Ee mungu wa siidie nipinganie hizi vita maana mm siwexi mwoyo wangu umechoka mbona mm bwana sikia kilio changu kupitia kwa hii madhabau ya siri za bibilia sikia maombi yangu 😢 🥲 🙏🏿 🙏🏿
Naomba kuwa huru kuanzia leo Mimi familia yangu kutokakatika vifungo vyote ogunga maisha yetu,faya zeta uchumi wetu ,kazi biashara,na hata katika elimu, Mungu Baba kwa jina la mwanao Yesu Naomba unikumbuke katika haya maombi na katika sala zeta za kila siku,
Baba Pigana na Vita vyangu najua ninavita visivyo vizur baba pigananavyo. Nitetee Eeeeeh Muuumba wa Mbingu na nchii Nifanye na Mimi niwe Kama wa kimataifa. Nipe jibu langu baba. MUNGU niponye baba nifumbishe wanao nisengesha wanao nikejeli wanao niongelea vibaya. Naomba nitetee Naomba Mume Baba😭😭😭😭😭😭😭🙏
Asante Mungu kwa kwa kunipigania katika vita yangu. Mbariki Mtumishi wako unayemtumia kutukomboa kutoka vifungo mbalimbali vya adui kupitia maarifa Yako.
Nakushukuru sana maana kuna uwepo wa nguvu imeingia kwenye maisha yangu mimi napitia changamoto mbaya sana ktk maisha yangu ni Mungu tu na kwa maombi ninayoomba sana UBARIKIWE sanaaa Mungu aendelee kukutia nguvu ili uendelee kutuombea Amina🙏🙏🙏
Asante mungu Kwa kusikiliz maombi yangu Ee mungu naomba unipe nguv nizidi kuku omba Asante mungu wangu mbariki mtumishi wangu azidi Ku ombe Kwa jina lako
MUNGU nipiganie mm mana moyo umechoka mungu nisaidie yeyote aliye nidhulumu mungu namleta mbele Yako muone Amal ndoro Kwa chochote alicho nifanyie mm na dadangu😭😭😭🙏🙇🙇
Mungu Asate Mungu Kwa kutuwezesha kufika apatulipo fikaleo ni kwauwezo wako nihondoleye mbipigamizi vaibirisi vinavyo nipotosha navivyojavyoja Kwa Damu YESU Kristo
Nakenea kila kilochonishikilia kuharibu imani yangu kwa jina Yesu nakemea roho za chumaulete,kukataliwa,kuibiwa kila kilicho changu kwa mamlaka ya jina Yesu. Amen
Naomba mungu nionekanie baba unajua ni jinsi gani napitia changamoto katika kazi yangu 🇴🇲 mungu nisaidie Baba ninakuja mbele zako akuna kitu nilichowakosea bali wananiadama 😭😭😭🙌🙌 mungu nisaidie bila wewe sitofika mbali baba nitetee mungu wangu naomba unifunike kwa damu ya yesu kirsto natakama nimewakosea naomba wanisahee ninakuja mbele zako baba nisamehe thambi zote nilizo kukosa Baba
Mwenyezi MUNGU naomba unifanyie miujiza katika maisha yangu kila milango iliyo fungwa na adui naifungua kwa damu ya yesu kristo kama maandiko yanavyo sema lolote litakalo fungwa dunia na mbingu kimefungwa nalitakalo funguliwa dunia na mbinguni litakuwa limefunguliwa na naya fungua malango yote kwa damu ya yesu kristo Amen
Ee Mungu naomba uniepushe na Magonjwa nipo mbali na nyumban unisaidie. Nirudi katik Hali yangu uniepushe na ndoto mbaya ee Mungu usikie kilio changu utege sikio lako kwa maombi yangu😢😢😢🤲🤲🤲
Ashukuliwe Mungu wa mbinguni Kwa muongozo wa maombi haya nateketeza na kuvunja nila zote za muovu shetani hazina mamlaka Tena Kwa damu ya Yesu...naachilia nguvu za Mungu zitawale kote pale niliposhindwa ,Mungu Baba ananipitisha na kunipa umiliki hallelujah 🙏🙏
Kuanzia leo siko Chini ya ngome yoyote niko Chini ya mamlaka ya Mungu hata mtoto wangu Martin anarejea mkononi mwangu yupo Mungu anayerejesha maana alisema vilivyoliwa na tunutu vitarejea
Mtumishi naomba maombi naumwa kichwa ni zaidi ya miaka 5 hospital hawaoni tatizo zaidi ya kunipa dawa za maumivu naamini Mungu wa Bwana wetu Yesu hashindwi
Naomba MUNGU Kupitia Maombi yangu. Nitolee roho hii nikiwa wakati wa machungaji anaomba napatwa na usingizi mkali Sana. Nakemea Hilo pepo kwa jina la Yesu
Asante Mungu kwa wema na wingi wa fadhiri zako nazidi kubarikiwa mbariki Mtumishi wako mjaze uwezo wa Roho mtakatifu awe shupavu ktk huduma hii ya kinabii kupitia kwake tuzidi kupokea uponyaji na ushindi ktk kristo yesu Amen
Maombi haya yananiweks Huru kabisa. Nahisi kufunguka na kushinda vita vya kiroho kwa imani yangu...maombi haya yanamtosha sana kukamilisha mahitataji yangu ya kiroho. Ubarikiwe sana mtumishi
Asante Yesu, Roho Mtakatifu niko tayari kuhudumiwa nawe. Najiconnect na madhabahu hii ili niweze kuvipiga vile vita vizuri vya imani. Naenda kuvunja kubomoa, kung'oa na kisha kujenga, kurejesha kukomboa vyote vilivyoibiwa na adui. Eeeh Mungu wangu ingilia kati ktk hatua zaangu na kila kitu changu.
Mungu nisaidie kutoka katika sheria za kuzimu maombi haya ya leo najiungamanisha nayo mm na uzao wangu tunajitoa huko kwa nguvu ya Damu ya Yesu Mungu tusaidie kutoka huko.
Damu ya yesu kristu ipite katika maisha yangu , ya familia yangu, kwa biashara zangu na kwa mahusiano yangu 🙏🙏🙏🙏
Nimejifunza kitu, " vita ya kiroho haipiganwi kimwili" Asante mtumishi wa Mungu.
Ee mungu wa siidie nipinganie hizi vita maana mm siwexi mwoyo wangu umechoka mbona mm bwana sikia kilio changu kupitia kwa hii madhabau ya siri za bibilia sikia maombi yangu 😢 🥲 🙏🏿 🙏🏿
Vunja babamilango iliyotengenezwa kwa ajili ya uchumi wangu mungu fungua
Naomba kuwa huru kuanzia leo Mimi familia yangu kutokakatika vifungo vyote ogunga maisha yetu,faya zeta uchumi wetu ,kazi biashara,na hata katika elimu, Mungu Baba kwa jina la mwanao Yesu Naomba unikumbuke katika haya maombi na katika sala zeta za kila siku,
Ameen 🙏🙏🙏Ameeni🙏🙏🙏 Jina la YESU KRISTO litukuzwe milele 💪💪💪
Damu ya yesu ifunike maisha yangu na mume wangu na watoto wangu na familia yangu
Baba Pigana na Vita vyangu najua ninavita visivyo vizur baba pigananavyo. Nitetee Eeeeeh Muuumba wa Mbingu na nchii Nifanye na Mimi niwe Kama wa kimataifa. Nipe jibu langu baba. MUNGU niponye baba nifumbishe wanao nisengesha wanao nikejeli wanao niongelea vibaya. Naomba nitetee Naomba Mume Baba😭😭😭😭😭😭😭🙏
Mungu wangu najiungamanisha usiku huu nipate afya
Mungu nipe amani yarohoni ,unip maelewano Na mume wangu umubadilishe nami pia😢😢
Asante Mungu kwa kwa kunipigania katika vita yangu. Mbariki Mtumishi wako unayemtumia kutukomboa kutoka vifungo mbalimbali vya adui kupitia maarifa Yako.
Asante baba ulie mbinguni kwakutuletea mtumishi wako kutuokoa tuliotekwa nashetani AMINA
Amen
Amen
Amen
Nakushukuru sana maana kuna uwepo wa nguvu imeingia kwenye maisha yangu mimi napitia changamoto mbaya sana ktk maisha yangu ni Mungu tu na kwa maombi ninayoomba sana UBARIKIWE sanaaa Mungu aendelee kukutia nguvu ili uendelee kutuombea Amina🙏🙏🙏
Asantee mungu kwa kunipigania vita vyangu wakati mwingine hatujui tunapigani vita vya nini mungu nashukuru kwa kunishindia vita vyangu🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu nakukabidhi Familia yangu kwa damu ya yesu wewe ni muweza WA vyote
Asante mungu Kwa kusikiliz maombi yangu Ee mungu naomba unipe nguv nizidi kuku omba Asante mungu wangu mbariki mtumishi wangu azidi Ku ombe Kwa jina lako
Ufalme wa Mungu uzidi kutamalaki duniani na mbinguni
Asante YESU kwajili ya mafundisho naomba roho mtakatifu anisaidie kuelewa neno la MUNGU
Damu ya yesu ifunike family yangu na watoto wangu
MUNGU nipiganie mm mana moyo umechoka mungu nisaidie yeyote aliye nidhulumu mungu namleta mbele Yako muone Amal ndoro Kwa chochote alicho nifanyie mm na dadangu😭😭😭🙏🙇🙇
Utukufu kwa Mungu aliyekuwepo,yupo na atakuwepo🙏🏾🙏🏾
Asantee Bwana yesu kwa maomb ya kumpiga shetan, tunaomba pia uzd kubarik. Mtumish wako uliemleta kwetu. Kwaajili ya kutufundisha nano lako
Imeni
Mungu Asate Mungu Kwa kutuwezesha kufika apatulipo fikaleo ni kwauwezo wako nihondoleye mbipigamizi vaibirisi vinavyo nipotosha navivyojavyoja Kwa Damu YESU Kristo
Asante Yesu kwa ukombozi kwa maisha yangu pamoja na familia yangu na watoto wote wa Siri za Bibilia ❤❤❤
Nakenea kila kilochonishikilia kuharibu imani yangu kwa jina Yesu
nakemea roho za chumaulete,kukataliwa,kuibiwa kila kilicho changu kwa mamlaka ya jina Yesu. Amen
Ameen
Asante yesu wangu kwaukombozi 😭😭😭😭🙏🙏🙏
Asante yesu wangu kwaukombozi
Mungu naomba neema ya kusikia roho mtakatifu anapo sema na mm 🙏🙏
Asante roho wamungu kwakunishindia vita yangu ya umasikini magonjwa uchungu huzuni mashaka kutokuamini upumbavu ujinga kuchanganyikiwa ukichaa uwaribifu tamaa hisia mbaya 🙏
Ubalikiwe sana mtumshi wa mungu nimetoaka na kitu apa🇴🇲 nipate mme sahii kwa jina la yesu amen 🙏 kibali kiwe juu yangu
Naomba E. Mungu uyasikilize maombi yangu. Uwajalie watoto wangu Baraka zisizoelezeka
Naomba mungu nionekanie baba unajua ni jinsi gani napitia changamoto katika kazi yangu 🇴🇲 mungu nisaidie Baba ninakuja mbele zako akuna kitu nilichowakosea bali wananiadama 😭😭😭🙌🙌 mungu nisaidie bila wewe sitofika mbali baba nitetee mungu wangu naomba unifunike kwa damu ya yesu kirsto natakama nimewakosea naomba wanisahee ninakuja mbele zako baba nisamehe thambi zote nilizo kukosa Baba
Oooo yesss ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Mwenyezi MUNGU naomba unifanyie miujiza katika maisha yangu kila milango iliyo fungwa na adui naifungua kwa damu ya yesu kristo kama maandiko yanavyo sema lolote litakalo fungwa dunia na mbingu kimefungwa nalitakalo funguliwa dunia na mbinguni litakuwa limefunguliwa na naya fungua malango yote kwa damu ya yesu kristo Amen
Bwana Yesu tusaidie ulimwenguni tunayo dhiki umesema TUSIOGOPE NAMI NAAMINI KABISA AMEEN
Asante mtumishi kwa mafundisho yako mungu azidi kukupa hekima naufunuo ubarikiwe sana tuko pamoja
Asante mungu kwa siku hii ya leo na Asante pia kwa kunifikisha hapa nilipo amina Asante mtumishi
Ee Mungu naomba uniepushe na Magonjwa nipo mbali na nyumban unisaidie. Nirudi katik Hali yangu uniepushe na ndoto mbaya ee Mungu usikie kilio changu utege sikio lako kwa maombi yangu😢😢😢🤲🤲🤲
hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah 🙏🙏🙏
Mungu nakutumainiya gisi ulibomowa. Nyuta zaeriko
Ubomowe. Yanayo funga. Maicha nyangu najamaa yanu. Akutumainiyaye. Aichi kama mulima wasanyuni nitendeye nami
Ashukuliwe Mungu wa mbinguni Kwa muongozo wa maombi haya nateketeza na kuvunja nila zote za muovu shetani hazina mamlaka Tena Kwa damu ya Yesu...naachilia nguvu za Mungu zitawale kote pale niliposhindwa ,Mungu Baba ananipitisha na kunipa umiliki hallelujah 🙏🙏
Amen, Mungu nisaidie nijuwe jinzi ya kufanya vita ya kiroho
Mungu wetu anaweza yote!❤
Nipone mungu na linda mama na. Baba na watoto wagu mungu awapegufu
Mungu anisaidie ktk maisha yangu! Mimi na watoto wangu aniongoze na anifungilie mlango wa mafanikio
Asante mtumishi wa MUNGU, nimepata kitu hapa.
Imekaa sawa mno maombi ni vita kama wakristo tungefanya vita namna hii shetani asingepata nafasi na mungu angetenda mambo makuBwa sana kwetu ❤❤
Asante yesu,kwa neno lako.
Mungu niludishie mausiano yangu🤲
Ameeeeeen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙌🙏🙌🙌🙏
Kuanzia leo siko Chini ya ngome yoyote niko Chini ya mamlaka ya Mungu hata mtoto wangu Martin anarejea mkononi mwangu yupo Mungu anayerejesha maana alisema vilivyoliwa na tunutu vitarejea
Kibali kiwe juu yangu kwa kaz yangu
Mtumishi naomba maombi naumwa kichwa ni zaidi ya miaka 5 hospital hawaoni tatizo zaidi ya kunipa dawa za maumivu naamini Mungu wa Bwana wetu Yesu hashindwi
Amen 🙏 🙏 Utukufuu kwa mwenyezi Mungu.... .
Barikiwa Sana mtumishi wa Mungu
Asante mungu kwa siku nyingine tena nakuomba baba fanya muujiza juu ya watoto wangu na mm mzaxi wao, mungu bila wewe mm siwezi.
Asante mungu kwa kunikomboa sitachoka kukutumikia eeh mungu wangu🙏🙏🙏
Siku ya Leo najiweka mikono mwangu ukazindi kunipingania kwa mikono ya wachawi amen.
Ameni vita hii itembee nakukomboa ndoa yangu🙏
Ameeeeeeeen mtumishi wa Mungu
MUNGU wangu najua baba unaniona Mimi mwanao moyo wangu umechoka na mazito katika mahusiano yangu na mapito ya maisha yangu nisaidie mungu
Karibu bwana katika vita yangu nipe ujasiri wala imani yangu isitingisike kwa jina la byesu.Shalom
Mungu wangu nisaidie nitoke kwenye ndoto changu ambazo shetani ananiletea usiku nimechoka Mungu wangu nisaidie
Naomba MUNGU Kupitia Maombi yangu. Nitolee roho hii nikiwa wakati wa machungaji anaomba napatwa na usingizi mkali Sana. Nakemea Hilo pepo kwa jina la Yesu
Ameen. Napokea kwa Imani. Kwa jina la Yesu Moto upite kote kwenye family yangu upite kwenye hofisi yangu kwajina. La yesu. Nikutanishwe na watu sahihi
Damu ya yesu ifunike nyumba yangu na watoto wangu na ndugu zangu roho za magonjwa ziwe mbali na familia yangu 🙏🙏
Asantee MUNGU wangu kwakunipigania kwenye Vita baba namuombea Mchungaji wetu aendelee na Kibali chake Kutenda mema 🙏🙏🙏🙏🙏
Asante Yesu Amen Amen Amen Lord Amen
Nimekuwa nyuma sana juu ya net ,bwana nipinganie haijishi ni vita aina gani
Amen mtumishi wa Mungu Mungu atusaidie
Ameen,Mungu naomba kupitia haya Maombi ukanipe ushindi mbele adui ktk maisha yangu na Imani yangu akaongezeke kwa viwango vingine
Amen amen na sa sa Mungu ametusaidia katushindia haleluya amen 🙏🙏
Asante sana mutumishi wa MWENYEZI MUNGu
MUNGU wangu najua baba unaniona Mimi mwanao moyo wangu umechoka na mazito katika biashara yangu
Amina,,asante sana
Mungu naomba vita niliyokuwa nayo unipiganie yuko Mungu ambaye hashndwi na lolote.Amen
Mungu asante kwamuttmishi wako kupitiya yeye Nami niponemau.maumivu yamwli mzima
Ameen ameen asnte kw maombi Hy naomba Mungu azidi kuniungasha n maombi hyaa barikiwe
Barikiwa sana mtumishi wa mungu Kwa maombi mazuri.
Asante Mungu kwa wema na wingi wa fadhiri zako nazidi kubarikiwa mbariki Mtumishi wako mjaze uwezo wa Roho mtakatifu awe shupavu ktk huduma hii ya kinabii kupitia kwake tuzidi kupokea uponyaji na ushindi ktk kristo yesu Amen
Maombi haya yananiweks Huru kabisa. Nahisi kufunguka na kushinda vita vya kiroho kwa imani yangu...maombi haya yanamtosha sana kukamilisha mahitataji yangu ya kiroho.
Ubarikiwe sana mtumishi
❤❤❤Amina najiumanisha na hii mazabahu mtumishi ninavita nyīngi kiasi kwamba Kuna muda kuomba siwezi Ila nasemga Muñgu naomba msaada wako tu
Asante kwa mafunzo yako mazuri kwenye yutb asante sana
Tupiganie bwana yesu, wewe ni baba hushindwi chochote kwenye nikunipigania 🙏🙏
Asante Yesu, Roho Mtakatifu niko tayari kuhudumiwa nawe. Najiconnect na madhabahu hii ili niweze kuvipiga vile vita vizuri vya imani. Naenda kuvunja kubomoa, kung'oa na kisha kujenga, kurejesha kukomboa vyote vilivyoibiwa na adui. Eeeh Mungu wangu ingilia kati ktk hatua zaangu na kila kitu changu.
Ee mungu ukanishindie katika Vita zote na niweze kuilinda imani milele
Niponye magonjwa yote yanayojitokeza kwangu na familia pia. Nifungue macho yangu nione vizuri kabisa. Amina
Ubalikiwe mungu azidi kuikuza uduma yako nime pokea
Mungu fungua milango ya uchumi namafanikio ya maisha yangu na nizidishie imagine ya kutegemea
Amina,nahitaji kuomba nawe kwa pamoja kupitia simu ndafanya fipi nkufikie
Amen najiugamanisha Kwa damu yayesu kristo wanazareti alie hai 🙏🙏
Damu ya Yesu ikanene mema juu ya mtoto wangu, ikafanyike ukombozi wa afya yake asante Bwana Yesu kwa ushindi
Ameen mtumishi wa Nungu
Kweli mungu ulimtoa mtumishi wako Inno atufumbue macho mungu weka ulinzi juu yke👏
Damu ya Yesu ikafungue uchumi Wangu na familia yangu
Asante Mungu Kwa kuyasikia na kuyajibu Maombi ya Mtumishi wako.nami nimeondolea vita ,magonjwa laana kwangu na familia yangu
Amina
Ubalikiwe sana MUCHUNGAJI WA MUNGU 🙌🙌
Amina napokea kwa utukufu wa Mungu 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🧎
Damu ya yesu kristo ipite katika maisha yangu na ya watoto wangu na kwa kazni kwangu maboss zangu wanipende kwa jina la yesu amen 🇴🇲🇴🇲
Mungu nisaidie kutoka katika sheria za kuzimu
maombi haya ya leo najiungamanisha nayo mm na uzao wangu tunajitoa huko kwa nguvu ya Damu ya Yesu Mungu tusaidie kutoka huko.
Amen Asante mtumishi wa Mungu na Mungu aendelee kukubariki amen 🙏
Ehe bwana yesu jina lako laushidi unirehemu amene
Hallelujah
Mungu akubariki Kwa kuwa nimeipata kibali cha kushiriki MAOMBI haya ya vita ni Imani kuwa mungu amisikia n maana sikio lake sio zito asisikie 🙇🙇🙇🙏🙏🙏
Ee mungu nakushkuru kwa yote unayonitendea
Asante sana Mungu wangu uendeleye kumubariki mutumishi wako aendeleye kutu jogeza mbelezako