#TBC
HTML-код
- Опубликовано: 5 фев 2025
- Fuatilia habari na matukio mbalimbali kwa saa 24 kupitia tovuti yetu, www.tbc.go.tz au App yetu ya “TBC Live” inayopatikana
Play Store (Android): bit.ly/3kYnnsr
App Store (iOS): apple.co/31Yxjta
Tufuatilie pia kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamii;
Twitter: / tbconlinetz
Instagram: / tbc_online
Facebook: / tbconlinetz
Makala nzuri na elemishi kwa wafugaji,TBC endeleeni kuleta makala za aina hii kwa watanzania
Safi sana huyu mkulima Anajitambua na hongera TBC kwa kipindi kizuri.. vipindi kama hivi vinaleta tija
Kipindi hiki ni kizuri mno na kimeandaliwa vyema. Hongereni TBC.
Asante kwa somo zuri
Mrida Mrida Nimekusikia Kaka!!
Hongera afisa Mifugo Kwa elimu nzuri, hakika umeeleweka.
Asante kwa elimu ya ufugaji wa ng'ombe
Elimu nzuri sana,imejitosheleza.
Mtangazaji unauliza maswali Vizuri sana hongera
Asante kwa elimu
Biashara nzuri sana
Hongereni TBC kwa elimu hii kubwa
Asante nimejifunza mengi
Hongera sana
Nashukuru Kwa kuniongezea maarifa kipindi kinaweza kuongezea mapinduz ya ufugaji Kwa wengi sana
Kipindi kizuri sana nimefurah sana kwa uelewa nilioupata juu ya unenepeshaji...ndugu mwanahabari ubarikiwe sana
Kutokeya Canada félicitations
Wow
brother umeeleza vyema. nami naenda anza fuga.
Elimu nzuri sana ya ufugaji, Tunaomba kufahamu eneo la hekari 1 linafuga ng'ombe wangapi?
Kwenye kipindi imefafanuliwa. Inategemea unatumia mfumo upi wa ufugaji
Pumba na mashudu ni nini kiingereza?
I need this bulls to buy
Wataalamu kumbe wapo
Elimu nzuli sana na omba namba ya afisa mifugo
Mimi pia nimeanza kufuga
Nilijifunza sana huku huku Utube
Hongera Godwin
Naomba kufaham mtaj wa kuanza nao katika kunenepesha
Naomba namba za Afisa mifugo
Namba ya edward naomba
Maswali mazuri mtangazaji
Dah napataje namba ya huyu afisa
Nipe namba ya huyo mzee
Mko poa sana kwa elimu
Ahsante mzee toa namba ya simu
Tunaomba namba ya Mr Edward
Pumba mashudu surely...whats that ndugu zangu
TBC njoo huku KAGERA kuna hawa nyakole wenye asili ya UGANDA tunahitaji elimu
Tunaomba nanamba bas
Namba za uyu mfugaji
TBC mbona hamuoneshi vifaa anavyotumia kulishia mifugo? Maelezo yangeendana na picha.
Mapendekezo mazuri sana.
Waoneshe picha
Kipindii kizuri snaa majibu yangu yamejibiwa
Tueleze wakenya pumba na kishudu nini kiingereza tafadhali
Nauliza maji yawe umbali gani
Yawe karibu. Ndani ya kilomita 1
Asante kwa elimu