FATMA KARUME AZUA BALAA KUBWA KWENYE MKUTANO ACT WAZALENDO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 янв 2025

Комментарии • 546

  • @sameersaid2163
    @sameersaid2163 4 года назад +2

    Shangazi fatma. You are great. I really love so much. Excellet speach.

  • @helenibe9339
    @helenibe9339 4 года назад +6

    what a speech !! nakupenda kwa kuwa mwanamke huru na mwenye fikra huru sio mtu anasema baba angu ccm ndio maana mimi ni ccm what a backward and bogus way of thinking. she is a fighter and defender of democracy in Tanzania and never dare to speak against the authority. I wish Lissu and Fatuma can form a ticket as Presidential candidate and his vice president

  • @dhahiribrahim539
    @dhahiribrahim539 4 года назад +5

    Lovely so much....my dear i lov u...mimi fadhil ibrahim amani ni mfuasi wa mtume Muhamma SAW...nawapenda watanzania wenzangu....😁😂😉🤣😋😋😎😍😍🤩🙂🙂☺️😊

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 4 года назад +11

    This woman is talking about democracy without knowing the meaning of it. Is like Hitla daughter preaching democracy to Jewish. This woman, she is what she is because of her family depriving the people of Zanzibar. What she is preaching here is nonsense with no point. Only fools will clap for her.

    • @MikereMio
      @MikereMio 4 года назад +4

      Tena baba na mchomba wake wamedhulumu mashamba ya masikini karibu fukwe za bahiri pemba na unguja . Mpaka jumba la watoto yatima baba yake kalifanya lake kaligeuza hoteli .

    • @laghanganuwagi7602
      @laghanganuwagi7602 4 года назад

      You crook have you ever known Hitlers daughter? Or are you a Jew? Now you tell us what does democracy mean?

    • @gracemima5234
      @gracemima5234 4 года назад +1

      Laghanga Nuwagi democracy is a process. People like you, you are using it for the benefit of your stomach. Democracy doesn’t mean anything for a society with inequality and full of corruptions.
      Let the The honourable Dr Magufuli clean the country with corruptions, theft of public resources, tackle inequality and bring the rule of law. After that we move to democracy. Not you, a batch of idiots singing democracy without aim of bringing the true democracy just hoping to receive aid for the benefits of your stomachs. What Dr Magufuli is doing is a process of giving Tanzanians true democracy and not fake democracy.

    • @MikereMio
      @MikereMio 4 года назад +1

      @@laghanganuwagi7602 your question, or whatever point you tried to make is nonsense , is damp , no logic Swali babu yake alipotawala zanzibar aliweke hiyo democracy anayojitia huihubiri ? Au alitawala kwa mkono wa chumu, Baba alipotawala na kuwapora watu wa zanzibar mbona hakusema baba wacha wizi ? Mbona wakati wa baba hakulilia hiyo democracy kwa sauti kubwa , kuna tofauti gani alipotawala baba ake na sasa , na mtu kila anajua kiingereza miaka hii eti anatoa sentence kwa kiingereza halafu anawatafsiria watu kwa kiswahili , ushamba mtupu , hovyooo.🤣🤣🤣🤣😴😴😴

    • @nassornassor7576
      @nassornassor7576 4 года назад

      Fools are so many even your father who didn't teach you respecting others

  • @chifunyomboke6689
    @chifunyomboke6689 4 года назад +4

    Mpeni nambayangu namaongezinae,,,hivi ungekua hauongozwi na utawalabola,,,ungekua na hafyabola,,,ungekua hapo ulipofikia,,,pumbavu kueni makini ametumwa huyo

  • @pastorcarolicarlostokunmbo826
    @pastorcarolicarlostokunmbo826 4 года назад +1

    Ushindwe...umetumwa wewe.wananchi tunaiamini serikali yetu na vyombo vya usalama.wao watatusaidia kutunza amani ya Nchi na democrasia yake.

  • @pastorcarolicarlostokunmbo826
    @pastorcarolicarlostokunmbo826 4 года назад

    Unazungumza uhuru.uhuru muachwe tu ukitukana raisi unaachwa, ukianzisha vurugu uachwe, hizo ndizo munataka uo ndio uhuru munaoutafuta.tunataka mutuambie mumefanya nini, na mutafanya nini mukiingia.

  • @robathzingu1650
    @robathzingu1650 4 года назад +3

    Very fantastic and educative speech. Asante Mtoto wa Karume!

  • @abdulazizharthy5627
    @abdulazizharthy5627 4 года назад

    Thanks Fatma for delivery good and wake up speech and all the best ACT to win elections and forget this CCM now we are not stupid anymore we are now unite and show your solidarity

    • @vanynadymhamad1996
      @vanynadymhamad1996 4 года назад

      Yan huyu mama namfananish n mti mkavu kweny cidi y gustak dill

  • @missmwayway4704
    @missmwayway4704 4 года назад +2

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣Weeeee Aunty sio kwakutufokea huko

  • @adolphdavid2572
    @adolphdavid2572 4 года назад +3

    Good!super woman 🙏🏼❤

  • @truthspeaker2062
    @truthspeaker2062 4 года назад +4

    Ee si ungevifunika ivo vijinyewele vyako dada angu wee ahh apo tu ndio unanikera but umeonge well ijapokuwa wasopenda uadilifu watayachukia hayo

  • @winfridahcreitus705
    @winfridahcreitus705 4 года назад +7

    Ibrahim Ally jaribu kuwa mstaarabu, kwani lazima ukomenti? Kama unaona wapinzanu hawafai Basi sawa lkni nihaki yao kueleza mawazo yao, hata wewe unaruhusiwa kumcritise kwa pointi sio kwa matusi. Happy ndo utathibitisha ustaarabu wako.

  • @emanuelgavile3856
    @emanuelgavile3856 3 года назад +1

    K yako cheki ulivyo mkavu

  • @burtonmwansamale2512
    @burtonmwansamale2512 4 года назад +7

    Aah ! Aah ! Msomi mzuri sana, mwelewa , very good speech, kumbe ni kiongozi, ungekuwa chama kile.

    • @gracemima5234
      @gracemima5234 4 года назад +2

      Burton Mwansamale kwa kutupia maneno mawili, matatu ya kiingereza ndiyo amekuwa msomi mzuri? Tueleze pengine hatukumuelewa kwa point gani alivyosema?

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 4 года назад +2

    Huyu bado ana uraibu wa madawa! kama kwenye vyama vingi kuna fikra za watu wengi, mbona Pemba kuna fikra za maalimu seif pekee?

  • @jumamglecs7684
    @jumamglecs7684 4 года назад +4

    Huyu kumbe juu hamna kitu?speech kama hii huhitaji kusoma, na kama unasoma basi ukubali umeandika upuuzi

  • @eliaskemiti7785
    @eliaskemiti7785 4 года назад +4

    Vyama vingi ni pamoja na CCM,Chadema,Act wazalendo,Nccr, na vingine vyote.Sasa ukisema fikra za mwenyekiti unachanganya zama za kale (vyama vyote vina wenye viti usichanganye apo).

    • @ikramurashidichongoe3037
      @ikramurashidichongoe3037 4 года назад +1

      Sikiliza vizuri kinacho maanishwa hapo weka uchama pembeni.ina onekana hata ujui nn maana ya mwenyekiti.

    • @huseynally1531
      @huseynally1531 4 года назад

      Ww elias ni mkundu tena unaofirwa

    • @eliaskemiti7785
      @eliaskemiti7785 4 года назад

      Ww huseyn Ally matusi ya nini?mbona ikramurashidi Chongoe kajibu vizuri tu bila matusi apo juu.

  • @peterdomnick585
    @peterdomnick585 4 года назад

    Nakukubali sana Fatma karume hongera

  • @pastorcarolicarlostokunmbo826
    @pastorcarolicarlostokunmbo826 4 года назад

    Kwani Tanzania hatuna Democrasia acha kuongopea watanzania mimi niko hapa nigeria sikizeni Tanzania ndio ina democrasi inayoongoza Afrika.haya mapungufu madogo madogo ninya kurekebishana ndani tusitumie hiko kigezo kudanganya watu tz democracy so far is not bad,

  • @barakamakabara3557
    @barakamakabara3557 4 года назад +2

    Uuuwiiiiiii 😄😄kama baba ako mwenyewe alikudharau kwann sisi tukuone uko sawa......

  • @yussufothman619
    @yussufothman619 4 года назад +1

    Aaaaaa .Huachi Fatma !!! Umeongea Vizuri lakini Mm . I don't trust you all with your family Mmejinufaisha Sana kwa Mali za Wanzanzibari Kisha Sasa Unakuwa na Uchungu WA Nchi Rejesheni Mali za Wizi kwanza Kisha Ndio Ubweke Kama Mbwa Koko . Kwanza upo Dini gain in Muislam wewe Au Mpagani ?

  • @nassirmasoud2545
    @nassirmasoud2545 4 года назад +1

    Ati ni mzanzibari na hujui kiswahili.huko siko kutawaliwa n wazungu?

  • @kipokendirangu2572
    @kipokendirangu2572 4 года назад +5

    Chama cha visibi na vibabu katika ubora wao wana piga kamari ya Wa kati .kuchezea vijana wajane.watoto ya tima. Kwakujifanya wanatetea wananchi.

  • @gracemairusya2950
    @gracemairusya2950 4 года назад +3

    tunasikia ulikuwa kilaza.ila hatuoni hajabu maana chadema walimtumi kahaba kulatibisha maandamano mtandaoni wakashidwa.yaani mshindwe na mlegeeèee

    • @mnyampaa_kisasa
      @mnyampaa_kisasa 4 года назад

      Asa umeona kumtusi mtu aliyekuzidi kila kitu kuanzia uzur akili hela umeongeza nn zaid ya kujiongezea umaskn wa akili...think binti, usiropoke usilolijua

  • @almasjuma6872
    @almasjuma6872 4 года назад +1

    Umekula zifazanchi leounakuja kutukejeli achauzwazwa

  • @ahmedzahran4815
    @ahmedzahran4815 4 года назад +1

    Inahusu nini ufalme wakati umeshaondoka zamani.
    Focus kujenga nchi yenu na muache history pembeni.
    Stop kua selfish and Focus maslaha ya nchi.
    Solution za kuendeleza nchi zote mnazo wenyewe, hamuhitaji International support.

  • @MAPETEE
    @MAPETEE 4 года назад +3

    Ww shangaz una tukera kitu kimoja tuu sisi waisilam ww ni Mwisilam
    Halaf mbn unavaa ivo uchi
    Usivai ivo mama hapa duniani tuna pita tuu Vaa vizur nguo stiri mwili Wako

    • @getrudechiluba5183
      @getrudechiluba5183 4 года назад

      Hujitambui bado

    • @getrudechiluba5183
      @getrudechiluba5183 4 года назад

      Hujitambui wewe emeonanini

    • @hassanmahmoue3034
      @hassanmahmoue3034 4 года назад

      Wapemba mbn hamwambii avae vzr huyo vazi la kiislam mana nyny ndio wakubwa wakuwaita wenzenu makafiri jeeni vipi hapa au ndo mwajiokotea tu madudu ya litoka CCM nanyie

    • @hassanmahmoue3034
      @hassanmahmoue3034 4 года назад

      Hana elimu ya kutisha huyu

    • @truthspeaker2062
      @truthspeaker2062 4 года назад

      @@getrudechiluba5183 kamuangalie maria ktk bible alikuwa akivaa vp

  • @issackchalahani1235
    @issackchalahani1235 4 года назад +1

    Ahsante sana Shangazi Fatma Karume. Ukweli ni kwamba mtawala hajawahi kuwa KIONGOZI kwa kuwa mtawala hutawala hata kwa kuvunja Sharia, kitu ambacho kwa KIONGOZI huongoza kwa kufuata Sharia za Nchi.

  • @mtembezikipara8623
    @mtembezikipara8623 4 года назад +2

    Huyu nikimpiga shoo mpaka ajambe

    • @abumwinyi3131
      @abumwinyi3131 4 года назад +2

      Tena wakumfira mpk atoe rojo wakumtanua mkundu naona wazungu hawakumfira vzr wakt anakuja huku walimuacha na uwasho ndo mana anaongea pumba hz ilimradi apewe anachokitaka

  • @hamzahassan273
    @hamzahassan273 4 года назад +5

    Ukiweza kusema mapungufu ya serikali ya baba ako mzee karume ndo useme ya wengine vinginevyo shangazi usitufokeee

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 4 года назад +12

    Familia yako imekuwaje tajiri? Kama serikali ni ya wananchi, inaendeshwa na wananchi kwa manufaa ya wananchi. Je mali za wananchi zimeishiaje mikononi mwa familia yako? Mali yaw wazanzibari kwa muda wa utawala wa familia yako haikuwanufaisha wananchi wote. Familia yako ilitumia mali za wazanzibari kwa ujeuri. You can’t preach water while you are drinking wine. Demokrasia ya ukweli ni kutumia mali za wote pamoja. Wewe ni mmojawapo uliyelelewa na kukuzwa na mali za dhuluma. Demokrasia sio tu kuzungumza. Familia yako imewakandamiza wa Zanzibari kwa muda mrefu. Leo hii HUNA haya kusimama na kudanganya watu na kutuimbia Demokrasia, what is the meaning of democracy? kelele zako za kijinga. Tangu lini mliwapa wazanzibari Demokrasia? You have nothing to tell Tanzanian

    • @helenibe9339
      @helenibe9339 4 года назад +1

      she is a fearless independent person. angeweza jipendekeza kwa ccm kama wewe na kupata cheo lakini ameamua kupigania demokrasia na haki za wananchi zinazokandamizwa na ccm

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 4 года назад +1

      Ni maoni yake na mtazamo wake. Kwangu mimi Serikali ya babu yake (Karume) iliwafanyia mengi mazuri mno Wazanzibar walio wengi ingawa wapo walioumia sana na kuuwawa kabisa na maumivu yapo hadi sasa. Pia Serikali ya baba yake mzazi imeleta maendeleo makubwa sana acha nitaje machache:-
      1. Alieneza simu za mikononi na miundombinu ya barabara iliyochangiwa na kuwa alikuwa Waziri wa Mawasiliano.
      2. Serikali ilijenga Ofisi zake badala ya kutumia nyumba za Wakoloni.
      3. Aliajiri wafanyakazi wengi kuliko Serikali yoyote.
      4. Aliongeza mishahara.
      5. Mfanyakazi akistaafu alipatiwa HAKI zake zote bila ubabaishaji kama ilivyo sasa.
      6. Kila kijana au mtu aliyesomea fani fulani alipatiwa ajira.
      7. Ameanzisha Chuo Kikuu Cha Zanzibar na kuwezesha Wazanzibar wengi kuongeza vyeti (Elimu ni mgogoro) lakini kuanza ni hatua.
      8. Alileta maelewano ya kisiasa ingawa sasa yamechafuka kuliko mwanzo.
      9. Serikali yake haikuwa na ubaguzi.
      10. Fursa za kiuchumi ziliongezeka na kuifanya ardhi iwe ni Mali sana Zanzibar.
      Pamoja na HAYO jambo baya kabisa ambalo likikumbukwa linafuta mazuri yote hayo ni MAUWAJI ya kutisha yaliyotokea Pemba ambayo yanakadiriwa ni makubwa kuliko hata waliouliwa kwa Mapinduzi na huyo dada sio kwamba hajuwi faida ya Mapinduzi na SMZ pamoja na Muungano ila anajaribu na anafanikiwa kuzima mauaji yale. Demokrasia ni mfumo ambao hatuuwezi. Ili nchi iendelee haraka tunahitaji Uongozi wa kidiktata kama ilivyokuwa Libya nk.

    • @suleimanpandu8955
      @suleimanpandu8955 4 года назад

      Kashajielewa dada punguza munkari Shangazi anapigania haki za wakina mama kwasababu ameshayaona waliyotendewa wanawake pia anajua maisha halisi aliyoyataka babu yake yawe ila wajinga walimuuwa mzee Karume pia anahisi kua hata baba yake hakufanikiwa huwapa wazanzibar maisha bora

    • @gracemima5234
      @gracemima5234 4 года назад +3

      Suleiman Pandu kuna njia ya kuwasaidia wakina mama. Familia yake ina utajiri ambao wakina Mama wa kawaida wanauonea kwenye television. Atumie utajiri huo walioupata bila ya kuwa na viwanda wala kufanya kazi kwa bidii awainuewe wanawake kwa vitendo. Kwa kuwasaidia watoto wao wapate elimu aliyopata yeye. Kwa kuwasaidia wakina Mama mutaji wa biashara ndongondogo, sio kupiga kelele democrasia. Demokrasia itamusaidia nani ikiwa wananchi wakipiga kelele serikali haisikii? Jirani zetu wanaowaimba wana demokrasia na katiba nzuri, kweli tuksa kuandamana , lakini serikali haisikii. Imetekwa na wenye fetha. Waswahili wa Mombasa ndiyo kwanza hawasikilizwi wanambiwa hawana elimu. Dhuluma ya aridhi yao kila mahali na katiba wanayo, Uhuru wa kutukana wanao na bado wana shida kubwa. Kila elections lazima watu wafe. Hiyo ndiyo demokrasia Binti Karume anayoitaka? Hata Marekani kwenyewe watu weusi demokrasia haijawafikia kwa uwezo wao mdogo wa kifedha na kiuchumi. Wengi hawana haki ya kupiga kura kwaajiri ya kubandikiwa uhalifu, na hawa ndiyo tunawaiga. Hawa wanaiga demokrasia. Waache fujo zao Rais Magufuli amejitahidi sana. Tanzania ilikuwa imetekwa na watu wachache wenye fedha. Dhuluma na mali za umma zikiwafaidisha wachache. Kesi hushindi kama wewe ni masikini. Na mawakili ndiyo hao ni kelele tu bila point.

    • @azizawadh5973
      @azizawadh5973 4 года назад

      Una jini wa umasikini.hutaki kuona wenye hela mlaumu baba yako.

  • @chifunyomboke6689
    @chifunyomboke6689 4 года назад +2

    Vp bado mjamzito au

  • @jumachilundajr4853
    @jumachilundajr4853 4 года назад +7

    WAKATI WAKATI NI MALI,,,HATA MZEE WAKO ALITAWALA JE MAPUNGUFU YAKE HAYA KUYAONA AU ALIKUA HAJAZALIWA AIBU,,JITASMUNI KWANZA...USIWE📻📻📻MB.

    • @muniruwahid6648
      @muniruwahid6648 4 года назад

      😏😏😏

    • @zumbeshauri8114
      @zumbeshauri8114 4 года назад

      Analaana huyu ndugu
      Yangu na sisi tulio soma kwa tabu tusemeje?

    • @mwambamkombozi4672
      @mwambamkombozi4672 4 года назад

      Kwahiyo kama babake alikosea na yeye akosee na mwengine akosee?? Kwani huyo babake sasahivi yuko chama gani?!! Na mbona Shangazi anakipinga!! Are you alright au uko usingizini!!!😅😂🤣

  • @fadhilmandaliabdalla6736
    @fadhilmandaliabdalla6736 4 года назад +5

    Kilaza, pumba tupu, eti fikra za mwenekit mmoja, alafu chadema act wenyekit wengi, sasa kwa nini uchanganye vyama apo. Chizi mpyaa town

    • @eliaskemiti7785
      @eliaskemiti7785 4 года назад +3

      Fadhil kumbe umeisikia iyo Shangazi katuchanganya apo.

    • @warshysaid8564
      @warshysaid8564 4 года назад

      @@eliaskemiti7785 ana maanisha kiwa cyo chama kimoja kitawale mfumo wa vyama vingi utawala uwe unabadilika ili mawazo yasiwe ya chama kimoja tu

  • @abubakarishoo3173
    @abubakarishoo3173 4 года назад +1

    Malaya wewe kwanza wanao wasikiliza huyu niwapumbav tu shoga wewe sura ngumu kama ganda ya mkerevelia shuwaini wewe

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 4 года назад

      Jifundishe kusema wewe BAKARI...Leo kwake kesho kwako....

    • @sabrahilali8696
      @sabrahilali8696 4 года назад

      Inaonekana na ww shoga kakuchukulia bwana nini?

  • @ramadhanimtetu3656
    @ramadhanimtetu3656 9 месяцев назад

    Hivu Huyu DADA hajui kiswahili kweli au anazingua tu

  • @masungakibinza1312
    @masungakibinza1312 4 года назад +3

    Kalee wanao hatudanganyiki JPM ndio habali ya Tanzania

  • @thelivingwordchannel9027
    @thelivingwordchannel9027 4 года назад +4

    Wana saikolojia wanasema mwanamke akikaa muda mrefu bila mme anaweza kuwa mwehu,nadhani ni kweli.

  • @abbydach4433
    @abbydach4433 4 года назад +1

    Hongera fatuma karume

  • @solomonrein5440
    @solomonrein5440 4 года назад

    Nimeangalia kwa kiac kidogo ila upendo ndio unazidi mambo yote, huwezi force democracy kwa hasira na kulazimisha ningewashauri ACT NA CHADEMA wawe wakuonyesha mfano wa upendo na mambo yatabadilika

  • @ZuenaSharifu
    @ZuenaSharifu 6 месяцев назад

    I love you shangaz mtetez wa haki

  • @joshwazakaria8222
    @joshwazakaria8222 4 года назад

    Jamaan huu ndo mwisho wa dunia msishangae maana wanao dai democrasia wenyewe ukiwauliza democrasia inasaidia nn hawajua ivi naomba kuuliza ribya waliipata democrasia waliyokuwa wanadai? HAKIKA WAAFRICA DEMOCRASIA IMELETWA ITUFARAKANISHE OY AFRICA😱😱😭😭😭😭😭😭

  • @pastorcarolicarlostokunmbo826
    @pastorcarolicarlostokunmbo826 4 года назад

    Unawadanganya wa tz tunataka maendeleo na utawala bora na amani.hayo unayosema yana affect kundi la watu wachache sana tunataka serikali itakayo tatua matatizo sugu ya yule mtu maskini kule kijijini na maendeleo ya biashara zao zinawekwa kwenye mazingira mazuri.

  • @rajabumilambo1761
    @rajabumilambo1761 4 года назад

    ww mweu sana umekura kodi zetu sana sisi wananchi warara hoi chiiiiii sana mkundu we umeishi mwingireza kwa kodi zetu arafu unasema nyoko nyoko

  • @khadijashabani5509
    @khadijashabani5509 4 года назад +1

    Hivi dadoo umejitazama kwenye kiooo maana kichwani na hadhi yako haviendani

  • @ahmadsayyeed7910
    @ahmadsayyeed7910 4 года назад

    Nyie mnao comments ujinga fahamuni kwamba hata Mtume Muhammad S.A.W alikua akisema uweli na baadhi ya walioikataa haki walimpinga ACT wazalendo Alipo tupp

  • @josephatjonya6905
    @josephatjonya6905 4 года назад +1

    Hongera sana aunt

  • @chifunyomboke6689
    @chifunyomboke6689 4 года назад +2

    Huonekani umeongea point mpaka uongeekingereza

  • @hilalalhabsi2047
    @hilalalhabsi2047 4 года назад +5

    ANGESIFU CCM WANGEMPENDA ILA KAWAKIMBIA🤣

  • @fadhilhelebula664
    @fadhilhelebula664 4 года назад +9

    Bangi si mchezo ona anavyoweweseka

    • @gracemima5234
      @gracemima5234 4 года назад +1

      Fadhil Helebula kumbe ni bangi ndiyo zinaendesha kichwa chake. Basi apunguze zinamudhuru

    • @fatmahamad9314
      @fatmahamad9314 4 года назад

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @huseynally1531
      @huseynally1531 4 года назад +1

      Chuki tu dada kaongea haki nyie mnaompinga kwanz nimikundu mibovu mafala nyinyi wasenge wakubwa msiojua nin maana ya katiba na haki

  • @amriyalibent8441
    @amriyalibent8441 4 года назад +1

    Shangazi usitufokeee tupishe baba ako kafanya madudu kibao kila kitu hapa kwangu

  • @shaabanjumatv5674
    @shaabanjumatv5674 4 года назад

    Nakupenda bure

  • @wangestephen9467
    @wangestephen9467 4 года назад +2

    Mimi sifanyi makosa October 28 nasema nikimaliza kupiga kura naenda shambani😀😀

  • @biyakabiyaka2696
    @biyakabiyaka2696 4 года назад +4

    Kutawaliwa na utumwa wa fikra ni hatari kwa sababu kwa sasa watanzania tunahitaji utawala bora na wenye tija kama wa magufuli na sio hzo sela za uchochezi. Tunaelewa.

    • @TheNichym
      @TheNichym 4 года назад

      Tatizo hamna mbadala wa kupambana na ccm. Yaani hakuna kabisa mbadala wa ccm.

  • @V24hrs
    @V24hrs 4 года назад +2

    B4 I WAS AGAINST U SHANGAZ,TODAY I THANK YOU 4MAKING CHANGE OF MY MIND AND MY THOUGHT,.I AM NOW CONTASTING A PARIAMENT MEMBERSHIP AT MOROGORO REGION PROVINCE THROUGH ACT WAZALENDO..I WISH YOU ALL THE BEST..LOVE YOU SOO MUCH.

    • @franksebastian3909
      @franksebastian3909 4 года назад

      Ungetumia kiswahili tu ndugu ungeeleweka zaidi

    • @V24hrs
      @V24hrs 4 года назад

      Sawa mjumbe..

  • @chrisantgeorge3677
    @chrisantgeorge3677 4 года назад +1

    Baada ya kubanwa sana kisheria hatimae wanalalama

  • @khalimudodoma6045
    @khalimudodoma6045 4 года назад

    fatuma karume jichunge sana hapo tanzania maana umo kwenye watu wanao sumbuwa kabisa pia umokwenye kundi linalo tafutwa

    • @Lassana755
      @Lassana755 4 года назад

      Watawasumbuwa awo ao kina lissu uyo hawawezi kumfanya kitu tto la Amani karume waje wajikoroge Waone

  • @emanuelmgote5957
    @emanuelmgote5957 4 года назад +5

    Nakuona shangazi,unaonyesha wehu wako!!!

    • @ikramurashidichongoe3037
      @ikramurashidichongoe3037 4 года назад

      Siku zote anaanzaga mjinga kisha wehu ndio wanafata sasa sijui ww uko kwenye kundi gani.mana nchi hii wamejaa wajinga ndo mana mwehu kajitokeza.

  • @kassidpandu9806
    @kassidpandu9806 4 года назад +3

    Tafakari nyumbani kwenu democrasia ilikuwepooo, halafu tena ulete majibu hadharani

  • @allisaidhaji9064
    @allisaidhaji9064 4 года назад +4

    Wewe mzungu wa karume ni chizi

  • @mesutnyaryanga8932
    @mesutnyaryanga8932 4 года назад +10

    Magufuli Baba laoo.....

  • @benwater4957
    @benwater4957 4 года назад +4

    Love you Fatma Karume. God bless you immensely ❤

  • @hamilsaleh-zo3hp
    @hamilsaleh-zo3hp 10 месяцев назад

    Duniani hakuna DEMOCRASIA asikwambie mtu, wacheni kiini macho

  • @emmanuelowiti8217
    @emmanuelowiti8217 4 года назад +2

    Hivi mbona huyu bi dada haeleweki.democrasia ni vita vinavyotokea congo,libya,irak?!!!!.acha upuuzi.

  • @pastorcarolicarlostokunmbo826
    @pastorcarolicarlostokunmbo826 4 года назад

    Muongo hatukuleta democrasia kwa sababu mfumo ule ulikuwa mbaya sana hapana bali lilikuwa ni shinikizo la magharibi.

  • @jacksuleman4609
    @jacksuleman4609 4 года назад +2

    Hawa na tundu lisu wanatakiwa wapimwe akili kama mchiz mbn

    • @abdilkadirali457
      @abdilkadirali457 4 года назад

      Kipi ambacho unaweza kukifafanua kua hao uliowataja ni machizi maana unaonyesha nyie ndio wale wapumbavu ambao ni watumwa wa mawazo ama kwa lugha nyepesi ni mental slaves

  • @gracemairusya2950
    @gracemairusya2950 4 года назад +2

    umeandikiwa ndo unasoma toa kichwani pako

  • @pastorcarolicarlostokunmbo826
    @pastorcarolicarlostokunmbo826 4 года назад

    Kama utaki kutawaliwa ufaikuwa kiongozi ufae kuwa mke.
    Eti unasema kwa jeuri...yani hawa watu wanaakili ndogo sana peleka Jeuri kwa mumeo.hatutaki viongozi jeuri tunataka viongozi wenye busara wenye hekima na wenye akili timamu kichwani.

  • @maxmillianmkally8441
    @maxmillianmkally8441 4 года назад +2

    Huyu ni tapeli tuu

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 4 года назад +3

    Umesomeshwa na hela zetu wengine tunavaa viraka wewe huja wahi uona ukali wa jua leo unaitukana selekari wakati baba yako alikua huko?

  • @umulithokyarema6491
    @umulithokyarema6491 4 года назад +1

    Haya ni maneno tu. Kwani kuna serikali ya wanyama pori!!! Lwenda zako kundi maalim seif

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 4 года назад +3

    Vibaraka wote mmechanganyikiwa hata Hamjui kwamba mpo tz mnaongea lugha za ubligi ili wajue kwamba mpo pamoja nao

    • @saifysaid7556
      @saifysaid7556 4 года назад

      Ww mtt wa karume huyo na hapa ndio tunakosea wtt wao wanapeleka intenational school wenu elimu bure

    • @jumaomary9087
      @jumaomary9087 4 года назад

      Kesho akitokea mtoto wakiongozi mwengine akiwa ana muelekeo mwengine pia msisaau kutukana na kukashifu sawa maana.wengine mwafata mkumboo tuu

    • @jenyyusuph4973
      @jenyyusuph4973 4 года назад

      @@jumaomary9087 tunamtukana au ndio ukweli ni kibaraka wazungu walimkataza makonda asiende marekani kwasababu ya uyoga na yy ALIMWAMBIA makonda aache kuwanyasa mashoga wanawaziri wao Sasa inamaanisha nn kama sio Kibaraka?

  • @seifkulwa3346
    @seifkulwa3346 4 года назад +2

    Mwehu kapewa jukwaa!

  • @imanimasasa7042
    @imanimasasa7042 4 года назад

    Uhuru usio na mipaka ni chachu ya fujo, kuporomoka kwa maadili ya jamii na kuuweka usalama wa nchi yetu rehani. Kwamwe hatutaruhusu hilo litokee. Neno Demokrasia lisitumike kama kisingizio cha kutugawa na kupoteza amani ya taifa letu. Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki rais wetu mpendwa Dr. John Magufuli.

    • @warshysaid8564
      @warshysaid8564 4 года назад

      Ww hujielewe kma mpka leo unajiona uko huruu

    • @imanimasasa7042
      @imanimasasa7042 4 года назад

      @@warshysaid8564 kama wewe bado upo kifungoni pole sana, ila Tanzania ni nchi huru na watanzania ndio wanaoitawala nchi yao. Magufuli mitano tena!!!!!

  • @alfredlimu308
    @alfredlimu308 4 года назад +9

    Sijawai kumuelewa uyu shangaz yenu,samahani lakini

  • @user-xf9or5cv1d
    @user-xf9or5cv1d Год назад

    Akhera haiko mbali uta watetea vizuri mashoga huko

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 4 года назад

    Acheni udini kila mtu atahukumiwa na Mungu. Usimchukie au kumjaji mtu kwa kivazi, mtazamo au kwa anachokisema, subiri vitendo kama vizuri visifie kama vibaya vilaani.

    • @mwalimumbukuzi7273
      @mwalimumbukuzi7273 4 года назад

      Amour Mtungo
      wewe ni muislamu au jina? fatuma hatujajua kama ameritadi ila mavazi yake ni kashfa kwa uislamu, ikiwa ameritadi ataangaliwa kwa mtazamo wa kilevi si kiheshima!

    • @amourmtungo623
      @amourmtungo623 4 года назад

      Mwalimu Mbukuzi . Mwalimu mimi ni muislam kama wewe. Usisahau mwenye dhambi na asiyekuwa nazo Mungu amewapa pumzi za bure, achana na watu shughulikia yako. Au umesahau kuwa Mungu ndie hakimu. Fatma ni muislamu pia sasa haya mambo ya dhana haya Mungu pia kakataza. Fikiria...

  • @almasjuma6872
    @almasjuma6872 4 года назад +2

    Utaheshimiwa nanani huna mume heshima yamwanamke nimume

  • @pastorcarolicarlostokunmbo826
    @pastorcarolicarlostokunmbo826 4 года назад

    Endelea kukosoa tunashukuru tutafanyia kazi...ila Raisi ni magufuli.

  • @alizahranmohd4095
    @alizahranmohd4095 4 года назад +4

    nampenda san huyu mm

  • @simu2008
    @simu2008 4 года назад +4

    Sasa shangazi hata kiswahili kinakupa Shida ambayo ndio lugha mama ya watanzania, hii inaonyesha kwamba uzalendo moyoni mwako hauko, asilimia Kubwa moyo wako uko nje ya Tanzania

  • @pastorcarolicarlostokunmbo826
    @pastorcarolicarlostokunmbo826 4 года назад +1

    Tuambie umefanya nini acha kuponda.
    Wembe ni ule ule kunyoa

  • @raphaelelisha8975
    @raphaelelisha8975 4 года назад +2

    Sister your not true huwez niambia kuhusu democrasia na wakat ndan ya chama chako hakuna democrssia mfano mwamba amekuwa mwenyekit wa mda mref Kwan wengine hawapo mbona ccm kila utawala wana mwenyekit mpya, na unavyoongea kwa hisia utafikil unamaanisha kwel kuwa unataka uwasaidie wananch kumbe uipeleke nchi ugaibun, we want a leader who know watu wake na pia anahuruma na nchi yake this time for makufur

    • @mrishoidi11
      @mrishoidi11 4 года назад

      Wewe na lisu ni viongozi wazuri Sana lakini si Tanzania Tanzania maisha haitaongozwa na watu vichaa Kama nyinyi

  • @fatmasaid1911
    @fatmasaid1911 4 года назад

    Kibayaaa km kizeee Babu yk hahaha Na kilev ichi hahaha mtoto wa kiislamu hawi hivo, au unauza biashara APO?

  • @nyasikissimbo5643
    @nyasikissimbo5643 4 года назад +4

    Hiki kimama kimeolewa ? Mm naona kinanifaa sana

  • @edinaisaya6229
    @edinaisaya6229 4 года назад +3

    Watanzania wa siku hizi nivichekesho yaani inafika wakati mtu anajifaya hajui kiswahili🤣🤣🤣🤣🤣

  • @christophermahawi4920
    @christophermahawi4920 4 года назад

    Usipotoshe watu dada, China,S.korea,Russia, Cuba,Libya ya Gadafi nk. Hakukua na vyama vingi na yote hayo ni mataifa yaliokuwa juu kiuchumi na kiulinzi.

  • @michaelndilima6210
    @michaelndilima6210 4 года назад +8

    Malawi wamerudisha chama cha zamani.

    • @al-bsaidykhalef6897
      @al-bsaidykhalef6897 4 года назад

      Wacha ubaguzi wewe

    • @azizawadh5973
      @azizawadh5973 4 года назад +1

      Ni kweli sasa rais wao kaweka Mke watoto wajomba shemeji wote mawaziri. Fuatilia uone

  • @timboxlee919
    @timboxlee919 4 года назад +1

    Wewe haujutambui kabisa hivi ulipass kweli ktk masomo yako? Ungekua huna haki ungeongea hapo ulipo

    • @ikramurashidichongoe3037
      @ikramurashidichongoe3037 4 года назад +1

      Kwa hiyo apo ndo akili yako ilipo fika mwisho unamkosea mungu hakukuumba ukiwa na akili hiyo

  • @jacksonbiswalo8360
    @jacksonbiswalo8360 4 года назад +1

    Utadhn unalia,😂😂

  • @ibrahimally248
    @ibrahimally248 4 года назад

    Simba jike

  • @emanuelkinimanyandi2319
    @emanuelkinimanyandi2319 4 года назад +3

    Pumbavu sana umelogwa

  • @safiyamohd1133
    @safiyamohd1133 4 года назад

    naomba miutano ya leo

  • @habibrwegoshora6624
    @habibrwegoshora6624 4 года назад +1

    Eti msomi uliona nchi gani inaendesha UCHAGUZI wa tume huru ? Itaje hilo litakuwa jambo la ajabu Sana. .

    • @zuheraaziz9343
      @zuheraaziz9343 4 года назад

      nyingi sana wala hawa hawaribu pesa kama uku uchaguzi kimya kimya wanapambana kweny tv tu afu panapigwa kura kazi kwisha sio kuharib mafuta na maflana kama uku😂😂

  • @barakamakabara3557
    @barakamakabara3557 4 года назад +1

    Ukiacha kejeli ukavaa heshima utaweza kuwa bora

  • @yunusally3303
    @yunusally3303 4 года назад

    Hongera shangazi

  • @nassirmasoud2545
    @nassirmasoud2545 4 года назад

    Ww mama umekisa muelekeo.jeuri yko ungemuonesha mzee wko.chako ni kibri na kibri ni kukataa haki

  • @gracejohn886
    @gracejohn886 4 года назад +4

    Eti shikamooo wkt ukumbi mzima we ndo mzee 😂😂😂😂😂jamani siasa hizi anataka adi kupaa😁😁😁wewe usitulukie utatuumiza jamani

    • @jenyyusuph4973
      @jenyyusuph4973 4 года назад +1

      🤔😂😂😂😂😂😂 AKa sikupagawa huko

    • @djmeza411a58
      @djmeza411a58 4 года назад

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👍👏👏

    • @yussufhussein1954
      @yussufhussein1954 4 года назад

      Hakuna ataebaki kijana ukifika wakati utazeeka mpuuzi ww tatizo ukweli unawauma nyau nyie

    • @mohamedmiraj3117
      @mohamedmiraj3117 4 года назад

      🤣🤣🤣🤣

  • @jafarimsigwa277
    @jafarimsigwa277 4 года назад +1

    Tunaiga uzungu mpa tuna poteza mwelekeo.'JPM Tuongoze:

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 4 года назад

      Sisi bado tuko nyuma duniani tumelala na huku tunakwenda maisha magumu tunaishi kwa miaka 56 sasa. Na hao walosoma ni CCM wa Juu tuu siyo wachini kama wewe na sisi. Wewe mwenyewe unajuwa yanofanyika...Huyo hatokuongoza wewe brother.