UFUGAJI WA NG'OMBE KIBIASHARA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 июл 2017
  • Ufugaji cha ng'ome wa nyama pamoja na uchakataji wa nyama, pia utajifunza kilimo cha nyasi za ngo'ombe

Комментарии • 36

  • @bonfasmahenge
    @bonfasmahenge Год назад

    Nikweli vijana wengi tunapenda vitu lahisi tuludi huku tunapote Asante kwa ushauli mtalam

  • @bensab7224
    @bensab7224 6 лет назад +5

    Aibuu kubwa,Maziwa yanakuwa imported kutoka Njee...

  • @bensonmwakyando5776
    @bensonmwakyando5776 6 лет назад +2

    Asanten sana kwa Elimu mnayotupatia.

  • @praygodshayo6324
    @praygodshayo6324 5 лет назад +5

    nimefurahi leo nimejua ata majani ni biashara

  • @wilfredbyabato4732
    @wilfredbyabato4732 4 года назад +1

    nimejifunza

  • @ahmadnejad4796
    @ahmadnejad4796 3 года назад

    @kilimo biashara naomba kujua bei za ng'ombe wa Maziwa

  • @uswegemalango7993
    @uswegemalango7993 2 года назад

    Kwahili tunawapongeza

  • @manjoriwakunesa7006
    @manjoriwakunesa7006 10 месяцев назад

    Nikitaka ngombe napataje

  • @jrkimara
    @jrkimara 3 года назад +1

    Tunapataje hawa ngombe wa maziwa?

  • @rodgersakwilini7762
    @rodgersakwilini7762 5 лет назад +4

    Habari, naweza pata namba ya Prof nahitaji kupata mitamba kutoka kwake , kipindi kizuri sana ila pia mngefanya naye kingine kwenye upande wa maziwa zaidi maana hiki kipo zaidi upande wa nyama

  • @jonamnyone8014
    @jonamnyone8014 4 года назад +3

    Hawa ng'ombe si pure breed na kwa kuwatizama hawawezi toa zaidi ya lita 14. Ng'ombe wa Kenya ni wazuri na sijui kwa nini hatufugi kitaalamu kama Kenya. Hata wataalamu wetu hawaonyeshi jitihada ya kufanya wawe pure breed. Kenya ng'ombe anatoa lita 40+

    • @allaboutbts9226
      @allaboutbts9226 3 года назад

      Nadhani wao wamejitahidi kuwekeza nguvu nyingi katika kuwahudumia hawa ng'ombe na kuweka umakini zaidi kuliko sisi, sie tunachukulia poa kila kitu

    • @mohamedghasia95
      @mohamedghasia95 2 года назад

      My assumption ni kwamba wewe ni mfugaji. Naomba kufaham aina ya Ng'ombe unaowafuga mkuu!!!

    • @jonamnyone8014
      @jonamnyone8014 7 месяцев назад

      ​@@mohamedghasia95mimi pia ninafuga ng'ombe kama hawa sina wale ambao ni high yield kama Kenya. Simkosoi prof. yeye ni mbobezi na naamini ameamua kufuga aina hii ili kuepuka magonjwa haswa kwa ng'ombe ambao ni high yield kwenye uzalishaji wa maziwa wanahitaji uangalizi mkubwa kuliko hawa ambao ni Cross breed.

  • @ShambaniFarm
    @ShambaniFarm 4 года назад

    Tunaomba contacts za huyu Professor.

  • @upendomichael3498
    @upendomichael3498 5 лет назад

    Wataaalam wa mafunzo ya ufugaji na uchakataji unawapata vipi?

  • @brunomwakalyobi9101
    @brunomwakalyobi9101 6 лет назад

    mnatupatiaje elimu ya ufugaji wa ng'ombe wa maziwa kwa sisi tuliopo Kyela ambapo hali ya hewa huku ni joto sana?

  • @victaboy7273
    @victaboy7273 Год назад

    Kipindi kizuri, lkn mfugaji kama huyu , pamoja na kwamba ni mfano wa kuigwa, ila. Siyo asilimia 100. Kwanza anaposema kuongeza thamani, yeye namkumbukq alikwisha wahi , kuanzisha butchery ya nyama, lakini alishindwa kumudu sokoni. Kwa hiyo tukumbuke hawa walimu, wanajua kuongea ti. Lkn siyo uhalisia, bado ni vigumu wadau

  • @everlastingmessage7663
    @everlastingmessage7663 6 лет назад

    kilimo biashara hamjibu message za watu, tuna maswal mengi hamtoi support

    • @kilimobiashara9361
      @kilimobiashara9361  6 лет назад +2

      Swali kama lipi, mengi ambayo hatujibu majibu huwa yamo ndani ya kipindi ila watu huona uvivu kutazama chote, pia namba za simu zinaoneshwa ndani ya kipindi

    • @kilimobiashara9361
      @kilimobiashara9361  5 лет назад

      tunajitahidi sana , pia kwa uharaka zaidi tuma message kwenda +255 713 588 410 kuhudumiwa kwa uharaka

    • @godknowgosbert8807
      @godknowgosbert8807 5 лет назад

      ENGITECH TV hawa jamaa siwaelewi kabsa ata ukiwapgia simu wajidai wako bize wananikela sana yaan nakujibu niko bize ukimtext nkupigie saa ngapi anasema eleza shida kwa text kha basi tu

    • @upendomichael3498
      @upendomichael3498 5 лет назад

      Namba ya baba tafadhari

  • @adrianmallyakibona.352
    @adrianmallyakibona.352 5 лет назад +2

    Prof unatudanganya kweupe.. Hao ng'ombe wako hapo hawana ubora stahiki.. Fresian ninawakamua hapo ni too much crossed then u told us kuwa u nawatoa Hiefer!? From which breed Papaa? Nikitazama hapo sioni ng'ombe mwenye kiwele cha litre 40. Mi nadhan tu jifunze kwa waken ya

    • @jumannechagulla9110
      @jumannechagulla9110 4 года назад +1

      Nimefaidika sana na kipindi hiki kwani kinatoa miongozo mizuri ya fursa ya kilimo kijana tuamke tusitegemee kuajiliwa. Asante pro .shem kwa dalasa lako zuri.

  • @wegesamwita4762
    @wegesamwita4762 6 лет назад +2

    Najua Kuna faida Za kufuga kama bio gas tuelimishwe na kuelekezwa wap tutapata wataalamu na Jinsi rea wanavyo saidia

  • @irakozemaissarah4325
    @irakozemaissarah4325 5 лет назад

    mnamo suala la gharama nkombe mmoja ndie anauzwa milioni na laki nne?ao nimeelewa vibaya?tafadhali naomba jibu

  • @godknowgosbert8807
    @godknowgosbert8807 5 лет назад +1

    Mna makala nzuri ila tatizo lenu mkipigiwa mnakuwa wazito sana mnataka mtumiwe sms mkitumiwa sms ata hamjali kama vp kuweni wawazi kama simu yenu inalipiwa semeni kwa dk kadhaa tuma shilingi kadhaa ndo usikilizwa ni ushamba kuweka namba ya simu alafu mkipigiwa kila time mnajidai mko bize tuma messeji alafu ziro

    • @kilimobiashara9361
      @kilimobiashara9361  5 лет назад +1

      Watu wanao hudumiwa ni wengi, pia muda mwingu huyo anaepokea simu anakua na kazi za kuandaa makala, pia na mambo binafsi ya kijamii, zote makala zimeandaliwa kwa juhudi na rasimali binafsi za waandaji bila kuchangiwa na wanachi Wala serikali, endelea kujaribu simu itapokelewa

    • @justiniankasinja8471
      @justiniankasinja8471 Год назад

      Ni kweli. Sijui kwa nini hawajiamini.
      Kama wamajiamini watoe namba zao halafu wapokee simu

  • @Lialye
    @Lialye 4 года назад

    You're doing those ribs wrong

  • @japhetmombia
    @japhetmombia 6 лет назад +1

    Asante sana Prof. Mimi ni mtaalamu wa Mifugo, pia Mazingira. nimekuelewa. contact me via +255765890358 and mombiajaphet@gmail.com