Nashukuru sana ndugu yangu kwa somo zuri,nimelielewa vizuri kabisa.ila kuna jambo nililo kuuliza kwenye somo lililopita ulilokuwa una zungumzia kuhusu mbuzi aina ya Galla.nilikuuliza hivi,je nikihitaji mbuzi wa kufuga aina ya Galla je nitawapata kwako
Habari kaka ninavutiwa sana na masomo yako juu ya ufugaji. Ila nina omba utuandile somo kwa sisi tusio na maeneo makubwa pia hatuna sehemu za malisho Mfano: mimi nina eneo la 20m kwa 30m na lipo sehemu iliyozingirwa na makazi ila natamani sana kufuga Mbuzi nafikiria jinsi ya kupata malisho na kwa eneo kama hilo ninaweza tunza mbuzi wangapi na jee ninaweza pata faida. Natamani sana ungetoa hiyo video
Asante kwa elimu nzuri
Nashukuru sana ndugu yangu kwa somo zuri,nimelielewa vizuri kabisa.ila kuna jambo nililo kuuliza kwenye somo lililopita ulilokuwa una zungumzia kuhusu mbuzi aina ya Galla.nilikuuliza hivi,je nikihitaji mbuzi wa kufuga aina ya Galla je nitawapata kwako
Wanapatikana karibu sana
Shukran
Nimekusoma mkuu
NAHITAJI BERBERU LA BOER
Habari kaka ninavutiwa sana na masomo yako juu ya ufugaji. Ila nina omba utuandile somo kwa sisi tusio na maeneo makubwa pia hatuna sehemu za malisho
Mfano: mimi nina eneo la 20m kwa 30m na lipo sehemu iliyozingirwa na makazi ila natamani sana kufuga Mbuzi nafikiria jinsi ya kupata malisho na kwa eneo kama hilo ninaweza tunza mbuzi wangapi na jee ninaweza pata faida.
Natamani sana ungetoa hiyo video
Asante sana kwa kutufwatilia na kutuellwa
Nitaandaa hilo somo
@@kiruaranch shukrani sana nimekaa chonjo kulisubiria hilo somo.
Litakuja baada ya somo linalo fwata
Hongera sana mkuu
Kwa mtuanae fuga ngombe masomo yanapatikana?