Zanzibar inaongozwa na wageni- Ali Karume

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 дек 2024

Комментарии • 149

  • @bablaman123
    @bablaman123 56 секунд назад

    Kaka unasema kweli Mungu akuweke na akupe nguvu

  • @mbukumagiubukumagu406
    @mbukumagiubukumagu406 3 дня назад +1

    Tatizo la Ally Karume ni mchochezi na m baguzi anaumia kuona serikali. Inafanya vizuri ,ulevi unampeleka pabaya

  • @maisarirajab4846
    @maisarirajab4846 3 дня назад +7

    Tatizo lenu munapokua na vyeo munajisahau km mulitakiwa kuisemea zanzibar mukiwa ktk nafasi zenu mukishakosa vyeo ndio munakuja kuungana na wazanzibar nyie wanafiki tu

  • @Ibunmaulanashirazy-sn5ui
    @Ibunmaulanashirazy-sn5ui 3 дня назад +2

    Hatawew nimgeni pia

  • @SultanMalcolmx
    @SultanMalcolmx 20 часов назад

    Ah kasomeni kitabu kwaheri ukoloni kwaheri uhuru

  • @songombingo108
    @songombingo108 3 дня назад +5

    Ukweli ni kwamba Zbar ilipata Uhuru mwaka 1963 Desemba. Baada ya Uhuru ikapata Uanachama wa Umoja wa Mataifa. Ghafla Serikali huru ikapinduliwa. Ati Mapinduzi Matukufu. Zbar ikafa kwenye hayo mapinduzi na ikashindiliwa kaburini kwenye Muungano. Ikazikwa rasmi mwaka 1977 kwenye Kuunganisha Vyama.

  • @KhamisSalum-wz8cy
    @KhamisSalum-wz8cy 3 дня назад +9

    Ameona huyo . Wageni ni wabongo wametutawala znz

    • @hemedmbondejr
      @hemedmbondejr 20 часов назад

      Wewe mwenywewe ni mbongo bwana khamis, Zanzibar hakuna mwenye asiri yake watu wote walikuja tu hapa kisiwani tangu enzi hizo. Karume na viongoz wengine wakubwa walio fanya mapinduzi ni wengi wametokea bara. Na waunguja wengi asilimia 80 wanatokea bara. Chunguza kisha utapata majibu, kauli ya kibaguzi haina maendeleo. Tembea utajifunza nini maana halisi ya maisha, utajifunza vitu vingi na kuondoa ujinga wa ubaguzi. Ubaguzi ni ujinga ujinga ujinga tu. Hauna nafasi kwenye maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Hizi kauli kila kitu kinafanywa na wabongo hua tunaichukia.

  • @saadaAbdalla1371
    @saadaAbdalla1371 3 дня назад +2

    Na ao wagen wakipewa uraia hapa Zanzibar c watajaa wasipewe uraia waekeze tu kisha watafute njia

  • @kiluiWanguvu
    @kiluiWanguvu 3 дня назад +5

    huyu ni mbaguzi na anachuki sana. urais huwezi kuupata kwa ubaguz wakati mmekula neema za nchi sasa umevimbiwa

  • @Burange666
    @Burange666 2 дня назад +1

    Huyu Karume Bangi itamuuwa na Gongo wameifilisi Zanzibar hawa kina Karume sasa kafilisika mbwa huyu anataka kujipenyeza tena aibe tena mlevi huyu mwizi mkubwa

  • @muhammednassor3569
    @muhammednassor3569 2 дня назад +1

    Wewe pia sio mzalendo unajisema mwenyewe huna aibu kazi ni fitna tupu bora mara elfu Dr, Mwinyi anafanya vitu vinaonekana

  • @ramdanmbara8500
    @ramdanmbara8500 3 дня назад +3

    Huyu Mpuuzi baba yake Karume pia ni Mnyasa aliyekuja kufanya kazi ya kuchuma Karafuu

    • @Burange666
      @Burange666 2 дня назад +1

      Anafirwa huyu

    • @SultanMalcolmx
      @SultanMalcolmx 20 часов назад

      Babaake ni mnyasa yeye mzaliwa kwaiyo yeye si mgeni hapa

  • @jituakilimali15
    @jituakilimali15 3 дня назад +2

    Ulevi kitu kibaya sana unasahau kuwa baba yako pia hakuwa mzaliwa wa wazanzibar ni mnyasa aliyekuja na baba yake kama wapagazi sasa tofauti nini

  • @azizijaja3803
    @azizijaja3803 3 дня назад +2

    Huyu jamaa alikuja Jendele akaahidi viti, huyu jamaa muongo kweli kweli aisee tena mnafik

  • @MdNasr-jm8pj
    @MdNasr-jm8pj 3 дня назад +4

    Ss hiyo ZANZIBAR imeongozwa na weyeji walibadilisha nn lkn huyo mgeni ndo kaimarisha kila sekta acheni fitina kakakaa yko hakufaya lolote ulikaa kimya

    • @R10_Rajab
      @R10_Rajab 3 дня назад

      Umeonaeee wivu na roho mbaya tu

    • @jumahamadomar9124
      @jumahamadomar9124 3 дня назад +1

      Baraka zinatoka kwa mzalendo Mama samia ivi aondoke leo kila kitu kitasimama hapa zanzibar maana mabepari weusi nia yao ni kuiona zanzibar ikididimia gizani

    • @MdNasr-jm8pj
      @MdNasr-jm8pj 3 дня назад

      @jumahamadomar9124 sahihi

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 3 дня назад

      ​@@jumahamadomar9124✔️✔️✔️

  • @hamishassan6784
    @hamishassan6784 3 дня назад +3

    Hivi nikumbushe we mnyamwezi toka lini umekuwa mwenyeji Zanzibar? yaani kunahaja sasa tupimane DNA ili kujua asili ya kila mmoja hapa maana naamini kama sera ni wageni na wenyeji basi hili lifanyike maana wazawa wenyewe wamenyamaa wanawaangali ninyi tu wapigania Madaraka

  • @AhmedAhmed-dw1mp
    @AhmedAhmed-dw1mp 3 дня назад +3

    Wee mwenyewee mgeni mmalawi tunajua achaa uchoko wa ubaguzi

  • @adiaygo8546
    @adiaygo8546 3 дня назад +4

    Karume aliizaa watoto wasiojielewa wanao his Zanzibar Ni Mali ya baba yao😅😅😅

    • @binbuhakhamis4336
      @binbuhakhamis4336 3 дня назад

      Hao ndio wazalendo wa nchiyao wanaojielewa. Acha wivu.

    • @adiaygo8546
      @adiaygo8546 3 дня назад +1

      @binbuhakhamis4336 wivu anao Mamako Na huyo mlevi mwenzio Kuku jike we

  • @SuleimanMussa-x5i
    @SuleimanMussa-x5i 3 дня назад +4

    Sii tuna taka zanzbr nyenye mamlaka kamili iwe isiw atuwezi tawaliw na wageni

  • @yakoubfaki2026
    @yakoubfaki2026 4 дня назад +2

    Yaan tusiwe kuku, kusahau lilo pita, kwani huyu pia si alishika nafasi mbali mbali je mbona hatukuona jitihada ya haya maneno ya sasaiv, kwa uwoni wangu mdogo kakosa nafasi tuu

  • @AbdullwahabAbdullqadir
    @AbdullwahabAbdullqadir 3 дня назад +2

    Vijana hamuwezi kumuelewa ali karume kwa sasa labda uwe na masters ya quba,yaani ni kwamba mwenetu sio mwana

  • @AbdulMuhudhar
    @AbdulMuhudhar 3 дня назад +1

    Sheikh ALI ABEID AMAN KARUME , Taratibu Taratibu baba

  • @MuhammedAliOmar-c9u
    @MuhammedAliOmar-c9u 3 дня назад +1

    Wazanzibari hatuna chetu hatuna nchi wala uhuru wala mapinduzi. Wazanzibari ni mateka wa Watanganyika hakuna zaidi tusidanganyane. Bora Wangazija na masikini wao lakini wanaishi yao. Ati wamasai ndio wanaoitambulisha na kuitangaza zanzibar wapi na wapi . Inahusu ?

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 3 дня назад

    😮Umepindua au umepinduliwa😂😮😮

  • @pilimwanza8117
    @pilimwanza8117 3 дня назад

    Kwa bwege, mlevi mkubwa kakako kafanya nini km sio kunyangʻanya ardhi za watu. Mxiewww

  • @abuunufaysah5328
    @abuunufaysah5328 3 дня назад +5

    Acheni ubaguzi ndugu zangu wazanzibari,hata dini yetu inakemea sana ubaguzi, hili litawagharimu maisha yote,Allaah awaongoze.

    • @binbuhakhamis4336
      @binbuhakhamis4336 3 дня назад +4

      Haujaelewa somo hakatazwi mtu kuja kuekeza bali mgeni huwezi kumpa umiliki wakilakitu. Nikama vile mpangaji na mwenye nyumba.. mpangaji anabaki kua mpangaji hata kma akiishi kwa miaka 10 mbele.

    • @abuunufaysah5328
      @abuunufaysah5328 3 дня назад

      @binbuhakhamis4336 nawajua wazanzibari nimesoma nao chuo kikuu nimeisha nao mikoa mbalimbali,nyinyi mna damu ya ubaguzi, Allah awaongoze, sijakurupuka kuandika haya.

    • @jumahamadomar9124
      @jumahamadomar9124 3 дня назад

      Kukataa kutawaliwa ni wageni si ubaguzi bali ni uzalendo,kama ni ubaguzi hata nyinyi watanganyika ni wabaguzi wa mwanzo maana munimuondowa mjerumani kwa sababu hamukutaka kutawaliwa
      Hata huyu mama Samia mulio wengi hamuridhiki yeye kuwa raisi wa Tanzania kwa sababu ya asili yake wala sio jinsia yake,tena nasema hilo kwa ushahidi wa maskio na macho yangu yaani ni stori refu
      Hata kwenye mitandao ya kijamii munadhihirisha chuki na ubaguzi juu ya Samia eti mumetawaliwa na raisi wa nchi jirani. Jee huo si ubaguzi

    • @kassimmohd
      @kassimmohd 3 дня назад +5

      Hatun ubaguzi sema tuna misimamo yetu hatutaki kupelekeshwa na mtu

    • @KhalidiBakar
      @KhalidiBakar 3 дня назад +3

      Siku okiongea ukweli Mtanganyika atakuja anakuita mbaguzi😂😂😂

  • @saeedally268
    @saeedally268 3 дня назад +2

    Karume mwenyewe ni mmalawi weye piya ulikuwa kiongozi ulifanya nini mbwa wewe

  • @ussihussein9264
    @ussihussein9264 3 дня назад +3

    Maneno ya mkosaji

  • @ShehaHaji-k8t
    @ShehaHaji-k8t День назад

    Miaka yte alikua balozi nje tulikua tnasikia tu Amani anandgu yke nje,, kwio ata ww mgeni umekuja z'bar juzi u nataka kujifnya unajua ya zenji nenda Marekani mmalawi ww,.

  • @AliJussa
    @AliJussa 2 дня назад

    Ili tuwe na imani nawe Rejesheni viwanja mlivyopora na kurithishana kama falme za warabu, hapa panguuuuu hapa panguu 😢 mlijua kukandamiza,, hii nchi sio ya kurithi tena

  • @tahirsalum
    @tahirsalum 2 дня назад

    Mwingi 5 tena

  • @Sheba4651
    @Sheba4651 3 дня назад

    Chukua fomu 2025, uwe mgombea chama letu la kijani, sisi tutakupa kura wewe

  • @SaidAbdallah-h7l
    @SaidAbdallah-h7l 3 дня назад +1

    Mpaka utaondoka duniani upewi cheo hapo ulipofika ndiyo mwisho wako

  • @MohdAli-ld4fg
    @MohdAli-ld4fg 2 дня назад

    Bi salma said Lete mambo leo umenikosha

  • @AbdullatiffKaid
    @AbdullatiffKaid 12 часов назад

    Mbona hakuna mwananchi halisi jussa yupo

  • @iddiyrashid1682
    @iddiyrashid1682 2 дня назад

    Wabongo hawakuanza leo kuongoza Znz wapo miaka mingi mpaka paspoti ya Znz iliondolewa jee mwasahau

    • @FahadAbubakari-y3f
      @FahadAbubakari-y3f 2 дня назад +1

      Mie mzanzibar kwa baba na mama, nakaa bara hivi mshawahi jua bara Kuna wanzanzibar kiasi gani haswa toka pemba

  • @HarithSalim-l1x
    @HarithSalim-l1x 3 дня назад +3

    Tumechoka na Wabongo warudi kwao

    • @alivuai-v2o
      @alivuai-v2o 3 дня назад

      Ilimrad tu nawewe uonekane kwenye comment hata kama cha kuongea??

    • @arubakarkada837
      @arubakarkada837 3 дня назад

      Ondokeni dar

    • @AliJussa
      @AliJussa 2 дня назад

      Tuheshimiana wengine mashemeji zetu😅

  • @mrafm7285
    @mrafm7285 3 дня назад +1

    Kubali kushindwa tu acha wivu uongozi ni qadar ya Allah

  • @iddiyrashid1682
    @iddiyrashid1682 2 дня назад +1

    Mpaka msemaji wa SMZ anatoka Bongo

  • @ummuraw6372
    @ummuraw6372 3 дня назад +1

    Unafiki promax ulipokua kiongozi mbona ulikua husemi hyo ulimshambulia mpka mwanao fatma karume kisa alikua anakosoa smz saahivi umekosa fipa

  • @allyokiomarbahrab1322
    @allyokiomarbahrab1322 2 дня назад

    Malawi home sweet home

  • @Bintkilabe
    @Bintkilabe 3 дня назад

    Cku zote nakuelewa....viva comrade

  • @husseinbakar2358
    @husseinbakar2358 3 дня назад +2

    Sera ya Act ni maslahi kwa wote

  • @binbuhakhamis4336
    @binbuhakhamis4336 3 дня назад +1

    Huyu muheshimiwa anauchungu wa nchi yake namkubali sna

  • @LUBAINAMOHDRAJAB
    @LUBAINAMOHDRAJAB 3 дня назад +2

    Sasa kwann uhuru umeachwa na ukachukuliwa umapinduzi?

  • @ussihussein9264
    @ussihussein9264 3 дня назад +3

    Ana uchu na madaraka huyu

  • @Grataaaaa
    @Grataaaaa 3 дня назад +5

    Kweli inaogozwa na wageni mwinyi xio kwao na wengine kibao xio kwao

    • @MdNasr-jm8pj
      @MdNasr-jm8pj 3 дня назад +1

      Na huyo anaesema ni km Mwinyi

    • @FaridaAly-r5n
      @FaridaAly-r5n 3 дня назад +1

      Haswa hawana tafauti

    • @alivuai-v2o
      @alivuai-v2o 3 дня назад +1

      Hem nambieni kwani huyo alokua mzanzibar halisi ni nani?? Kiasili

    • @MdNasr-jm8pj
      @MdNasr-jm8pj 3 дня назад

      @alivuai-v2o ana lake huyo tumuache tuu

    • @SeifAmer-h9q
      @SeifAmer-h9q 6 часов назад

      Bi kidude

  • @charlesmartin-pm4bi
    @charlesmartin-pm4bi 3 дня назад

    Nani ndiyo mkimbizi

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 3 дня назад

    Hongera umeongea

  • @abubakarsaid7303
    @abubakarsaid7303 3 дня назад +1

    Hatuja wasahau haoo wazee wa hapa pangu😂😂😂

  • @saadaAbdalla1371
    @saadaAbdalla1371 3 дня назад

    Ba mwinyi yupo vzur sana haya aloyasema huyu ayatumie ili kuketa maendeleo zaid Znz ila secta ya afya kuwakabidhi wahindi Ba Mwili ili alifuatilie asiwaulize madactar km hawaamini awahoji wagonjwa spitali ya Lumumba ina vituko wagonjwa ata hawapapendi ( majengo bila ya services nzur sawa na bure ) ili liangaliwe tena

  • @MohamedAbdalla-tq8qo
    @MohamedAbdalla-tq8qo 3 дня назад +2

    Asant kiongozi Ali karume message imefika kwa kwel

  • @faustinluambano2958
    @faustinluambano2958 3 дня назад +1

    Anaongea ukweli kabisa BOSS WANGU.WANAWAOGOPA RAIA KUWA NA UWEZO WA KIUCHUI.WENYEJI HAWATOI RUSHWA

  • @abubakarsaid7303
    @abubakarsaid7303 3 дня назад

    anaona wivu wapemba kua wengi serekalini ndiomaana anasema 😂😂😂😂😂

  • @ussihussein9264
    @ussihussein9264 3 дня назад +1

    Mzee utabaki iv iv ata kaka Ako alitawala nchi mbona hukuogea maneno ayo

  • @AbdallaAli-x8t
    @AbdallaAli-x8t 2 дня назад

    Huyo jamaa akiwa hajapewa fupa hujifanya ana maneno mengiiii kinachomsumbua huyo kutokupewa chochote na utawala uliopo .niw

    • @husseinmkanga7794
      @husseinmkanga7794 2 дня назад

      Lakini wa Africa mnamatatizo gani? Huyu yupo sahihi tulipigania Uhuru tujitawale

  • @faizaannassir2568
    @faizaannassir2568 3 дня назад

    Njoni ali na amani tukomboe nchi hii.mnaijua vzuri sanna. Znz haipo imechukuliwa tuungane jamani mwambie amani . Hatawazee haki radhi hawajupindua kwa haya . Tupindueni tena . Nchi inauma

  • @AbdallahSalim-is3db
    @AbdallahSalim-is3db 2 дня назад

    Krk makongamano yenu mbona watumbatu hatuwaoni kulikoni ?

  • @muzneali4747
    @muzneali4747 3 дня назад

    HUYU MBAGUZI SANA ALIKUWA ANATAKA UTAWALA WA KIFALME YAANI UTAWALA UWE WAO TU MJINGA SANA HUYU

  • @rahmajaffar794
    @rahmajaffar794 2 дня назад

    Jamani tunaposikia mtu anasema tusikimbile kuchallenge. Kwanza tujiulize tumemwelewa alichomaanisha? Kwa mfano anaposema wageni anamaanisha nani? Je mtu aletoka ndani ya Tanzania ndio wageni au anamaanisha wageni kutoka nje za nchi kama uturuki ,india, ufaransa.
    Pili je hicho anachokilalamikia kina ukweli ndani yake au la.kabla ya kujibu au kumponda huyo amewasilisha ni vema kufanya uchunguzi wa kina bila ya upendeleo .majibu ya uchunguzi ndio yatokupa majibu sahihi. Kumpongeza au kumpinga. Kuanza kupinga vitu au kusifu vitu vya tunaowapenda au tunaowachukia bila ya uchunguzi ni kudhoofisha maendeleo ya zanzibar na Tanzania kwa ujumla

  • @AhmedAhmed-dw1mp
    @AhmedAhmed-dw1mp 3 дня назад +1

    Una makasiriko ya kukosa uraisi

  • @SanguloRaahoo
    @SanguloRaahoo 3 дня назад

    Mi nahisi vzr kuongozwa Zanzibar na wageni maana wazanzibar hawauwez uongoz

  • @OmarKombo-h2j
    @OmarKombo-h2j 3 дня назад +1

    Hana maneno huyu atafute kazi akafanye

  • @Mohd-wl1tc
    @Mohd-wl1tc 3 дня назад

    Mr balozi babu ali abedi karume

  • @ShauriAli-o5y
    @ShauriAli-o5y 3 дня назад +1

    Safi sana ali karume

  • @hamidamussa593
    @hamidamussa593 3 дня назад

    Bora ao wageni wanachokifanya kinaonekana kuliko miaka yote iliyopita nyuma wanafunzi tulikua km mbuzi kwenye mabanda mabovu hata saruji hayana unashonewa fomu leo baada ya mwezi zishachanika matakoni na magotini.... Saivi nninakaribia miaka 40 soko la kwerekwe nalikumbuka vilevile mpaka Alipokuja mgeni kulivunja😂😂😂😂😂

    • @salyali7807
      @salyali7807 3 дня назад +1

      Akili chege hizo

    • @hamidamussa593
      @hamidamussa593 2 дня назад

      @salyali7807 Nasema tena upende usipende Bora ao wageni kuliko ao wanaojifanya wazawa kumbe mabepari

    • @alijuma7674
      @alijuma7674 2 дня назад

      Saivi tunapumuwa kwa sababu rais wa Tanzania ni mzanzibar ingekuwa hakuletwi pesa zanzibar ingekuwa yale yale

  • @ibrahimassaa980
    @ibrahimassaa980 3 дня назад

    Yaan wakati yuko ccm walikuwa hawamuelewi ila saiv hayupo kwenye madaraka ACT ndo wanamuelewa na kumpigia makofi, aisee haya maisha bwana haya tu tuishini lakin mtihan mkubwa, ila zanzibar na tanganyika yake hakuna upinzani ni usanii tu unatumika na hizi siku za uchaguzi zishafika ndo utaona huo usanii

  • @rushydahmed9179
    @rushydahmed9179 3 дня назад

    umesema kweli mr balozi

  • @Omarjumanne-zm9zh
    @Omarjumanne-zm9zh 2 дня назад

    Barozi karume rafiki yangu maneno msumali

  • @SaidAbdallah-h7l
    @SaidAbdallah-h7l 3 дня назад

    Wewe umepelekwa nje ili kukusaidia kutokana na maovu uliyo fanya

  • @talibsaid8096
    @talibsaid8096 3 дня назад

    Huyu mlevi choyo kingi tu wakati kakayake katawala mbona hakusema kitu

  • @abdallahalwardi588
    @abdallahalwardi588 3 дня назад

    ●umasikini si jambo baya ○○

  • @SaidAbdallah-h7l
    @SaidAbdallah-h7l 3 дня назад

    Nchi apewi mlevi

  • @RashidiAlly-cl7fo
    @RashidiAlly-cl7fo 3 дня назад

    Matusi hayafai na wala yakubaliki,tuacheni matusi ndugu zangu

  • @nailamohd-wn6sb
    @nailamohd-wn6sb 3 дня назад

    Balozi bwana 😅😅

  • @MasnamussaPp
    @MasnamussaPp 3 дня назад

    Comred tumeelewa ila kwa cha hicho ccm chukua chako mapema,umri kama kitawepo madarakani niyayo kwa yayoooo😂

  • @azizamri1522
    @azizamri1522 3 дня назад

    Hebu punguza usoo wako wa kusoma Columbia. Kuna wengi tu wamesoma Ivy League. Hizo pesa za kulipia fees huko ulipata wapi?
    Kuna Mnyasa mmoja alikuwa Raisi baada ya mapinduzi, sijuwi unamkumbuka?
    Unakumbuka aliyekupa ubalozi unaokuzungusha akili? Walikuwa Watanganyika sio Wazanzibari. Jiheshimu!
    Debe tupu haliwachi kufanya nini?

  • @user-xf9or5cv1d
    @user-xf9or5cv1d 2 дня назад

    Utakufa nacho kijiba cha roha kwani wewe nina mgeni kama hao

  • @cassimoa9217
    @cassimoa9217 3 дня назад

    Ukweli nyie watu Muna roho mbaya sijapata mfano wake. Huyu mlevi si wa kumsikiliza kajaa fitina tu. Nani mwenye Zanzibar? Wote wageni kule, huyo Karume Mmalawi.
    Huyu jamaa cmpendi sina mfano naye. Nchi imetulia, ina maendeleo makubwa kuliko alivyokuwa baba yake au yule mlevi kaka. Amekalia fitna, anataka madaraka, anafikiri Znz ni mali ya baba yake.

  • @SuolFat
    @SuolFat 3 дня назад +1

    Mzee unajua kuongea maneno matamu yalimtoa nyoka pangoni

  • @SaidSeif-d4y
    @SaidSeif-d4y 3 дня назад

    Mpaka leo unaishi tu..??? si ujitangulize tu mbele ya hakki....

  • @azizijaja3803
    @azizijaja3803 3 дня назад

    Akilewa msimpe nafasi ya kuongea

    • @fakihdarusi4385
      @fakihdarusi4385 3 дня назад +1

      😂WALEVI WATOTO NA CHIZI NDIO HUWA WANASEMA UKWELI 😂😂😂

  • @user-xf9or5cv1d
    @user-xf9or5cv1d 3 дня назад

    Na wewef mgeni hebu uliza watu wewe kusema hujui ni majisi fu

  • @SaidAbdallah-h7l
    @SaidAbdallah-h7l 3 дня назад

    Mchukue mama yako na wewe nenda huko

  • @muzneali4747
    @muzneali4747 3 дня назад

    ACHA UBAGUZI MAISHA MAZURI YANAKUJA KWA KUFANYA KAZI KWA BIDII SIO KWA CHUKI AU UBAGIZI WAKO NA KWA ROHO MBAYA HIYO HATA UFANYE NINI HUWEZI KUWA RAIS MCHOCHEZI MKUBWA WEWE

  • @khalidbelhasa2137
    @khalidbelhasa2137 3 дня назад

    Kwan YEYE sio mgeni, mjinga tu

    • @xxl5239
      @xxl5239 3 дня назад +1

      Tusemeni mawili mawili, mtu ambae alikuwa raia wakati Zanzibar ina mamlaka yake kamili, huwezi kumwita mgeni tena huyo, ambapo alitambuliwa na Zanzibar wakati ilipokuwa nchi kamili.
      TUWE MAKINI HAPA

    • @binbuhakhamis4336
      @binbuhakhamis4336 3 дня назад

      Fikiria tena

    • @FahadAbubakari-y3f
      @FahadAbubakari-y3f 2 дня назад

      ​@@xxl5239siwe wanafiki tena sana kaka yake akiwa raisi tuliwahi mwita sio mzanzibar, Leo kwakua wanaongea yanayotufurahisha hatumwiti baba yake alitoka malawi

    • @xxl5239
      @xxl5239 2 дня назад

      @@binbuhakhamis4336yangu mimi ni hayo, sasa wewe lete ulionayo tuyafikirie. Ni uwanja wa kubadilishana mawazo tu hatutukanani.

  • @jaberalyafei274
    @jaberalyafei274 3 дня назад

    Hasid Aduallah mpenda vya bure acha fitna weee

  • @chrisostomruta-cw3zf
    @chrisostomruta-cw3zf 3 дня назад +2

    Kwani yeye baba yake ni mzanzibari?

    • @azzaliy8109
      @azzaliy8109 3 дня назад +1

      alikuwa mzanzibari ndio! Engekuaje Rais wa Zanzibar bila ya yeye kuwa Mzanzibari!!

    • @chrisostomruta-cw3zf
      @chrisostomruta-cw3zf 3 дня назад

      @azzaliy8109 basi kama ndiyo hivyo Mwinyi ni mzanzibari safi

  • @aliyaliya1995
    @aliyaliya1995 3 дня назад

    😂

  • @khalidbelhasa2137
    @khalidbelhasa2137 3 дня назад

    He is foolish man, let him go to the bar and drinking, he is the one who was abusing, the people, including Seif Sharrif,

  • @SanguloRaahoo
    @SanguloRaahoo 3 дня назад

    Mi nahisi vzr kuongozwa Zanzibar na wageni maana wazanzibar hawauwez uongoz

  • @IyasaSaid
    @IyasaSaid 3 дня назад

    😂