BALOZI KARUME || WANALETA WAGENI KUIFISIDI ZANZIBAR

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 дек 2024

Комментарии • 135

  • @AkramIbrahim-m6x
    @AkramIbrahim-m6x 2 дня назад +3

    Baba Yk Mzazi Mmalawi Kapewa Urais Zanzibar Sawa Hukusema Labda Ulikuwa Mdogo Kaka Yako Alikuwa Rais Zanzibar Mbona Hukusema Msimpe Hy Sio Mzanzibari Choyo Kimekujaa

    • @ndukulusudikucho_
      @ndukulusudikucho_ День назад +1

      Wallah ndugu zetu bado mna makombo ya utumwa, hivi nani mwenye asili ya hizi Nchi zetu Bara na Zanzibar? Wote babu zetu walihamia .hata wewe fuatilia babu zako walikotokea huenda ukawa Mnyamwezi

  • @hajjseif5737
    @hajjseif5737 3 дня назад +3

    ni kweli lkn mgeni wa mwanzo nani?nahisi baba na baba alisalimisha mamlaka ya zanzibar kwa wageni pia,baba mgeni nae pia alikaribisha wageni,wakafisidi zanzibar,watoto wenyeji wanaitetea zanzibar bravo,balozi uko sahihi i like u,lkn haitoshi kusema tenda,toka kwenye chama cha wageni japo kimyakimya i support u

  • @mussasaidhamad1891
    @mussasaidhamad1891 2 дня назад +2

    huyu hasemi lililomkera kwenye uongozi wa serikali hii, hawa wanamapinduzi walizoea kufanya wanalotaka kwenye serikali zilizopita ila sasa wamekuwa wamedhibitiwa kidogo waliojiona wao wana haki kuliko wazaznzibari woote ila sasa ngoma ngumu alioshika madaraka hana muda mtoto wa mtu ana muda za Wazaznzibari wooote

  • @JumaMakame-n6x
    @JumaMakame-n6x 2 дня назад +2

    Mlikuwa kwenye mfumo .ham kufanya kitu isipokuwa kujilimbikiza Mali leo mwenzenu anajenga mnasakama kwa maneno

  • @AkramIbrahim-m6x
    @AkramIbrahim-m6x 2 дня назад +2

    Muacheni Hussein Mwingi Afanye Kazi Yk Na Nyie Mnao Msapot Wt Wapinzani Mbona Wenyeji Wanauza Nyumba Zao Wanawauzia Wageni Kwani Dhambi Wacheni Ufukunyuku Wenu

  • @omarmtumwa3272
    @omarmtumwa3272 5 дней назад +4

    mbona mwanzo hujasema hayo au kwakua hujapewa upngozi

  • @NassibuSaid-h9t
    @NassibuSaid-h9t 6 дней назад +4

    Kashiba huyo anawachenguwa nyie mnao njaa😢😮

  • @mussasaidhamad1891
    @mussasaidhamad1891 2 дня назад +2

    mh Mwinyi jenga baba lete wawekezaji hakuna nchi iliyojengwa na wenyeji watupu zunguka dunia nzima wageni wana nafasi zao na wenyeji wakiwa na uwezo pia wana nafasi zao huyo Ali Karume wameathiriwa na ubaguzi tuuu hao ila sasa hauna nafasi Zanzibar sote tumekuwa wamoja

  • @hashamadewa6451
    @hashamadewa6451 7 дней назад +3

    Hahahaaa uuuiii wazanzibar vichwa maji mnataka kuangalia aliosema hayapo au yapo? mjuwe tu kuhongwa kubayaaaa

  • @hamzaameir4680
    @hamzaameir4680 2 дня назад +1

    Ww nenda huko inapopataka mlevi mmoja Huna jipya *

  • @allymbarouk5362
    @allymbarouk5362 7 дней назад +5

    Nimependa hapo mgeni anakatiwa ekari 80 kwa kuporwa mzanzibar halafu muekezaji uchwara anakopa benki zetu kufanya biashara ya umachinga 😂😂

  • @froma3732
    @froma3732 7 дней назад +3

    Mulikuwa kwenye system Ufisadi miaka 60 Unazungumza maneno sawa lkn Umechelewa

  • @abdultour1647
    @abdultour1647 7 дней назад +14

    Free Zanzibar soon IshaAllah

  • @HafidhMaalim
    @HafidhMaalim 8 дней назад +10

    HONGERA MZEE KWA KUISEMEA ZANZIBAR.. BALOZI KARUME NI MSOMI

    • @HafidhMaalim
      @HafidhMaalim 5 дней назад

      HATA MZEE KARUME MWENYEWE ALISEMA KUA MAAZIMIO YA KIAJABU-AJABU MWISHO CHUMBE LKN ANGALIA LEO TUNAYOYAONA NI UDALALI TU WA KUITOA ZANZIBAR LKN MUDA UTAZUNGUMZA NI MAJUTO AU MENGINEYO

  • @suleimansadalla5606
    @suleimansadalla5606 7 дней назад

    Asante mzee umefahamisha vizuri

  • @masoudamour
    @masoudamour 7 дней назад +7

    apo kweny wagen kwel kaka umeongea ukwel 🎉🎉🎉 wageni wanaabudiwa yan tunabaguana kwajil.yawageni🎉

    • @salma0000
      @salma0000 7 дней назад +1

      Wazanzibari tunanyimwa haki zetu wanapewa wageni

  • @ZenaSaad-mn9fd
    @ZenaSaad-mn9fd 7 дней назад +2

    Kenye siku nimekusapoti ni Leo thx

  • @Burange666
    @Burange666 6 дней назад +4

    Wewe mwenyewe Karume ni mgeni kwenu Malawi wewe ni Mnyasa na Mama yako Fatma kutoka Comoro sasa nani mgeni acha Bangi zako hizo au sivyo tutakurudisha kwenu Malawi.

    • @huyu1993
      @huyu1993 4 дня назад

      Wewe jee wawapi? Hivi umemuelewa kakusudia wageni gani?

    • @mayazamzam7274
      @mayazamzam7274 3 дня назад

      Sio Comoros ni India

  • @NassibuSaid-h9t
    @NassibuSaid-h9t 6 дней назад +1

    Tusubiri Kiama kiwashukie hakuna liwalo maneno yako sawa na kupepea upoeo😅🎉

  • @tumainiellyimo4657
    @tumainiellyimo4657 17 часов назад

    Sera ya chama haiwezi kwenda tofauti na katika ya chama,aliyeisoma vyema katiba ya chama cha CCM ina misingi yakulimda maslahi ya wananch

  • @maspro6294
    @maspro6294 7 дней назад +3

    HATA BABA YAKO ALIKUA KAALIKA MABEPARI NA ALIKUA MWIZI WA MAALI ZA ZANZIBAR NA KAKA YAKO PIA KAAIBA KILA SEHEMU YA ARDHI ZANZIBAR WEWE NI TAAMAA YA KUA RAIS,WEWE HAUWEZI KUA RAIS NA HAITA TOKEA

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 7 дней назад +6

    Wanaleta WATANGANYIKA wenzao katika serikali ya ZANZIBAR ili kuweza kuwatawala WAZANZIBARI.

    • @salma0000
      @salma0000 7 дней назад +1

      Tena wenye dini tofauti na Wazanzibari ili waislam tuwe minorities waendelee kuleta sheria za kikafiri

    • @geey7893
      @geey7893 3 дня назад

      We Kuma Mbona nyie Mmejaa Bara kuanzia kiti kikuu mpk serikali za Mitaa? Tatizo lenu mna Chuki ya asili alafu hamjasoma...wengi wenu elimu 0

    • @geey7893
      @geey7893 3 дня назад

      ​@@salma0000Ubaguzi wa Dini na Ukosefu wa Elimu ndiyo imewadumaza hadi Maendeleo hakuna. Karne hii bado mnazungumza mambo ya udini? Ushamba tu

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 2 дня назад

      ​@@geey7893Unatoka povu, Sasa kama elimu 0 mama si yupo huko anawatala. Kisha suala la Zanzibar kuwa kwenye hilo serikali yenu ya tanganyika ni nyie ndio mnaolazimisha, mnataka lazima mzanzibari mumpe madaraka kwa manufaa yenu mkihitaji kuimaliza Zanzibar kuwe na urahisi. Serikali ya Zanzibar ni kwa wazanzibari tu hiyo mbona iko wazi.

  • @RehemaZakwani-bf9jw
    @RehemaZakwani-bf9jw 8 дней назад +11

    Karume anaeijua nchi tangu enzi ya babake na anajua ccm haifai Tena

  • @suleman-ox7ce
    @suleman-ox7ce 4 дня назад

    Asante balozi njo uchukue jogoo wa kuchinja

  • @BiFaudhia
    @BiFaudhia 7 дней назад +2

    Mbn hukusema wakati huo mlipokua madarakani saiv bora unyamaze

  • @saidal-hind5338
    @saidal-hind5338 7 дней назад +2

    Dah unesema vizuri

  • @MuhammedAliOmar-c9u
    @MuhammedAliOmar-c9u 7 дней назад +3

    Wazanzibari tumegeuzwa kuwa wakaazi (RESIDENTS) NI MATUSI NA DHARAU YA MWISHO

    • @salma0000
      @salma0000 7 дней назад

      Hapo ndipo walipotumaliza

    • @kassimmohd
      @kassimmohd 3 дня назад

      Mtihani ko hakuna mzanzibar , maana hata Watanganika wanaweza kukaa hapa

    • @MuhammedAliOmar-c9u
      @MuhammedAliOmar-c9u 3 дня назад +1

      @@kassimmohd kama hakuna mzanzibari hii serikali ya Mapinduzi ya zanzibar ya nini.? Huu uchaguzi mkuu wa zanzibar wa nini? Hii benders ya zanzibar ya nini? Hii mahakama kuu ya zanzibar ya kazi gani? Wazanzibari tupo na zanzibar ipo. Sema imevamiwa na watanganyika .zanzibar na wazanzibari wapo karne kwa karne.

    • @MuhammedAliOmar-c9u
      @MuhammedAliOmar-c9u 3 дня назад

      @@kassimmohd kama kukaa hata wewe unaweza kukaa Msumbiji ndio kusema hakuna msumbiji?

    • @kassimmohd
      @kassimmohd 2 дня назад

      @@MuhammedAliOmar-c9u Ume Nena maana Inawezekana Zanzibar ilikuepo mwazo zaidi kulikoni Tanganyika, Maana vitabu vya zamani zaid , Kwa East Africa vinaongelea Uhabeshi na Zanzibar

  • @MachanoMohdmachano-mo6xe
    @MachanoMohdmachano-mo6xe 3 дня назад +1

    Madalali hawo wa Zanzibar

  • @jarsjam8894
    @jarsjam8894 7 дней назад +3

    Ñyie hamuwezi kufanya chochote ndio mana. Kwanini weye hukufanya unabaki kupiga kelele tu

  • @Fatma-up9qs
    @Fatma-up9qs 7 дней назад +4

    Sema babaa sema. Wanaleta ukafiri tu. Nchi zijengwe na wananchi wenyewe. Sio wawekezzji kutoka nje....

  • @Ali-u8i8s
    @Ali-u8i8s 7 дней назад +3

    😂😂😂😂 dahhh hata wewe au kwa sababu huna ugali kwa sasa

    • @kassim1262
      @kassim1262 7 дней назад

      😂😂😂Ktk famialia ambayo haina njaa znzbr bc hii ndio namba moja

  • @stonetown578
    @stonetown578 7 дней назад +2

    Hongera mh Ali Karume

  • @YahayaKiobya
    @YahayaKiobya 7 дней назад +2

    Katiba mpyaaaaaa 👍👍👍

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 6 дней назад

    Uko sahihi kwa sasa wazungu,waarabu,waturuki ndiyo wenye mamlaka Zanzibar 😂

  • @abdallahdullah8642
    @abdallahdullah8642 7 дней назад

    Veep mzee tuamke au bado tulale totoroooo

  • @bongo39
    @bongo39 7 дней назад +3

    Wewe kaka yako kaiba weee na familia yenu mumeiba weee mlinyamaza kimya sasahivi unajitokeza hadharani unaanza ushoga wako pumbavu kabisa

  • @IddiKhamis-u6c
    @IddiKhamis-u6c 8 дней назад +8

    Tumeshachelewa Zanzibar. Zanzibar kwishaa.

  • @Hilali-ff5ul
    @Hilali-ff5ul 7 дней назад +1

    Ahsante kaka tupo pamoja inshallah

  • @maase2023
    @maase2023 7 дней назад +3

    Kweli kabisa

  • @SaidJuma-gs9ej
    @SaidJuma-gs9ej 7 дней назад +3

    Hongera balozi

  • @NasirAmeir
    @NasirAmeir 7 дней назад +2

    Ccm ni laana dhulma, uwaji ndio sera zao

  • @mangofish9079
    @mangofish9079 7 дней назад

    Zanzibar ni visiwa vidogo sana utashangaa ardhi wanavyopewa wageni wakati visiwa vyengine vikubwa kuliko znz huruhusiwi kununua ardhi hata iweje.

  • @HassanMchoro-b3r
    @HassanMchoro-b3r 7 дней назад +2

    Hongera bab ali karume

  • @reubenalfred9707
    @reubenalfred9707 3 дня назад

    Duuuh amesoma kweli??

  • @mbwanahussein98
    @mbwanahussein98 7 дней назад +7

    ULIKUWA NDANI YA FAMILIA UMEKULA MEMA YA NCHI UMESHIBA SASA ULAJI HUNA UNAANZA KULETA UBAGUZI TENA UBAYA MLIYOKUWA NAO ATA NDUGU ZENU WAISLAM MUNAWAFANYIA HILA

    • @HumudNassor-pg6lq
      @HumudNassor-pg6lq 7 дней назад +1

      tulia kuma ww

    • @mbwanahussein98
      @mbwanahussein98 7 дней назад +2

      @HumudNassor-pg6lq ALHAMDULLILAH ☺️ALLAH AKUFANYIE WEPESI KATIKA TARBIA NJEMA NA AKHLAK ZA RASUL

  • @kikalarashid9003
    @kikalarashid9003 3 дня назад

    Huyu mzee kachanganyikiwa???

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 3 дня назад +1

    Acha upumbavu wewe ulikuope humo humo wewe na mjinga mwenzio mmefanya nini kuiba na njaa kali mjinga kweli

  • @pilimwanza8117
    @pilimwanza8117 3 дня назад

    Huyu bangi yake sijui huwa anachanganya na nini🙄

  • @ISSAJR-f5
    @ISSAJR-f5 7 дней назад

    Namsubiri MBETO...

  • @SabriMtwana
    @SabriMtwana 5 дней назад

    Tunaomba kher

  • @timboxlee919
    @timboxlee919 День назад

    Waambie ukweli hao mafisadi wa hii awamu

  • @AbdulMuhudhar
    @AbdulMuhudhar 7 дней назад +1

    Sheikh Ali wazeeka vibaya weye

    • @masoudamour
      @masoudamour 7 дней назад +1

      uyo anaijuw historia ww

    • @HasnuuMakame
      @HasnuuMakame 7 дней назад +1

      ​@@masoudamouraaah wapi wakati family yao ndio ilotuzalishia haya yote kuanzia baba yake na kaka yake akaendeleza kutuibia na kujitajirisha wao tu..
      Huyo anasema hayo kwa kua hakuupata urais, ila mkae mkijua Baba yake ndio muanzilishi wa hizi dhulma kwa Wazanzibar, kwahiyo mbegu walioipanda ndio inavunwa sasa..

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 7 дней назад

      ​@@HasnuuMakameMbona wao wanasema wame kukuomboweni toka kwenye utumwa wa muarabu, wewe unasema ndio waanzilishi wa dhulma, sasa tushike lipi ndugu, wametukomboa ama wametuangamiza😂😂😂😊

    • @FahadAbubakari-y3f
      @FahadAbubakari-y3f 6 дней назад

      ​@@masoudamourHawa stukiwaita hapa pangu Leo wanajua historia

  • @mohammedhamad9392
    @mohammedhamad9392 7 дней назад

    Kua timamu kwani umekua nshamba wa majengo bas na tuone ukae na ule majengo 😅😅😅

  • @ShehaHaji-k8t
    @ShehaHaji-k8t 7 дней назад +2

    Ya mkosaji ayo, hukuyajua alipoongoza kaka yko unasema saiv alipondugu wa mwezako, choyo ulitaka serikali. iwe yenu. Wajinga ndio wataokufata muache Rais wetu atimize ndoto ya wazanzibari.

  • @SaidSalum-v5c
    @SaidSalum-v5c 8 дней назад +3

    Hongera Balozi

  • @TatoIssa-w3q
    @TatoIssa-w3q 5 дней назад

    Umeonge.point.kweli.baba

  • @yunusimchala6569
    @yunusimchala6569 7 дней назад +3

    Mbona kaka yako haukuhoji pumbavu

  • @MonicaMwoka
    @MonicaMwoka 5 дней назад

    Yaani umeongea ukweli kwenye wageni savabu hata sisi wabara mnatunyima kutupa ardhi lakini mbawapisha wageni umeongea ukweli lazima zanzibar wabadilike

    • @pilimwanza8117
      @pilimwanza8117 3 дня назад

      Wageni wanakodishwa ardhi hawapewi tu.

  • @hassnsalim5156
    @hassnsalim5156 7 дней назад +1

    BORA USEME WEWE LABDA HAWA SAMAKI WATAKUELEWA

  • @AliJussa
    @AliJussa 6 дней назад

    Zanzibar hata wewe asili yako unakujua😅,

  • @AlishauriOmar
    @AlishauriOmar 7 дней назад

    Safi somo

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 5 дней назад

    huyu mlevi alidhania zanzibar ni nchi ya familia you tu!!
    Husein mwinyi kaifanya zanzibar watu wanasalimiana na kuzikana!!
    huyu alikuwa anapenda yale kuuana na kukatana MAPANGA!!

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 2 дня назад

      2025 huseni akitaka kuendelea hayo ya kupigwa watu kama kawaida, uchamungu unaishi kibla cha misikitini tu.

  • @agnessangawe3844
    @agnessangawe3844 3 дня назад

    Tanzania ndo hizo

  • @sasamjr2517
    @sasamjr2517 6 дней назад

    Viongoz wetu wakishatoka kwenye system wanakua kma malaika

  • @ramadhansimba2928
    @ramadhansimba2928 6 дней назад

    Du kaonvea ya kweli matupu

  • @mayazamzam7274
    @mayazamzam7274 3 дня назад

    Wapeni uraia! Hiyo mmeanza nyie, wananchi wanahitaji elimu sio maneno bila elimu ya uchumi hakuna kitu hapo

  • @SuolFat
    @SuolFat 8 дней назад +1

    Dah!!!

  • @OthamanOmar
    @OthamanOmar 7 дней назад

    Mbona hujasema hayo wakati wa utawala wa kaka yako?

  • @binbuhakhamis4336
    @binbuhakhamis4336 7 дней назад +4

    Hongera unaongea kitu sahihi tena kwa uwazi mkubwa

  • @BadiFakibadi
    @BadiFakibadi 6 дней назад

    Waambie wanakurupuka tu hawaji walitendaro.

  • @tameersalim4547
    @tameersalim4547 21 час назад

    huyo ametumwa kuichafua nchi

  • @JumaHamad-i3f
    @JumaHamad-i3f День назад

    Ni saw unachoongea ila ukitoa raisi wa kwanza Zanzibar huyu ni wa tatu aman alipga hatua ila hiyu jamaa anaonesha muelekeo mpk sasa mukomkataa huyu mara hii tunatoa raisi pemba ambae amezaliwa

  • @IdrisaSadick-e8x
    @IdrisaSadick-e8x 7 дней назад +1

    Tupo pamoja babai

  • @KhamisAli-t8k
    @KhamisAli-t8k 3 дня назад

    Fact

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 3 дня назад +1

    Pesa za wizi zishakwisha nyie si ndio mulioanza kufanya hivyo

  • @hawrajehan2398
    @hawrajehan2398 День назад

    Huy mae mlevi tu hana lolote la maana anaongea,kkaako alikua madarakani hakufanya lolote la maana hatujakuona kufungua mdomo wako

  • @abdulkareem-n7v
    @abdulkareem-n7v 2 дня назад

    Hyu rais mwinyi anafaa kuongoza nchi hii japo Sio mzanzibar mn wengepewa hawa wanaoitwa wazanzibar hawana wanachofanya kazi kutugombanisha wapemba na waunguja wenzetu

  • @salehaljadidi8206
    @salehaljadidi8206 7 дней назад +3

    Wewe mwenyewe mnyonyaji na fisadi mamba moja. Huna mpango wewe.

  • @abubakaradnan4689
    @abubakaradnan4689 8 дней назад +2

    Maji yakimwagika hayazoleki

  • @AliMselem-t1d
    @AliMselem-t1d 7 дней назад

    Umeongea ukweli ila c c m haijielewi nahawa sio wazanzibar

  • @abubakaradnan4689
    @abubakaradnan4689 8 дней назад +1

    Wazee wanasema

  • @kassimabdulla3787
    @kassimabdulla3787 7 дней назад

    Shukran Balozi Ali Karume.
    No one is wrong always, even a stopped watch is correct twice a day.
    Wambiye ukweli hao jamaa asaa kheri siku moja watazonduka.

  • @ShukurkollAngel
    @ShukurkollAngel 7 дней назад +3

    Sasa nchi gani duniani hawaihitaji wawekezaji? Wewe mwenyewe unasema Marekani inakaribisha wawekezaji kwa zipo Kampuni za kigeni kama Hyundai,Aegon,Sony, Siemens nk China kwenyewe waliokuwa wajamaa kindakindaki kuna Makampuni ya kigeni ie Foxcom( Umeme), Toyota, Volkswagen, Mitsubishi,Subaru, Colgate,Nike, Walmart nk Nchi kama Canada, Australia, New Zealand zinavutia wawekezaji kwa juhudi kubwa na kuwapa Uraia. Bila wawekezaji wakubwa nchi itaendeleaje? Wakati wao ndiyo huchangia kuleta ajira pia kulipa Kodi kubwa.

    • @mangofish9079
      @mangofish9079 7 дней назад +1

      Hapa znz kuna ajira asilimia ngapi kupitia uwekezaji?

    • @ShukurkollAngel
      @ShukurkollAngel 7 дней назад +1

      @mangofish9079 Siwezi kuwa muongo nikakupa takwimu nisizozifahamu. Mimi nilichozungumzia ni umuhimu wa kuwakaribisha na kuwatafuta wawekezaji wakubwa. Nchi zote Duniani zinawatafuta hao tena kwa juhudi kubwa. Ili zipate maendeleo. Lakini naamini hata hapo Zanzibar wawekezaji waliopo wenye Mahoteli na Sekta ya Utalii imeajiri Wazanzibari. Pia wapo wanaonufaika si kwa kuajiriwa nao lakini katika huduma zao kwa mfano Viwanja vya Ndege, Madereva wa Taxi, wenye maduka na vifaa mbalimbali nk

  • @husseinkarim7663
    @husseinkarim7663 7 дней назад +1

    Amekosa kazi mpeni cheo.

    • @kassim1262
      @kassim1262 7 дней назад +1

      Anaongea ukweli usikasirikee huyo ni ccm kiliko ww ww hujuilikani hata tawini yeye anajuilikana mpk dodoma huyu hana njaa ww hujui ata unakula nini 😂😂😂

  • @SuleimanMuhammed-g7q
    @SuleimanMuhammed-g7q 7 дней назад +3

    Duh huyu jmaa mwamba

  • @powerrecordszanzibar3384
    @powerrecordszanzibar3384 7 дней назад

    ILIPOKUA MUDA WAO WA KULA KUNAZI JUU YA VITANDA WALIKUA HAWAYAONGEI HAYO, SAIVI KWA SABABU HAJAPEWA PANDE LA NYAMA NDIO YANAMTOKA YOTE HAYA ?

  • @Sangaadam
    @Sangaadam 7 дней назад

    Huyu always yeye ni kupinga tu, hivi Zanzibar inahitaji nn, nchi imeanza kujengwa kuanzia majengo mpk barabara, wewe kuna kipi kimekuwekewa kizuizi cha kujenga na kuendeleza nchi yko, ni ngumu duniani kote Serikali kumpatia pesa kila mwananchi, nashaulu ujikite kuwaelimisha wazanzibar kuchangamkia fulsa na kuungana na wawekezaji wanaokuja kuwekeza kuliko kupinga tu kila jambo!!

    • @mohammedhamad9392
      @mohammedhamad9392 7 дней назад +1

      Utabaki kula na mijengoyo nenda bongo kariakooo ukale majengo yote 😊

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 7 дней назад +1

      Kuna Nchi nyingi tuu Duniani wanawatizama Wananchi wao hasa walokuwa washatimiya miaka 60 pamoja na vilema kila mwezi wanalipwa kiwango maalumu cha pesa ili kiwasaidiye kuendesha maisha yao. Wako Wananchi maskini wewe tuu wanaishi kwenye vijumba vibovu pia wanafaa kujengewa wawe na maisha mazuri kwenye Nchi yao.

    • @salehkhamis-ob8ln
      @salehkhamis-ob8ln 7 дней назад

      Kwaiyo ww utakula majenge na barabara au wakati wananchi wana njaa ukieka biashara unafukuzwa

    • @kassimmohd
      @kassimmohd 2 дня назад

      @@Sangaadam Watu wengi hushindwa kujua maana ya maendeleo na kuona Majengo ndo maendeleo kam watoto wanavyo furah wakiona Maghorofa, kumbe Maendeleo huanza na Maisha Bora Kwa watu

  • @tahirsalum
    @tahirsalum 7 дней назад

    Mtazilamkikopeshwa

  • @OmaryAlly-mn6cv
    @OmaryAlly-mn6cv 7 дней назад +1

    Apewe 'kifupa kifunga mdomo', SIDHAMBI😅

    • @fakihdarusi4385
      @fakihdarusi4385 7 дней назад

      😅😅UYO CCM NA SERIKALINI IKO KWAO HUYO😂😂

  • @zully756
    @zully756 7 дней назад +3

    Kasomea political science, anajua kuongopa.

  • @mrmahmoud1278
    @mrmahmoud1278 6 дней назад

    Aljununu fununu

  • @harounhilal1394
    @harounhilal1394 7 дней назад +1

    Huyu naona kama kaishiwa

  • @HafidhMaalim
    @HafidhMaalim 8 дней назад +2

    HAWAKUPI URAISI KWA SABABU UNA UCHUNGU NA ZANZIBAR... HONGERA MZALENDO WETU KAZA KAMBA MTOTO WA BABA WA TAIFA HILI LA ZANZIBARI

  • @hassanlibingai8811
    @hassanlibingai8811 2 дня назад

    Mmmmmh??!?

  • @NashatAhmed-z2t
    @NashatAhmed-z2t 7 дней назад +2

    Sungura akizikosa zabibu husema mbichi.

  • @AbdulMuhudhar
    @AbdulMuhudhar 7 дней назад

    2:

  • @EdwardMashauri-z4w
    @EdwardMashauri-z4w 6 дней назад

    Correct

  • @JamalAbas-fe5dj
    @JamalAbas-fe5dj 4 дня назад

    Sasa maendeleo hamtakii