NAMNA YA UFUGAJI WA MBUZI ENEO DOGO FAIDA KUBWA(GOAT FARMING IN SMALL AREA GOOD MARGIN)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 дек 2024

Комментарии • 15

  • @lynusjacob6727
    @lynusjacob6727 Месяц назад

    shule ni maisha ya mkulima tunajitunza kila kuitwapo leo bless up brooo

  • @MakoyeLucas-i8s
    @MakoyeLucas-i8s Месяц назад

    Mungu akutagulie san Kwa elimu nzur

  • @Olelesineti
    @Olelesineti 18 дней назад

    Mbuz Moja mnauzaje

  • @PaskaliCharles-pz8ds
    @PaskaliCharles-pz8ds 2 месяца назад

    Asante kwa elimu nzuri

  • @ProphetJofreyKaigarula
    @ProphetJofreyKaigarula 2 месяца назад +1

    Mkuu, samahani. Unao RED KALAHALI, BOER NA SAVANA pure breed?

  • @mbashaphabian7668
    @mbashaphabian7668 6 месяцев назад +1

    Tunashukuru sana kwa kutuelimisha kaka from Arusha

  • @eradolyamuya3929
    @eradolyamuya3929 6 месяцев назад

    Hongera sana ndugu kwa ushauri na hatua uliyo fika.kwa kweli umejitahidi sana

    • @kiruaranch
      @kiruaranch  6 месяцев назад

      Asante kaka bado tunapambana

  • @joshuamoranga6860
    @joshuamoranga6860 2 месяца назад

    Nawafuata Kutoka Kenya. Je, Heka moja itaacomodate mbuzi wangapi?

  • @homeofvideos8893
    @homeofvideos8893 6 месяцев назад

    Bro huwa nakukubali sana vipindi vyako navifatilia kwa ukaribu sana

  • @eradolyamuya3929
    @eradolyamuya3929 6 месяцев назад

    Nakushukuru sana brother,kwa elimu nzuri kabisa unayotupa kuhusu ufugaji wa mbuzi.naomba kukuuliza hivi,nikihitaji mbuzi aina ya Gala kwa ajili ya mbegu naweza kuwapata kwako?

    • @kiruaranch
      @kiruaranch  6 месяцев назад

      Karibu sana wanapatikana bila shaka karibu sana

    • @HawaShangla
      @HawaShangla 6 месяцев назад

      Nipo Dodoma Boer goat unao

    • @eradolyamuya3929
      @eradolyamuya3929 6 месяцев назад

      ​@@kiruaranchsawa ndugu yangu,mimi niko kibaha pwani naandaa mazingira mazuri,kisha nitakutafuta