VURUGU ARUSHA KANISANI, JAMAA AWAKATA MAPANGA YA KICHWANI NA KUKATA MKONO UKAANGUKA CHINI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 май 2024

Комментарии • 164

  • @user-ly2tv5og1n
    @user-ly2tv5og1n 28 дней назад +1

    Mwenyezi Mungu Akubariki upone haraka. Utapata malipo makubwa toka kwake Muumba WETU. Pole sanaaa!

  • @edsonnelson4464
    @edsonnelson4464 Месяц назад +10

    Pole mama ulikuwa unatenda jambo jema Mungu atakusaidia

  • @sein.208
    @sein.208 Месяц назад +9

    Subhana Allah 😭 😭 😭
    Pole sana dada... Allah akujaalie shifaa 🤲

  • @josegambi7149
    @josegambi7149 Месяц назад +3

    Serikali naomba muwaangalie mabalozi wa nyumba kumi. Naomba muwe mnawalipa mshahara japo kifuta machozi. Rekebisheni katiba ya chama na ya nchi kiujumla. Wanafanya kazi nzuri na nzito. Muwaangalie

  • @muhidinally3460
    @muhidinally3460 Месяц назад +6

    Pole sana Dada mungu akawe faraja kwako...

  • @stellahwilfred5762
    @stellahwilfred5762 Месяц назад +3

    Pole sana DEAR Mom.. ila Hapo kwenye kuililia Ccm tu nimejikuta nacheka..MUNGU akupatie HAKI stahiki MAANA ni gharama ya DAMU imekugharimu😢😢

  • @user-ye3fy9kk6r
    @user-ye3fy9kk6r Месяц назад +2

    Subhaanallah!!..watu wana roho zakinyama, unatoa kiungo cha binaadamu mwenzio,yani unamsababishia mwenzio ulemavu,dah!!..inauma sana wallah

  • @NyotaBalolane.
    @NyotaBalolane. Месяц назад +2

    Mungu akuone mama kweli ulikuwa kwenye kazi nzuri mpaka machozi ina nidodoka kweli

  • @susananyasani6526
    @susananyasani6526 Месяц назад +2

    Inasikitisha sana Mama kukatwa Mkono pole sana Dada Serikali inapaswa kukusaidia sababu ulipoteza Mkono ukiwa kazini na aliyekukata Mkono apewe kifungo pole sana utapona ❤

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa Месяц назад +12

    Subhanna Allah me nahisi Arusha ata serikari imewashinda maana kila kukicha matukio tu na hawapewi adhabu kutokana na makosa Yao sasa mtu kama uyo SI muuaji kabisa apo utasikia wanafanya upelelezi

    • @husna34562
      @husna34562 Месяц назад

      Wanadamu wamekua na roho mbaya kias hiki😢

    • @AminaLibisa
      @AminaLibisa Месяц назад

      Ni mtihani kwa kweli

    • @jesusbrother7684
      @jesusbrother7684 Месяц назад

      Arusha vichwa ngumu sana, kila kukicha ni matukio ya balaa tu! Sijui wana matizo gani 🥺😡

    • @AminaLibisa
      @AminaLibisa Месяц назад

      Wanatumia vilevi sana

  • @user-rr8cw8yl5o
    @user-rr8cw8yl5o Месяц назад +3

    Pole balozi jmn Arusha mtasababisha watu wacgombee ubalozi mana ni htr

  • @user-fz2qn5to1v
    @user-fz2qn5to1v Месяц назад +1

    Pole kiongozi mwenzangu serikali yetu ikiongoza na Jemedari Mama yetu Samia suluhu naamini kwa uweza wa Mungu iko pamoja nawe Nakuombea uponyaji Mungu muweza ya yote tunamuomba Atende mujiza wake upone ukaendelee na majukumu yako yakulijenga Taifa

    • @user-ys5iu3qu3u
      @user-ys5iu3qu3u 26 дней назад

      Mama samia atarudisha mkono jiangalie sifa zingine

  • @annamlozi4538
    @annamlozi4538 Месяц назад +4

    MUNGU akuponye dada, pole sana.

  • @AnaniasBenedict
    @AnaniasBenedict Месяц назад +3

    Pole sana Mama Mungu akuponye

  • @eddytheophil7626
    @eddytheophil7626 Месяц назад +1

    So sad..

  • @elizabetty-rt7py
    @elizabetty-rt7py Месяц назад

    Pole sana, mwenyekiti, la imani imekuponza, ila mweshimiwa hii kesi umeikosea hiii kesi ulivyo waona hii kesi ungeipeleka kwenye ofis yako, apo ingekuwa afadhali sasa ubalozi adi mtaa wa balozi mwingine, aisee pole sana

  • @user-np5uy5wq3q
    @user-np5uy5wq3q Месяц назад +3

    Pole mungu akuponye dada angu

  • @Ezekiel-rh2ni
    @Ezekiel-rh2ni 18 дней назад

    Pole sana mama MUNGU akupiganie

  • @OlivreKimario
    @OlivreKimario Месяц назад +1

    Nimejikuta nalia,pole sana jmn

  • @recho1944
    @recho1944 Месяц назад +2

    Pole sana

  • @jonathaneliabu2298
    @jonathaneliabu2298 Месяц назад +1

    Ase! Hivi inachukuwa dakika ngapi kwa mwanadamu kushikwa na wendawazimu? Labda dakika tano, kwakweli hii inanifikirisha sana kwamba hatupo salama dhidi wa wanadamu wenzetu hatima yako inawezakuamuliwa kiwendawazimu tu, kama huyu mama alichofanyiwa.aaa!pole sana Balozi.

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 26 дней назад

    Alitaka Ampeleke Kwa Baba Inamana Ampeleke Kwa Yesu Alitaka Kuuwa Uyo

  • @user-so8pl1jz3q
    @user-so8pl1jz3q Месяц назад +1

    Daaah pole sana mama

  • @SyliviaSalumondo
    @SyliviaSalumondo Месяц назад

    pole snaa dada.Mungu akakuponyee

  • @naylukumay3393
    @naylukumay3393 Месяц назад +2

    Pole sana jamani Mungu akutie nguvu katika kipendi hiki kigumu

  • @magrethlucas5505
    @magrethlucas5505 Месяц назад +1

    Polee mama polee sana uwiii

  • @emanuelnyambo7486
    @emanuelnyambo7486 Месяц назад

    Pole sana Dada.. Mungu akuponye.

  • @hamisishabani8864
    @hamisishabani8864 Месяц назад

    Pole sana dadaangu ALLAH akujalie upone kabisa

  • @gracapk10
    @gracapk10 Месяц назад +1

    MUNGU AKUPONYE, HERI WAPATANISHI MAANA HAO WATAITWA WANA WA MUNGU.

  • @jessicamwasandube944
    @jessicamwasandube944 Месяц назад +2

    Daah pole sana dada, inasikitisha 😢😢

  • @tztanzania2262
    @tztanzania2262 Месяц назад +4

    Ndoa ni ngumu Moto

  • @fatmaallyabdul1732
    @fatmaallyabdul1732 Месяц назад

    Pole sana dada

  • @user-kh7bc4js1m
    @user-kh7bc4js1m Месяц назад

    Mungu yupamoja nawe in shaa ALLAH

  • @Mapishinatibatv
    @Mapishinatibatv Месяц назад +2

    Pole sana Nancy Mungu akufanyie wepesi upone jamani uwiiiiii!!! Arusha jamani punguzeni matukio .

  • @VictorJohn-fu7ch
    @VictorJohn-fu7ch Месяц назад

    Daah kwel Roho za watu hazifanani ...kwann huyu mwanaume anafanya vitendo vikatil kama hivi tena kanisani!!! Ohhh Jesus we need u moreeeee

  • @petercostakisoka
    @petercostakisoka Месяц назад

    Pole sana dada mungu atakusaidia

  • @DorahAlbert-eb9zv
    @DorahAlbert-eb9zv Месяц назад

    Pole dada,Mwenyezi Mungu akusimamie,inaumiza sana😢😢

  • @user-hg9rw9ov4j
    @user-hg9rw9ov4j Месяц назад

    Hii kazi hapana pole dada angu mzuri utapona

  • @user-nb6yh2bn9y
    @user-nb6yh2bn9y Месяц назад +3

    Duu kutoka kwenye uzima mpaka kuwa kigutu ☹️☹️☹️

  • @user-yl2br2ts3i
    @user-yl2br2ts3i Месяц назад +1

    nlivokua mdogo nliambiwaga acha kihere here km mke wa baloz....skujua maana yake

  • @danielKitomary
    @danielKitomary Месяц назад +1

    Ola siti imezidi matukio

  • @evalineemmanuel8178
    @evalineemmanuel8178 Месяц назад

    pole sana dada

  • @salha.d5060
    @salha.d5060 27 дней назад

    WANAUME WA ARUSHA NI WAKATILI SANA JAMANI😢

  • @sifamollel5462
    @sifamollel5462 Месяц назад

    Hamkumuona kuwa anasilaha (panga) mkanyang'anyà....mtu kavurugwa afu qnq silaha nini kitafuàta? Pole sana balozi

  • @stanslausbernard5950
    @stanslausbernard5950 Месяц назад

    Tafadhali sana. Msaidieni mama huyu. Nia yake ilikuwa njema sana. Lakini ajali ikayikea.

  • @anitakidola3820
    @anitakidola3820 Месяц назад +1

    Dah

  • @rodasanga1312
    @rodasanga1312 Месяц назад

    Uuwiiiiii pole mdogo wangu

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa Месяц назад +8

    Yani uyo na yeye akatwe mikono yote ikiwezekana na miguu kabisa alafu aachwe alione joto la jiwe😢😢😢

    • @eggysulle7988
      @eggysulle7988 Месяц назад +1

      Apa ndo tunaikubal sheria y waarabu ukiua kwa upanga na ww utakufa kwa upanga

    • @AminaLibisa
      @AminaLibisa Месяц назад

      @@eggysulle7988 iyo kwetu haupo ungekuwepo Wala yasingetokea kila siku watu wanauwa watu Kwa makusudi utasikia upelelezi haujakamilika na anakua nje na maisha yanaenda mitihani wallah 😭

    • @user-kn8pw7vk4e
      @user-kn8pw7vk4e Месяц назад +3

      ​@@eggysulle7988ni sheria ya NABII MUSSA .lkn YESU alikuja kuilekebisha

    • @daudinyello4033
      @daudinyello4033 Месяц назад +1

      @@eggysulle7988 exactly

    • @daudinyello4033
      @daudinyello4033 Месяц назад +1

      @@user-kn8pw7vk4e SIO YESU BANA NI WAZUNGU WALIVYOHARIRI BIBLIA...RUSSIA BIBLIA YAO INA VITABU 80, ULAYA KAMA SIKOSEI 78 NA AFRICA MASHARIKI 66 NA HAPO WAZUNGU WAMEVIPUNGUZA. NOW WANAITA NEW EDITED HOLY BIBLE yaani TOLEO JIPYA LA BIBLIA TAKATIFU lakini waswahili wakatumia TAFSIDA na kuita AGANO JIPYA

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 Месяц назад

    Yesu wangu,kwanini Arusha jamani hivi. Huyu baba anastahili nini jamani.
    Uuuuwii. Makonda baba yangu,hata hili najua unaliweza.

  • @JoycemsangiJoyce-go9su
    @JoycemsangiJoyce-go9su Месяц назад

    Pole aunt mungu yupo

    • @FatmaMwinyi-jt2rr
      @FatmaMwinyi-jt2rr Месяц назад +1

      Usiandike jina la MUNGU kwa herufi ndogo mpendwa🙏

  • @annajulius9940
    @annajulius9940 Месяц назад +2

    Duniani hapa dah unaweza tamani siku na saa viludi nyuma

  • @talentshow2024
    @talentshow2024 Месяц назад

    Oooh kweli huyu kaka amekufanya mlemavu?
    Mmh kweli kuamua ugomvi kunawaletea haya yote..
    Huyu kaka ni wa kushughulikiwa

  • @josephbenson8704
    @josephbenson8704 Месяц назад

    Yesu wangu unyama huu ufike mwisho

  • @WamburaJomu-xy2is
    @WamburaJomu-xy2is Месяц назад

    😭😭😭 pole sana Dada

  • @devotha6639
    @devotha6639 Месяц назад

    😢😢😢pole sana

  • @SadikiJohon-zr8kq
    @SadikiJohon-zr8kq Месяц назад

    Pole sana dada mungu akupganie upone 😭😭

  • @jacquelinekennedy5740
    @jacquelinekennedy5740 Месяц назад +1

    Pole mama angu😢

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 Месяц назад +3

    Hivi kwann serikali msiweke kanda maalum ya kijeshi Arusha?

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 Месяц назад

      Kweli Arusha inahitaji nguvu kubwa si dahani Makonda ataweza huu mkoa ni kama kuna laana Arusha mji wetu wa kitali 😭😭😭

  • @zamalisaide3209
    @zamalisaide3209 Месяц назад

    Pole mama angu mungu atakusaidia 😢

  • @tegemeakyangenyenka6111
    @tegemeakyangenyenka6111 Месяц назад

    Jamani pole sana,hawa wanaume akae ndani mpaka afie hukohuko

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 Месяц назад

    Pole sana dadaangu😢😢

  • @victorfungo
    @victorfungo Месяц назад

    ndoa ziwe za mikataba plz

  • @user-im9wf2tb2r
    @user-im9wf2tb2r Месяц назад

    😢😢😢😢pole sana Mungu atakuonekania

  • @Casanovatz
    @Casanovatz Месяц назад +1

    Tuwaombee Arusha kwenye maombi yetu jaman
    Hizi habar zinatisha na kusikitisha.

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 Месяц назад

    Jamani huko arusha wapeleke jeshj jamani kirinde watu kwa muda serikali jamani hamuyaoni haya jamani

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 Месяц назад

    Bangi nini.madawa nini Mama mtumie MAKONDA la SIVYO Wen I ni wengi sana kuliko mnavyofikiria wameadhirika

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 Месяц назад

    Lakn turud upande wa pili huenda mdomo mdomo ulimponza huyu mama ndiomaana jamaa akawashambulia

  • @NeemaSamson-ti8pc
    @NeemaSamson-ti8pc Месяц назад +2

    Pole sana dada wema umekuponza

  • @warakawayohana2896
    @warakawayohana2896 Месяц назад +7

    Ndoa ya vita mwisho ni mauaji tu

  • @user-kn8pw7vk4e
    @user-kn8pw7vk4e Месяц назад +1

    Kiufupi jamaa nia yake ilikuwa kuuwa..ni Mungu tu kamnusuru mama wa watu

  • @stevenmwenda3005
    @stevenmwenda3005 Месяц назад +1

    Inauma sana sana nimeamini katika kiumbe chenye rohoo mbaya kuumbwa na Mungu ni mwanadamu dah mwanamke na mtoto wa watu anawazazi wake mama yake alibeba mimba akalea ikiwa tumboni miezi 9 akazaa kwa uchungu akamlea leo mtoto wa mtu mwingine anamkata mkono kama ndoa inamalumbano simwachane tu kila mtu aishe kivyake tu

    • @daudinyello4033
      @daudinyello4033 Месяц назад +1

      BIBLIA INASEMA HAKUNA KUACHANA MPAKA KIFO

    • @stevenmwenda3005
      @stevenmwenda3005 Месяц назад

      @@daudinyello4033 mila za watu wametuletea huku kwetu zinashauri hivyo ndomana watu wanateseka sana usiku na mchana wanakatana viungo mpaka wengine wanabaki vilema naona kila mtu aishi maisha yake basi kukaa na mtoto wa mtu aje akumwagie maji ya moto

  • @evalineemmanuel8178
    @evalineemmanuel8178 Месяц назад

    alafu nimkono wakulia mungu mtetee uyu mama 😭😭

  • @minahsamwel
    @minahsamwel Месяц назад

    Poleee mamy duh😢

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 Месяц назад

    Hahaha eti CCM🤣🤣🤣

  • @narfatkarama5743
    @narfatkarama5743 Месяц назад

    😢

  • @oswiitvonline6514
    @oswiitvonline6514 Месяц назад +1

    Kwani mchungaji yeye alikuwa anaulizia kiungo cha nini😢😢😢😢

    • @user-cv7vm1mx9d
      @user-cv7vm1mx9d 29 дней назад

      Mchungaji anaulizia kiungo1 kuna kitu hapa kafara ya kanisa hiyo duh ilikua setup na huyo mudi sio mudi kiganja chako umekipata?

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Месяц назад

    Hizi ndoa ifike mwisha jmn loooooh mambo Yame kuwa meusi kwenye ndoa uwii💔🕊️

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 26 дней назад

    Hata Ungekua Mkono Gani Kiungo Ni Kiungo2 Uyo Alitaka Kwenda Kumuua Uyo Mwanamke Sasa Ameona Wewe Unaweka Kiwingu Ndio Kafanya Mambo Ayo Jamaa Katili Uyo

  • @EutropiaMinja-rx8sv
    @EutropiaMinja-rx8sv Месяц назад

    Hata kama atapona tayari keshapoteza kiungo. Ni mlemavu uzeeni. Waliomkamata mhalifu walitakiwa wamchinje!!!

  • @noahemanuel7015
    @noahemanuel7015 Месяц назад

    Wengine mlichaguliwa kwa kuiba kura aisee

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Месяц назад

    😢😢😢

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 Месяц назад

    Arusha watu akiri hawana kabisa mana vifuan mwao hawana mioyo Wana kitako cha bunduki😂😂😂😂

  • @user-mi7cd8ch1b
    @user-mi7cd8ch1b Месяц назад

    Polen sana mrio humia uyo muaji anyongwe ila jeshi la polisi tz ni hovyo sana mtu anamajelaha na kaPata ulemavu utasikia upelelezi haujakamirika si ujinga kabsaa mtumiwa anyongwe uyo muaji Arusha watu hamna uruma

  • @othmanshahib1115
    @othmanshahib1115 Месяц назад

    kunawatu haitakiwi wachanganyike na watu huyu inatakiwa apigwe risasi na alitaka kwenda kumchinja huyo mke wake

  • @nurumwangoka5924
    @nurumwangoka5924 Месяц назад

    Kwani Makonda yuko.wapi

  • @stanslausbernard5950
    @stanslausbernard5950 Месяц назад

    Mabalozi ni watu muhimu sana katika jamii yetu, na ni muhimu kwa uhai wa Chama katika ngazi ya shina wanakoishi wanachama. Tafadhali sana, ni vema mama huyu tusimuache akiteseka peke yake. CCM ngazi ya wilaya, mkoa na Taifa mtafakari jambo hili kwa hekima.

  • @annamussa185
    @annamussa185 Месяц назад

    Hapo Serikali imsaidie huyu mama amepata ulemavu akiwa anatekeleza majukumu

  • @stevenmwenda3005
    @stevenmwenda3005 Месяц назад

    Naona ikiwezekana watoto wa kike msifunge ndoa kwa kama tamadamu naona silazima kila mtu aishi maisha yake silazima kuishi na mtoto wa mtu .

  • @KhamisOmar-kt4kz
    @KhamisOmar-kt4kz Месяц назад +2

    Arusha ndugu Zangu bangi sio nzur wacheni kuvuta bangi huyo jamaa akamatwe akatwe uume ndio atajua

  • @daudymlauletv8489
    @daudymlauletv8489 Месяц назад

    Duuh pole sana ila usiingilie ugomvi wa wanandoa kama huna nguvu dada hadi nakuonea huruma sana harafu wanaume wa Arusha mnakwama wapi dada wakuamulia ugomvi kweli ?
    Mpk anakatwa mkono na nyinyi mpo

  • @user-gx4vx5ru2u
    @user-gx4vx5ru2u Месяц назад

    Mama Samia uko wapi iangalie arusha imeoza hawa waalifu kwanin wasiadhibiwe? Wanaachiwa tu huru wkt wanaua wanafanya wengne vilema?

  • @magigesabai8674
    @magigesabai8674 Месяц назад

    Sasa wew unaona mtu ana panga badala uite polisi unapeleka kifua

  • @florianhenry7198
    @florianhenry7198 Месяц назад

    Makonda malizana nao aise ,,matukio haya sio

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 Месяц назад

    Ewee yesu mwema😢

    • @daudinyello4033
      @daudinyello4033 Месяц назад

      BIBLIA INASEMA HAKUNA KUACHANA MPAKA KIFO...HATA UFANYWE NINI HAKUNA KUACHANA

  • @user-gc1ez1yv4k
    @user-gc1ez1yv4k Месяц назад +1

    Si mmeletewa makonda? Bado hamuwezekani,Sasa mpaka msasa au mlenda.

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 Месяц назад

    Do!!! Kwaahiyo mama akupe hela ? Unatakiwa ulie na dhulma hizi ili iwe fundisho kwa wengine yaani kwa hela sie binadamu

  • @bahatibushiri1610
    @bahatibushiri1610 Месяц назад

    Nyie Arusha hapana kwa kwel

  • @samiraabdimahamed4449
    @samiraabdimahamed4449 Месяц назад

    😢😢😢😢😢

  • @NandaMazengo-vu3ec
    @NandaMazengo-vu3ec Месяц назад

    Vdeo

  • @user-cv7vm1mx9d
    @user-cv7vm1mx9d 29 дней назад

    Basi angekata mke wake tu dada wa wTu anakosa gani