MFANYABIASHARA MAARUFU ARUSHA MONABAN ABOMOLEWA KANISA LAKE "NI MVAMIZI TU"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 апр 2024

Комментарии • 166

  • @Kanyawela
    @Kanyawela Месяц назад +18

    Ukishinda kesi ongera lakini ukikashifu Kazi ya Mungu jipapange kushindwa ktk ulimwengu huu na ujao

  • @Robbinjohn
    @Robbinjohn Месяц назад +7

    Hongera kwakuipambania haki dhuluma inamwisho

  • @beckhmediaproduction7624
    @beckhmediaproduction7624 Месяц назад +7

    hivi kweli kwa Tanzania yetu tena kwa watu wenye uwezo kama hawa mtu anaweza vamia tu na kuchukua ardhi yao bila maridhiano ?sijui ila ukweli wanajua waliotangulia mbele ya haki nacho amini mimi hawa watu walikaa mezani bila kuwashirikisha watoto na kama kweli monaban alitoa pesa yake nahamini Mungu atamlipa tena mapema wakati tupo hai ili tushuhudie.

  • @fediliaulomi4969
    @fediliaulomi4969 Месяц назад +3

    Nimekuhurumia sana mungu akukemee

  • @newchemchem5251
    @newchemchem5251 Месяц назад +7

    Kaka nikuambie tu Kwa swala la Imani usikejeli Mungu hazihakiwi palipo wawili watatu na Mungu yupo ktk Yao acha usitukane Mungu Kwa ajili ya pesa ndugu polee Yako siwajui ila hapo umejikoroga ndugu polee usitukane Mungu ukafa mapema,

  • @JamesMunisi
    @JamesMunisi Месяц назад

    Well said
    Smart dude

  • @bobjulieoneheartband
    @bobjulieoneheartband Месяц назад +7

    Namfahamu Baraka Titus (William Titus) ni mtu mwelewa na mstaarabu sana na Hana Tamaa ni Msomi pia, asingeweza kuhangaika na kitu kisichokuwa na Ukweli ndani yake, swala la watu kuogopa kuwa kabomoa kanisa ni kuwa hakitampata chochote kibaya jama Waliotaka kupora pia wapo kinyume na Matakwa ya Mungu kwa Watu wake❤❤

  • @bensonmwananchi7701
    @bensonmwananchi7701 Месяц назад +13

    We ungebomoa tu ila usikejeli kanisa wala watu wake

  • @godwinnguyaine5699
    @godwinnguyaine5699 Месяц назад +1

    Hekalu ni hekalu bro hatakama umeshinda kesi usidharau hekalu la mungu wewe ungefanya kazi yako na kumshukuru mungu wako

  • @MehmetMtonga-bq5kg
    @MehmetMtonga-bq5kg Месяц назад +3

    Utajuta usimkufuru mungu utaachaiyo.ardhi

  • @gfydfdf8869
    @gfydfdf8869 Месяц назад +1

    Ni kweri kaka Mungu anapenda haki,

  • @onestkasmir4297
    @onestkasmir4297 Месяц назад +2

    Kiukweli nashangaa mnaosema anakejeli ongeeni to maana akuna jema kwa watu ilaa maumivu yaliyoko ndani yakee yanasababisha aseme ayoo unakuta mtu ni malii yako lakini mwizi anakutesa miaka aizaa mitano maakamani sasa ukipata haki yako utaacha kusema hayoo acha mungu aitwe mungu ongea kaka utoe nyongo

  • @erwinkitali1883
    @erwinkitali1883 Месяц назад

    😢Dah!..masikini mbunge wa zamani Arumeru-East.

  • @juliananasari2526
    @juliananasari2526 Месяц назад

    Mungu akutunze sana monabani

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 Месяц назад +2

    Safi

  • @dorrynnamdi3424
    @dorrynnamdi3424 Месяц назад +7

    Huyu baba ni mmiliki kweli, lakini kiukweli ana kiburi, hana hekima hata kidogo! Kwa leo ameshinda lakini ana hatari kweli mbele yake.

    • @DeogratiusAndrew-zi7zv
      @DeogratiusAndrew-zi7zv Месяц назад +1

      Umenena vyema aliye shindaleo atashindwa kesho, nambaya kuwaita wa huni, hata kama ameshinda hapaswi kuwatukana na kuwa kshifu Kuwa wahuni sio, yeye ni mwenyewe lakini atakutana na Mwenyewe Mungu sio muda,

    • @praygodkombe3956
      @praygodkombe3956 Месяц назад +2

      Kabsa Mungu hadhihakiwi nimepata shida san nafsin mwangu kuona kanisa linabomolewa hizi mali tunaenda nazo wapi?????😢😢😢

    • @DeogratiusAndrew-zi7zv
      @DeogratiusAndrew-zi7zv Месяц назад

      @@praygodkombe3956 hata angetumia hekima asiongee matusi au dhihaka, nandio mana mabaya hayaishi Tanzania kwaajili ya watu kumdhihaki Mungu ,hata Mimi nimeumia utafikiri nipo Arusha lakini saa inakuja upanga wake utamuumiza mwenyewe sio muda

    • @agapemunyi2095
      @agapemunyi2095 Месяц назад +1

      Kwanza kanisa sio jengo Tu ,ila kanisa ni watu ambao mnaweza kuamua kukusanyika Mahali popote mkamtukuza mtu, sio kila jengo lenye msalaba ni jengo la kanisa hapan ila ni maficho ya uhalifu fulani kupitia dini hzi

    • @loveness5780
      @loveness5780 Месяц назад

      Yea hata kama mmiliki ni mvamiz lkn wale waliokuwa wakiabudu watatawanyuka na hujui wataenda kuanza maisha gan baada ya hapa huenda hizi roho zikapotea kabisa oooh my goodness 😢maan kuna mwingine akishaanza kusali sehem flan hawez hama km akishindwa je atakuwa na maisha gan?? Anyway

  • @user-vt4vd5rh8u
    @user-vt4vd5rh8u Месяц назад +4

    Hzo kashfa hazitakuacha salama

  • @mtemilowasa
    @mtemilowasa Месяц назад

    👍

  • @amanam2735
    @amanam2735 Месяц назад

    Safi Sana. Mhuni kanyooshwa.

  • @mariahmollel1258
    @mariahmollel1258 Месяц назад

    Dah.

  • @EmmmaTembo
    @EmmmaTembo Месяц назад +3

    Siku zote wezi na majambazi hutafuta sehemu zawatu wema na kujichanganya ndani yao na kujifananisha nao.huyu haja kashifu au kudhihaki kazi ya Mungu bali yeye akataa hilo kanisa kwa sababu ya namna gani limekuja hapo na misingi iliyojengwa kwayo.muhuni alichokifanya nisawa na kwenda kuiba na kuja kutowa sadaka ya pesa ambayo umeiba. hailuhusiwe

    • @albertkadyanji9722
      @albertkadyanji9722 Месяц назад +1

      Unajua watu wengi wanamkashfu uyu jamaa kwakuwa hawajaelewa ana zungumza nini kwa kifupi uelewa wao ni mdogo uyo ajakashfu kanisa ata kidogo ila kajaribu kuelezea uhalisia wa uyo mmiliki wa kanisa na ilo kanisa lenyewe kama nitakuwa sijakosea

  • @levinalyimo6240
    @levinalyimo6240 Месяц назад +3

    Acha kejeli wewe Kaka muogope mungu

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 Месяц назад +3

    Kiroho walokole wana vijitabia . Pole Wiliiama , hawa waroho ukiacha imani ya kweli mahakama iko hapa hapa duniani, akhera no mbali saana.

  • @hatibumsaki5446
    @hatibumsaki5446 Месяц назад

    Wahunii haoo broo

  • @trendings1293
    @trendings1293 Месяц назад

    Titus alikuwa na pesa sana no wonder watoto wake wameweza kupambana na monaban,monaban ni mtu mwenye nguvu sana,so hawa wako vizuri

  • @JK-uq1tv
    @JK-uq1tv Месяц назад +1

    Mm nashangaa sana mtu anatumia dini kificha maofu yake huyu monaban nafahamu Serikali ilisha mnyang'anya eneo la bodi ya chakula na mazao mchanganyiko alitaka kujimilikisha na kujenga maduka kilicho mkuta hayati JPM akalirudisha eneo hilo kwa kwa nguvu akakutana na Chuma JPM zuluma tu hizo.

  • @GilgariMinistryTanzania
    @GilgariMinistryTanzania Месяц назад +2

    Kaka yangu umekosea sana sana kaka kuita wahuni hiyo ni nyumban ya mungu kaka

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 Месяц назад

      Sio kila anaejenga kanisa ni mtu mzuri

    • @GilgariMinistryTanzania
      @GilgariMinistryTanzania Месяц назад

      @@rumdeesonsoa1811 ungetumia Staha tu ndugu yangu mpwndwa ktk bwana sawa ni haki yako ila isitumie maneno magum

    • @jolitabukabengwe3070
      @jolitabukabengwe3070 Месяц назад

      Huyo mwenye kanisa ni mdhulumati.
      Amedhulu ndugu yake wa damu..
      Tapeli yule acha jengo livunjwe tuu

  • @edwardkishimbo8111
    @edwardkishimbo8111 Месяц назад

    Mmmm

  • @yusuphalinani5432
    @yusuphalinani5432 Месяц назад

    Ameni

  • @PrinceBonnyTz8
    @PrinceBonnyTz8 Месяц назад

    Safi sana jengo la kiuni livunjwe😅

  • @jofreykilangila4118
    @jofreykilangila4118 Месяц назад +1

    Umeshinda ni sawa. Na je ukibomoa inakuwaje? Tena ni kanisa. Ni bola mngekubaliana kuliko kubomoa

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 Месяц назад

    Watu wanaiba ktka jina la Yesu kiristo.Balaa😮

  • @obedmasaki3565
    @obedmasaki3565 Месяц назад +1

    Tutafutieni na huyo Monabani atuambie alipataje hilo eneo please.

  • @emanuelpiniel5277
    @emanuelpiniel5277 Месяц назад +1

    Wewe elezea suala la kesi achana na kuingilia wito wa mtu na mungu

  • @emanuelmassawe1984
    @emanuelmassawe1984 Месяц назад +4

    Kusema ukweli huyu kaka hawezi kua salama

  • @charlesmnuo3292
    @charlesmnuo3292 Месяц назад +1

    Nihaki yako ila punguza kejeli kwenye mambo ya mungu maana hata uwe na hekari 10000 utazikwa kwenye hatua chache sana

  • @LilianLoth
    @LilianLoth Месяц назад +1

    Duuuuuh sijapenda eti si kanisa ni wahuni, daaah

  • @JosephuSwai
    @JosephuSwai Месяц назад

    Kweli kaka hao ni wahuni kama wahuni wengine na wapo wengi sana kama hao

  • @callicevallice7383
    @callicevallice7383 Месяц назад +4

    Hayo maneno ni mabovu sana

  • @user-ru6ct4rh3t
    @user-ru6ct4rh3t Месяц назад

    Mungu aponye kinywa chako. Usijitape. Kama umepewa haki yako, nyamaza. Usije ukaanza kula nyasi

  • @SamsonMalisa
    @SamsonMalisa Месяц назад +1

    Nimeona mpaka kapu la sadaka😂😂😂😂

  • @amanmaleko3085
    @amanmaleko3085 Месяц назад +2

    Kaa alizulumu apo nisawa maana hakuna kitu kibaya Kaa kuzulumu

  • @dorrynnamdi3424
    @dorrynnamdi3424 Месяц назад +4

    Huwezi kuongea kwa kejeli kiasi hicho, yaani ni kama ametumwa.

    • @ilynpayne7491
      @ilynpayne7491 Месяц назад +1

      Askofu feki tena dini ina tumika vibaya na wachungaji hawa shenzi sana

  • @nesielias9493
    @nesielias9493 Месяц назад

    Si kweli hakuna Mtu anaweza kuvamia sehemu bila makubariano na Mtu yeyote, haiingii akilini na unakuta Kila Mtu ana hati au nyaraka mbalimbali nilizoidhinishwa na serikali 😢

  • @MehmetMtonga-bq5kg
    @MehmetMtonga-bq5kg Месяц назад

    Wewe shaidi.

  • @clemenceparokola
    @clemenceparokola Месяц назад +3

    Hata kama unahaki,usitumie maneno yakudharau Imani ya mtu au watu

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv Месяц назад +1

    Hayo usemayo bro tunaojua ukweli tunakuangalia ila utalipia danganya watanzania wasiojua ukweli ila muda utaamua ndani ya moyo wako unajua nini ufanyacho

  • @Noelywiliam
    @Noelywiliam Месяц назад +3

    We bomoa tu kanisa, na kutoa maneno ya kejeli na kiburi cha uzima

    • @hanspop6961
      @hanspop6961 Месяц назад +1

      Yaani kama nimemuelewa anamaanisha Kujenga kanisa ni kama Ngao yao ya kutaka Kufanya Dhulma kwa kutumia Madhabahu na ni zambi kubwa Sana na Ndio mana jamaa kaona Alitoe

  • @DotoLemako-np3lp
    @DotoLemako-np3lp Месяц назад

    Ubabe tu kukashfu mwaanzilishi wa madhabahu kila mkristo anafaa kuwa muhubiri vyeti ni vya duniani tu. Mitume walio tutangulia hawakuwahi kwenda chuo, unatumia ubabe sana kaka, shuka kidogo we ni mwanadamu tu,

  • @optimumafrica1243
    @optimumafrica1243 Месяц назад

    Matendo ya Mitume 17:24
    Mungu aliyeufanya ulimwengu na vitu vyote vilivyomo, yeye, kwa kuwa ni Bwana wa mbingu na nchi, hakai katika hekalu zilizojengwa kwa mikono;

  • @ContentSmartphone-rq6po
    @ContentSmartphone-rq6po Месяц назад +1

    Kumbe kanisa biashara😊😊😊haya

  • @user-yu1op6rl1w
    @user-yu1op6rl1w Месяц назад

    kama umehalibu mazabahu hiyo imekula kwako Kaka nakama aliuziwa umepindisha Haki umejitakia shida mungu yupo hayayÿyyyyyyyyyykiiiiiîiiiiiiiiiiiiiîiif

  • @roseanderson2760
    @roseanderson2760 Месяц назад

    5:44

  • @samwelpaul-mx5bo
    @samwelpaul-mx5bo Месяц назад

    Hayo maneno yatakuponza mungu asemwagi vibaya

  • @user-vr6lu8tq1n
    @user-vr6lu8tq1n Месяц назад

    Umefanya vizuri asitokee mwingine kama huyo

  • @omarymbaraj8072
    @omarymbaraj8072 Месяц назад

    MTAJUANA Nawaombea Salama tu.

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 Месяц назад

    Jamani kuna miji2 inavamiaga ardhi xa wa2,yanasumbua wa2 mahakamani unapotexa pesa juu ya pesa kisa ji2 lathulumu.Km hakuthulumu angeelewana na Titus anunue.

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 Месяц назад

    Anaongea kwa mbwembwe hivyo ni Mali yake kaitafuta au ni urithi Mali iliyotafutwa na wazazi...
    Tena eti ni ndugu wa baba mmoja.,..au nilisikia vibaya..,.
    Hutakuwa salama kwa kubomoa kanisa....

  • @MehmetMtonga-bq5kg
    @MehmetMtonga-bq5kg Месяц назад

    Utaraniwawewe

  • @TumainiAkyoo
    @TumainiAkyoo Месяц назад

    Hayo mashavu tu mh

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 Месяц назад +1

    Upo sahihi na Mungu akusimamie maana wengi wanajificha kwenye kitu kinaitwa kanisa

  • @mpinga_kristo-
    @mpinga_kristo- Месяц назад +1

    Wahuni

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 Месяц назад

    2litapeliwaga na michungaji miwili tofauti,2kagundua cku yamejileta kila m2 kivyake na hayajuani,2litandika fimbo xa kutosha,lingine lilidanganya sadaka 2naxompa linapeleka ki2o cha watoto yatima kumbe uongo,likajileta kuja kuchukua misaada ili apelekee yatima,fimbo alixokula nadhani aliokoka kweli.Kwa hyo udhulumu ardhi kisa kanisa?,

  • @MehmetMtonga-bq5kg
    @MehmetMtonga-bq5kg Месяц назад

    Wewe nani

  • @mcbennehemiah8088
    @mcbennehemiah8088 Месяц назад

    BALANCE STORY @Ayotv mtafuteni na huyo monaban

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 Месяц назад

    Mh

  • @neemamwanga5447
    @neemamwanga5447 Месяц назад

    Kaka usikejeli waache mungu awalipe wewe umepata eneo lako achana nao tu

  • @MaxSarakikya-pt3po
    @MaxSarakikya-pt3po Месяц назад

    Neno biashara

  • @philipsilayo
    @philipsilayo Месяц назад

    😂😂😂😂😂 kichaka,duu ya

  • @abdillahchikota4303
    @abdillahchikota4303 Месяц назад

    Mimi ni muislam Ila uhuyu jamaa alieshinda kesi anakiburi utadhani afi aisee 🤔

  • @JosephuSwai
    @JosephuSwai Месяц назад

    Monobani sura lake ilo

  • @user-yv7xg4em4s
    @user-yv7xg4em4s Месяц назад

    Watu hawaogopi Kanisa la Mungu jamani mbona watalaanika.

  • @dismassamwel7130
    @dismassamwel7130 Месяц назад

    Dogo ana nyodo sana ila aende akaondoe hiyo madhabahu kama ni kweli ilikuwa kanisa huyu dogo kazi anayo

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 Месяц назад

    Sasa.kwnn nao wavamie huyo kaka anaongea kwa hasira wtu wengi aiku hizi wanavamia maeneo na kvamia kuweka makanisa hili tu ionekane.mtu umemdhihaki Mungu kwa.kunyqnganya eneo lililojegwq kanisa lakini hata Mungu pia yupo na utaratibu katuwekea Mungu anataka amani Mungu apendi dhuluma wizi kwann utumie neno.la Mungu kudhulumu aifsi Mungu pia spendi anakataza dhuluma katika amri zake 10...sasa usilitumie jina lake Mungu kama kivuli cha kufanya uharibufu then usihadhiiwe yasn kwa sasa neno la Mungu limekuwa ngao kwa watenda maovu ujificha humo. Tafuta eneo halali la kwako fanya upendacho kwenye eneo lako knn uvamie eneo la mtu marneo ni.mengi mnoo..wapendwa Mungu ni mwema na adhihakiwi na jina lake litukuzwe nyakati zote lakini kwenye haki..itampendeza. amjadhulumiwa jamani hasa maswla ya ardhi inakera umeweka eneo lako hapo unakuta uvamizi na kanisa limejegwa fasta hapo..kwnn uvamie hii si sawa

  • @emanuelpiniel5277
    @emanuelpiniel5277 Месяц назад

    Amefanana na monaban

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 Месяц назад

    Safii sana wahuni kama hawa ni wengi mno. Vunjilia mbali.

  • @chire4574
    @chire4574 Месяц назад +1

    Wacha uongo iyo ni kanisa ...sema tu walivamia eneo lako....ww fata sheria...acha kuongolea kanisa vibaya.....ww chukuwa eneo lako

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg Месяц назад

    Ningekuwa ni mimi ningealiacha kanisa ili watu waendelee kuabudu.

  • @helenastephan7091
    @helenastephan7091 Месяц назад

    Ushindwa tena ushindwa kabisa

  • @joshuanyange2737
    @joshuanyange2737 Месяц назад

    Mwamini yesu yeye aliyekuja kwa habari ya haki
    Dhambi
    Na hukumu hayo ni mambo matatu tu ebu yazingatieni tunaweza kupotea kwa sababu hatuyajui maarifa jinsi yalivyo

  • @opportunities2767
    @opportunities2767 Месяц назад

    Wahuni😂

  • @user-ce2xg9wt4s
    @user-ce2xg9wt4s Месяц назад +2

    Nadhani mngejikita katika kubomoa na si katika kijimwanbafai

  • @Mr-GMB
    @Mr-GMB Месяц назад

    Alooo si naona hapo kanisa la zamani na kanisa jipya ambalo limebomolewa? Mungu baba naona unipe umri nishuhudie ya malimwengu

  • @gililwise
    @gililwise Месяц назад

    kanisa na ninyi mna shida kwa nini hamkufanya utafiti kabla hamjajenga? .Mungu hapendi malumbano

  • @jofreykilangila4118
    @jofreykilangila4118 Месяц назад

    Kibuli Cha uzima

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 Месяц назад

    Mchungaji tapeli 😂kanaswa kweli sijawahi sikua askofu kuburuzwa mahakamani

  • @YINDIMAKUCHICHANEL-DOM
    @YINDIMAKUCHICHANEL-DOM Месяц назад

    Kicheko cha zarau hicho

  • @user-qq6zu3no4z
    @user-qq6zu3no4z Месяц назад +2

    VITA HII SIYO YA MONABAN NIYA KRISTO VITAHII NIYAKIROHO PALE TU ALIPO APISWA VITA VILIAMKA MARA SABA SABINI
    KAKA WEKA AKIBA YA MANENO MIMI NILIYEGEMEA USEME TU NAMSHUKURU MUNGU BASI. HAYA YOTE MMMMH KWAMIMI APANA

  • @Chettymlambalipsi-lb9km
    @Chettymlambalipsi-lb9km Месяц назад

    Hiyo haitaki kuitwa kanisa linafaa kuitwa duka la wizi

  • @mariakalama3014
    @mariakalama3014 Месяц назад

    Utalipa ghatama zao zote

  • @RajabuMkonje
    @RajabuMkonje Месяц назад

    Hivi nyie watu wa sheli ya mafuta si mummwagie petrol huyo mdudu mumtie moto anajiamini nini hivyo? BANGLADESH mkubwa ww!!!

  • @jastinnkya
    @jastinnkya Месяц назад

    MUNGU mwenyewe hakusamee tuu hilo nikanisa lamungu wewe useme kwekujamin sana

  • @mcback4384
    @mcback4384 Месяц назад

    Alimradi kuna msalaba punguza ukali wa maneno, msalaba ni ishara ya ukombozi wa mwanadamu, hivyo tu

    • @fatmafatu1128
      @fatmafatu1128 Месяц назад

      Msalaba ndio kitu gani😂😂

    • @mcback4384
      @mcback4384 Месяц назад

      @@fatmafatu1128
      1 Wakorintho 1:18-19
      [18]Kwa sababu neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuzi, bali kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu.
      [19]Kwa kuwa imeandikwa,
      Nitaiharibu hekima yao wenye hekima,
      Na akili zao wenye akili nitazikataa.

  • @HermanMunuo
    @HermanMunuo Месяц назад

    Sasa mbona unaongea kwa zarau sana

  • @user-jl5uh1xq9f
    @user-jl5uh1xq9f Месяц назад

    Sku yako ipo.na mwisho wako upo ww jitambe tu.iyo ni nyumba ya MUNGU.na MUNGU ndo aliokupa iyo pumzi.

  • @valentineshirima1658
    @valentineshirima1658 Месяц назад

    halafu jengo halijakidhi viwango vya ujenzi

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 Месяц назад

    Wahuni au sio kiburi cha uzima icho sawa tena usijifanye unaongea bila kutulia duniani tunapita sawa

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 Месяц назад

    Arusha sehemu gani? Nimekazana kukodoa macho nipaelewe ni wapi

  • @user-yv7xg4em4s
    @user-yv7xg4em4s Месяц назад

    Acha kujitapa wahuni wewe ni Mungu

  • @alexvenas2699
    @alexvenas2699 Месяц назад

    Huyu naye hajielewi na machoyake kama kalewa