NAMNA YA KUZALISHA MBUZI WENGI KWA WAKATI MOJA(REPRODUCE HUNDREDS GOAT AT ONCE)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 дек 2024

Комментарии •

  • @modestusmbeya8914
    @modestusmbeya8914 2 месяца назад

    Hongera sana kwa kazi nzuri na eliminate uliyotupatia

  • @MuthuiMusyoka
    @MuthuiMusyoka 2 месяца назад

    Good work,, nataka kukutembelea

  • @dilliwa
    @dilliwa 11 месяцев назад +1

    Hongera sana kwa kazi

    • @kiruaranch
      @kiruaranch  11 месяцев назад +1

      Asante karibu sana

  • @yonazakaria9706
    @yonazakaria9706 9 месяцев назад

    Somo zuri sana. Asante

  • @FarmChoiceLtd
    @FarmChoiceLtd 10 месяцев назад

    Well spoken boss

  • @AdelinaOnesmo-w8j
    @AdelinaOnesmo-w8j 2 месяца назад

    Hello je nitewezaje kuzalisha mbuz 500 kwa mwakan?

  • @MbarukAli-u1q
    @MbarukAli-u1q 5 месяцев назад +2

    Unajua kuelezea mkuu

  • @chrisnambahu7342
    @chrisnambahu7342 11 месяцев назад +1

    Kwa mbuzi wa kienyeji dume wangapi kwa majike wangapi??

  • @ismailmnzava4796
    @ismailmnzava4796 11 месяцев назад

    Based on your experience , what is the mortality rate in percentage during the kidding season, Also have you considered to bring in different type of breeds like Boers and the Kalahari , also what is the average weight for a matured gala goat - female and the Bucks
    Asante sana for your informative video

    • @kiruaranch
      @kiruaranch  11 месяцев назад +1

      Mortality rate it depends on your management practice
      For me here I have four kidding Season where I losted only 2 kid which means there some Season I raised all kid were born per Season.
      2.Mature male goat ranging 55 -65 kg and female 30-35kg
      3. Right now I have boer breed but I will start to sell on December this year

  • @davidmbwiga880
    @davidmbwiga880 8 месяцев назад

    Nimepata kitu leo

  • @stevensontz9114
    @stevensontz9114 8 месяцев назад +1

    Naomba kujua,
    Kwani Mbuzi analea kwa muda gani..?
    Ina chukua Muda gani toka Mtoto kuzaliwa mpaka kuja kuacha kunyonya

  • @CreshaRevelian-wb6ky
    @CreshaRevelian-wb6ky 2 месяца назад

    Ok

  • @NeemaNkya-gr6ss
    @NeemaNkya-gr6ss 10 месяцев назад

    Hasara ya sycronaisation kama usmamiz utakua sio ni nn mkuu shukran.

  • @IBRAHIMBUKENE
    @IBRAHIMBUKENE 6 месяцев назад +1

    Nitafawaham vip hizo aina za mbuz,binafsi nawaona hawa mbuz wetu wakienyej, sijui huyu ndio Galla, au nani, naombajibu

  • @stevensamwel4854
    @stevensamwel4854 11 месяцев назад +1

    Nimependa nitakutafuta ninayo amu kubwa kufanya ufugaji biashara.

    • @kiruaranch
      @kiruaranch  11 месяцев назад

      Karibu sana ukiwa tayari

  • @alexMweya
    @alexMweya 8 месяцев назад

    kaka mm naomba yako mana na mm ni mfugaji ila nahitaji kupata elimu zaidi kutoka kwako

  • @PaskaliCharles-pz8ds
    @PaskaliCharles-pz8ds 8 месяцев назад

    Vyakula gani hivyo

  • @catherinemloka1020
    @catherinemloka1020 5 месяцев назад +1

    Hujasema una uzaje mbuzi wako

  • @rashidjefwa2706
    @rashidjefwa2706 5 месяцев назад

    Ni aina Gani ya chakula anayopewa mbuzi baada ya kuzaa.

    • @kiruaranch
      @kiruaranch  5 месяцев назад

      Angalia kwenye video zangu kuna video nimeelezea chakula cha ziada cha Mifugo