Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Asante kutupunguzia gharama
Mola Akubarik kwa elimu hii. Imenisaidia Sana.
Asant Sana 🙏🙏🙏🙏 nashukulu Sana kwa SoMo zuri
Shukran sana kwa somo zuri
Ubarikiwe sn sis wafugaj wachanga unatusaidia sn
Asante Sana tuko pamoja
Habari mkuu vifaranga hao wa malawi na wa kisukuma unawauzaje nataka ninunue
Tunauza vifaranga pekee. Tupigie 0621063255
Asante kwa somoDawa gani ya kienyeji kutibu kuharisha kwa kuku
Mkaa
Mkaa unatumiaje?
Naomi sonda. unatwanga unachanganya na pumba
Safi MWL.,.lkn safisha mizani basi mpendwa
🤣🤣🤣🤣🤣
Asante kwa SoMo zuri
Nimejifunza mengi Sana
Asante ila hujatuambia huo mchanganyiko wanakunywa kwa siku ngapi dose yake
Siku 7
Doz inarudiwa baada ya mda gan?
Namba
Somo ni nzuri sana ila jitahindi ku fupisha video ili itazamwe na wengi
Kweli kabisa kuna hatua hazikua lazima kuchukua muda
@@husseinramadhani1345 pl
8h
Nikiwa Burundi naitaji kujiunga kwenye groupes 5000 sh ni ngapi ya Burundi ?
Video ni ndefu, jaribu kufupisha
Can you give them when not sick? salaams from Kenya.
Absolutely
Hii dawa kwa muda gani? Kila siku unasaga. Au unawapa hiyo hiyo mpaka imalize? Na uchuji makapi?
Na hii dose ni kwa siku ngapi?
Samahani na kuku wa aina ya chotara nao unaweza kuwapa hii dawa ya kitunguu swaumu na tangawizi? Naomba jibu tafadhali
Najiunga nanyi nipo shy mjini
Naomba namba nijiunge mafunzo
Naamini wanakunywa kwa siku nzima kama ni sawa je ni kwa siku ngapi?
7
Vifaranga vya kuchi bei gani
Kama una kilo itakuaje
Nina kuku hapa kila akitaka kutaga anataga yai lisilo komaa nini sababu
Unamlishaje? Mkague mafua
Kwa siku ngapi
Kujiunga na what's group nitajiunga vipi?nikiwa kenya
Lipia kupitia mpesa au airtel money
@@KukuVillage kwa number gani na pesa ngapi nikiwa kenya
@@KukuVillage nagoja kaka
Tumia mpesa +255744674406 Airtel money +255784655413Malipo ni sh. 255 za Kenya
Nimpe kuku nini wakihara?
Wasiliana nasi WhatsApp 0744674406
Ie dawa hii wanatumia kwa mda gani
kwa kila siku tutaarishe maji mengine au ayo ayo tuliyotayarisha siku ya mwanzo ndio wapewe kwa mda huwo wa siku 7
Unatayarisha mengine
Hampokei simu zote ulizoziandika hapo. Mayai ya kuku wakisukuma unauzaje trei ??
Kwa sasa hautuuzi mayai tunauza vifaranga pekee.
Vifaranga sh ngapi
mchanganyiko huu utatumika siku ngapi
Wanatakiwa kuitumia kwa siku ngapi?
Unatakiwa kubadilisha kila baada ya Muda hyo Dawa Kaka?
Mchanganyiko hoi unatumika kwa mda gani Kama una kiasi kidogo cha kuku
Muda ni ule ule
Nataka nijiunge whattpu nifanyeje?
Asante sana kwa mafundisho mazuri
Asante kutupunguzia gharama
Mola Akubarik kwa elimu hii. Imenisaidia Sana.
Asant Sana 🙏🙏🙏🙏 nashukulu Sana kwa SoMo zuri
Shukran sana kwa somo zuri
Ubarikiwe sn sis wafugaj wachanga unatusaidia sn
Asante Sana tuko pamoja
Habari mkuu vifaranga hao wa malawi na wa kisukuma unawauzaje nataka ninunue
Tunauza vifaranga pekee. Tupigie 0621063255
Asante kwa somo
Dawa gani ya kienyeji kutibu kuharisha kwa kuku
Mkaa
Mkaa unatumiaje?
Naomi sonda. unatwanga unachanganya na pumba
Safi MWL.,.lkn safisha mizani basi mpendwa
🤣🤣🤣🤣🤣
Asante kwa SoMo zuri
Nimejifunza mengi Sana
Asante ila hujatuambia huo mchanganyiko wanakunywa kwa siku ngapi dose yake
Siku 7
Doz inarudiwa baada ya mda gan?
Namba
Somo ni nzuri sana ila jitahindi ku fupisha video ili itazamwe na wengi
Kweli kabisa kuna hatua hazikua lazima kuchukua muda
@@husseinramadhani1345 pl
8h
Nikiwa Burundi naitaji kujiunga kwenye groupes 5000 sh ni ngapi ya Burundi ?
Video ni ndefu, jaribu kufupisha
Can you give them when not sick? salaams from Kenya.
Absolutely
Hii dawa kwa muda gani? Kila siku unasaga. Au unawapa hiyo hiyo mpaka imalize? Na uchuji makapi?
Na hii dose ni kwa siku ngapi?
Samahani na kuku wa aina ya chotara nao unaweza kuwapa hii dawa ya kitunguu swaumu na tangawizi? Naomba jibu tafadhali
Najiunga nanyi nipo shy mjini
Naomba namba nijiunge mafunzo
Naamini wanakunywa kwa siku nzima kama ni sawa je ni kwa siku ngapi?
7
Vifaranga vya kuchi bei gani
Kama una kilo itakuaje
Nina kuku hapa kila akitaka kutaga anataga yai lisilo komaa nini sababu
Unamlishaje? Mkague mafua
Kwa siku ngapi
7
Kujiunga na what's group nitajiunga vipi?nikiwa kenya
Lipia kupitia mpesa au airtel money
@@KukuVillage kwa number gani na pesa ngapi nikiwa kenya
@@KukuVillage nagoja kaka
Tumia mpesa +255744674406
Airtel money +255784655413
Malipo ni sh. 255 za Kenya