Niendelee kukushukuru kwa elimu nzuri unayotupa sisi wafugaji watarajiwa, Asante sana.swali langu ni hili,je'nikihitaji mbuzi wa kuanzia ufugaji naweza kuwapata hapo kwako?
Kusema breed unadanganya, Ni strain na sio breed. Mfano boar wote wanazaa mapacha? Pili kwa upande wa local breeds , je wote wanazaa mapacha? Kumbe sio breed Ni strain within a breed
Hapo hujatusaidia hili, umesema inatakiwa ili upate uzao wa pacha basi ni hakikishe napata jike ambao wana vinasaba vya uzao pacha, Je, nikipata huyo jike wa uzao pacha (anae zaa pacha kwa historia yake toka kwa mfugaji nako nunua) Je, nikimpandisha na dume ambae hana asili ya uzao pacha itakuaje hapo..? 🙄🤔
Asante kwa elimu nzuri naomba mawasiliano ili uweze kunisaidia zaidi
Mkuu hili shamba lako liko wapi ?
Kuzaa mapacha ni ulishaji mzuri mengine ni utapeli tu
Niendelee kukushukuru kwa elimu nzuri unayotupa sisi wafugaji watarajiwa, Asante sana.swali langu ni hili,je'nikihitaji mbuzi wa kuanzia ufugaji naweza kuwapata hapo kwako?
Ndio wapo (Galla)
@@kiruaranchnaitaji Galla wanne napata aje number zako
Shukran kwa elimu sasa hao boer au Red Karahali au hii breed unayo ya kuuza?
Kama unao tuwasiliane.
Tunawapata wap ao uliowataja
Kusema breed unadanganya, Ni strain na sio breed. Mfano boar wote wanazaa mapacha? Pili kwa upande wa local breeds , je wote wanazaa mapacha? Kumbe sio breed Ni strain within a breed
Nichakula gani wanapaswa kupewa.
Somo linalokuja litaelezea kuhusu vyakula endelea kutufwatilia
Somo linalokuja litaelezea kuhusu vyakula endelea kutufwatilia 0:00 ri
Hapo hujatusaidia hili, umesema inatakiwa ili upate uzao wa pacha basi ni hakikishe napata jike ambao wana vinasaba vya uzao pacha,
Je, nikipata huyo jike wa uzao pacha (anae zaa pacha kwa historia yake toka kwa mfugaji nako nunua)
Je, nikimpandisha na dume ambae hana asili ya uzao pacha itakuaje hapo..? 🙄🤔
Jike atazaa mapacha ila watoto wake kuna uwezekano mkubwa wasiendele kuzaa mapacha kwa sababu utakua umefifisha Gene za kuzaa mapacha
@@kiruaranchasante sana nmekuelewa vzur