Ahsante kwa elimu.kaka mimi nina swali je kama mbuzi ana moja ya maradhi.haya je ni salama kwa walaji ? Maana tunanunua mbuzi lakini hatujui.historia yake pengine ana ugonjwa na mfugaji.hatami kupata hasara anamuuza je kuna athari.yeyote kwa mlaji
Nashukuru Sana Kwa SoMo lako Zuri. Pia mbuzi wangu Wana ugonjwa WA kuzunguka na kuinua kichwa juu wakati akizunguka. Je huu ni ugonjwa gani na tiba yake ni nini?
Asante brother
Elimu tosha, Useful information
Shukrani kwa kutupa elimu .
mafunzo mazuri thanks
Asante kwa elimu nzuri
Ahsante kwa elimu.kaka mimi nina swali je kama mbuzi ana moja ya maradhi.haya je ni salama kwa walaji ? Maana tunanunua mbuzi lakini hatujui.historia yake pengine ana ugonjwa na mfugaji.hatami kupata hasara anamuuza je kuna athari.yeyote kwa mlaji
Tunakushukuru sana kaka kwa elimu nzuri, Mungu akubariki sana
Asante sana
Pia huo ugonjwa WA kuzunguka unawashika mbuzi wanene tu
Dr naomba uzungumzie ugonjwa wa kuzunguka kwa mbuzi
confirm if you sell galla goats at kiria farm?
Mnatufundisha tujue basitunataka no zenu ilituwasiliane brother sisiniwafugaji tunahitaji mafunzo yenu
0735899232
Nashukuru Sana Kwa SoMo lako Zuri.
Pia mbuzi wangu Wana ugonjwa WA kuzunguka na kuinua kichwa juu wakati akizunguka. Je huu ni ugonjwa gani na tiba yake ni nini?
Hiyo ni Nasal Granaloma
Naomba namba yako ya simu .
0735899232
Naomba mawasilian yak bro
0735899232
@@kiruaranch safi kaka kwa darasa zuri
Nitapata wapi hiyo chanjo ya b c,c p??
wasiliana nasi kwa NO 0735899232
Naweza pata kitabu cha miongozo cha magonjwa ya mbuz na namna ya ufugaji wa mbuzi maana nimeshaanza ufugaji.
Mbuzi kujifungua kabla muda ujafika nakisha kufa ni ugonjwa gani?
Karibu sana na pole kwakupoteza mbuzi wako.
Angalia video nyingine part 2 tumeelezea vizuri sabubu ya mbuzi kuwa hivyo na njia za kutibu
Mbuzi wangu kajifungua ana siku 5 alikuwa anyonyeshi pia nikawa na mkamua amepekwa kuchunga karudishwa ali wala akojoi wa aja kubwa
Ndugu uko mkoa gani
KILIMANJARO WILAYA YA SAME