BISHOP MONABAN AENDELEA KUIMARIKA "KANISA LA KK.E HATUWABARIKI WANAWAKE KUWA WACHUNGAJI "

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 янв 2024
  • Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
    Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
    Facebook: / kusagamedia
    Instagram: / kusaganews
    RUclips : www.youtube.com/@kusagatv6320...
    Tiktok. www.tiktok.com/@kusaganews?la...

Комментарии • 13

  • @artsonkimath2917
    @artsonkimath2917 5 месяцев назад +1

    Hongera sana rafiki yangu mch Emanuel Loserian Mollel.......hunaga baya na mtu...baba mwenye upendo na Moyo wa ukarimu.......KKKT tutakumiss sana

  • @elgaminja9242
    @elgaminja9242 2 месяца назад

    Mmmmmmh¡!!! Jamanii huu ndiyo uhasi au Nini

  • @DeogratiusAndrew-zi7zv
    @DeogratiusAndrew-zi7zv 5 месяцев назад +1

    Hujui bibilia viziri unasema wafilipi au waefeso 4:9:11, na kuhusu wanawake Biblia inasema nitamimina roho yangu juu ya watumishi wangu wake kwa waume, Yoeli 2, msidanganye , msipunguze wala msiongeze,

    • @PrinceHendry-hp8vv
      @PrinceHendry-hp8vv 5 месяцев назад

      Nikumimina roho sio kuwa wachungaji

    • @DeogratiusAndrew-zi7zv
      @DeogratiusAndrew-zi7zv 5 месяцев назад

      @@PrinceHendry-hp8vv ninaona unabisha kitu hujui , labda nipatie no ya ko nikujibu vizuri

  • @fredrickmwakalinga6390
    @fredrickmwakalinga6390 2 месяца назад

    Wakristo tumeingiliwa na ibilisi sijuwi nani atatutoa hapa

  • @tgeofrey
    @tgeofrey 5 месяцев назад

    Tutafungua Tawi Marekani Pator John Goryongo Kadyolo Yupo

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 5 месяцев назад

    Nikweli hata wanafunzi wa yesu hakuna mwanamke so mko sawa

  • @fredrickkaaya
    @fredrickkaaya 4 месяца назад

    Hapa hakuna kitu chochote nikutamani tamani utu wa madaraka.

  • @AbeliIrikaeli
    @AbeliIrikaeli 5 месяцев назад

    Sizani kama andiko ulilo lesema mtumishi ndilo linalo sema Ivo rekebish mtumishi wamungu

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 5 месяцев назад

    Achana na siasa mzee huwez sema ww ni ccm na unaongoza wote chadema ccm caf nccr so achana na ccm weka moyoni

  • @Ezekiel-rh2ni
    @Ezekiel-rh2ni 5 месяцев назад

    Dah ee MUNGU wewe watujua vyema ! Siku izi kila mtu mchungaji mpaka maaskofu tena wa kuteuana! Bwana tupe macho ya rohoni ili tuitambue kweli yako