MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE: KAMA UNATAKA KUFANIKIWA DUNIANI, KUOMBA PEKE YAKE HAITOSHI.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 янв 2025

Комментарии • 206

  • @MarcoEnock
    @MarcoEnock 6 дней назад +1

    Asante baba kwa semina yako nabarikiwa na naomba mwaka 2025 uwe mwaka wa mafanikio kwa wote

  • @yudithmwamaso7438
    @yudithmwamaso7438 11 месяцев назад +9

    Mungu akubariki Mtumishi, mara nyingi nimekuwa nakosa Amani nilitaka kufanya jambo ila nilikuwa sijui maana yake nn

  • @TunsumeJasson
    @TunsumeJasson 11 месяцев назад +31

    Wewe mzee mi najivunia Sana maana Huwa napata vitu adimu Sana kwenye semina zako

  • @raphaelmwamakimbula9642
    @raphaelmwamakimbula9642 11 месяцев назад +4

    ❤🤝hakika! Mungu awabariki huduma ya MANA sana.Maombi+ Sadaka+ Kazi halali+kuweka akiba=kuelekea utajiri au kufanikiwa.

  • @Happyzachary
    @Happyzachary 7 часов назад

    Mungu akupe maisha marefu mtumishi uendelee kutuhudumia

  • @ericksindato7582
    @ericksindato7582 9 месяцев назад +2

    Mungu aendelee kukubakiza tupate alvyokusudia kwetu

  • @maloukabemba1230
    @maloukabemba1230 11 месяцев назад +4

    MUNGU akubariki Mtumishi wa MUNGU 🙏🙏🙏 hili neno likawe mbegu ndani yangu

  • @BahatiMbajuka
    @BahatiMbajuka 11 дней назад

    Mungu. Ni. Mungu. Atabaki. Kuwa. Mungu. Mwakasege. Mungu. Azidi. Kukulinda. Piah. Anilinde. Na. Mimi. Tuzidi. Kuombeana. Amina

  • @praygodjublant4412
    @praygodjublant4412 9 месяцев назад +6

    Na damu ya BWANA WETU YESU KRISTO Ikulinde daima

  • @julietymartin1739
    @julietymartin1739 10 месяцев назад +1

    Mwenyenzi Mungu akuzidishie maisha hapa duniani ili aendelee kukutumia wewe kutufundisha zaidi hakika Mtumishi wa Mungu umebarikiwa sana

  • @ClaudKakuga
    @ClaudKakuga Месяц назад

    Mungu akubariki mtumishi na asaidie huduma ifike pale mungu anataka ifike.pia namuomba mungu anisaidie katika afya yangu kupitia maghabahu I'm Yako nahitaji maombi Yako mtumishi

  • @aggy1489
    @aggy1489 11 месяцев назад +1

    nimevushwa mahali pengi sana kupitia mafundisho ya Mwl ambayo Mungu ameweka ndani yake utunzwe sana na Mungu Baba etu ktk Imani

  • @emmanueljegu3419
    @emmanueljegu3419 11 месяцев назад +18

    Mwamba hyoooo mwakasege jamani dhahabu Kwa tanzania

  • @LaguuGella
    @LaguuGella 2 месяца назад

    Asante mungu ni siku nyingine nakilasababu yakukushukur.mungu uwenguzo ya moto maisha mwangu adui asiniguse

  • @PendoPaschal-u5p
    @PendoPaschal-u5p 3 дня назад

    Mungu akupe Maisha marefu Baba Ameeen 🙏

  • @AMENMUSHI-wt4li
    @AMENMUSHI-wt4li 9 месяцев назад +2

    Mungu akupe maisha marefu

  • @KusiMushi
    @KusiMushi 9 месяцев назад

    Amina sana, chakula safi cha kiroho, somo zuri la kuivisha imani, barikiwa sana mwl.

  • @CheerfulBoaSnake-bs5zr
    @CheerfulBoaSnake-bs5zr 11 месяцев назад +3

    Tulikumbuka sana Tunamshukuru Mungu semina zimeanza

  • @LeonardEdward-fb2bn
    @LeonardEdward-fb2bn 2 месяца назад

    Ubarikiwa na BWANA Mtumishi,,unastahili maua yako ungali bado unaishi 🙏🙏

  • @AlexDeogratius
    @AlexDeogratius 10 месяцев назад

    Oooh my God unafundish vizr San baba ubarikiwe San mwalim wanguu 🤲🤲🙏☝️

  • @MariaKitundu-l1m
    @MariaKitundu-l1m 10 месяцев назад

    Mungu akubariki na akuzidishie sana🎉❤❤❤❤❤🎉🎉

  • @ScholarsticaMarwa
    @ScholarsticaMarwa 2 месяца назад

    Ubarikiwe sana baba endelea kutufungua ufahamu wetu nasi tuzidi kumtumainia mungu

  • @fathiasaed9718
    @fathiasaed9718 8 месяцев назад +2

    Mungu aku baliki sana

  • @AngelDikki
    @AngelDikki 2 месяца назад

    Mungu azidi kukupaka mafuta mtumishi wa mungu na akupe maisha marefu

  • @ireneamani2048
    @ireneamani2048 11 месяцев назад

    Najiungamisha na WATOTO wangu tufindishwe kutembea katika NEEMA yako Ee Bwana

  • @TheophileMibambwe
    @TheophileMibambwe 2 месяца назад

    Asante mzee kwa kazi Mungu akutiye nguvu.

  • @esterdaniel3083
    @esterdaniel3083 9 месяцев назад

    Ameen Mungu wa mbingu na nchiii akubariki sana Baba🙏🙏🙏🙏

  • @DavidMapinda
    @DavidMapinda 2 месяца назад +1

    Hakuna mwalimu Bora duniani wa Iman ya biblia Kama huyu sijui Kama na mm nitafika

  • @kileoisaac
    @kileoisaac 9 месяцев назад

    Umeniinua sanaa kiroho; mafundisho yako yamekuwa chachu saana katika maisha yangu katika ulimwengu huu wenye mambo mengi na yakuudhi

    • @Lilian-ms2ii
      @Lilian-ms2ii 7 месяцев назад

      Mungu akulinde Mtumishi hakika Mungu anakutumia❤

  • @JeanpaulBushambale-wi9jd
    @JeanpaulBushambale-wi9jd 5 месяцев назад

    Mungu akubariki mzee wetu umebeba kusudi la Mungu ndani mwako

  • @gudilamauki6465
    @gudilamauki6465 10 месяцев назад

    Asante Mungu kwa mafundisho ya mtumishi wako nazidi kufunguliwa,natoka kwenye vifungo vya shetani

  • @MeshackMwitamarwa
    @MeshackMwitamarwa 11 месяцев назад +1

    Nakupenda sana baba wangu umenisaidia mengi sana Mungu akuzidishe.

  • @LeonardMasunga-gx2rl
    @LeonardMasunga-gx2rl 9 месяцев назад

    Mungu akubariki pamoja na familia yako baba kwa jina yesu

  • @FedrickKyelula
    @FedrickKyelula 10 месяцев назад +1

    Mm nabalikiwa sana na uyu mzee kwa semina zake

  • @bensonashery2360
    @bensonashery2360 4 месяца назад

    Hakika ww ni sehem.ya maisha yangu mzee mungu akupe umri mrefuuu

  • @SarahJilala
    @SarahJilala Месяц назад

    MUNGU akupe maisha marefu akuntunze sana

  • @JenitaEliud
    @JenitaEliud 18 дней назад

    🙏🙏mungu azid kukutunza mtumish

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 10 месяцев назад

    Ubarikiwe sanaaaa mchungaji Mwakasege nayapata vizuri

  • @milembesaguda631
    @milembesaguda631 8 месяцев назад +4

    Tunajivunia sana uwepo wako

  • @EliazeliAbely
    @EliazeliAbely 11 месяцев назад +2

    Amazing in Jesus,, masomo yako yote ni chakula ya amina na kweli

  • @AshaKihombo
    @AshaKihombo 9 месяцев назад

    Mungu akuzidishie maisha marefu ❤❤❤❤❤❤

  • @LiberiaJohn
    @LiberiaJohn 5 месяцев назад

    Mungu ampe maisha marefu na afya njema kila siku

  • @BarakaMali-d4s
    @BarakaMali-d4s 7 месяцев назад +1

    Nimeamini kua watu ndoo hawataki kuenda mbinguni sio kwamba hawaambiwi yanayo paswa mtu kutenda ili aende peponi ❤

  • @ElitaNkwavano-xj7mb
    @ElitaNkwavano-xj7mb 11 месяцев назад +1

    Mungu akutunze tunakuombea MTU MUNGU.

  • @onolinegidion3385
    @onolinegidion3385 9 месяцев назад

    ❤❤❤❤❤❤ Nabarikiwa. na mahubili yako

  • @lightymmary22lightymmary27
    @lightymmary22lightymmary27 11 месяцев назад

    Ahsante Baba wewe ndio utanitoa kwenye vifungo nilivyonavyo vyote Mungu nisaidie

  • @tulafabian2475
    @tulafabian2475 4 месяца назад

    Amina ubarikiwe mtumishi wa Mungu 🙏

  • @RetisiaMosesi
    @RetisiaMosesi Месяц назад

    Asante baba niombee

  • @evelynengoma5517
    @evelynengoma5517 11 месяцев назад +2

    Barikiwa Mwalimu

  • @onolinegidion3385
    @onolinegidion3385 9 месяцев назад

    Asante Mungu kwa mtumishi wako

  • @Joseph-l9r2l
    @Joseph-l9r2l 10 месяцев назад

    Mungu akubariki mtumish wa Bwana

  • @EmmanuelNkya
    @EmmanuelNkya 7 месяцев назад

    Namuomba sana MUNGU akupe maisha marefu

  • @SimoniKelly-w5b
    @SimoniKelly-w5b 5 месяцев назад

    Mungu akubaliki mtumishi

  • @JosephKitila
    @JosephKitila 10 месяцев назад

    Barikiwa sana mtumishi wa MUNGU

  • @VicentNdunguru
    @VicentNdunguru 11 месяцев назад

    Asante kwa chakula cha kiroho.nimebarikiwa sana

  • @ManawaBundala-jj7li
    @ManawaBundala-jj7li 10 месяцев назад

    Hongera baba mwakaseke kwa mafundisho mazuli

  • @JosephMbuya-c7y
    @JosephMbuya-c7y 10 месяцев назад

    Asante yesu mungu azidikuku bariki

  • @AnitaAkidaLyimo
    @AnitaAkidaLyimo 4 месяца назад

    Hakika baba na mama Mwakasege ni Joshua wetu ktk kuvuka tufike nchi ya ahadi. Mungu wa mbinguni azidi kuwalinda na kuwapa afya njema na furaha na amani.

  • @DOLICEALCHARD
    @DOLICEALCHARD 11 месяцев назад

    Ubarikiwe sana Mzee hakika umenifungua

  • @velurakawiche5338
    @velurakawiche5338 11 месяцев назад +1

    Ee Mungu nakushukuru kwa ajili ya neno lako ambalo ni nuru ya maisha yetu

  • @rachelmasaju3434
    @rachelmasaju3434 11 месяцев назад

    Ahsante mungu kwa Uhai me na mwanangu na familia yngu yote

  • @mateysaweshopphone1364
    @mateysaweshopphone1364 11 месяцев назад

    Asante sana mtumishi umenigusa sana

  • @ArumeruMlili
    @ArumeruMlili 11 месяцев назад +1

    Ubarikiwe sana mtumishi, kwa hakika nabarikiwa sana kwa mafundisho yako!!!!

  • @JuhudiJotham
    @JuhudiJotham 2 месяца назад

    Masomo Yake yanaeleweka mno,Mungu awe nawe mtumishi

  • @ChaxeAmaniUseni
    @ChaxeAmaniUseni 9 месяцев назад

    Mzee Mungu akubariki ❤

  • @alfredkipalwi1825
    @alfredkipalwi1825 11 месяцев назад +8

    nabarikiwa sana na masomo ya huyu Mwalimu mm nashauri vitabu vyakee viwekwe mtandaonk ili tuwe tunadownload au viuzwe mtandaani

  • @PeterRaphael-f8c
    @PeterRaphael-f8c 11 месяцев назад +1

    Barikiwa sana Mwl ❤❤❤❤

  • @JamesRichard-q5r
    @JamesRichard-q5r 10 месяцев назад

    ❤❤❤❤❤ napenda mafundisho yake

  • @henrymntangi7783
    @henrymntangi7783 11 месяцев назад +2

    AMEN PAPA

  • @RevinaMushi-p3o
    @RevinaMushi-p3o 4 месяца назад

    Barikiwa sana BABA

  • @neemaleketika1006
    @neemaleketika1006 5 месяцев назад

    Uishi milele baba unazid kutufungua 🙏🙏🙏

  • @rechosagumo8971
    @rechosagumo8971 11 месяцев назад

    Amen mtumish nabatikiwa sn

  • @richsongadson4308
    @richsongadson4308 5 месяцев назад

    SINA CHA KUSEMA ILA MUNGU AKULINDE NA AKUTUNZE SASA NA HATA MILELE AMEN.

  • @LEONARDEKARIST
    @LEONARDEKARIST 17 дней назад

    Mimi nilijiungamanisha na maombi alikuwa anaombea semina wagonjwa wa mgongo nimepona MUNGU akuweke miaka mingi baba

  • @LesikariLukumay
    @LesikariLukumay 9 месяцев назад

    Barikiwa sana na Bwana Yesu

  • @Samweliagustino
    @Samweliagustino 5 месяцев назад

    Mungu akupe maisha marefu mtu wamungu🎉😢😅❤

  • @michaelsanga5301
    @michaelsanga5301 11 месяцев назад

    Naaam, asate kwakuliponya kanisa kwa neno la kweli, maana kunawatu wanafikiri wakifunga nakuombea wafanikiwe bila kufanya kazi. Huu niuonga. Mungu akutunze

  • @LucyKyando-f7t
    @LucyKyando-f7t 10 месяцев назад

    Amen mtumishi

  • @elizabethnkupama4892
    @elizabethnkupama4892 9 месяцев назад

    Barikiwa sana.Tunapona

  • @CatheJohn-x2q
    @CatheJohn-x2q 3 месяца назад

    Mungu atutie nguvu

  • @RaphaelMdami
    @RaphaelMdami 11 месяцев назад

    Mungu atukuzwe kwa neema yake juu yetu kutuletea mwalimu huyu

  • @AnteriusCosmas
    @AnteriusCosmas 20 дней назад

    Kama uwezi kumuelewa mwl Mwakasege basi ww kichwa chako ni sawa na tkt maji

  • @gabrielmajaliwa1988
    @gabrielmajaliwa1988 10 месяцев назад

    Mwalimu wangu nakuelewaga

  • @kisinzaemmanuel6318
    @kisinzaemmanuel6318 11 месяцев назад

    Amen sanaa mtumishi wa Mungu

  • @AnnaNdendya-m9x
    @AnnaNdendya-m9x 11 месяцев назад

    Mungu anifundishe

  • @TerraceDaniel-yx2uo
    @TerraceDaniel-yx2uo 11 месяцев назад

    Mungu azidi kukufunulia vitu vya kutuponya

  • @paschalduwe817
    @paschalduwe817 11 месяцев назад

    Mwalimu mwakasege Napenda Sana masomo yako

  • @RosePeter-g1n
    @RosePeter-g1n 5 месяцев назад

    Ukweli nawapenda sana

  • @EmmanuelCosmas-y8w
    @EmmanuelCosmas-y8w 10 месяцев назад

    Nakukubali sana mwamba

  • @RaphaelMdami
    @RaphaelMdami 11 месяцев назад +1

    Barikiwa baba yangu wa kiroho! Sehemu yako maradufu🙏

  • @deborahmwakihaba2484
    @deborahmwakihaba2484 11 месяцев назад

    Mungu azid kukutunza baba

  • @rachelmasaju3434
    @rachelmasaju3434 11 месяцев назад

    Mungu wangu upone

  • @evamerycostantin2458
    @evamerycostantin2458 10 месяцев назад

    Mm nimejifuza vingi sanaa kwenye hili

  • @EinothSareyo
    @EinothSareyo 11 месяцев назад +1

    Good lesson🔥

  • @EDITHACHINGUILE
    @EDITHACHINGUILE 11 месяцев назад +1

    Amen 🙏🙏

  • @McTabasam
    @McTabasam 11 месяцев назад

    Amina mtumishi barikiwa.

  • @glorykwayu
    @glorykwayu 11 месяцев назад

    Mungu akubariki akutunze

  • @FrolahRimo-cm3tu
    @FrolahRimo-cm3tu 11 месяцев назад

    Asante mungu kwakutupa watu kama hawa

  • @frankzominister1473
    @frankzominister1473 11 месяцев назад

    Ubarikiwe baba

  • @jacklinekayombo468
    @jacklinekayombo468 11 месяцев назад

    Amen mtumishi wa Mungu