9949 2 месяца назад

    hongera sana

  • @BnyMangi
    @BnyMangi 2 месяца назад

    Mm pia ni mfugaji wa Mbuzi

  • @BnyMangi
    @BnyMangi 2 месяца назад

    Shukulani Sana kwa elimu zako

  • @AllyLisu
    @AllyLisu 2 месяца назад

    Nimeanza kufuga kuku boss kwa ajili yako

  • @MariamDilla
    @MariamDilla Месяц назад

    Kaka inapatikana wapi na namba ya mawasiliano naomba tafadhali

  • @wirangamochemba7063
    @wirangamochemba7063 2 месяца назад

    Mr, moyay tuwakilishe serenget tutakucheck utupe ushaur kuhusu ugaji wa nguruwe tuko na shemejio maku

  • @gabrielzakaria2810
    @gabrielzakaria2810 2 месяца назад

    Ss ww Chris umenishinda kak umetisha me nakufatilia ww ni hatar

  • @HassanNasibu-q6m
    @HassanNasibu-q6m 2 месяца назад +1

    Ndoto. Zangu. Ni kufanya. Ivo. Mungu. Akinipa. Umzima. Nitaomba. Ushauri. Asaiv. Nimeanza na kuku. Wa. Kienyeji

  • @aminamollel6639
    @aminamollel6639  2 месяца назад +4

    Wasiliana na CHRISTOPHA kwa namba 0782 350, 862 ili ujifunze zaidi.

  • @mandyfitnesstv6738
    @mandyfitnesstv6738 2 месяца назад

    Atusaidie namna ya kunenepesha Mbuzi

  • @mboneadavid9661
    @mboneadavid9661 2 месяца назад

    Nashida na dume la ng'ombe

  • @isaacmerengo7293
    @isaacmerengo7293 29 дней назад

    Yaani uchukue Ng’ombe kwa 1m kisha umlishe kwa miezi miwili kwa 84000!!? Kweli!?

  • @SaidKondo-i2t
    @SaidKondo-i2t 2 месяца назад

    Kuhusu Uganda na Kenya ni kweli
    Denis Duke
    Hamisi semanda
    Bwogi farm
    Aire farm
    Genz farm
    Goat master
    Lakini tanzania ni kanjanja tu

    • @anoldjose7793
      @anoldjose7793 2 месяца назад

      😂😂 umeona ee

    • @beatriceMlwilo
      @beatriceMlwilo Месяц назад

      Hao wote nimeshawasikiliza lakini bado sijaanza ufugaji.Pumbavu zangu mimi

    • @SaidKondo-i2t
      @SaidKondo-i2t Месяц назад

      @beatriceMlwilo mdogo mdogo ,usijali,ila usiache wazo ,mm nipo maandalizi ya mwisho mwisho,nalianzisha