Utunzaji wa watoto wa mbuzi

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 сен 2024
  • Watoto wa mbuzi ni muhimu sana kwa mfugaji anayefuga mbuzi kibiashara. Hivyo ni muhimu uhakikisha watoto aatunzwa kwa uangalizi wa hali ya juu kuhakikisha kila mtoto ananyonya na anapata maziwa ya utosha. Ikiwa mama zao hawana maziwa ya kutosha ni vyema uwapa maziwa ya kutengeneza au hata maziwa ya Ng’ombe ili watoto hao wakue haraka.
  • ЖивотныеЖивотные

Комментарии • 27

  • @cresensiankwera1776
    @cresensiankwera1776 2 месяца назад +1

    Asante kwakazi nzuri

  • @cresensiankwera1776
    @cresensiankwera1776 2 месяца назад +1

    Amina Naomba kuuliza Chanjo watapata wakiwana miezi mingapi

    • @ShambaniFarm
      @ShambaniFarm  5 дней назад

      Inategemea ni chanjo gani una wapa na maelekezo ya chanjo yenyewe, na pia tabia za mazingira yako kama huo ugonjwa upo kwa wingi kwenye mazingira yako na unawakumba mbuzi wakiwa na umri gani!

  • @chamachakwela6981
    @chamachakwela6981 Год назад

    Ñaomba mawasiliano kibindu iko wapi

  • @mwannekubeba8276
    @mwannekubeba8276 27 дней назад +1

    Ninambuzi Wangu anasiku mbili anahala mafuta mafuta nifanyeje mtalamm

    • @mwannekubeba8276
      @mwannekubeba8276 27 дней назад

      Naomba unisaidie kwaushauli

    • @ShambaniFarm
      @ShambaniFarm  5 дней назад

      Pole ndo naona comment yako. Ulifanikiwa kumtibu?

  • @happygresha3115
    @happygresha3115 4 года назад +3

    Hawa ni wa uzao mmoja mmoja au kuna wa double?

    • @ShambaniFarm
      @ShambaniFarm  4 года назад +1

      Wapo mapacha humo kama sita.

    • @happygresha3115
      @happygresha3115 4 года назад +1

      Hizi ni zile vitu mimi hupendaga... Acha nisisimulie NDOTO!

  • @philbertzacharia3087
    @philbertzacharia3087 4 года назад +1

    You are doing greatly bro ,wow it's so amazing!!!

  • @philbertzacharia3087
    @philbertzacharia3087 4 года назад +1

    Wow it's so amazing br ,you are doing greatly,

  • @etwekitilya3582
    @etwekitilya3582 3 года назад +1

    Jamani kazi nzuri hongereni na Mungu awabariki nahitaji mbuzi naweza kupata?nipo Kilimanjaro Tz

    • @ShambaniFarm
      @ShambaniFarm  2 года назад

      Asante sana. Unahitaji mbuzi wa aina gani?

  • @davidmaina9059
    @davidmaina9059 4 года назад +1

    Hongera kwa kazi nzuri bwana , swali langu kwako ni iwapo nitamhitaji mbuzi wa Boer utaniuzia nikiwa mjini Nairobi ?

    • @ShambaniFarm
      @ShambaniFarm  4 года назад

      David maina Kwasasa bado hatujaanza kuuza. Ila tutakapoanza kuuza tutawajulisha kupitia channel hii.

    • @davidmaina9059
      @davidmaina9059 4 года назад

      Asante nashukuru

  • @williamuphilipo7447
    @williamuphilipo7447 2 года назад

    Kazi nzuri sana.... Hongera.

  • @tinashemawokomatanda
    @tinashemawokomatanda 4 года назад +1

    Please send the engish version asap. Love your vids

    • @ShambaniFarm
      @ShambaniFarm  4 года назад +1

      Will post ir tomorrow. Thanks for the patronage!

    • @ShambaniFarm
      @ShambaniFarm  4 года назад

      Done

    • @ydbranch542
      @ydbranch542 2 года назад

      Shamban farm mnapatikana mahali gani

  • @philbertzacharia3087
    @philbertzacharia3087 4 года назад

    You are doing greatly bro ,wow it's so amazing!!!

  • @barakakajange7335
    @barakakajange7335 2 года назад

    Unaongea sana broo

    • @ShambaniFarm
      @ShambaniFarm  2 года назад

      Sijakuelewa. Ulikuwa unataka nisiongee?

    • @barakakajange7335
      @barakakajange7335 2 года назад

      @@ShambaniFarm nisamehe mkuku sikujitambua Mimi pia ninapenda sana ufugaji isipokwa nilikuwa natafuta ukweli kuhusiana na ufugaji wa mbuzi kwaajili ya biashara ktk ununuzi wa mbuzi wadogo, na kuwachukuwa na kuwakuza pia nakujua ubora wa mbuzi na bei za sokoni kwa kila mbuzi kwasasa nauliza hivyo nikwaatahadhari yangu kabla sijaingiza mtaji wangu humo samahani kwakukwaza jana kama hutojali naomba unisaidie mkuu