Kuwa Milionea fanya biashara ya Majani!

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 янв 2025

Комментарии • 19

  • @VeronicaMtweve-t6g
    @VeronicaMtweve-t6g 4 месяца назад +2

    Bei za mbegu zikoje?

    • @mulapfarm9664
      @mulapfarm9664  4 месяца назад

      @@VeronicaMtweve-t6g 1kg = 4000/-

  • @yonazakaria9706
    @yonazakaria9706 11 месяцев назад +1

    Safi sana. Nina shamba lenye asili ya Mchanga, je super napier haiwezi kukua?

  • @nsajimwasege68
    @nsajimwasege68 11 месяцев назад +1

    Safi sana! Mbegu kiasi gani inahitajika kwa ekari?

    • @mulapfarm9664
      @mulapfarm9664  11 месяцев назад

      Ekari 1 unatumia mbegu pingili 4000 mkuu.

  • @DawsonAkyoo
    @DawsonAkyoo 3 месяца назад +1

    vimbegu mnauzaje nko arusha pia

    • @mulapfarm9664
      @mulapfarm9664  3 месяца назад

      @@DawsonAkyoo tucheki 0659770886

  • @AlfredMapile
    @AlfredMapile 11 месяцев назад +1

    Ok

  • @gastonurassa3734
    @gastonurassa3734 4 месяца назад +1

    Nahitaji nipo arusha napataje??

  • @alexkabeho5609
    @alexkabeho5609 9 месяцев назад

    Muko wapi mkuu

  • @ProsenceKahwa
    @ProsenceKahwa 3 месяца назад +1

    Safi sana mkuu

  • @eradolyamuya3929
    @eradolyamuya3929 9 месяцев назад

    Hebu niambie mkuu,mimi pia niko kibaha kwa mfipa nina eneo langu liko bondeni,na wakati wa mvua maji yana twama,je hiyo super Napier grass itakubali

    • @mulapfarm9664
      @mulapfarm9664  9 месяцев назад

      Kwenye mvua hii tengeneza matuta halafu panda. Zao lolote lile likikaa kwenye maji kwa mda mrefu sio rahisi kukuwa huwa yanaharibika