Mungu wangu naomba unisameh kwel nimekukosea nimezin nikaenda kinyume naww nikasahau kuwa ww upo nimerud sasa mungu natubia makosa yangu nikwel kabisa nilitubu lakn nikaqnguka mungu,😭😭 nisamehe naomba niurumie ugonjwa wamoyo unanitesa lakin najua niadhabu unanipa nisamehe yesu nisamehe
Amen amen amen ❤❤❤ asante roho mtakatifu Aki mungu anatupenda wapendwa .mungu akubariki mtumishi Na roho mtakatifu azidi kukutumia kama Chombo chake amen❤
Amen Pastor naomba Mungu anisaidie mimi na uzao wa tumbo langu kuzishinda zile Dhambi zinazoturudisha nyuma hatupigi hatua kwa ajili ya hasira, kiburi, kutokujishusha, biashara , ajira, mahusiano na ndoa ee Baba nisaidie hasa tutoe hapa tulipo leo ktk jina la Yesu wa Nazareth alie Hai Amen
Asante sana mtumishi wa mungu nirikuw nimehangaika sana naroho iriyoningangania kwamda murefu kwasas naona uerekeo wakushinda roho kinyanyanizi asante sana Mungu adhidi kuwatumia tunajegw sana na mafundish yenu🙏🙏🙏 nikiwa Lusaka Zambia nawapata sana🌾🌾
Mahubiri Na mafundisho haya ya leo yananigusa Mimi kwakweli mtumishi Wa Bwana inocent mashauri usiache kuniombea na kunitenganisha na Roho MTakatifu Aniongoze.
Maaana hata katika neno lako daudi anasema nainua macho yangu nitazame milimani msaada wangu unatoka kwa bwana,so holy spirit tutie nguvu maana msaada wetu ni wewe
Mungu niokoe na mapepo machafu
Mungu anisaidie niache uongo natamani kuwa mwaminifu mbele za Mungu kwa kila kitu 🙏
Mungu Nisaisie niondokane na roho ya ufilishi
Mungu akubaridi sana mutumichi wamungu
Hii madhabahu imeyabandilisha maisha yangu Asante Sana mtumishi Mimi naitwa Asafu Jackson nipo Dar esaam
Mungu nisaidie 🤲😭 niache dhambi ya tamaa, wivu na uongo 🙏
Mungu nipe Amani duniani
Mungu niondolee jini mahaba
Niondolee tabia ya uzinzi mungu wangu
mungu niokoe kwa mapepo ya ajabu
Mungu funguwa maisha yangu
Mungu inisaidie nisali usku wa manane
Mungu niokoe nisizame tena nisaidie nitetee mungu
Mimi kweli ni m'moja kati ya walioibiwa nidhamu Eeeeh YEU CHRISTO WA NAZARETH ULIYE HAÏ UNISAIDIYE. AMINA
Mungu nikumbuke nachoka
Mungu wangu naomba unisameh kwel nimekukosea nimezin nikaenda kinyume naww nikasahau kuwa ww upo nimerud sasa mungu natubia makosa yangu nikwel kabisa nilitubu lakn nikaqnguka mungu,😭😭 nisamehe naomba niurumie ugonjwa wamoyo unanitesa lakin najua niadhabu unanipa nisamehe yesu nisamehe
Amina nataman kuona mabadiliko
Amen , MUNGU azid kukubirik mtumish. Hakika unakoa Roho nying za watu kwakutuongoza. Kupitia maombi ya hapa madhabahun ubarikiwe sana🙏🙏🙌
Hivi kuna mtu ameelewa kama nilivo elewa!mungu akubariki kwa somo zuri
Asante kwa mafunzo yako mazuri kwenye yutb asante sana psta
Mungu nakuomba unisaidie niache hii tabia yangu ya uongo
BWANA YESU azidi kukutunza Mtumishi wa MUNGU Alie hai
Amen and Amen
Ameeeen baba Mungu akubariki sanaaaa kwa mafundisho mzur sanaa🙏🙏
Eeeh Yesu nipiganie Kwa haya ninayoyapitia
Amen amen amen ❤❤❤ asante roho mtakatifu Aki mungu anatupenda wapendwa .mungu akubariki mtumishi Na roho mtakatifu azidi kukutumia kama Chombo chake amen❤
Japo nimechelewa Lakin bado naamin maombi haya yatanigusa kwa namna moja ama nyingine Amen 🙏
Amen Pastor naomba Mungu anisaidie mimi na uzao wa tumbo langu kuzishinda zile Dhambi zinazoturudisha nyuma hatupigi hatua kwa ajili ya hasira, kiburi, kutokujishusha, biashara , ajira, mahusiano na ndoa ee Baba nisaidie hasa tutoe hapa tulipo leo ktk jina la Yesu wa Nazareth alie Hai Amen
Mungu naomba umuokoe mume wangu !!!
Amen nasikia kugiveup juu sometime nawaza mawazo siyapendi nikumbukeni kwa maombi
Even me oh God have mercy on us 😭
Amina Mtumishi wa Mungu naomba Mungu anisamehe na anitengeneze upya
Ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU kwa neno hilo kwamaaana unazidi kutufungua macho
Mungu wangu nisaidie nijue namna ya kukuombea kila wakati
Asante sana mtumishi wa mungu nirikuw nimehangaika sana naroho iriyoningangania kwamda murefu kwasas naona uerekeo wakushinda roho kinyanyanizi asante sana Mungu adhidi kuwatumia tunajegw sana na mafundish yenu🙏🙏🙏 nikiwa Lusaka Zambia nawapata sana🌾🌾
Mungu nisaidiye kushinda dhambi zinazo nitesa kwajina la Yesu.
Roho wa bwana niwezeshe amen 🙏🏽🙏🏽
Naomba Mungu anikumbuke katika Maisha yangu
Ee mungu naomb niache ii dhambi inanitafuna mm mwanao nitete mm mwanao 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Yesu niguse katika biashara yangu na mahusiano yangu na dalia zumba
Ameen ameen mtumishi
Hakika hii ni kweli Mungu atusaidie😮😮barikiwa sana mtumishi wa Mungu 🙏🙏🙏🙏
Mungu naomba univushe kwenye hili tatizo langu nimechoka niokoe yesu
Mungu nisaidie niko tayari
Naomba mungu unifungue nijue kuomba sana naomba👏🏻👏🏻👏🏻
Amen! Utukufu Kwa Yesu. Barikiwa mtumishi wa Mungu 🙌🙏😇
Ameen baba MUNGU akubariki sana sana kwa kuni toa hatua hii kunipeleka kwenye viwango vikubwa sana vya kiimani
Mtumishi MUNGU akubaliki sana kwa kuendelea kutupa hii Elimu nzuri mazabahu ya Siri za biblia.
Asante sana ndugu yetuu
Mungu wa mbinguni akubariki sana mtu mtumishi wake alie kupaka mafuta kwaajili yetu 🙏
Namshukur sana Mungu kwa kuwa siku had siku mnazd kutuonyesha njia sahihi,,,,, naitwa john
Eeee Mungu nisaidie nakata tamaa sana naamini Mungu atamsaidia na nitaamka tena
Mungu baba yetu uliye Mbinguni please father ni okowe kwa rehema zako mimi fifi Mungu ni funguwe katika mitego ya ma aduwi
Amen mimi nko hapa naomba unisamehe ili nisimame tena katika maombi yangu nisaidie Mungu wangu 🙏🙏🙏🙏
Mungu nisaidie ili nipone kichwa
Mtumishi nakuelewa sana
May God continue using you more am blessed day by day in this alter
🙏🙏🙏🙏tusaidie eeh vwana yesu katika nyakati hizi tuxidi kutafuta uso wako
Ameeen hiki kitu ni kweli kabisa,🙏🙏
Baba narud kwako nirudie ee yehova 😭😭😭🙏🙏🙏
Asante Yesu kwa neema ya kuyasikiza haya tujalie neema pia ya kuacha hizi vitu zinatusumbua. Asante mtumishi barikiwa sana.
Amen mwenye haki yangu ataishi Kwa imani ,Yesu tusaidie tuishinde dhambi
Oho! Asante roho mtakatifu kwa kuniongoza katika madhabahu hii.ninaendelea kukua kiroho
AMEN, pst innocent ❤
Mungu wangu nakuomba unisamehe dhambi zangu na uniponye magonjwa ananisumbua sana eeeh bwana usiniwache🙏🙏🙏🙏
Mungu nisaidie
Mungu niokoe na ndiyo.mbaya na pepo mchaju
Asante kwa uwamsho mimi kweli nimeibiwa zamu Mungu ainisaidiye kwakweli
Asante mtumishi.Mungu anisaidie.Anipe ratiba ya kuonges naye.😊
Nashuku kwa mafunzo haya
Ee Mungu wangu nisamehe makosa yangu na uniponye magonjwa yangu
Ameen nrumisgi naamini Mungu atanipigania
AMEN NAPOKEA KWA JINA LA YESU
Asant Mungu shetan utaniwez kabis ktk jina la yesu
Amen 🙌🙏 ubarkiwe mtumishi wa mungu
Amen mtumishi wa mungu Mimi naomba unikumbuke Kwa maombi mmi nimeavya mimba na tangu iyo ciku Mimi cina amani kabisa nifanye nini
Mungu naomba nisaidie niishinde dhambi ya uzinzi na hasila, naomba moyo wa hekima na busara.
Nifanyeje mungu anisikilize nimeomba sana nakulia hata bado ndio vitu vinaenda vibaya nimechoka nisaidie
Mungu najiunganisha na maombi haya niolewe
Mungu atusaidie!
Eeee Mungu naomba unisamehe na unijibu maombi yangu
Mahubiri Na mafundisho haya ya leo yananigusa Mimi kwakweli mtumishi Wa Bwana inocent mashauri usiache kuniombea na kunitenganisha na Roho MTakatifu Aniongoze.
Amen mtumishi mungu akubarik sana🤲
Amen pastor
Nina dhambi sugu kama uchoyo wivu roho mbaya mawazo machafu uongo .Natamani kuacha naomba uniombee sana,Ñdo yangu ina migogoro sana,Niombee sana tafadhali
Mungu akubariki sana mtumishi wa maombi hayaa hakika nikuweli 😢😢😢
Mungu wangu naomba unisame
Mungu naomba univushe bila wewe siwezi
Amen mutu mishiwaMungu naomba musahada wamaombi kwawatoto wangu wapate mandowa n’a visa y’a Canada namwengine àpate cotrat yakazi naomba musaadawa maombi baba
Amen mtumishi a blessing to many
Amen mungu nisaidie na familia yangu
namimi niko Rwanda ninahitaji maombi sanaaaa
Mungu ni mwema, niombee niponywe na jini mahaba
Maaana hata katika neno lako daudi anasema nainua macho yangu nitazame milimani msaada wangu unatoka kwa bwana,so holy spirit tutie nguvu maana msaada wetu ni wewe
Naomba uniombe jini mahaba asinifate tena na mizimu
Asante yesu
EE Mungu nakuomba nifanye niwe mwaminifu
God bless you ooh! my God help me 😢
Amen amen baba yangu 🙏🙏🙏
Amen ASANTE sana nakuelewa
Aksante Mutumishi wa Mungu ' ubarikiwe sanaa
Barikiwa mutumishi Kwa mafundisho mazuri
Naomba mungu anisamee sana
Asante mtumishi Mungu akupemaisha mema.