KAULI ZA KUTAMKA KWENYE MAOMBI YAKO ILI UJIBIWE HARAKA
HTML-код
- Опубликовано: 4 фев 2025
- Zaburi 107:28
Wakamlilia BWANA katika dhiki zao, Akawaponya na shida zao.
Maarifa ya Ki-Mungu
@SIRI ZA BIBLIA
www.sirizabiblia.com
+255 758 708 804
linktr.ee/siri...
Instagram Account
/ siri_za_biblia
SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI
Mwanangu.yuko thieter tumlilie Mungu Baba amponye kabisa katika jina la Yesu.
Damu ya YESU imfunike
Mimi wakati tu ninapotaka nikate tamaa nakutana na mungu kwa njia tofauti tofauti aiza kama hivi nimekusikiliza au ndoto mungu ananiambia je mwanamke anyonyeshae aweza kusahau mtoto wake anyonyae naaam hao wa weza lakini mimi sito kusahau wewe nikiamka nakua na nguvu mpya sasa na funga sana na mungu amenitendea sana amen mtumishi
Mungu naomba nisaidie usiniache babaangu katika wakati mgumu ninaopitia nakuhitaji wewe tu muumba wangu
Mungu nisaidie nivushe nchi ya irak
Naipenda madhabahu ya siri za biblia,nauona ushindi wangu kupitia madhabahu hii.Amen.🙏🙏
Amen, Kuna kipind mtu unatingwa unashndwa hata kuwa busy na KAZI kwa stress Kila inachokifanya hakitiki yaan ni stresss Kila siku, tuombeane wapendwa
Amen
Najiunganisha na muujiza wangu wa kupokea kazi yangu ya uhasibu
Aimee
Amina 🙏🤚 so
Amen 🙏
Mungu naomba nitete kwenye mahitaji yangu , nisaidie baba. Nawakabithi watoto wangu mikononi mwako wasaidie kwenye masomo yao
Naomba Mungu anisaidie
Yesu Mwokozi naomba usinipite unapozuru wengine. Hakika nahitaji msaada wako Bwana. Amina
Mungu wa Mbinguni akubariki, endelea kutufundisha neno la Mungu tuendee kukaa uweponi mwa Bwana maana Kuna uzima, furaha na amani
Mungu Wangu,, naomba msaada wako,,, nibadilishe maisha yangu,,,, yakuelekee wewe tu Bwana wangu❤
Ameen 🙏🙏🙏
Usinipite mwokozi yesu unapowazuru mwengine naomba unikumbuke
Amen!Eeeh Mungu naomba unipe kibali mbele zako uniepushe na maadui na mitego yao kwa jina kuu la Yesu Kristo aliye hair.
Ameen mungu nibariki kila ninachofanya kifanikiwe
Mungu naomba unibariki niwe na hekima nikiwa na hekima Nadhani yote nitayapata mbele za Mungu Amen Mtumishi wa Mungu Mungu Kubariki kwa Huduma hii nimebarikiwa 🙏🙏
Amina mtumishi wa mungu unazidi kunitia moyo ktka maombi yangu ubarikiwe
Ee mungu nimeomba Kwa miaka mingi sana juu ya upenyo na uhamsho Bwana usinipite
Mungu wangu nakutegemea wewe nina Imani Nita shinda na Uta ni jibu kwa wakati sahihi
Ameen mtumishi nimebarikiwa Kwa mahubri haya,,naamini juhudi yangu ya maombi iko jibu
Mwenyezi Mungu nakuomba uendelee kutubaliki na utujibi maombi yetu naamini kwamba unatenda natena utatenda nikwajina la Yesu muokozi wetu Amen🙏🙏🙏
Mungu nisaidi kila ninaposhika ujauzito unapotea mungu naomba msaada wako
Usinipite mwokozi Unisikie kilio changu, uniguse Yesu wangu.
Asante bwana yesu ww unajua yaliyomoyoni mwangu
Pana shukuru Mungu salama maombi yako ya siri ya biblia.niko Congo.
Asante kwa mafunzo yako mazuri ya mungu wangu
YESU KRISTO mwokozi unapopita Kwa wengine kwenye biashara yangu usinipite
Amen and amen 🙏 🙌
Nakuelewa mtumishi wa MUNGU
Amen 🙏,,,Mungu usinipite , Asante kwa neno mtumishi
Niombee kwa Mungu anilipiye ma deni
AMEEN mtumishi,,,naomba umuombee mama yangu amekuwa mtu wa magonjwa tu Leo mzima hamalizi wiki mgonjwa Tena eeh MUNGU anisaidie
Mungu nipigie katk maisha yangu nami nifike kwenye nchi ya ahadi uliyoniandalia km wengine
Ee MUNGU nisaidie NIPATE ninachotafuta.Amen
Amen Mchungaji,Ubarikiwe sana Mchungaji na Baba wa Mbinguni
Amina baba, Ubarikiwe mno. Naomba mwanangu Marc na mkewe wspate watoto mapacha wa kiume kwa Jina ls Yesu.
Hakika neno la mungu ni taa ya maisha yangu
Amina nitatoka hapa nimo kwa neema yamungu ili niwe VILE nilivyo kuwa mbeleni@
Emwenyezi MUNGu unikumbuke mm kwa wakati huu ninaopita nao
Ameen mtumishi umenigusa sana 🙏 😢 😞 😔
🙏🙏 Mungu wetu awe na sisi Katikati shida zetu
Naomba yesu unikumbuke usimamie afya yangu
Naomba unibebe katika kuwaombea watoto wangu wenye kuhangaika kutafuta lakini hawana mafanikio.umaskini umetutawala
Barikiwa zaid mtumishi wa MUNGU zaidi kutufunulia Siri za ufalme wa mungu
Mungu nisaidie nipate kazi
Taarifa za daktari hainizuii kupokea baraka zangu toka kwa MUNGU
Asante sana kwa maombi mazuri Mungu Baba akubariki sana mtumishi wa Mungu 🙏
Mungu wngu nakuamin namm nitapata Mume ameen
MUNGU naomba unisaidie kujibu maombi yangu nimeomba miaka mingi.
Amina ninataka nikue kiroho
Amen 🙏🙏 thanks for your message
Bwana Yesu asifiwe mtumishi wa Mungu! Binafsi namuomba sana Mungu lakini hakuwahi kunijibu kama ni kufunga ninafunga adi najiuliza sijui nakosea wapi kila mahali ninapojaribu kuomba kazi inashindikana sijui ata nitaomba ombi gani ili Mungu aweze kunijibu
Mungu afanye kwako njia usikate tamaa wakati upo utafutwa machozi
Endelea kufunga kwa maombi,,,Mungu atakujibu kwa wakati wake dada
Shalom,Jitahidi kuitolea Maombi yako Sadaka MUNGU atakujibu
Pole tuombeane tutiane moyo mm nimeomba sana nimeombewa san nimezfunga japo sio sana najiuriza wap nimefer Yan ndo ugonjwa unaongezeka mmi nimuimbaji nitaimba rin sasa
Amen
Mungu dhiki yangu ni kupata ajira ni haki yangu kupata . Aimee
Amen mu ngu anikumbe na maombi yangu yapate kibali cha kazi
Mungu naomba unisaidiye nipate mme nipate kazi
Baba niombee mwanangu apate watoto mapacha wa.kiume
Mtumishi ubarikiwe
Ameen🙏niombee nimeanzia biashara ya online marketing nlikua nime give upp but umenizaidia 🙏🙏🙏🙏
Asante Mungu
Mungu unaweza unaweza, unatupeleka US mimi na familia yangu. Ameeen
Mungu wangu naomba niondolee Hali ya uzito nijalie wepes katika maisha yangu yote magonjwa yote yanayonishikilia yakapate kuniachilia pia naomba nisaidie nifanikiwe nimepitia magumu kwa kipindi kirefu, niokoe yehova
Mwanangu apate ajira,
Iyo wimbi tamu mtu aniimbie akii❤
Mungu akubaliki na akutunze sana
Amen
MUNGU amenikutanisha na madhabahu hii kwa wakati sahihi. MUNGU akubariki Mtumishi
Amen Asante Kwa mafundisho mazuri
Usinipe mungu wangu niwezeshe mungu wangu
Amen 🙏🙏,May God be with us always 🙏🙏
Amen Kama Mimi Niko kwa mapito mangumu sana lakini namwamini mungu two
Usinipite mwokozi unapodhuru wengine 🙏
MUNGU nisaidie mm pamoja na familia yangu
Amen Amen ndugu wapendwa tufunge Mungu ni hajabu ni mara yangu ya kwanza kufunga masaa 24 ijumaa iliyopita ila Mungu wetu alinipa nguvu kinyume kabisa na nilivyotarajia hivi nafurahia kuunga masaa 24 na nina Amani
Mungu ni mwema namuomba unipe neema na baraka katika hataji langu 4:08
Naihitaji maombi yako mtumishi,napitia magumu sana katika ndoa na uchumi kiujumla.
Niombee mtumishi was mungu Kwa ajili yakijana wangu ache bangi
Yesu mwokozi naomba usinipite unapozuru wengine
Amen mtumishi mm nipo Kenya nitatuma sadaka yangu aje
.
Emwenyezi mungu nisaidie katika masomo yangu ameni
amen mungu nisaidie baba nijaze nguvu yamaombi
Ee Mungu nisaidie nikujue ww zaidi
Bwana yesu asifiwe naomba kujuwa mtu mnabii anafaa toe madhabau gani
Bint yangu amelala kitandani zaidi ya miaka kumi mtumishi wa mungu naomba msaada wako ktkt maombi
atasimama tena kwa jina la Yesu
Nateseka San mwaka watano mtumishi niripo mariza tu uzinduz ugonjwa ndo ukazd nikienda studio kuimba unaugua nikiimba nakabwa mwili unaishiwa nguvu vidonda vyatumbo miaka mitano ukienda kupima vpimo vkubwa hauonekan rakin naumwa niwe sjara tumbo rimejaa mgongo kifuani Pana waka moto sisikii njaa hata wik sirag chakula kingine zaid yaugal mlenda mchan najion miaka mitano naumia Kwa nn siimbi tena@@sirizabiblia5276
Hakika nahitaji msaada wako bwana asante sana mungu wangu amina
Ameni 🙏
Mungu nipe nguvu ya kukujua zaid na zaid
Mungu awe pamoja nawe postor
Amina. Endelea kutufundisha na kututia moyo mungu aku JJ alie afya njema ubarikiwe.
Mtumishi dhiki yangu ni ajira
Asante pastor Amen Amen
Hakuna kukata tamaa naamini muujiza wangu upo karibu
Asante 😢😢😢😢
Nakuhitaji tu Mungu kw mazuri na mabaya eeenh Mungu wangu
Ameni sitakata Tamaa Mungu atatuponya nakutubariki Amen
Ubarikiwe San mtuwamungu
Ubarikiwe mtumishi kwa somo zuri
Amen mungu mwenye nguvu nisaidie kukujua zaidi na kulitii neno lako
Asante kwa msfunfisho
Asante sana kwa mafunzo yako mungu akupe afya njem
Amen and amen..., 🙏🙏
Asante Sana mtumishi ubarikiwe
Ameni Ameni Ameni
Asante kwa mafundisho mazuri. Mungu akubariki. Naomba uniombee nilijifungua Kisha mtoto akafa. Niko na uchungu Sana. Kindly pray for me nipate mtoto mwingine.
Pole sana dear,muombe Mungu akuondolee uchungu roho wa Mungu akufariji