CHAKULA CHA NGURUWE CHA KUKUZIA NA KUMALIZIA KWENDA SOKONI KWA UZITO MKUBWA|Jinsi tunavyochanganya!

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 фев 2025
  • Mchanganyiko wa chakula na fomula tunayotumia shambani

Комментарии • 11

  • @LindaNjau-s4j
    @LindaNjau-s4j Месяц назад +1

    Asante sana Kwa elimu unayotupatia. Kiukweli inatia hamasa kubwa. Nitakutafuta kwenye simu.

  • @leonardphilip565
    @leonardphilip565 2 дня назад

    Siku nyingine mjitahidi wote kuwa na boots kupunguza magonjwa

  • @sizanisiame5964
    @sizanisiame5964 2 месяца назад +1

    Je maandalizi ya soya yakoje zinakaangwa kwanza au mbichi

  • @flavianswai2195
    @flavianswai2195 3 месяца назад +2

    Kinafaa kwa nguruwe wanaonenepeshwa kwa ajili ya kwenda sokoni??

  • @Agusanga
    @Agusanga 3 месяца назад +1

    Pumba ya mpunga vip??

    • @mulapfarm9664
      @mulapfarm9664  3 месяца назад

      @@Agusanga unaweza weka mkuu

    • @NathaliaKimaryo
      @NathaliaKimaryo 3 месяца назад +1

      Asante sana

    • @NickierNduche
      @NickierNduche 3 месяца назад

      Ukitaka kua na nguruwe wanye uzito wa kuanzia kg 100 na kuendelea kwa mchanganyiko huo inabidi ufuge kwa miezi mingapi au nguruwe wako unawafuga kwa miezi mingapi ili kua na kg 100 au Zaid asante

    • @Mrp_manguluwe
      @Mrp_manguluwe 2 месяца назад

      ​@@NickierNduchemiez 7

    • @DavidMasawe-l9w
      @DavidMasawe-l9w 4 дня назад

      Mm natumia pumba ya mahind pumba ya mpunga mashud dagaa mifup damu chumv soy chokaa na pig bust hapo nakosea au vip