Ali Karume: Maalim ndiye aliyenisaidia nikaenda masomoni Marekani, ni mzee aliyeona mbali

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 дек 2024

Комментарии • 68

  • @suleimanrashid3918
    @suleimanrashid3918 2 года назад +11

    Hizi ndio sifa za mtu mwema unakufa unasifiwa kwa mazuri ila ukiwa hai wanakuona mbaya kweli nabii hakubaliki kwao Allah amjalie maisha mema maalim tukutane nae tena peponi in shaa Allah

    • @alikidungura9419
      @alikidungura9419 2 года назад

      Hawa waongo kweli wa siwalikuwa wanasema vibay eti halafu leo wanamsifia unafiki mtupu

  • @khamissalum6351
    @khamissalum6351 2 года назад +4

    Hii ndo Dunia... Ishi ulaumiwe kufa usifiwe.. Hatari sana

  • @khamisjuma8501
    @khamisjuma8501 2 года назад +4

    Salam zangu kutoka USA marekani karime you believe maalim today

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 2 года назад +1

      Mambo mazuri sana kawafanyia lakini hawakumshukuru...siyo kitu Mungu ndie atamlipa..

  • @ZubedaZubedaally
    @ZubedaZubedaally Год назад +1

    Mimi anapo simama ccm akamsifu maalim seif namuona ni mnafik maana alipokua hai alikua si mtu kwao

  • @ZubedaZubedaally
    @ZubedaZubedaally Год назад +1

    Ali karume anasema kweli lakini baada ya kukosa fupa

  • @khamisjihadi9833
    @khamisjihadi9833 2 года назад +4

    Soma kwa jina la mungu alo umba soma kwani elimu ufunguo wa maisha soma elimu muhim soma sana kwa nguvu zote utaona mafanikio

  • @meekman1805
    @meekman1805 2 года назад +13

    Je huo si unafiki?. Maana wakati wa uhai wake hamkuyasema mazuri yake.

    • @saheedali7467
      @saheedali7467 2 года назад

      Kama huna kifua si ukae kimya tu naona hujiwezi.

  • @solomonadams6337
    @solomonadams6337 2 года назад +2

    Wewe Ali ni m'nafiki alipokua akishinda Uchaguzi ulisema asipewe nchi kwa sababu ataleta waarabu wewe ni m'nafiki wa hali ya juu unamsifu sana kwa sababu huko kaburuni...!

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 2 года назад +2

    Asante professor Issa umezungumza ki Diplomacy bila ya kujisifu...tumekufahamu. Tumefurahi sana.

  • @alikidungura9419
    @alikidungura9419 2 года назад +2

    Wanafikitu hao wanaojidai kumsifu wakati walimpiga vita uhai wake

  • @ahmedalbalooshi8518
    @ahmedalbalooshi8518 2 года назад +4

    Ingefaa sana wanafik wasingepewa nafasi ya kumuongelea Maalim Seif.
    Ni kweli Elimu,hasa Zanzibar,imeshuka sana na wala hakuna anaesisitiza kati ya uongozi serikalini.
    Si haba sasa angalau kuna viongozi wanaloliona hilo na kuliongelea.

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 2 года назад

      Ahmed hiyo ndiyo siasa mchezo mchafu hata ungekuwa wewe ungekuwa hivyo hivyo

  • @abdallahmkubwa1796
    @abdallahmkubwa1796 Год назад +1

    Hizo zote ni laaana Hakuna jengine

  • @hassannachia3946
    @hassannachia3946 Год назад +1

    Mmmh huyu nae mnafiki dah siasa bn

  • @saidkhalifa34
    @saidkhalifa34 Год назад +1

    Ulikuwapo wapi wakati wa uhai wake usisaidiane nae

  • @imaamgharithauri1059
    @imaamgharithauri1059 2 года назад +3

    Maalim alikua na maono kama Mwalimu alivyokuwa na maono yake. Maalim alitaka Wazanzibari kua na elimu na Uzalendo pamoja na kua na huruma na upendo wa kila mmoja wetu leo Ali karume anathibitisha upendo wa Maalim juu ya raia Kama kiongozi wa juu. Leo tunashuhudia wanafunzi kufutiwa matokeo na wizara ipo kimya! Vp profesa unasema hatusomi na huku mkitupigia mstari mwekundu katika elimu?

  • @saidmohd7240
    @saidmohd7240 2 года назад +5

    Si Mnafiki tu! Ni zaidi ya Mwanaharam! Maana ndie alie kuwa Mtukanaji wake mkubwa! Wewe Ali Karume huna tusi ambalo hujampa Maalim! Ndio Leo wamkumbuka kwa sbb huna cheo???

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 2 года назад +1

      Binaadamu huja kujuta baadae ...anazungumza mpaka sauti inamtetemeka alokuwa Balozi.. Maalim Seif Sharif Hamadi Mungu amraham kakusaidia baada ya KUFA..yeye alikuwa akitaka mema mengi mazuri yafanyike kwa Wananchi wote hapo Zanzibar lakini Mhhh sasa hivi wale walokuwa wakimtukana ndio wananyanyuka mbele ya UMMA KUMSIFU mazuri aliyo wafanyia.. SUBHANA ALLAH

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 2 года назад +3

    Acha unafiki ashakufa ndio unaropokwa au ndio hayupo mlevi mkubwa.mpaka unatetemeka kwa unafiki

  • @hudaasaalim1333
    @hudaasaalim1333 2 года назад +3

    Iyo leo !!!!!!. Huachiiiiii Ali Karume . Ebu tupe break kidogo 🤣

  • @feisal6592
    @feisal6592 2 года назад +2

    Aslm kama wanasoma lakini hawavumbui kituu chochote kusoma ukimaliza lazima ufumbuvu kihatu abacho hakipoo kisaidiye watu ndio faida yakusoma

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 2 года назад +2

    Hiyo ilikuwa lazima akusaidie alikuwa waziri kiongozi wa zanzibar wa ccm alikuenzi kukupa nafasi kwa ajili ya baba yako

  • @abduliauni8048
    @abduliauni8048 2 года назад +1

    Ali karume muwongo

  • @imsimk.khamis574
    @imsimk.khamis574 2 года назад +1

    Hao ndio waliokuwa wakomtukana na kusema ana uchu wa madaraka. Walikuwa walimtukana na kumbeza na hata kutaka kumuuwa na kumnyima haki zake zote za kiraia. Leo anamsifu

  • @jaanjaan111
    @jaanjaan111 2 года назад +1

    Kuma la mamako mbwa ww miaka yote ulimtukana leo kawa mwema mbwa kama nyinyi ndio munaofanya tanganyika ituzalilishe

  • @adilhabib8988
    @adilhabib8988 2 года назад +1

    Wajua leo hilo

  • @omarabeid7490
    @omarabeid7490 2 года назад +1

    wakati ilikua ukimtukana km amekukosea nini sijui.

  • @Ahmadasshii-raazy8888
    @Ahmadasshii-raazy8888 2 года назад +1

    Hali kama hii inatuonesha jinsi gani maalim alikuwa mtu mwema, sababu haya wanayoyasimulia sio kwamba yeye mwenye alikua hayajui ila alifanya kwa ajili ya ALLAH na ndio mana hakuwahi hata siku moja kusema nilimfadhili fulani kwa jambo fulani siku fulani, na hali alikuwa mtu huyo yuamtukana maalim

  • @maalimseif9430
    @maalimseif9430 2 года назад +3

    Jamani chonde chonde kwenye shughuli hizi musiwaalike watu hawa hatutaki hata kuwasikia kwa unafiki wao

    • @imsimk.khamis574
      @imsimk.khamis574 2 года назад

      Let stupid ccm come on board than we can confirmed how stupid watoto wa wana mapinduzi are...CCM he goes every where but he does not have knowledge what so ever.

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 2 года назад

      Maalim sefu ndiyo waneshaalikwa viongozi wa zamani wa zanzibar

  • @aliisaid854
    @aliisaid854 11 месяцев назад

    Kutoka Mombasa umesoma marekani kweli lakini kizungu hujui,watushangaza sana

  • @abduliauni8048
    @abduliauni8048 2 года назад +1

    Kwann mumewalika watu hawa hawana maana hawa

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 2 года назад +1

    Alihisi watu wote wanamjuwa kwa ajili yeye maarufu lakini siyo hivyo Balozi...Ilikuwa lazima ujieleze kwanza wewe ni nani!!!! Inatokeya makosa kama hayo 😂😂😂😂😂

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 2 года назад +2

    Leo tena

  • @muhammedtetere484
    @muhammedtetere484 2 года назад +2

    mbn anatetemeka? ila hili Jamaa ni nafiki sana

  • @ukweliunauma4570
    @ukweliunauma4570 2 года назад +4

    Sura za wanafiki nyingi hapo, fix kali

  • @mohammednassor3081
    @mohammednassor3081 2 года назад +2

    Weye khasfu hueleweki baada ya kufa ndio wamtaja kwa wema

  • @minaziparasu9074
    @minaziparasu9074 2 года назад +1

    Mmmmm mmmmmm mmmmhhh yameishaaa

  • @noffelsalim830
    @noffelsalim830 2 года назад +1

    Bigup xn Ali karume

    • @eddynaeem6708
      @eddynaeem6708 2 года назад +3

      sisi vijana wa kizanzibari tuliokuwa tukimfuata Maalimu Seif tulikuwa tunahakika tumefuatana na kondoo na hatukufuatana na mbwa mwitu ndio maana kabla ya kufa kondoo wetu alitutafutia sehemu salama akatuhifadhi na akatusihi tuwe na umoja umoja ndio nguvu yete wala tusikate tamaa katika kuvuka mito na mabonde ingawa wanyama wabaya watatuwinda lakini iko siku tutafika tulipokakusudia .

    • @nailamohd7693
      @nailamohd7693 2 года назад +2

      @@eddynaeem6708 maneno mazur na mazito ❤️

  • @ummuhammad7571
    @ummuhammad7571 2 года назад +1

    Akaaa jamani

  • @salma0000
    @salma0000 2 года назад +1

    🤔

  • @khaamisame7223
    @khaamisame7223 2 года назад +1

    Alipo kufa ndio mnaanza kumtaja mema yake eee

  • @aqmmsm55
    @aqmmsm55 2 года назад +1

    ishi ulaaniwe kufa usifiwe

  • @hamedmaskari518
    @hamedmaskari518 2 года назад +1

    Leo tena si ulimtukana wewe

  • @hamedabdallah6728
    @hamedabdallah6728 2 года назад +1

    HI LEO TENA

  • @yussuphsaleh767
    @yussuphsaleh767 2 года назад +1

    Najifuta macho nashangaa ni yeye au mwengine au macho yangu yanamakengeza...kweli ni yeye huyu anaetamka maneno hayo?

  • @solomonadams6337
    @solomonadams6337 2 года назад +1

    Melevi mkubwa wewe...

  • @aliisaid854
    @aliisaid854 11 месяцев назад

    Kutamka certificate pia wakosea,mitihani hii

  • @aliamour4970
    @aliamour4970 2 года назад +1

    Ujingao nyooo hata haya huna mnafiki

  • @yusufmohamed8874
    @yusufmohamed8874 2 года назад +1

    Unafiki mtupu

  • @lilianmakwati5228
    @lilianmakwati5228 2 года назад +4

    Mshenzi ww usie na haya usie jua vibaya

  • @imsimk.khamis574
    @imsimk.khamis574 2 года назад +1

    How stupid watoto wa waliopindua are🤔🤔🤔🤭🤭🤨🤨

  • @misscoast3174
    @misscoast3174 2 года назад +2

    Sasa anatetemeka nini

  • @musachande7300
    @musachande7300 2 года назад +1

    Wanafiki wakubwa nyieee